Leonardo alivyowavunja mbavu Harmonize na wengine uzinduzi wa CHEKA Plus TV
Вставка
- Опубліковано 3 лют 2025
- UZINDUZI WA @chekaplustv CH 414: Moja kati ya wachekeshaji waliokuwa wakisubiriwa kwa hamu ni pamoja na @laughs_on_leonardo ambaye kwanza alianza na mkwara wa ajabu, ambao wote tunajua anauweza kisawa-sawa 😂
Uzinduzi ulikuwa LIVE muda mfupi uliopita kupitia #UTV108
#ChekaTu #ChekaTu414 #ChekaTuPlus #azamtvburudanikwawote
Huyu jamaa ana jua sana comedy apew mauwa yake🎉🎉
Wa kwanza jaman nipeni ata like 10
kijana unajua tena unachekesha kisomi, bigup
Weee leo yupo vzr sanaa😂😂😂
Uyu mwamba ni nomaa sanaaa yn
Hongera sana mwana wentu tulio kunu mnka
Ila leonardo😂😂😂
Mashaalah konde anapendwa sana
Umetisha
Good work
Alooooh konde n hataliii 😂
Amazing
Leonadooo ninomaaa sana
Mzee wa Instarstory 😂😂😂
Mbona wasanii wakuimba huwa wazirudia nyimbo zao maana mmeng'ang'ana kuwa anarudia tu content! Kama rahisi nanyinyi andaeni content zenu tuone.
Jaribu ww tuone
Big up😂😂
So amazing
Nice
Unajua blood 😂😂
Hakuna 😂😂😂😂
Kuwa wanasiasa ni waongo
Kuna ugumu gani kuepuka gender stereotypes... Na kuchagua maneno yasiyoibua hitilafu!!?
Jamaa mm sipendi unavyo rudia content
Dar e salam joto mwingi Nairobi barida
Mm nampenda Sana uyu jamaa ila kwenye maisha sio lazima wakupende wote wengne watakuchukia tu pambana kijqna
Big up
Eliudi ndio alifaaa kuwa mshindi
Mzee anarudia sana content saiv adi tushachoka
Bonge la comedian
Eliud is the best kabisaaa
Mm mbon sijacheka jaman😂
Leonard unajuwa mbwa wewe
😂😂 ka uchawi
Nomaaa
Ameishiwa content Leonardo
Unajua
Aseeeee
Heyi
👏👏👏👏👏
Unarudia sana mzee jiongeze
Ulishika nafasi ya kwanza Tanzania nzima Kwa stand up comedy ila mmmmh Nina mashaka na ushindi huo Eliud samweli Ndio alifaa
Chill bro
Kajambe uko
@@Khmediy3241😂😂😂😂😂
Kua mpole fundi leonado peke ake
Wivu
DONGO ilo yenyewe yanacheka
Anajitaidi
Ubunifu mdogo jitaidi kujiongeza
Unaweza mbunia lakini
nakubli
Abasi chui
Leonardo😂😂😂
Mzee n lunar
Alaf leonard unatuangusha unarudia content ssa
ua-cam.com/video/uyQbeTosaaw/v-deo.htmlsi=1k9a_cWwGn6UrNN5
Big up
Big up