BABU WA TIK TOK AONGEA KW MARA YA KWANZA KUHUSU VIDEO YAKE NA MREMBO HUYU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • Our mission is to bring people together,entertain and educate people that's why we create content that does exactly that

КОМЕНТАРІ • 61

  • @user-cf8re1vm7o
    @user-cf8re1vm7o Місяць тому +1

    Mmekazana mtu mzima mlitaka awe kipande? Kilamtu ataubeba mzigo wake mwenyewe angalieni maisha yenu kilamtu nazambi zake

  • @umranim5854
    @umranim5854 Місяць тому +1

    SUBHANALLAH KAISHA VUKA MIPAKA YA DINI ANASHAURIWA YA KHERI BADO ANAJIONA HANA MAKOSA JIDHAMINI KWANZA WEWE LAANA ZA WATU UNAVO LAANIWA HUPENDEZI JITU KUBWA HOVO MUNGU AKUHID AIBU KUBWA KWA FAMILIA YAKO 😏

  • @user-fx2wq2yx5r
    @user-fx2wq2yx5r 18 днів тому

    Babu kijana napenda sana waache washambs

  • @feisalboy6702
    @feisalboy6702 18 днів тому

    Yaani huyu mzee kakaa km ana style za uchoko uchoko hv

  • @user-es4uf6gj7u
    @user-es4uf6gj7u Місяць тому +1

    Nawaambieni huyu nishetani anajiona. Yupo sahihi anajiona kaya patia lani jaribu kumfuatilia ndipo utamgundaaa kwa undani sana

  • @fathiyahmuzney7367
    @fathiyahmuzney7367 Місяць тому +4

    Jitu zima hovyooo

    • @JosefuSwai
      @JosefuSwai Місяць тому

      Ovyo wake uko wapi

    • @fathiyahmuzney7367
      @fathiyahmuzney7367 Місяць тому +1

      @@JosefuSwai Na ww ndio wale wale kwahyo huwez kuona tatzo liko wap

    • @nahlahassan-fd6le
      @nahlahassan-fd6le 25 днів тому

      Tena liovyoooo Kam halina raz, wenziwe makamu Hayo wanatubu yy ndokwanzaaa!! anaendekez Dunia bado

    • @marcokaroje8980
      @marcokaroje8980 18 днів тому

      Yuko kazini asilaumiwe​@@JosefuSwai

  • @ndoanirahaonlinetv5031
    @ndoanirahaonlinetv5031 25 днів тому

    Unafundisha nini jamiii,MFANO MTOTO WAKO anaona hivyo

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 26 днів тому

    Aaaah kufurahi na maisha mtu hakatazwi lakini hiki kisichana ndio mtihani mkubwa si kwa msuguo huo na mzee mbele za Umma? dohh 😮😮

  • @user-yv7xg4em4s
    @user-yv7xg4em4s Місяць тому +1

    Babu wewe 😢😢😢 unafanya nini na kitukuu.

  • @user-cb5wf7ig9l
    @user-cb5wf7ig9l 17 днів тому

    ukisha lanika kutoka shida looh!

  • @maryamsuleiman6340
    @maryamsuleiman6340 Місяць тому

    Astaghfirullah ,aibu kwa babu mana kikwetu hiyo ni tayari wajukuuzake tayari wameshazaa ,nakm hutaki uzee nakwahayo uyafanyayo , jiandae namambomengi ,iwapo unatenda mambo hayo tuyaonayo

  • @MbarakSoud
    @MbarakSoud Місяць тому

    Huyoooo anazini naaaaeeeee siyoooo bureeeee hapo ni ushahidi mkubwa hapo huyooo siyoooo mtoto anakatika kushinda ata mtu mkubwa huo ni msibaa mkubwa inaaa lilaahiii wainaaa ilaahi raaajuhn poleni sana

  • @user-MIO5pu1iv7o
    @user-MIO5pu1iv7o Місяць тому

    😢😢😢😢😢😢nahisi maumivu ya tumbo la uzazi
    Jamani huyu babu alaaniwe nini hiki??? Tuungane wote kuomboleza kwa hili pepo la kuzimu.mtoto nae awe na waangalizi jamani wazazi ama walezi dahhhhhhh😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

