BAHATI BUKUKU ATEMA CHECHE/USHUHUDA MZITO/AUTUHITAJI UVUE NGUO ILI USIKIKE/YESU ANARUDI KWELI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 75

  • @saumusulaiman4742
    @saumusulaiman4742 Рік тому +2

    Hongera sana mamy kwa ushuhuda na ufundisho ukumbusho mzr sana barikiwa sana mama🤲🙏🥰🥰❤💋

  • @marianajoseph1892
    @marianajoseph1892 Рік тому +1

    Mama Bahati Bukuku umesema vizuri sana mama, Mungu akubariki sana, kizazi hiki kinakuhitaji sana . Asante sana🙏🏻🙏🏻🔥🔥💕💕

  • @braytonemaulidysalehe
    @braytonemaulidysalehe Рік тому

    Wee unaetuma ujumbe ambayo haufai hatukutakiii bahati bukuku Ni mwimbaji wa ulimwengu tena ana maneno ya kimunguu sana

  • @StellaMshan-rn4pb
    @StellaMshan-rn4pb Рік тому +1

    Am Malawi am blessed so so much menitia moyo sana.huyu mchunganji tena ni mama

  • @IdaTwagirayesu
    @IdaTwagirayesu Рік тому +1

    Nagupenda sana muyimbaji wamungu nyimbo zako zinanifurahisha sana

  • @victoriamkumbo5866
    @victoriamkumbo5866 Рік тому +2

    😮nakupenda mama endelea nskaziyamungu uko sawa mama

  • @MarySalvatory-v3c
    @MarySalvatory-v3c 4 місяці тому +1

    Saf sana mtumishi wa Mungu

  • @blessingsmwaipaja3691
    @blessingsmwaipaja3691 10 місяців тому +1

    ❤Mtumishi nakupenďa sana nyakati kweli za yoyoma nakuomba uniombee nafanya kazi ya kujiuza mwili wangu mtumishi nisaidiè nimechoka ,nataka kutengenèza na Mungu mama uishi uishi hiyo mafundisho ni Mazuri ,nielekeze naomba napenda nyimb0 zako pia mafundisho yako mama,

  • @yvettembavu9306
    @yvettembavu9306 10 місяців тому

    Asante saana Muhimbaji wetu International nyimbo zako zinatufariji sana,ubarikiwe sana.

  • @peterwerema8438
    @peterwerema8438 Рік тому +1

    Nakupenda sana mama toka moyon mwangu Mungu akubariki sana

  • @liliankamolo9798
    @liliankamolo9798 Рік тому +1

    Majaribu yangu ni ya kawaida,nipatapo jaribu Langu, najua mungu ameruhusu,kwa kua naishi kwa mpango wake Amina 🙏 such great faith.

  • @cynthiaomondi7294
    @cynthiaomondi7294 Рік тому +1

    I just bless God that you are quoting scriptures in every response you are giving. Nakupenda bure.

  • @DorisLuvanda-z2x
    @DorisLuvanda-z2x 2 місяці тому

    Amina

  • @Rehemamwamumbo-si6ur
    @Rehemamwamumbo-si6ur Рік тому +1

    Nikweli mama hongera sana kwa ushuhuda wako🙏🙏

  • @EstherBitengo
    @EstherBitengo 7 місяців тому

    Mungu ongoza hatua zangu, tengenesa njia zangu nami niwe katika uwepo wako🤲🤲 God bless you Bahati tunakupenda 🇰🇪🇰🇪

  • @princessa3060
    @princessa3060 Рік тому +1

    Jesus is coming soon ..let's prepare ourselves....so powerful message to the world..much 💞💞💞 frm Kenya ukunda mama

  • @liliankamolo9798
    @liliankamolo9798 Рік тому +1

    Huo ushuhuda wako umeniinua Asante my sister bahati, barikiwa 🙏🙏

  • @Joyce-w1y
    @Joyce-w1y 7 місяців тому

    Ameen hapo umeongea ukweli mtumishi wa mungu bahati bukuku

  • @minanietienne-sz8xu
    @minanietienne-sz8xu 10 місяців тому

    Tunakupenda pia jinsi unavyo weka sawa majibu God bless you more than

  • @MercyOchango
    @MercyOchango 4 місяці тому

    True and powerful..

  • @ScolaNgwale
    @ScolaNgwale 6 місяців тому

    Ubalikiwe sana mamayangu Kwa ujumbe mzur

  • @suzanne9517
    @suzanne9517 Рік тому

    Amen

  • @braytonemaulidysalehe
    @braytonemaulidysalehe Рік тому

    upo vizuri sana usiache kuimba pia ata Kama umekua mchungaji

  • @STAREXTENSIONMEDIAPRO
    @STAREXTENSIONMEDIAPRO Рік тому +1

    Swahili gospel Tv tunawapata vizuri sana norrway

  • @suzanne9517
    @suzanne9517 Рік тому

    Mungu akubariki sana mtumishi

  • @stephanopaulo4273
    @stephanopaulo4273 Рік тому

    Hongera mtumishi wa Mungu

  • @musafiribahati8295
    @musafiribahati8295 8 місяців тому

    Ubarikiwe sana mama Bahati bukuku

  • @NikksSalemba
    @NikksSalemba Рік тому

    Bwana akubariki sana kwa ujumbe mzuri.

