Bahati napenda sana nyimbo zako ila kwa hili la Yesu kumsamehe kahaba kwa sababu ya urembo umepotosha umma; Yesu alimsamehe kahaba kwa sababu ya toba ya kweli ya yule kahaba na si vinginevyo. Nakushauri tubu na tumia platform hii na zingine ulizonazo kukanusha hili kwa ajili ya utukufu wa Mungu. Asante
Wapendwa kunaishu gani mbona sijaelewa mie naomba kushauri kitu please please Mathew 19 32-37 na Mathew 7:1-2 maandiko yanatueleza tusihukumu maana hukumu ni ya Mungu wenyewe mm ni muimbaji na mpenda San mama bahati bukuku namuombea sna na mm nimuimbaji wanyimbo za injili nampenda kristo YESU kwa kweli maana ndie njia ya kweli na uzima
Kweli dadangu hata ya samsoni Mungu alisama na mama ya samsoni kabla haja zaliwa wasimukake nyele zakichwa chake aki mbinguni tuta fika tume choka 😢😢😢😢
Mommy when i was young in age of 20year is when i stared to follow and listen ur songs i admired to be a GOD musician and all ur songs hv strong messages to draw a broken,helpless heart near GOD kingdom,i was so blessed and i because a female lion in painful life and i got courage saying if pole like u mom passed hard life but today still living and saving God why nit me,yah we shall not die but we shall live to testify want lord hard done in our lives,ur songs charged my life and made me to draw my self near christ,majaribu yamekuwa sehemu yah maisha yagu with many songs with strong messages to encourage a breeding heart and my heart got cured i learned to keep my hopes in God's and no matter how i keep my heart to be happy while i know God is there to take over all my problems,because in him nothing is improving,if someone will ask me who is my musician star u number one with our lovely sister in Christ Martha mwaipaja in all is God may He bless u as u minister his gospel,kifaraga chako kiko nyuma kikifuata ur steps mom ,urs lovely dota faith from keanya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Depuis Lubumbashi République démocratique du Congo ,je bénis l'Éternel pour cette servante de bahati (faveur in frenche) elle chante en la manière d'intercession que Dieu l'élève en dimension maman
Bahati sio kweli yule mwanangu alitubu madhambi yake aliomba Toba usilitukane jina la Yesu umekosea saana unaweza kututhibitishia wapi kama kahaba alisamehewa kwa sababu ya urembo sahihisha hiki ulichokisema acheni pombe zinawazuru
Msikifanye kionekane kanakwamba amefanya dhambi kubwa sana kusema alichosema Bukuku..Anachomaanisha ni kwamba Yesu alipoona gharama alichochukua yule mwanamke kutengeneza urembo wake na kwa hayo yote alikuja akayaona kuwa cha bure mbele ya Yesu na akajifanya wa chini na kumpanguza miguu ..na kwa hayo ikamchukua Yesu kumpa neema zake na kumsamehe dhambi zake...kusingekuwa na gharama alichochukua yule mwanamke kutengeneza urembo wake basi yote hayangekuwa ya maaana ...
Kwa huo mfano wa huyo dada kwamba urembo ndio ulimfanya YESU amrehemu SIO KWELI KABISAA, Ni kwa TOBA YA KWELI PEKEE.. Hapa Bahati kalisha watu matango poli khaaaaaaaaaaaaah!!!!!
Wewe ni kipofu kiroho maana maandiko yako wazi,soma vzr Bible usikurupuke kuropoka ujinga,hata mimi napenda san huduma ya nyimbo za Bahati Bukuku tangu nikiwa mdogo,ila kwa hili amepotosha kwa 100%.
Wote mliompongeza Bahati hamsomi maandiko na msipotubu, mtaambatana naye kuzimu. Maana mnapongeza kwa upotovu wake wa kutetea kujipamba kama Jezebel adui wa Mungu!
