UFAFANUZI ZAIDI JUU YA SADAKA YA FUNGU LA KUMI-Pastor Myamba

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 20

  • @sekikigosi8265
    @sekikigosi8265 Місяць тому +1

    Asante barikiwa Mchungaji.🎉

  • @janethdickson3237
    @janethdickson3237 2 роки тому +2

    Amen

  • @alzawahirabdallah2299
    @alzawahirabdallah2299 Рік тому

    9. AT-TAWBA
    6O. Wa kupewa sadaka ni mafakiri,
    na masikini, na wanao zitumikia,
    na wa kutiwa nguvu nyoyo zao, na
    katika kukomboa watumwa, na
    wenye madeni, na katika Njia ya
    Mwenyezi Mungu, na wasafiri. Huu ni
    waajibu ulio faridhiwa na Mwenyezi
    Mungu. Na Mwenyezi Mungu ni
    Mwenye kujua Mwenye hikima

  • @Thomas-nt9yg
    @Thomas-nt9yg Рік тому

    Ubarikiwe

  • @davidmghanga8502
    @davidmghanga8502 Рік тому

    🤝

  • @FadhiliMaganga
    @FadhiliMaganga 5 місяців тому

    Je! Pesa ya mkopo mfano kwa wanafunzi Boom au mkopo benki kwa ajiri ya biashara una tolea fungu la kumi? Yaani pesa ya mkopo

  • @emmanuelwith1812
    @emmanuelwith1812 2 роки тому

    Amen 🙏

  • @misigarojustine3357
    @misigarojustine3357 2 роки тому

    Mm ni mama wa nyumban napewa pesa yaatumiz ya ndan kulingana na idadi ya familia yangu je nisawa kutoa pesa niliyopewa kwaajili ya kununua chakula nitoe zaka?

  • @alzawahirabdallah2299
    @alzawahirabdallah2299 Рік тому

    Sadaka wala zaka hapewi mchungaji hupewa maskini hakuna andika katikati biblia nimalize inayo sema tutowe fungu la 10 huo ni wizi waumini mnaibiwa msitowe sadaka wala zaka kwa wachungaji

    • @JoyceHaule-o7b
      @JoyceHaule-o7b Місяць тому

      Ahsante kwa ushauri sasa naendelea ya kabisa yanapatikana vipi? Na malipo ya mchungaji yanapatikanaje?

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 Місяць тому

      @@JoyceHaule-o7b kanisa si mali yako ni mali ya mchungaji ndio maana mchungaji analipa kodi kanisani na anaweka picha ya mkewe na picha zake kanisani na mchungaji anapaswa afanye kazi asiibie watu sadaka kwa jina la yesu

  • @RahmaRahma-ie6ey
    @RahmaRahma-ie6ey Рік тому

    Mimi mama yangu ni mjane ninalusiwa kutowa fungi la kumi kwake?

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 Рік тому

      Huruhusiwi sadaka hupewa maskini fukara wajene na watu wenye mahitaji

    • @rebecakigutu
      @rebecakigutu Рік тому

      hapana fungu la kumi nila BWANA sio la mtu ..also MUNGU anataka kila mtu atoe zaka ..sasa msaada mpe mama mtaji afanye biashara apate pesa ya kazi ya mikono yake hili aweze kumtolehe MUNGU zaka yake .Amen

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 Рік тому

      @rebecakigutu hakuna fungu la 10 kabisa kuna kitu kinaitwa zaka na zaka unatowa kila mwaka mara moja kwa mtu mwenye uwezo humpa makskini fukara na yatima km huna uwezo utatowa sadaka hakuna sehemu yoyote imeandikwa utowe fungu la 10 huo ni wizi wa wachungaji na sadaka pia hupewa maskini hapewi mchungaji

  • @misigarojustine3357
    @misigarojustine3357 2 роки тому

    Mm ni mama wa nyumban napewa pesa yaatumiz ya ndan kulingana na idadi ya familia yangu je nisawa kutoa pesa niliyopewa kwaajili ya kununua chakula nitoe zaka?

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 Рік тому

      Zaka hutowa kwa mtu anaye jiweza unaweza ukatowa sadaka lakini sio zaka

  • @misigarojustine3357
    @misigarojustine3357 2 роки тому

    Mm ni mama wa nyumban napewa pesa yaatumiz ya ndan kulingana na idadi ya familia yangu je nisawa kutoa pesa niliyopewa kwaajili ya kununua chakula nitoe zaka?

    • @lawimoses2514
      @lawimoses2514 Рік тому

      Pesa ya matumizi ya nyumbani unayopewa na mumeo haitolewi zaka