YA RAMADHAN - EPISODE 01 | STARLING CHUMVINYINGI, DKT. OFFICIAL & MWAKATOBE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024
  • #yaramadhan #chumvinyingi #mwakatobe #official

КОМЕНТАРІ • 250

  • @chumvinyingi_
    @chumvinyingi_  Рік тому +75

    Habari mashabiki zetu, karibu kuitazama seies yetu mpya.
    Kwa ushauri na maoni binafsi jiunge nasi WhatsApp group link..
    chat.whatsapp.com/CucZLXAqsadHLwiRuxgjtE

    • @faithndanukombe254
      @faithndanukombe254 Рік тому +3

      Let me join the grp aky nawapend buree 🇰🇪❤️❤️💓💓

    • @parfectmediatz7438
      @parfectmediatz7438 Рік тому +3

      Tupo p1 kk

    • @mkamajames2786
      @mkamajames2786 Рік тому +3

      Next time mtengeneze pia kuusu kwa rezima maana najua Ata kwenye kikundi chenu Kuna WA kristo msiwabague ni wazoo tu Lakin ili muende na pande zote

    • @rajjsamir3139
      @rajjsamir3139 Рік тому +2

      ​@@faithndanukombe254 mm pia nawapenda hawa jamaa kwa bidii Yao, from 254 kanairo 🇰🇪

    • @vooohmusic3941
      @vooohmusic3941 Рік тому +1

      Mmmmmh

  • @edwinmiriti335
    @edwinmiriti335 Рік тому +3

    Moto kama pasi,endelea vivyo hivyo chumvi,waliosema utachoka wamebaki vinywa wazi,naona mkojani gang itahamia Kwa hivi karibuni

  • @simaoatanasiodaude-8808
    @simaoatanasiodaude-8808 Рік тому +2

    Sijaipenda mwisho wa funzo, mungeisimamisha tu

  • @ashirafumwale4385
    @ashirafumwale4385 Рік тому +12

    Aisee chimvinyingi umetsha Sana unajua kutufuraisha mashabiki zako.. Nakupongeza sahna pia endlea kutufuraisha ivo ivo ktk kpnd iki cha RAMADAN

  • @cholodume
    @cholodume Рік тому +7

    Mlevi apunguze uchepe, uchepe mwingi na avyoongea anaharibu

  • @fihimmohd5432
    @fihimmohd5432 Рік тому +6

    CHUMVI NYINGI GANG safi sana HONGERENI
    MC naona umeliamsha.

  • @jumakandy2075
    @jumakandy2075 Рік тому +2

    Oyaaa chumvi nyingi kitu kipya ramadhani kazi iendelee

  • @ernestmwakalambo3938
    @ernestmwakalambo3938 Рік тому +8

    Chunvinying TV MUNGU azid kuibark kaz yenu isonge mbele.

  • @AugustinePaulo
    @AugustinePaulo Рік тому +9

    Sema mko vizur akiwepo chumvi nying Dr official 💪💪

  • @faithndanukombe254
    @faithndanukombe254 Рік тому +19

    Imagn sijalal nilikuw nasubr hii movie itokee woww honger San chumv nying Kwa kaz yak nzuri San Niko nay hii adi mwish kbsa 😂😂😊😊one lov from Kenya 🇰🇪🇹🇿❤️ alafu nimekuw wa Kwanza naomb like n Mie jman ❤❤❤

