''Hatuna vituo vya gesi vyakutosha''

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • Magari zaidi ya 1000 Jijini Dar es salaam yameongezewa mfumo wa uendeshaji wa gesi, wengi wa wamiliki wakilenga kukabiliana na gharama ya mafuta
    Licha ya nwamko huo wa watumiaji wa magari changamoto inasalia kuwa ni vituo vya kujazia ambavyo kwa mujibu wa serikali viko mbioni kujengwa
    Mwandishi wetu Eagan Salla na taarifa zaidi

КОМЕНТАРІ • 1