    • @samwa9496
      @samwa9496 Місяць тому

      Watoto wenyewe nao washenzi

  • @nahlahassan-fd6le
    @nahlahassan-fd6le 25 днів тому

    Mtu mzima hasidi wewe, hukijui ata unachokiongea nyoo!! Ovyoo!! looooh

  • @omarylucas97
    @omarylucas97 Місяць тому

    alicho manisha uludi kwa mola wako uache hayo unayo yafanya yanakwenda kinyume nadini yetu ya uwisilam

  • @user-vm5yf8cs2r
    @user-vm5yf8cs2r 25 днів тому

    HASBIYA LLAHU WA NEEMA LWAKIL HASBIYA LLAHU WA NEEMA LWAKIL
    HUNA HAYA HUNA HAYA HUELEWI UTA. YAKUTA
    LAANA. ITAKUPATA

  • @salumazan822
    @salumazan822 Місяць тому

    Nchi ya ajabu sana hiii age fanja mtu mwengine igekuwa tatizo Mungu atamuo na wote wanamsapot

  • @DavidDavid-wf5ug
    @DavidDavid-wf5ug Місяць тому

    Huyo ni mtoto KWELI kama kafungiwa Kwa hilo Duuh

  • @efraimjohn4956
    @efraimjohn4956 Місяць тому +1

    Lahovyo kwelikweli

  • @shadyamohamed4094
    @shadyamohamed4094 Місяць тому

    Astaghfirullah kama kituku chake dah

  • @nicolauselias9084
    @nicolauselias9084 Місяць тому

    Chuki ni mbaya sana .katika hii dunia nimapito tu Haina haja ya kumtukana mtu kwa sababu ya starehe zake huo ndio ulevi wake kwanini mumutukane Babu wawatuuu?

  • @AbdulahiHaji-o5o
    @AbdulahiHaji-o5o 26 днів тому

    Umbwa Wewe kwani hiyo mtoto hana mzazi,unava kuuliwa

  • @khadi-z4o
    @khadi-z4o Місяць тому

    MSHENZITU HUYU MZEE HAJITAMBUWI. HAWO VIJANA HAWAFANYI UJINGA KAMA HUU ,VEREJE YEYE MSHENZITU!!

  • @handenitakuru6696
    @handenitakuru6696 Місяць тому

    Huyu mzee kwenye ujana wake kuna stage ameiruka sasahivi kwenye uzee inamretea tabu nakujidhalilisha kwajamii

  • @HaroubAbdallah
    @HaroubAbdallah Місяць тому

    Mzee nikweli mdomo ninyumba ya maneno lakini jitathmin maneno yako, umri wako na hatma yako hizi pumzi sio ujanja wetu na safari ni fupi sana anaekuambia anakupenda

  • @chany9950
    @chany9950 Місяць тому

    Duuuh kwenda jela we shetani👺👺👺

  • @saidgawawa8519
    @saidgawawa8519 Місяць тому

    Ujana wake yuaeza kuwa alikuwa mtu wa maana sasa uzeeni ana revenge, Allah atunusuru!

  • @harithwhite589
    @harithwhite589 Місяць тому

    Mbona hamuongelei kuhusu kibinti chenu

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md Місяць тому

    Hii mizee mingine haifai ilishahalibika akili kabisa ni ya kuiepuka na kukaa mbali futi mia

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md Місяць тому

    Laana ikishamla mtu haoni kosa ameshakufa ganzi kila jambo ovu hulisifia sana

  • @KamiliyaHamis
    @KamiliyaHamis Місяць тому

    Huyu babu ni laana bora alivyofungiwa mtu mzima ovyo

  • @rajababdallah9239
    @rajababdallah9239 Місяць тому

    Mwanadamu akifika mahala anaona uovu wowote anaoufanya hajali na hata akiambiwa hasikii na huku mambo yake ya kidunia yamemnyookea,ki ukweli ni stage mbaya sana,ni dalili ya kuangamia.
    Allah atuhifadhi.na tahadhari lazima ichukuliwe.