  • @kapondazenaida-nq5hk
    @kapondazenaida-nq5hk Рік тому +2

    Umeanzisha yako hongera chumvi nyingi

  • @abdulsijali7177
    @abdulsijali7177 Рік тому +7

    Tup pamojaa mwend wa buludan kujifunza matukio wa kadha let's goo

  • @steph2nyi580
    @steph2nyi580 Рік тому +8

    Kazi nzr chumv nyingi ,we always togather

  • @japhetleonard
    @japhetleonard Рік тому +5

    Mungu akbrki xanaa chumv nyingii endeleaa kutupaa rahaa

  • @abuyassrissacharque-rc2vl
    @abuyassrissacharque-rc2vl Рік тому +3

    allahu akibar chuvi

  • @noorucinemax6925
    @noorucinemax6925 Рік тому +2

    Chumvi umetisha mwanangu,,,naikubali sana timu yako

  • @MacaleloChale-tj8kx
    @MacaleloChale-tj8kx Рік тому +3

    Dogo chunvi unatisha saana im from the mozambique

  • @jumaaally-fw3cf
    @jumaaally-fw3cf Рік тому +5

    ❤Chumvi wa moto Sana anajua sana burudani na elimu inatembea

  • @masudnyere382
    @masudnyere382 Рік тому +9

    Mashallah kaka chumvi ubarikiwe sana

  • @ashrafchande869
    @ashrafchande869 Рік тому +7

    Shekh chagama 😂😂😂 cema nkukubal sna na napendzwa na elim yak respect

  • @bekahsheha
    @bekahsheha Рік тому +3

    Chumvi nyingi tupo pamoja

  • @shadyazitueni5338
    @shadyazitueni5338 Рік тому +10

    Waooo mamb ndo hay chumvi nilikuwa nategemea movie ya ramadhan kutok kwak nakwel imewasil Ahsante san ndomaan nakukubal san chumvi nying kaz nzur honger kwa ubunif Allah awe pamj nawe in-shaa-allaah

  • @safiamuhamad9569
    @safiamuhamad9569 Рік тому +4

    😂😂🤣Shhhhh hapo kwa mc nimecheka nusu kufa dahhhh

  • @bakarisaid2814
    @bakarisaid2814 Рік тому +4

    Ustadhi hongera sana,Mahala pako tupe mafunzo ya dini

  • @hanskassa5009
    @hanskassa5009 Рік тому +4

    Safi Team Chumvi Nashukur Kwa Kunifurahisha

  • @newtonsilivand4485
    @newtonsilivand4485 Рік тому +2

    Noma San ihhh move

  • @francethomas8059
    @francethomas8059 Рік тому +4

    Kweli chuvi nyingi wewe ni atali kaka natamani siku moja nikuone na jamabo langu kaka upo pw

  • @mrengineer8548
    @mrengineer8548 Рік тому +2

    huyo mwenye kanzu nyeupe anaigiza sana hayupo kwenye uhalisia

  • @masjidhamzainstitute8890
    @masjidhamzainstitute8890 Рік тому +8

    Naam hapo sawa kabisa chumvi si ulikwa umekufa pale kwa funzo hahaha😂😂😂

  • @mathewkunyekwa8931
    @mathewkunyekwa8931 Рік тому +3

    Kiukweli Doctor ofisho namkubali sanaaa sanaaaaa

  • @ustazisaidibabazou2160
    @ustazisaidibabazou2160 Рік тому +7

    Shaharo ramdhani man sha Allah tuko pamoja

  • @amidually7032
    @amidually7032 Рік тому +4

    Hahahahahaha!!!!! chumvi we noma🤣🤣🤣

  • @blonekasereka6961
    @blonekasereka6961 Рік тому +9

    Chumvi nyingi mchoyo kwa kweli 😀😀😀ume tisha sna nakubali 🙌🙌

  • @anawiliam-eb4kb
    @anawiliam-eb4kb Рік тому +4

    Ramadhani kareeem tupo pamoja kutoka kwenye funzo hadi huku

  • @AnisethiThomsoni-ir8td
    @AnisethiThomsoni-ir8td Рік тому +4

    Kaz nzuli chuvi Muna jitaid ata Kam matatizo yap il nikidongo naiman yote yataishat mungu abalik kaz yenu jaman

  • @twahirushabann9788
    @twahirushabann9788 Рік тому +15

    Eeeeeh mwenyezimungu 🙏 🙏🙏. Muumba mbingu na nchi nakuomba utupe afya njema waislam woote katika mwezii huu mtukufu wa ramadhan 🙏 na baada ya ramadhan pia uwape afya njema waandaaji wote wa siries pendwa inayoutwa Yan ramadhan 🙏🙏🙏 amiin🙏🙏🙏🙏

  • @husnaadam1994
    @husnaadam1994 Рік тому +4

    Nimeipenda hiii ya moto 🔥💯💯👌 mashallah

  • @AnshaDaudo-jq5bz
    @AnshaDaudo-jq5bz Рік тому +9

    Masha Allah mungu awafayie wepesi ufike nbali mr chumvi

  • @yogwemwakulola1634
    @yogwemwakulola1634 Рік тому +9

    Uyu jamaa mgeni kwenye hii gang yuko sawa kabisa mbeleni atakua moto hatari yaani anakwaabia si mchoyo😄😄😄