Kwa kweli nakuheshimu pia naipenda huduma yako. Lakini kwa Hili la kahaba na yesu umechemsha mtumishi, yule kahaba aliliwesha miguu ya yesu kwa machozi akayafuta Yale machozi kwa nywele yake, yesu alichoangalia Ni Toba ya kweli kutoka moyoni na unyenyekevu wa yule kahaba, ndio Siri ya kupata msamaha. Usipotoshe watu Wala neno la bwana tunakuangalia watumishi wengi.
Mama ni biblia gani umesoma ikakwambia yesu alipendezwa na urembo... umechanganyikiwa bado ni mapema una uwezo wa kutubu rudi kwenye line yako ya zamani.
Si mnakataa kisomea mambo ya Mungu, angekuwa amesoma chuo chake kingemuita kutolea maelezo hayo amejiandaaje mpaka akajikuta anaelezea kifungu hicho kwa bila kumuomba Roho Mtakatifu. Hasilaumiwe watumishi simple ndo watu mnapenda!
Unaishi na roho ya Jezebel wewe; ulikaa hapo kupotosha umati wa wanawake ambao hawajui maandiko. Damu ya hao uliowapotosha itadaiwa mikononi mwako. Usalama wako tubu na ukanushe huo upotovu wako.
Ndo wana Theolojia hao, wanafundisha ya kwao na vyuo vya Biblia si awaogozavyo Roho Mtakatifu maana ndani yao hayupo, Chumvi ikiharibika itiwe nini tena?
Halafu the way umem-describe Yesu na huyu kahaba, it is so irritating, ni kama ka-brother men fulani hivi au mshikaji fulani hivi; in fact umemuita jamaa! kumbuka huyo ni Mungu Bahati, never make jokes with God my dear; He is an alpha and omega, mwanzo na mwisho! Najua ulitaka kufurahisha watu but not that way
Msikifanye kionekane kanakwamba amefanya dhambi kubwa sana kusema alichosema Bukuku..Anachomaanisha ni kwamba Yesu alipoona gharama alichochukua yule mwanamke kutengeneza urembo wake na kwa hayo yote alikuja akayaona kuwa cha bure mbele ya Yesu na akajifanya wa chini na kumpanguza miguu ..na kwa hayo ikamchukua Yesu kumpa neema zake na kumsamehe dhambi zake
I disagree christions mingling with unbelivers. It's soo sad. Wasafi should open Muslims singers service but not for Christians singers. Business and God are total different things!
Since the believers stay quiet then let the stones shout to the Lord Luke 19:40 40 He answered, "I tell you, if these were silent, the very stones would cry out."
Dear sister/ bro, do you live in heaven ee?😂😂. Don't you have relatives who are not believers? Don't you have colleagues who are not believers?😂😂😂 Go read your Bible very well mpendwa. Pia acha kujihesabia haki sana.
Wauuuu mama merc pe yes❤❤❤verry good mama 🙏🙏 amen amen amen I love love mama akubariki sana again again again mungu ni mwemaaa yes yes 🙏🙏🙏 eeeh
Bahati napenda sana nyimbo zako ila kwa hili la Yesu kumsamehe kahaba kwa sababu ya urembo umepotosha umma; Yesu alimsamehe kahaba kwa sababu ya toba ya kweli ya yule kahaba na si vinginevyo. Nakushauri tubu na tumia platform hii na zingine ulizonazo kukanusha hili kwa ajili ya utukufu wa Mungu. Asante
Ni uzini kwakwel sijui kaongea hivyo kwasababu gani! Yaan Mwenyezi Mungu atuhulumie
Wapendwa kunaishu gani mbona sijaelewa mie naomba kushauri kitu please please Mathew 19 32-37 na Mathew 7:1-2 maandiko yanatueleza tusihukumu maana hukumu ni ya Mungu wenyewe mm ni muimbaji na mpenda San mama bahati bukuku namuombea sna na mm nimuimbaji wanyimbo za injili nampenda kristo YESU kwa kweli maana ndie njia ya kweli na uzima
Happo aliteleza Yesu alomwakoa kahaba kwa sababu ya Imani sio uzurii