  • @hadijauledi6995
    @hadijauledi6995 Місяць тому

    Mtu mzima ovyo jiheshimu fyuzi zako ndiyo zimeunguwa😅

  • @user-cq8px3cw1b
    @user-cq8px3cw1b Місяць тому

    Huyu babu haliombi hata siku mwisho mwema

  • @user-MIO5pu1iv7o
    @user-MIO5pu1iv7o Місяць тому

    Na huyu mtoto mbona kakubuhu 😢😢

  • @MsNajma-j7e
    @MsNajma-j7e Місяць тому

    Uyu mzee mshezi Tena hanazaririsha wanawake na uyo kitoto,,,iv nyie watto wa erufu mbiri mbon mnajizaririsha sana mbwaa nyieee,,,

  • @user-MIO5pu1iv7o
    @user-MIO5pu1iv7o Місяць тому

    Huyu babu ni agent wa shetani

  • @hassanabdala7383
    @hassanabdala7383 Місяць тому

    Hyuu mzee hata anafaa kufungwa kwan hyoo mzee hana watoto

  • @user-es4uf6gj7u
    @user-es4uf6gj7u Місяць тому

    Mtu mwenye laana kila analo lifanya yeye anaona nisawa na ukimkosowa atakuona wa ajabusana na nakuona wewe ilie mkosowa hujielewi

  • @emmanuelbernard9552
    @emmanuelbernard9552 Місяць тому

    Zee zima kama hili ambalo limeshindwa kujitambua,eti nalenyewe linawashabiki wapumbavu wenzake.

  • @HamidMuhammed-go2sk
    @HamidMuhammed-go2sk Місяць тому

    Mwamtakia mini anawakera mini karaka msada kwenu kawaeleza shida mumsaidie lakini mbona wajinga sana kumtukana mtu kwa starehe zake nyi!yo tayari mmejilewa mshafika mnakokwenda acheni usenge jamani sip vizuri ujinga wingi fikira hamna mwacheni msimfatilie maisha yake tazameni yenu wapumbavu nyinyi waovyo kabisa choyo tu na roho mbayaa looooo.

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 Місяць тому

    Kiukweli Kama Mzee Huyo Haya Aliyafanya Haya Ataachiwa Basi Nawengine Wasije Wakalaumiwa Maana Kiukweli Huyu Mzee Sirikali Haitakuwa Kumuaacha Huyu Mzee Nje..Kuwafanya Watu Kuzidi Kufanya Machafu Kwa Watoto N.K..Nakadhalika Awekwe Jela Mojakwamoja Maisha Yake...Nahawa Watoto Wakao Onekana Kufanya Kama Hivi Jela Myika..10/Bilakupita Mahkamani
    Hasbillah Waneemalwakiyl..Allah Akupe Lakumpa Yarabiy...

  • @irfaanhasham1346
    @irfaanhasham1346 Місяць тому

    Mzee badilika lidi kwa allah umri huo ni wa siye vijana kukufata utupe ushauri na mawazo mambo hayo siyo sawa ingawa siyo yanayo ni husu bali we ni mzazi kama wazazi wengine ila ambadilishae allah pekee yake

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 Місяць тому

    Babu anaharibu bint mdogo huyo ,na hajachukuliwa hatua??

    • @user-gg3sd3oy5l
      @user-gg3sd3oy5l Місяць тому

      Anaaribu ama mtoto ndo kaaribika jamani mana Yule mtoto amezowea iyo Tabia mungu tu amuondolee lile balaaa jamani

  • @salimkinabo5897
    @salimkinabo5897 Місяць тому +1

    Mtu asiyeudhika kwa kuudhiwa anakuwa ni punda

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 Місяць тому

    huyu Mzee aende jela

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 Місяць тому

    Mjukuu wake

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 Місяць тому

    Kwenye ujana alikua balaa?

  • @SaidAbdala-f7p
    @SaidAbdala-f7p Місяць тому

    Kaburini kuna nyoka. Kila nasi itonja mauti.

    • @kiatu
      @kiatu Місяць тому

      Unamtishia nyoka?-halafu akiwa amekufa

  • @user-cf8re1vm7o
    @user-cf8re1vm7o Місяць тому

    Mtu mzima kamzaa mama malia nyerere?

    • @nahlahassan-fd6le
      @nahlahassan-fd6le 25 днів тому

      Acha upuuz ww ingekua baba Yako huyo ungejiskiajee

  • @SalmaSheha
    @SalmaSheha 27 днів тому

    Babu shetan bada kumrudia mung wew ndokwazaa unaduniya litizame lilvo jiso mavi ushapigw laaana hujiheshim

  • @user-eb8rf5sp3o
    @user-eb8rf5sp3o Місяць тому

    Mungu akulaani

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 Місяць тому

    Hivi nikwei hii