  • @mwalimumlaula6167
    @mwalimumlaula6167 Рік тому +8

    Nimependa mwanzo mzuri YA RAMADHAN

  • @Clever_tz
    @Clever_tz Рік тому +8

    Kisa kidgo.😂chumvi na dr.official❤❤❤

  • @abdallahidrisa910
    @abdallahidrisa910 Рік тому +6

    Official kama shekh official itakua balaaaa😊😊😊

  • @dicksonmalambo113
    @dicksonmalambo113 Рік тому +2

    Oyaaa Chumvi kiboko 😂😂😂

  • @mukandamaakbar599
    @mukandamaakbar599 Рік тому +8

    Masha'Allah Allah awabariki kua kazi zenu

  • @abuubakarabdallaali5225
    @abuubakarabdallaali5225 Рік тому +6

    Dahh Dk official big up na wot kw ujuml

  • @sadaismail
    @sadaismail Рік тому +9

    Chumvi nyingi 😂😂wambiwa usinywe pombe ww unasema unywe kidogo😅🎉🇰🇪🥰

  • @kura.the.boy-
    @kura.the.boy- Рік тому +6

    Yaa ramadhani

  • @mariammalongo6452
    @mariammalongo6452 Рік тому +3

    Marahabaaa marahabaaa😆😆😆😆

  • @QutZahra-yb8js
    @QutZahra-yb8js Рік тому +9

    Mwanzo tu kumenoga jaman chumv wew ♥️♥️♥️

  • @muniraahmedawadh2619
    @muniraahmedawadh2619 Рік тому +3

    Pamoja sana chumvi gang majua sana pia nawatakia ramadhani kareem

  • @cyrilkimath1146
    @cyrilkimath1146 Рік тому +2

    Kipaji kikubwa sana hiki chumv kwel anajua uandishi

  • @joshuasamweli6139
    @joshuasamweli6139 Рік тому +3

    Doctor official yupo AISE hatari

  • @sidegrenade2043
    @sidegrenade2043 Рік тому +4

    Hhhhhhh ety mwembamba chumvi noma

  • @magesamatiku7506
    @magesamatiku7506 Рік тому +9

    Chumvi wala sisi Wakristo hatuko mbali na wewe.
    Huu ni mwezi wa Toba kwa waislam,na wakristo tupo kwenye Kwaresma.
    Mafunzo mema ya kumjua Mwenyezi MUNGU ndio mafunzo yaliyo bora duniani na akhera.
    🙏

    • @JumanneHamisy89
      @JumanneHamisy89 7 місяців тому

      Mwenyezi mungu akulinde Kaka na akupe afya njema

  • @kura.the.boy-
    @kura.the.boy- Рік тому +6

    Kazi nzuri sna

  • @reinatave780
    @reinatave780 Рік тому +5

    Ila haya matangazo yanaboa chumvi...

  • @saidseleman2766
    @saidseleman2766 Рік тому +5

    Mnajua kaka

  • @selmesaid7405
    @selmesaid7405 Рік тому +9

    Katika comedy wenye sura nzuri uyu chumvi nyingi😂😂😂

  • @Mabangi123
    @Mabangi123 Рік тому +9

    Mko vizuri sana vibaya chumvi nyingi gang tunapata elimu pamoja na burudani.
    One love wana ndugu .Fully mpaka basi yaaani👊🤲💪