  • @simonmdune9066
    @simonmdune9066 Рік тому +1

    Mama tumekumiss jamniiii siutubariki na nyimbo mpya mama jamniiii tumemiss sauti yako 🥰

  • @estheraugustino-kj6fg
    @estheraugustino-kj6fg Рік тому

    Mungu akubaliki sana

  • @MarthaAlly-y7s
    @MarthaAlly-y7s Рік тому

    Nakupenda sana dada yangu na huduma yako natamani kuwa kama ww

  • @agnesyjoseph3906
    @agnesyjoseph3906 Рік тому

    Amen mtumishi, hakika. Siyo lazima utafute umaarufu kwa njia zisizo sahii

  • @IdaTwagirayesu
    @IdaTwagirayesu Рік тому +1

    ❤nataka ukuye burundi tunagupenda

  • @constantinnihimbazwe7224
    @constantinnihimbazwe7224 Рік тому

    tunawapenda Sana watumishi Wa Mungu

  • @esterem-fu9ly
    @esterem-fu9ly Рік тому +1

    Nakpenda sana Bahati unaongea ukweli mtupu Mungu azidi kukubariki

  • @agnesyjoseph3906
    @agnesyjoseph3906 Рік тому

    Nakupenda mtumishi Bahati

  • @joyceabeli3787
    @joyceabeli3787 Рік тому

    Mungu akusaidie wazazi kiukwer

  • @danielalotesiro6611
    @danielalotesiro6611 Рік тому

    ubarikiwe mamaa nakupenda bahati bukuku

  • @Joyce-w1y
    @Joyce-w1y 7 місяців тому

    Yes hakuna mda tena wakupoteza ila kusimama na mungu

  • @gloriakahindo2121
    @gloriakahindo2121 Рік тому

    Maman mungu aku bariki

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 Рік тому

    Bahati bukuku Rudi ukatubu Kwa Yesu maana ulisha anguka,maneno uliyoyatoa juu ya Yesu yalikuwa machafu eti alivutiwa na mrembo koma ewe Mwana wA nyoka,

  • @FiddyKathambi
    @FiddyKathambi Рік тому

    Mimi naona kama mungu yup likizo kwangu mama nikama kwangu sasa ni moto moyo wangu umechoka sana

  • @anitababyderickwasike7872
    @anitababyderickwasike7872 Рік тому

    Very true

  • @Habiba-yb2hb
    @Habiba-yb2hb Рік тому

  • @victoriapendo1730
    @victoriapendo1730 Рік тому

    Barikiwa sanaaa mamaa 😍

  • @nasambulilian380
    @nasambulilian380 Рік тому

    Ume sema ukweli kabisa barikiwa sana ❤

  • @agnesyjoseph3906
    @agnesyjoseph3906 Рік тому

    Hakika vigezo vya Kimungu sio vya wanadamu. Maana Mungu hatazami Kama sisi wanadamu

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 Рік тому

    Bahati bukuku nampenda balaa

  • @mucochanella1672
    @mucochanella1672 Рік тому

    Kweli kabisa

  • @Elizabeth-d5w
    @Elizabeth-d5w Рік тому

    Point noted mama maadili. Kiswahili ndo changamoto kwangu but ok

  • @sylvesteramwai7192
    @sylvesteramwai7192 Рік тому

    So powerful and inspiring

  • @estheraugustino-kj6fg
    @estheraugustino-kj6fg Рік тому

    ❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 Рік тому

    Mda uliobakia ni mda wa nyongeza niepapenda Sana apo

  • @agnesyjoseph3906
    @agnesyjoseph3906 Рік тому +1

    Yes my mama, nyakati na majira ndo zinaongea kuliko kujitetea

  • @rosepallangyo1352
    @rosepallangyo1352 Рік тому +1

    Wee ukifa utaenda wapi na kujichubua na makope hayupo njian unaijua?

  • @maphlowtanzania3207
    @maphlowtanzania3207 Рік тому

    ❤❤❤❤

  • @gashugijonatan7817
    @gashugijonatan7817 Рік тому

    Arusha kuko sarama bahati Bukuku yuko ama arisha.kufa

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 Рік тому

    Hawa ndio wachungaji wA mchongo,wanazo saka tonge

    • @immaculatendinda3900
      @immaculatendinda3900 Рік тому

      No problem as long tonge lipatikane na pia injili ipenye..shida Iko wapi ndugu yangu?

  • @ElizabethLazer-cv7me
    @ElizabethLazer-cv7me Рік тому

    Kuwa na uhalsia wako acha kuongeza vitu vya anasa kwenye mwili wako kama hereni kope hizo lipstiki

  • @musaliaeugene7975
    @musaliaeugene7975 Рік тому

    Unaongea ukweli mtumishi wa mungu hao hao wanaongea vibaya hawataki kuambiwa ukweli

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 Рік тому +1

    Ficha mtoto wako ase mtoto anapakwa wanja lipstick anasukiwa nywele bandia jamn

  • @judithnyantikanyaboke6363
    @judithnyantikanyaboke6363 11 місяців тому

    Amen

  • @chiganyebahati798
    @chiganyebahati798 3 місяці тому

    ❤❤❤❤

  • @musafiribahati8295
    @musafiribahati8295 8 місяців тому

    Amen

  • @glorykaimenyi9208
    @glorykaimenyi9208 6 місяців тому

    Amen