Usihukumu usije kuhukumiwa.Usijihesabie haki nyamaza kimya ajuae ni Mungu peke yake.Wewe una uhakika uko msafi mbele za Mungu.Jichunguze
Kweli dadangu hata ya samsoni Mungu alisama na mama ya samsoni kabla haja zaliwa wasimukake nyele zakichwa chake aki mbinguni tuta fika tume choka 😢😢😢😢
Mommy when i was young in age of 20year is when i stared to follow and listen ur songs i admired to be a GOD musician and all ur songs hv strong messages to draw a broken,helpless heart near GOD kingdom,i was so blessed and i because a female lion in painful life and i got courage saying if pole like u mom passed hard life but today still living and saving God why nit me,yah we shall not die but we shall live to testify want lord hard done in our lives,ur songs charged my life and made me to draw my self near christ,majaribu yamekuwa sehemu yah maisha yagu with many songs with strong messages to encourage a breeding heart and my heart got cured i learned to keep my hopes in God's and no matter how i keep my heart to be happy while i know God is there to take over all my problems,because in him nothing is improving,if someone will ask me who is my musician star u number one with our lovely sister in Christ Martha mwaipaja in all is God may He bless u as u minister his gospel,kifaraga chako kiko nyuma kikifuata ur steps mom ,urs lovely dota faith from keanya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ameeen Mungu akubarika Sana nyimbo zako ni zr sana
Depuis Lubumbashi République démocratique du Congo ,je bénis l'Éternel pour cette servante de bahati (faveur in frenche) elle chante en la manière d'intercession que Dieu l'élève en dimension maman
Bahati sio kweli yule mwanangu alitubu madhambi yake aliomba Toba usilitukane jina la Yesu umekosea saana unaweza kututhibitishia wapi kama kahaba alisamehewa kwa sababu ya urembo sahihisha hiki ulichokisema acheni pombe zinawazuru
Acha uongo urembo haukupeleki mbinguni jidanganye mwenyewe.
Wow that's awesome grace mama nakuombea sna NAPENDA kazi zako....... Hellis Mtoto wa Kifalme nakupenda sna
YULE MWANAMKE HAKUSAMEHEWA KWASABABU ALIPENDEZA LAKINI ALISAMEHEWA KWASABABU ALIIFIKIRIA TOBA....BUT NAYAPENDA MAJIBU MENGINE MAZURI YA KUHUSUSU MAPAMBO MAJIBU MAZURI....AAAAMEN
Ni kweli hata mm nakuunga mkono, SI Kwa sababu ya urembo bali aligeuka na kuziacha njia zake mbaya
Asante sana
@@joyyjoyy5474 asante
Yes yes hapo kwa huyo mwanamke kidogo Bahati Bukuku umepotosha hadhira yako
Nakupenda mtumishi pamoja na shuhuda zako ila hapo kwa huyo mwanamke hakusamehewa kwa ajili ya urembo wake, kidogo umeipotosha hadhira yako
Kabisaaaaaa!!
Msikifanye kionekane kanakwamba amefanya dhambi kubwa sana kusema alichosema Bukuku..Anachomaanisha ni kwamba Yesu alipoona gharama alichochukua yule mwanamke kutengeneza urembo wake na kwa hayo yote alikuja akayaona kuwa cha bure mbele ya Yesu na akajifanya wa chini na kumpanguza miguu ..na kwa hayo ikamchukua Yesu kumpa neema zake na kumsamehe dhambi zake...kusingekuwa na gharama alichochukua yule mwanamke kutengeneza urembo wake basi yote hayangekuwa ya maaana ...
Usimtetee wakati inaonesha kbs alichokuwa anakiongea ndicho alichokuwa anamaanisha halafu usiusemee moyo wa mtu ni kosa hilo
Kwa huo mfano wa huyo dada kwamba urembo ndio ulimfanya YESU amrehemu SIO KWELI KABISAA, Ni kwa TOBA YA KWELI PEKEE.. Hapa Bahati kalisha watu matango poli khaaaaaaaaaaaaah!!!!!
