KWANINI MAOMBI YETU MENGI TUNAYOOMBA MAKANISANI, MISIKITINI HAYAJIBIWI? UKWELI WAANIKWA | HARD TALK
Вставка
- Опубліковано 4 лют 2025
- KWANINI MAOMBI YETU MENGI TUNAYOOMBA MAKANISANI, MISIKITINI HAYAJIBIWI? UKWELI WAANIKWA | HARD TALK
WASILIANA NA DKT. MWAKA: +255 759 100 200 Kwa Msaada zaidi.
HARD TALK ya leo ni mjadala mkali kuhusu namna maombi yetu yanavyotakiw kuwa na kwanini tunakesha tukiomba na hatujibiwi, ipi siri iliyojificha? Dk JJ Mwaka, tabibu maarufu wa matatizo ya uzazi na kiroho anachambua na kujibu maswali magumu ya mtangazaji Lilian Mwasha - this is HARD TALK....!
WASILIANA NA DKT. MWAKA: +255 759 100 200 Kwa Msaada zaidi.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...
SUBSCRIBE NOW UWE WA KWANZA KUONA:🏾 bit.ly/3MraYdQ
Salute kwa mwaka tunataka watu wanao umiza kichwaa Kaka huyu sisi wangine hatumizi kichwaa tunataka mtelemko
Lilian Asante,Leo umetuonyesha upaja,japo kidogo....mashalah
Watanzania wengi wanapenda mambo raisi raisi siyo km haya unayofundisha Dr mwaka
Barikiwa Sana kaka
Dr .Karibu kwa Yesu Dr mkuuu :
Asante Dr mwaka 💙💙💙
I really appreciate and agree with you madam,this guy is good
Da Leo nimejifunza Kitu 🙏🙏👏
Absolutely,this is new preaching
Mwaka upo juu upo vizuri
Huyu Dr Mwaka alitakiwa awe mtumishi wa Mungu ni balaa.
Amina .
Amina Yesu ni Bwana❤❤❤
Thanks Dr. Welcome again
God is always final,he knows when to answer our prayers
Ameeennn sanaa doctor.
Nafatilia sana ila naomba no ya Dr mwaka
Ma shaa allah Dr Mwaka
Baba umenena 🙌🙌🙌🙌 shikamoo,leo hakika maneno yako yamenigusa saaana...
Hujaelewa..
Wakristo Mungu kawafumba macho..hawaelewi.
Pole sana
Uislam na ukkristo ni vitus viwli tofauti kabisa!! Tukisema "mwenyezi Mungu" wote haimaanishi tunaita Mungu mmoja.... kuwa makini na mazoea ya matamshi!!
Mungu ni mmoja tu, mungu wa pili ni wazazi, akuna dini yenye mungu wa wili.
@@maryamtan682 Mungu wa wakristo ni tofauti na Mungu wa uislam!! Soma vitabu usisubiri utafsiriwe..unadanganywa!!
Amen
@@lalafamily5290 Amen
@@maryamtan682 mungu ni mmoja2 utofauti ni tafsiri2!
Dhambi haijawai kuwa kipimo Cha utakatifu dhambi no kuwa tiyari umeanguka kipimo cha Imani ni jaribu linalo kuja na nguvu ya kutii Sheri'a ya MUNGU au uanguke ukianguka umetenda dhambi dhambi siyo kipimo Cha Imani ni kuanguka
Ndio baba Mungu awariki
Huyu Dr akifungua kanisa kesho mimi nitakua mfuasi wake wa kwanza, anaongea madini sana.
Kweli. Inaponya
Nakuona Pastor Lilian😍
Manamke hawezi kuwa pasta according to Christian...
Asante Dr mwaka
Hujaelewa.
Wakristo hawana ubonho wa kuelewa mambo ya Mungu.
Mfano mdogo tu..
Yesu kzaliwa na mama mmoja anaitwa Mariam.
Dah...
Wakristo wote mmedanganyana ni Mungu.
Hii ni balaaaaaa
Dr mwaka 🔥🔥🔥🔥👏
Uyu doctor mwaka sanamu lake poster lijengwe jmn nimesikia maubiri mengi Sana lkn doctor uko vizuri
Uko sahihi yani umeniguza sana
😂😂😂😂 ila Mwaka mifano mingine bana. Sasa mfano wa mke mwe😂😂
Kwanza huyo mwanamke atupe andiko la kuweka mapaja wazi 🤣🤣
😅😅😅
Mashallah Dr. mwaka
Ktk maelezo ya dk mwaka mengi amepatia na machache amekosea.
Kwaiyo sio vyote alivyosikia uvifuate na kuamini my friend utapotea
❤❤❤
Kuwa Makini Liliani, kulingana na mwaka hakuna ushirikina.... kuwa makini.
Huyu MTU Yuko vizuri. Kesho naenda zangu Arusha kuchukuwa ng'ombe wangu mwekundu niliyoahidiwa na babu. Siwezi kuishi kidandara hapa duniani. Nitakuja kuchekwa bure.
