SH.OTHMAN MAALIM :- KISA CHA OMARI BIN KHATWABI 01

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 23

  • @swabiaa1489
    @swabiaa1489 5 місяців тому +4

    Mashaallah kipind icho shekhe wetu Othman maalim bado kijana Mashaallah

  • @saudaumar3354
    @saudaumar3354 4 місяці тому +1

    Mashallah Mashallah Mashallah

  • @saladhuka7775
    @saladhuka7775 4 місяці тому +2

    Masha Allah sheikh uthman maalim mungu ampe umri mrefu ni raha kutumia miaka yake akiwa kijana na akiwa Mzee Kwa njia ya Allah kuelimishana na kukumbushana mm kutoka Kenya lakini ni nadra kukose mawaidha ya sheikh uthman

  • @tonniocharo1076
    @tonniocharo1076 4 місяці тому +4

    MashaAllah, Sheikh Orhman Maalim katika ubora wako.Kama kawaida, Allah akujazi heri

  • @saudaumar3354
    @saudaumar3354 10 місяців тому +6

    Mashallah nampenda sayyidina umar.shukran sheikh uthman

  • @user-ju1dg4xt4l
    @user-ju1dg4xt4l 2 місяці тому

    Mashaala allah ujana raha kumbe allah 🙏 💖 akupe nuru pepo ya firdaus

  • @silvergibson2656
    @silvergibson2656 9 місяців тому +3

    Nampenda sana sheikh uthman

  • @user-ql6vy6fn9d
    @user-ql6vy6fn9d 4 місяці тому +1

    Othumani Allah akupe zaid ya apo,natamani ningekuwa mimi,

  • @AmaarYasin-zm3sn
    @AmaarYasin-zm3sn 8 місяців тому +3

    Mashallah allah akupe afy ya milel

  • @salimomar8840
    @salimomar8840 10 місяців тому +2

    Jjazakum llhahu khairem

  • @user-nz7bw3mo5j
    @user-nz7bw3mo5j 5 місяців тому +1

    ماشاء الله..احبك في الله

  • @AbubakariAlly-jy6fy
    @AbubakariAlly-jy6fy 3 місяці тому

    Wallahi she othumani nakupenda kwa ajili ya Allah

  • @user-rz7ss3ju7j
    @user-rz7ss3ju7j 10 місяців тому +2

    Alhamdulilah Allah akulipe pepo yenye daraja kwa mawaidha mazuri inshaalla

  • @TwalibuhamdaUtonu
    @TwalibuhamdaUtonu 9 місяців тому +4

    Mungu akupe umri mkubwa na utajiri wa afya njema na kizazi chenye uwono Kama ulio kua nao ww

  • @TwahiluSembe
    @TwahiluSembe 3 місяці тому

    Maashaalaa

  • @AmaarYasin-zm3sn
    @AmaarYasin-zm3sn 8 місяців тому +1

    Mashallah akhe

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 9 місяців тому +1

    Mashallah, shekhe Othman Maalim, Jazakallahu kher shekhe Allah akulipe Jannah na akupe umri mrefu na Afya NJEMA, Nakupenda kwaajili ya Allah.

  • @dullahcake5096
    @dullahcake5096 5 місяців тому +2

    Masha Allah lkn kuna hiyo picha umetumia kama ndo Sayyidina Omari haipo sawa

  • @rashidguracho4839
    @rashidguracho4839 5 місяців тому +1

    Nakupenda kwa ajili ya allah sheikh othman Allah akulinde

  • @user-ev6cx4kt3g
    @user-ev6cx4kt3g 6 місяців тому +1

    MashaAllah...kitambo sana!!!

    • @abdulaisha4145
      @abdulaisha4145 5 місяців тому

      Hahika mm Niko na darsa lake la mwaka 2004 mpaka sasa ni miaka 20

  • @shabanramadhan7632
    @shabanramadhan7632 3 місяці тому

    Sheikh huyu mtume sio TU tabia yake peke yake Bali ukiitazama TU sura yake utajua TU kuwa huyu ni mtume wa mungu na ana uzuri usio kifani wa matendo na tabia.waliomuona mtume hata ndotoni wanalijua hili

  • @user-qi8wz8hc8f
    @user-qi8wz8hc8f 7 місяців тому

    4:07 4:12