Mungu akubariki mtumishi wa Mungu. Hata hivyo kuna badhi ya vipengee muhimu kwa mujibu wa kumbukumbu la torati 14:22. 1. Tunafaa kutoa fungu la kumi kutokana na maongeo (ongezeko) ya mbegu zetu wala sio mshahara au mtaji. 2. Mbegu haioelekwi kanisani mbegu inafaa kuekwa shambani ili izae na kutokana na mazao tutoe malimbuko na kisha kutokana na ongezeko la mazao hayo tutoe fungu la kumi. 3. 24 na 25 inasema ikiwa njia ni ndefu na huezi kubeba zaka yako basi unapaswa kuuza na kuifunga ile fedha kisha kuipeleka kwa mkono hadi mahali Mungu amechagua (wala sio kwa Mpesa ama Tigo) 4. 28 sijui hii ya kila mwezi mnaitoa wapi watumishi wa Mungu ila hapa kuna fungu la kumi la kila mwaka kwa ajili ya nyumba ya Mungu na lengine baada ya miaka mitatu kwa ajili ya wajane na maskini.
Ameeen 🙏 barikiwa sana mtumishi 🙏
MUNGU akubariki Sana baba
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu.
Hata hivyo kuna badhi ya vipengee muhimu kwa mujibu wa kumbukumbu la torati 14:22.
1. Tunafaa kutoa fungu la kumi kutokana na maongeo (ongezeko) ya mbegu zetu wala sio mshahara au mtaji.
2. Mbegu haioelekwi kanisani mbegu inafaa kuekwa shambani ili izae na kutokana na mazao tutoe malimbuko na kisha kutokana na ongezeko la mazao hayo tutoe fungu la kumi.
3. 24 na 25 inasema ikiwa njia ni ndefu na huezi kubeba zaka yako basi unapaswa kuuza na kuifunga ile fedha kisha kuipeleka kwa mkono hadi mahali Mungu amechagua (wala sio kwa Mpesa ama Tigo)
4. 28 sijui hii ya kila mwezi mnaitoa wapi watumishi wa Mungu ila hapa kuna fungu la kumi la kila mwaka kwa ajili ya nyumba ya Mungu na lengine baada ya miaka mitatu kwa ajili ya wajane na maskini.
ISOME PIA WAEBRANIA SURA YOTE YA 7...ALAFU TUJIULIZE NI MTUMISHI WA MUSA LAWI AU WA KRISTO...??