Naam yaa Sheikh. Kweli ni vyema tukumbushane tukitekeleza aliyotwambia Allah, in sha Allah, sisi ndio Ummah bora. Na ingawa tuna makosa makosa tunaweza kuboresha. Lakini tusipo elimishana, ili kubadilisha hali yetu kwa kuhimiizana. Vipi tutakuwa Ummah bora. kunao kati yetu baadhi ya waongeaji ambao huwa wanapotosha, ima kwa kudhani hawawezi kurekebishwa au kwa kudhani ni wajanja nk. Allah atuwezeshe kuelekeza Ummah njia ile ile aliyoiweka Mtume, Swalla Allahu alayhi wa sallam, bila kuipotosha.
mashallah Sheikh Juma amir mungu akutunze sheikh wetu,uje na tanzania kutupa daawa because you have a great and convince power to catching the audiences.
mashallah Sheikh Juma amir mungu akutunze sheikh wetu,uje na tanzania kutupa daawa because you have a great and convince power to catching the audiences.
ma ashallah yan sheikha nampenda sana kwa ajili ya allah na hakika unatoa darsa vizuri sana vile nnpendavo wala huna papara nataman uje na zanzibar utudarsishe naomba npate video zako za mawaidha malikha6410@gmail.com
Muogope Allah Subhanahu Wataala kumshikilia ndugu yako uovu pasi na kufahamu dharula yake ya kosa hilo, zingatia kheri zake nyingi kwa umma na siyo kosa lake moja kwa umma hakika haipendezi muumini kumtangazia ubaya ni vyema ungetafuta hata email ama namba yake kwa namna yeyote ili mkafahamishana maana naamini ni wazi alitereza na kama alikusudia hakika atakuwa na sababu za ndani sana za msingi
Muogope Allah Subhanahu Wataala hata wewe huwa unateleza katika mazungumzo yako ama pia huenda nawe unamadhaifu yako ambayo yangefahamika kwa umma ama watu wa karibu yako ungejisikia fedheha na huzuni kubwa ila fahamu mtu hakumbushi mbele za watu tumekatazwa waislam
Muogope Allah Subhanahu Wataala maana ni wewe tu unamtangaza kosa lake na kulishikilia bango hakika huko ni kumchafua Sheikh hivi ni kweli huwezi futa kosa hilo katika nafsi yako kwa kheri zote hapo anazozingumza?
Ma Shaa Allah we can't thank Allah enough for Juma Amir...Mola Amzidishie umri na afua na afya
Mashaallah mungu akupe afya upate kutupa mafunzo mazuri
Napenda sana mafundisho yake kuhusu ndoa Allah amfanyie wepesi katika kutoa Dawaah 🙏🙏
mashaa allah..sheikh jumar amir..mafundisho bora sanaa kwetu wanadamu..mungu akuzidishie utupe elimu yko kwa faida yetu ya mbeleni..shukran sanaa
Mashallah Alhamdulillah jazaaka llahu kheiry
Ma Shaa Allah! Jazaqallahu Kheir Sheikh.
MA SHA ALLAH MWENYEZIMUNGU AKUZIDISHIE AFYA NA NGUVU SHEIKH WETU JUMA AMIR,UZIDI KUTUELIMISHA IN SHA ALLAH
Shukran sheikh kwa mada nzuri na yenye mafundisho sahihi,allah akulipe kula la kheri, aliona.
Mashaa Allah Allah akupe umri mrefu na afya njema sheikh juma Amir
Allahuma Ameen
Jazaqa Allah kheir Sheikh
Ma shaa Allah, Ma shaa Allah, Ma shaa Allah. Allah akupe afya njema sheikh wetu
Naam yaa Sheikh. Kweli ni vyema tukumbushane tukitekeleza aliyotwambia Allah, in sha Allah, sisi ndio Ummah bora. Na ingawa tuna makosa makosa tunaweza kuboresha. Lakini tusipo elimishana, ili kubadilisha hali yetu kwa kuhimiizana. Vipi tutakuwa Ummah bora. kunao kati yetu baadhi ya waongeaji ambao huwa wanapotosha, ima kwa kudhani hawawezi kurekebishwa au kwa kudhani ni wajanja nk. Allah atuwezeshe kuelekeza Ummah njia ile ile aliyoiweka Mtume, Swalla Allahu alayhi wa sallam, bila kuipotosha.
Manshsllah Allah ukupemainshamalef uzidikutupa manenomazul
Masha Allah... Allah ibarik sheikh amir
Mashaallah Allah akupe umri thuil sheikh inshaallah.