Jamani huwezi lindwa na na fimbo ya Musa au Pete ya sulemani hunakuwa unakosea mungu Yuko juu ya kila kitu na mungu ni roho ulinzi wake kwetu ni wa kiroho
KWELI
Wavuta sigara wanapendana sana kuliko wale wanao mpenda Mungu😅😅😅
Bora unajua Damu ya Yesu inatisha
Kila goti litapigwa kwake
Aliesema maombi kanisani hayajibiwi ni nani acheni ujuaji sasa mwaka ongelea uislam hujui chochote kuhusu ukristo na AC zote bado jasho lina kutoka 🤔🤔
Innaalillaah ... Huu nimsiba allah akuongoze ktk dini yako na ndugu zangu waislam kunahaja kubwa yakusomesha dini watoto zetu dunio cyo
Mwaka Anajua kuliko huyu mwalimu wako wa dini
Atari sana
Hii mesej sent Kuna mtu nafurahi itakuwa imemfikia anafanya mambo ya kumuudhi mungu lkn TEGEMEO lake anaimani amebarikiwa na damu ya yesu iliyomwagika msalabani.
Nimekuelewa sana dr,unamafundisho mazuri yenye maarifa makubwa sana, yenye kuelimisha,
Dr MWAKA wee😂 imebak kumpa YESU MAISHA✍️🙏ila dr MWAKA wewe neno unalijua unafanya kusudi ukifungua kanisa litajaaa hakikaa ila lazima uwe mtakatifu
Mwaka zile camera chungunzima nyumbani kwako za Nini kama sio za ulinzi maana mimi Ni jirani yako naishi mbezi Beach karibu na masjid Iqraam.
LABDA NDIO HIZO PETE YA NABII SULEIMAN 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hana Imani...😂😂
Liliani Mwasha×3 Wakristo hatutakubali kupotoshwa. Kila mmoja ajadili dini yake husika full stop...,hatudanganyiki. Damu ya Yesu inatunenea mema kila uchwao, kama haitendi labda ni kwake. I better don't keep on listen to this.
Dr mwaka namjua kama ni mwislame, swal langu, je anaamini damu ya yesu? Yaan anaamini kwamba yesu alikufaa? Nakama anaamini je kuhusu wiislam usieamin kua yesu alikufa anazungumzia je?
Hayomajivu tunayapatajeee
Doct mwaka,Damu ya Yesu umeiona wapi na uislam unasema hakuuliwa wala hakusurubiwa??
Chenye anaongea dini yake haikubaliani nayo
Doct umekuwa muhubiri? Angaliya usijiweki hatatani mbele ya Mwenyezimungu ni Bora zaidi ujiusishe ku maswala ya tiba
nduguyangu mwaka huwa unanifundisha vitu ambavo sijawahi hata kufikiria
Mbona unamiliki bunduki ya Nini!
Haya mafundisho ni mapotofu!! Wajinga ndiyo waliwao!! Unajua ukweli upo mbali sana na uhalisia wa maisha!! Imani imekuwa mitizamo ya watu!!
Fuatilia vizuri mafundisho ya dini zt ndo utapata majibu.
@@maryamtan682 nafikiri bado huelewi mambo ya imani bado upo kwenye uongo wa muda mrefu kutoka kwa viongozi wako wa dini !! Soma biblia vizuri na soma vitabu vya qurani na hadithi utaelewa wapi umedanganywa.
Akili ni mali
Na hayo nayo unayajua?
Lilian Mwasha, if you are a Christian, quit entertaining falsehoods my Sister in Christ. It doesn't help people and you'll be answerable to God if you in any way are part of spreading false teaching. Chungulia UA-cam: David Guzik - 'The Red Heifer and The Work of Jesus Christ - Numbers 19.' Msikilize huyo vizuri na uwatafsirie watazamaji/wasikilizaji wako kwa Kiswahili fasaha.
Hili ni fumbo kubwa sana mjinga kamwe hawezi kulifumbua.
Mwakaa kanikoshaa kinomaaa
Watoto wakinyamaza hata nawe yatapiga kelele!
mke sio bidhaa!
DAMU YA YESU ULIIONA WAPII NA KUIPIMA MJINGA MKUBWA WEWEE MUNAAFIQ MKUBWA MPOTOSHAJI MKUBWA, NDUME LA KUWILI MKUBWA WEWEEE WEWE HAYOO UNAYO YAFANYA NDIO ABRI ULIYO AMBRISHWAAA ? MUNAAFIQ MKUBWA NYOOOO KWAVILE MUNAAFIQ HATA BISMILAAH UMEISAHAUU
Huyu naamini kuna siku atafungua kanisa.
Ayo majivu nayataka
Mbona huyu Baba wanasema Ana wake wengi??na Biblia imekataza??
Dini yake inaruhusu
Bibilia imekataza wapi unataka kududanganya
Ni muislam,dini inaruhusu wanne.
Biblia inaruhusu wake zaidi ya mmoja.
Mwanzo 4:19
Mwanzo 25.1
Unaona lamerk anafaid hapo
Uyu jamaa anajitaidi
Hana jipya zaidi ya beef
You can't be right because you don't have knowledge about religion especially Islam 💯 we believe in Allah only one Allah and muhamad is the messenger Jesus Moses Ibrahim... etc
Akili ni mali
Bongo nyoso
HAPO NDIPO MWAKA ALIPOKOSEA MWAKA HAJUI KUHUSU HAYA MAMBO YA KIROHO BHANA
ILA NAMUUNGA MKONO SEHEMU MOJA TU. KWA WAPO BAADHI YA VIONGOZI WA DINI WAOVU HAPO NAMUUNGA MKONO
HATA HIVYO SIKUBALIANI NAYEYE KWAMBA MUNGU HAWEZI KUKUSAIDIA KISA ANAYEKUOMBEA NI MUOVU. SIO KWELIIIII
Akili ni mali
𝙐𝙟𝙞𝙣𝙜𝙖 𝙢𝙩𝙪𝙥𝙪
Acheni unafiki nyie Dr Mwaka
Nakuona Pastor Lilian😍