No nikwa sababu ametubu thambi zake
Wanawake wengi sana wanakwenda motoni kwa kupenda miili yao zaidi kuliko roho zao. Warumi 8:8.
hakika
Bukuku ni Mupenda mapambo utamuuliza nini akwambiye.
Mafundisho ya kishetani 100%
Wewe mwenyewe utakuwa shetan maana huwez kuvijua vitu vya kishetan kama ww mwenyewe sio shetani
Ni ya hajabu mpaka inatisha aisee jaman loh
Yaan siku zote wapo wapinzani na wapo wanaokukubali ubarikiwe mama bahati songa mbele
Wewe ni kipofu kiroho maana maandiko yako wazi,soma vzr Bible usikurupuke kuropoka ujinga,hata mimi napenda san huduma ya nyimbo za Bahati Bukuku tangu nikiwa mdogo,ila kwa hili amepotosha kwa 100%.
Mmmmmhhhhh mbinguni si rahisi!!
Yani wasifi kwenye ili kipindi mmetisha kinoma noma
Mungu alisama na mama ya Samsoni asinyolewe nyele zakichwa chake Mungu atusaidie Kweli
Ubarikiwe mutumishi wa Mungu 👏📖 comment from Zimbabwe-Harare 🇿🇼🥰🌹
Wote mliompongeza Bahati hamsomi maandiko na msipotubu, mtaambatana naye kuzimu. Maana mnapongeza kwa upotovu wake wa kutetea kujipamba kama Jezebel adui wa Mungu!
@@rmaryp6269Uko sahihi kabisaaaaaa!!!!
@@rmaryp6269 ni kweli kabisa maana wangekuw wasomaji wa Bible wasingeunga mkono hayo mafundisho ya kishetani.
Kwa kweli nakuheshimu pia naipenda huduma yako. Lakini kwa Hili la kahaba na yesu umechemsha mtumishi, yule kahaba aliliwesha miguu ya yesu kwa machozi akayafuta Yale machozi kwa nywele yake, yesu alichoangalia Ni Toba ya kweli kutoka moyoni na unyenyekevu wa yule kahaba, ndio Siri ya kupata msamaha. Usipotoshe watu Wala neno la bwana tunakuangalia watumishi wengi.
Thank you for speaking out, some of us could just brush off but it is better to correct one another.
Mama ni biblia gani umesoma ikakwambia yesu alipendezwa na urembo... umechanganyikiwa bado ni mapema una uwezo wa kutubu rudi kwenye line yako ya zamani.
Si mnakataa kisomea mambo ya Mungu, angekuwa amesoma chuo chake kingemuita kutolea maelezo hayo amejiandaaje mpaka akajikuta anaelezea kifungu hicho kwa bila kumuomba Roho Mtakatifu. Hasilaumiwe watumishi simple ndo watu mnapenda!
Mmmh Bahati hapo kweli tubu Yesu hujamsamehe kwa sabub hiyo! Alafu mapokeo yako mi nadhani wa kinyakyusa ila by know unasema tofauti
Nakupenda sana tena sana maman ubarikiwe ?
Huu ndo wimbo wangu ktk zoooote
Ameeeeeee love from Zambia ❤❤❤❤❤❤❤😂
Nampenda Sana Bahati😀😀
From 🇨🇩🇨🇩🇨🇩💥💥
Alisha haribika bahati hiyo ina onyesha kilicho jaza moyo wake ndicho kimtokacho jamii hii inashida
Kwel kabisaaaaa
My favorite 🔥🔥🔥🇨🇩
Apoooo umenena wale wakujipamba oyoooooo
Ongera mama
Amina 🔥🔥🙏🙏
Yes!!!!
Ubarikiwe sana 🇧🇮
Amen
Amen❤❤❤
tatizo hili kijipodoa sio ticket ya kuingia Mbinguni
🙏🙏🙏🙏 Ameen ❤️❤️❤️
That's good
Bible iko wapi mutumishi soma vizuri iyo fasi nikinyume nahayo unayo yasema
Imeandikwa wapi yesu kamsahehe kisa urembo?
