Freeman Mbowe akikamatwa na polisi Magomeni, Dar es Salaam Tanzania.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • Tazama hali ilivyokuwa Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akikamatwa na polisi eneo la Magomeni, jijini Dar es Salaam Tanzania.
    -
    Chadema kilitangaza kitafanya maandamano ya kulaani matukio ya kutekwa watu na mauaji, lakini jeshi la polisi la Tanzania lilitangaza kupiga marufuku maandamano hayo.
    -
    Chadema imeandika kwenye akauti yake katika mtandao wake wa X, kwamba Makamu Mwenyekiti wake Tundu Lissu pia amekamatwa.
    #tanzania #chadema #TUNDULISSU #Mbowe #bbcswahili #utekaji #FreemanMbowe #SIASA
    Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili

КОМЕНТАРІ • 71