Heshimu Malengo ( Masharti) Ya Maisha Yako ili Ufanyikiwe 💰

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 62

  • @ImaniLudovick
    @ImaniLudovick 7 місяців тому +1

    Jaman maneno ya shafii the don kila neno lake ni tumaini jipya kitk maisha ya mwadamu. Kaka mwenyez mungu azidi kukuweka jamn

  • @MrLavardora
    @MrLavardora Рік тому

    Asante sana Maalim Shaffih kwa somo lako mm nilikuwa sijui hilo

  • @BENDidier-c6c
    @BENDidier-c6c 5 місяців тому

    Naendeleya kuku fatililiya mwalimu. ❤❤❤❤ Ongera kwa mashauri. Nita endeleya mpaka nifikiye malengo!! 🌹🌹🌹

  • @musajuma676
    @musajuma676 5 місяців тому

    Best teaching

  • @MariamJames-tl2qc
    @MariamJames-tl2qc 3 місяці тому

    Asante don shafineyz kwa masomo mazuri endelea kutufunuli tusio yajua ❤❤❤

  • @GianTairo-eu8or
    @GianTairo-eu8or Рік тому +2

    Tupo pamoja maalim.jana nimekupigia ukawa bize sana

  • @stellamtenga1080
    @stellamtenga1080 Рік тому +1

    Asante sana. Get wisdom Get understanding

  • @DavidMusonda-o5v
    @DavidMusonda-o5v 4 місяці тому

    Tunakupenda

  • @AlexandaSimon
    @AlexandaSimon 3 місяці тому

    Uko sawa kabisa

  • @Aisha-w5h
    @Aisha-w5h Рік тому +1

    Kaka nikweli Asante sana tufundishe

  • @GadenPique3-ej3qn
    @GadenPique3-ej3qn Рік тому +1

    The King from Tanzanie

  • @GadenPique3-ej3qn
    @GadenPique3-ej3qn Рік тому +1

    My king forever

  • @MaikoJoseph-ym9ke
    @MaikoJoseph-ym9ke Рік тому

    Nashukuru kwa kunifungua kifikra

  • @monicamatiko
    @monicamatiko Рік тому +1

    Maneno ya huyu kaka yamejaa maono na Hekima sana ❤

  • @EXPLORESTREETSMART
    @EXPLORESTREETSMART Рік тому +1

    🙏🙏

  • @rasoomwatela4281
    @rasoomwatela4281 Рік тому +1

    Kweli kabisa 💯🥰🤗

  • @jamesekeno6176
    @jamesekeno6176 Рік тому +1

    Kaka napenda sana kipindi yako ila nikijipanga kukuja masikosiko unakuwa mob hela zonte inashia pala malaria mashida inakuwa mingi ady mwnye tuna panga kukuja na yeye anajua uko anakuwa mlevi sana shida itakuwa nini mwalimu nakukubali sana shafinez👏

  • @MuckiAbdul
    @MuckiAbdul Рік тому

    ❤❤❤

  • @shaxshafii6029
    @shaxshafii6029 Рік тому

    Wisdom mind🧠💪🏻

  • @patoh_kah
    @patoh_kah Рік тому +1

    Maneno yenye uzito#DON💪💪

  • @kidilumstaarabu7873
    @kidilumstaarabu7873 Рік тому +1

    Don mim shabik ako sana

  • @fredrickmusire5610
    @fredrickmusire5610 Рік тому

    Vipi Dr, haya mafuta wakenya twaipataje?

  • @fatimamuamede
    @fatimamuamede Рік тому +1

    Mimi Niko Mozambique

  • @JohnEmanuel-wh4yj
    @JohnEmanuel-wh4yj 9 місяців тому

    Kaka nimekusikiliza malezo Yako ikanipendeza.naitaji hio mafuta je unapatika wapi Tanzania uko mkoa gani ama namba Yako ya simu kwani Mimi ni mtanzani Niko Nairobi Kenya naomba unijibu ahsante

  • @ModextaModexta-on7mi
    @ModextaModexta-on7mi Рік тому

    🙏🙏❤️❤️

  • @GadenPique3-ej3qn
    @GadenPique3-ej3qn Рік тому +1

    God is good

  • @Msimson_
    @Msimson_ 10 місяців тому

    Nambari zako huoatikana aje

  • @GadenPique3-ej3qn
    @GadenPique3-ej3qn Рік тому +1

    My future

  • @AdamBalekao
    @AdamBalekao 10 місяців тому

    Kaka mm nikupateje shida nyingi kaka

  • @philemonkasereka5254
    @philemonkasereka5254 Рік тому

    Mwalimu Nina Aja ya maelekezo kutoka kwako

  • @praisesamson8298
    @praisesamson8298 Рік тому +1

    Only one don hanaga Mbambamba.