Mashallah
Masha Allah Jazkallah kheir.
mashallah mashallah allah akupe umri mrefu uzidi kutufunza sisi wanawake kwasababu tumepotea sana inshallah
mashallah Sheikh Juma amir mungu akutunze sheikh wetu,uje na tanzania kutupa daawa because you have a great and convince power to catching the audiences.
mashallah Sheikh Juma amir mungu akutunze sheikh wetu,uje na tanzania kutupa daawa because you have a great and convince power to catching the audiences.
Mustapha Bori mAshallah ustadh ALLAH BARIK
JazakaAllah kheir
mashaAllah
shukran sheikh mungu akujaze
Masha allah sheikh wetu jazakallah khair
Allah Ibarik Ya Juma Amir,Haki Masheikh Wetu Hawapo Wazi Mama Wewe Unavyofunguka!Allah Akuzidishie,Je nikitaka kukuona Nairobi nitakuona wapi?
Jamia mosque Nairobi cbd
MashaAllah maudhui mazuri sanaa
Allahu akbar kwa naswaha hii yenyefaida kubwa kwa bina dam
Mashaallah
Maashaallah
Allah Akujalie umri mrefu inshaallah
W
ma shaa Allah
Masha Allah Mawaidha Mazuru,Allah Akujaalie Uwe na Umri Mrefu Uzidi Kutuelimisha.
maashaallah mawaidha mazur,,
mashallah
tuyasikize na tuyazingatie inshaallah
sadick mabruck
youtu.be/Addie/i3wtBSFERFMm_5VizpnRYOQYVcQAYg
Mahali panatoka choo uende ukarambe😯yakkkk mchafu sana Juma amiri
Wewe mbona walikania jambo hilo kwa nia kama hivyo? Basi unalako jambo na sheikh juma Amir!acha chuki na dhamira mbaya haifai
ma ashallah yan sheikha nampenda sana kwa ajili ya allah na hakika unatoa darsa vizuri sana vile nnpendavo wala huna papara
nataman uje na zanzibar utudarsishe naomba npate video zako za mawaidha malikha6410@gmail.com
Juma amiri hapo umekosea sana kusema yafaa kurambana nyuma. Ni haram hio na wewe unahalalisha
Hamza Nurein amesema katika video hii?!
Wapi ktk video hii sheikh kasema????
Hamza. Mm nakujibu kasomo kwanza ndoa kiundani zaid
😂😂😂
je kuhusu kuramba chumvi au icecreem ni halali au haram
Nampinga huyu Shekh aliposema mume na mke yafaa kurambana tupu za nyuma ASTAGHFIRULLAH
Mbele je ?
Kwani kila akisamacho wewe ni lazima ufuate au ufanye'kwani walazimishwa kufanya kila asemayo?
Kisha munam’support kwanini??? Anatupoteza haifai kurambana mikundu jamaa. Atatowaje fatwa hio??? Kisha mnamsikiliza
Mkamilifu ni Allah Subhanahu Wataala! Tumuwekee dhana njema kuwa alitereza tu katika maneno Baba yetu!
Anapotosha watu! kwani umelazimishwa? mbona hivyo??
Amiri gani?? Mtu asema kurambana nyuma yafaa. Kisha mwamsifu. Anapoteza watu Juma amiri
Hamza Nurein subkhana llakh kasema kweli hivyo?
Muogope Allah Subhanahu Wataala kumshikilia ndugu yako uovu pasi na kufahamu dharula yake ya kosa hilo, zingatia kheri zake nyingi kwa umma na siyo kosa lake moja kwa umma hakika haipendezi muumini kumtangazia ubaya ni vyema ungetafuta hata email ama namba yake kwa namna yeyote ili mkafahamishana maana naamini ni wazi alitereza na kama alikusudia hakika atakuwa na sababu za ndani sana za msingi
Muogope Allah Subhanahu Wataala hata wewe huwa unateleza katika mazungumzo yako ama pia huenda nawe unamadhaifu yako ambayo yangefahamika kwa umma ama watu wa karibu yako ungejisikia fedheha na huzuni kubwa ila fahamu mtu hakumbushi mbele za watu tumekatazwa waislam
Wee mbona hivyooooo!!! ubaya na mwenzio huoni tahayari?kwani hata akisema ubaya ni nini?Una hiyari kuyafuata huna hiyari aache'wajitoa ufahamuuuu? unalako jambo
Mtu mwenye akili yake hawezi fanya hivo kisha wewe unajiita Shekh unatoa fatwa hio
Muogope Allah Subhanahu Wataala maana ni wewe tu unamtangaza kosa lake na kulishikilia bango hakika huko ni kumchafua Sheikh hivi ni kweli huwezi futa kosa hilo katika nafsi yako kwa kheri zote hapo anazozingumza?
Ama umedhamiria kulitangaza kosa lake tu na siyo kusikiliza mawaidha yake?
@@hamidamsango8940😅
Mashaallah
Ma shaa Allah