Yesu alimuona kahaba amependeza akamwambia mbingun utaingia mbon unaongea uongo
Ukisikia siku za mwisho ndo hizi,yan ni mpotoshaji mkubwa.
Yaani jaman mm nimeogopa, shetani shetani mbaya sana anaharibu watu
Mh Bahati hapo kwa mapambo na kahaba umetulisha matango pori kwa nini kupotosha watu?
Unaishi na roho ya Jezebel wewe; ulikaa hapo kupotosha umati wa wanawake ambao hawajui maandiko. Damu ya hao uliowapotosha itadaiwa mikononi mwako. Usalama wako tubu na ukanushe huo upotovu wako.
Muulize ndoa yake mbona make up haikusaidia? Mbona imesambaratika?
Yaan acha Mwenyezi Mungu amsamehe
Great
Amen 🙌🙏
Unamfaham mwanzilishi wa mapambo ni nan? Au unaropoka t
Wala si wote wanaofurahia mafanikio yako
1 timotheo 2:9
Mbn hajaongea vibaya
Kuna kuongea vibaya na kuongea upotoshaji huo ni upotoshaji kbs
🙏🙏🙏🙏🙏
Hello?
🇧🇮🇧🇮🇧🇮💓🇲🇿🇲🇿💕
Madhara not Madh...
She sings BASS😂😂
Why the laughter
Changudoa mkubwa
Acha kuhukumu ndugu sio vzr
@@anethpatroba3401 Anapotosha maandiko,kama hawezi kuheshimu maandiko matakatifu,hakuna kuoneana haya,hivi kweli na wewe unakubali hayo mafundisho?
Mh,?????
Bahati sauti ni automatic no strain.. jiepushe ama uombe ukieda kupiga wimbo na watu wengine...
Mmmmh usipotoshe WW mama sio vema
Ndo wana Theolojia hao, wanafundisha ya kwao na vyuo vya Biblia si awaogozavyo Roho Mtakatifu maana ndani yao hayupo, Chumvi ikiharibika itiwe nini tena?
Sasa pamoja na kujipodoa mbona haupo kwenye ndoa kama ulivyojieleza kwenye midia madhara nilizokusikia? Make-up haikufaa?
Bwana wee si ndo hapo sasa
This is not right
Halafu the way umem-describe Yesu na huyu kahaba, it is so irritating, ni kama ka-brother men fulani hivi au mshikaji fulani hivi; in fact umemuita jamaa! kumbuka huyo ni Mungu Bahati, never make jokes with God my dear; He is an alpha and omega, mwanzo na mwisho! Najua ulitaka kufurahisha watu but not that way
Msikifanye kionekane kanakwamba amefanya dhambi kubwa sana kusema alichosema Bukuku..Anachomaanisha ni kwamba Yesu alipoona gharama alichochukua yule mwanamke kutengeneza urembo wake na kwa hayo yote alikuja akayaona kuwa cha bure mbele ya Yesu na akajifanya wa chini na kumpanguza miguu ..na kwa hayo ikamchukua Yesu kumpa neema zake na kumsamehe dhambi zake
Kabisaaaaaa😢
I disagree christions mingling with unbelivers. It's soo sad. Wasafi should open Muslims singers service but not for Christians singers. Business and God are total different things!
Since the believers stay quiet then let the stones shout to the Lord
Luke 19:40
40 He answered, "I tell you, if these were silent, the very stones would cry out."
Is wasafi for Muslim only,? Nonsense..mtajua hamjui
God came to save sinners not muslims
Dear sister/ bro, do you live in heaven ee?😂😂. Don't you have relatives who are not believers? Don't you have colleagues who are not believers?😂😂😂 Go read your Bible very well mpendwa. Pia acha kujihesabia haki sana.
A sinner judging sinners for sinning different
@fravianacharles1348 Acha kuhukumu wenzio we makosa yko nan anasem
Nakupend wewe mama!! Lakini soma vizuri bibiliy Yule Dada alitubu kwa machozi siyo ulembo kaaa wadanganye wasio soma mandiko mama! Looh!!