  • @Aime-q4o
    @Aime-q4o 9 місяців тому

    Mambo Yako ni neuro lakini hautuelekeze chakufanya ili tupate

  • @veliusrevelian7322
    @veliusrevelian7322 Рік тому

    Kila unaloliongea linagusa maisha yangu ila bado uwezo wangu mdogo

  • @GadenPique3-ej3qn
    @GadenPique3-ej3qn Рік тому +1

    God is one

  • @GadenPique3-ej3qn
    @GadenPique3-ej3qn Рік тому +1

    The big boss nime mesikiya ila umwaka niko nakuja.

  • @GodfreyMagembe
    @GodfreyMagembe 5 місяців тому

    Napataje hayo mafuta sheikh

  • @felixkampamba9597
    @felixkampamba9597 Рік тому +1

    I'm in the way to come you office doctor

  • @shiichannel5623
    @shiichannel5623 5 місяців тому

    Shafi Niko Kenya nitayapata aje hayo mafuta Niko kenya

  • @willetv4126
    @willetv4126 Рік тому +1

    Kuna vitu nilikuwa navihofia laki mwez huu hauiahi nitakutafta ila nilikuwa naulizia ile dawa bado ipo

  • @helmanjoseph8854
    @helmanjoseph8854 Рік тому +1

    Don lakin hiyo Kochi no hatari

  • @ruthntimwa5578
    @ruthntimwa5578 9 місяців тому

    Hujatupa namba yako Mwalimu

  • @jimmyabdallah6486
    @jimmyabdallah6486 Рік тому +1

    Je kama unavifungo yataweza kufanya kazi

  • @zaitunadamu5700
    @zaitunadamu5700 Рік тому

    mimi lazima nije kwako

  • @omarimhandomhando3217
    @omarimhandomhando3217 Рік тому

    Shehke nimependa darasa lako ni @100 hakika ulichokinena binafsi nimekukubari mm tu kukuona

  • @claudelakon8384
    @claudelakon8384 3 місяці тому

    Naitaji iyo mafuta

  • @emilioadremaneadremane2706
    @emilioadremaneadremane2706 Рік тому +1

    Yani malimu mimi uwa nikitaka kitu simbiwi kitu ili nifanikiwe malimu

    • @donshafineyz9340
      @donshafineyz9340  Рік тому

      Poleee sanaaa

    • @nyawendacyprian8174
      @nyawendacyprian8174 Рік тому

      Hayo mafuta mbona Yana bei ghari sana,Naomba utufanyie ata punguzo maana du Mimi binafsi sitaweza kuyanunua kwa bei yake kuwa KUBWA!!!!!

  • @AbdhulRashid-i9q
    @AbdhulRashid-i9q 11 місяців тому

    Nataka kuwa mwanafunzi wako Don niko na maymun

  • @willetv4126
    @willetv4126 Рік тому +1

    Na dawa iye ipo

  • @Niyzoni
    @Niyzoni Рік тому +1

    Malimu tuta jie faida yaela yakitobo

  • @jamilamakaranga688
    @jamilamakaranga688 Рік тому +1

    Nikweli kak nipo daima naamini maneno yako

  • @ImaniLudovick
    @ImaniLudovick 7 місяців тому

    Jaman maneno ya shafii the don kila neno lake ni tumaini jipya kitk maisha ya mwadamu. Kaka mwenyez mungu azidi kukuweka jamn

  • @barqisshafii656
    @barqisshafii656 Рік тому +1

    🙏🙏

  • @mambothomas3183
    @mambothomas3183 Рік тому

    ❤❤❤❤❤

  • @ElishaNdigele
    @ElishaNdigele 6 місяців тому

    ❤❤

  • @monicamatiko
    @monicamatiko Рік тому +1

    🙏🙏