  • @hamisirajabu2785
    @hamisirajabu2785 Рік тому +5

    Hongera

  • @ombenisamwel4940
    @ombenisamwel4940 Рік тому +7

    😂😂😂karibu tena doctor official

  • @jumashaban963
    @jumashaban963 Рік тому +17

    Mashaallah ramadan kareem all muslim🙏🙏

  • @Ngarambeboy
    @Ngarambeboy Рік тому +7

    Kazi nzuri

  • @opropriocadodo641
    @opropriocadodo641 Рік тому +6

    Ya ramadhan timeipokeya vizuri

  • @muhundaramadhani5057
    @muhundaramadhani5057 Рік тому +3

    Endeleeni kutuelimisha

  • @ajilyndwika1682
    @ajilyndwika1682 Рік тому +3

    Me ndo naitazama hapa chumvi nyingi

  • @faithndanukombe254
    @faithndanukombe254 Рік тому +9

    Chumv lkn si ukuwange serious 😂😂😂😂😂😂alafu mbn amko nyotee team chumv

  • @amosidaniel1830
    @amosidaniel1830 Рік тому +4

    Mwenyezi mungu awabariki san

  • @dazicharoodazicharoo
    @dazicharoodazicharoo Рік тому +5

    Doctor 😂😂😂 nakukbali sna

  • @benjaminbrucesports3945
    @benjaminbrucesports3945 Рік тому +3

    Mlevi swaga zake hazina mashiko

  • @MohammedMustapha-oc5ds
    @MohammedMustapha-oc5ds Рік тому +2

    Nakukubal cn 👍 BG uP

  • @CulpadoAusse-gg4xv
    @CulpadoAusse-gg4xv Рік тому +5

    nawapenda

  • @JoeliNgulugulu-vv9hz
    @JoeliNgulugulu-vv9hz Рік тому +4

    mashaallah lakn camera quality ipo chin kidogo

  • @allymasms4140
    @allymasms4140 Рік тому +9

    Chumvi mashabiki wako tunakukubali sana

  • @venancemajiyasoda2025
    @venancemajiyasoda2025 Рік тому +3

    Leo wa kwanza asee

  • @chudohans2447
    @chudohans2447 Рік тому +7

    Ostaz wetu awe makini asiseme mwenyezi mungu anasem kweny hadith Zake laaaa iyo ni makosa inahitajik kaul hii mwenyezi mungu anasem kweny qur'an aya fulani
    Alafu mtume anasema kweny hadith Fulani

  • @kadyuwegeyetv5310
    @kadyuwegeyetv5310 Рік тому +5

    Iko pouwah sana

  • @derickdboy2207
    @derickdboy2207 Рік тому +2

    Noma sana

  • @arsenebisimwa7801
    @arsenebisimwa7801 Рік тому +4

    Ongereni jamani chunvi

  • @magelithamuna5578
    @magelithamuna5578 Рік тому +9

    😅😅 Happy Birthday chumvii from lndia 😅😅

  • @mwalaog2278
    @mwalaog2278 Рік тому +4

    Nakubali xana

  • @salummsabaha7429
    @salummsabaha7429 Рік тому +4

    Yapili macha cjaiyona😌

  • @masolavachui1728
    @masolavachui1728 Рік тому +7

    😂😂😂😂chumvii _💪🏿🔥🔥🔥🔥🇹🇿

  • @nabakandamateso
    @nabakandamateso Рік тому +3

    Okay thanks for letting me know that I got you a lot of fun and I will be there in a few minutes to get there and I can I can do that 🙏🙏

  • @mjukuuhizza8284
    @mjukuuhizza8284 Рік тому +11

    Tuko pamoja wanangu wote ndani ya ramadhan

  • @AllyBaicha-gy4vo
    @AllyBaicha-gy4vo Рік тому +4

    Pra bens chunvi geng xto no cabo delgado distrito de palma com 10 mão

  • @byangamartin6998
    @byangamartin6998 Рік тому +1

    Pamoja sana na ww chumvi

  • @dablejay6404
    @dablejay6404 Рік тому +18

    jamani from Mombasa kenya nipe like za marehemu chumvi kwenyu funzo ila uku kabisha kwenye kufunga😅😂😅😂

  • @petromsomba4523
    @petromsomba4523 Рік тому +5

    Mnaturetea Docto Ofisho arafu mwisho haonekani mnatupotezea radha maan Ana mchango mkubwa sana kuchekesha kwenye story za kuchekesha

    • @chumvinyingigang
      @chumvinyingigang Рік тому +2

      ndg shida tunatofautiana majukum yakaz official nimwajiliwa wa serikarin muda mwingi anakuwa kazin

  • @Mateo_afya_bora_channel
    @Mateo_afya_bora_channel Рік тому +1

    Keep up, good🎉

  • @officialsdominikecomedy664
    @officialsdominikecomedy664 Рік тому +8

    😂😂😂 na anza cheka na bado mbele atu juwi kuna nini😂😂

  • @mwanashaAliSwalehe
    @mwanashaAliSwalehe Рік тому +2

    Ya Ramadhan mashallaah 🕌🌙

  • @muhundaramadhani5057
    @muhundaramadhani5057 Рік тому +3

    Good idea

  • @abdillahabdalla9230
    @abdillahabdalla9230 Рік тому +13

    Asalm alekum wake wapendwa ya Ramadhani karibuni San leo wamwanzo fm Zanzibar nawapend yote ❤❤❤❤❤❤🎉🎉

  • @binthkhamis8042
    @binthkhamis8042 Рік тому +9

    Alhmdhulillah Ameen

  • @TwahirAlly-ym2fc
    @TwahirAlly-ym2fc Рік тому +2

    Daaah hapa mchawi camera tu

  • @nimrodnashon8142
    @nimrodnashon8142 Рік тому +6

    Chumvi saiv uko vizur

  • @shikhabdeenmtenga
    @shikhabdeenmtenga Рік тому +3

    jamani nimechelewa lkn tupo pamoja

  • @godfreymoses9773
    @godfreymoses9773 Рік тому +3

    Chumvi bana😂😂😂😂

  • @Fununu933
    @Fununu933 Рік тому +3

    Ulikua wapi DCT 😂😂😂 Ramadhan Bing up 👍iko uku Ramadhan 🇰🇪🇰🇪🇸🇦😂😂