PLAN B _ Episode 21

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 жов 2024
  • #kp #kpnazebuu #zebuu #kpwaaquino

КОМЕНТАРІ • 1 тис.

  • @kpwaaquino
    @kpwaaquino  5 годин тому +533

    Maua ya Norah dondosheni hapa😅

    • @Salmasuleyman
      @Salmasuleyman 5 годин тому +10

      🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @DethaEmmanuel
      @DethaEmmanuel 5 годин тому +6

      ❤❤

    • @MwanapiliSidi
      @MwanapiliSidi 5 годин тому +8

      ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

    • @AmosZepha
      @AmosZepha 5 годин тому +4

      HONGERA SANA director 🎉🎉🎉

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 5 годин тому +3

      Kisai kaongeza adui mwingine😂😂😂.hasira zote kwa mabodgad

  • @kennyprince4268
    @kennyprince4268 5 годин тому +64

    Ipo sawa kp congrats 🎉👏👏 am from Kenya 🇰🇪🇰🇪....Kama ww n Kenyan acha like tuh😂😂😂

    • @shakwikindolo
      @shakwikindolo Годину тому

      hp nora amenifurahish alivyoshuk na kipig

  • @KiwandaiPallangyo-lo3yy
    @KiwandaiPallangyo-lo3yy 4 години тому +29

    Daah vijana wa kisai wanatia huruma sana kwa k.p kichapo wakirudi kwa bosi wao kichapo yaan hawana mapumziko😂😂😂

  • @lucianopereyra4987
    @lucianopereyra4987 5 годин тому +24

    Hy mambo zenu rusheni likes from Kenya Mombasa

  • @PurieMakena
    @PurieMakena 4 години тому +24

    Na mm nipeeni likes nimekuwa wa mwisho leo kutoka Kenya 🇰🇪😂😂😂

  • @IRADUKUNDAYvette-bt6hq
    @IRADUKUNDAYvette-bt6hq Годину тому +2

    Ila kp. We kidume wallah
    Unajua unajua unajua Tena
    🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio8846 3 години тому +7

    Kp umefanya kazi nzuri mpaka nimefurahi,,,,umempatia huyo mtoto anaejifanya yeye anajua kucheza na mitandao

  • @siajaliadamsiajaliadam7631
    @siajaliadamsiajaliadam7631 3 години тому +6

    yann opichi na joka nachekaga sana nikiwaona jamani comedy yakutosha❤❤❤ opcho na joka

  • @Philohmutua-bc4jk
    @Philohmutua-bc4jk 2 години тому +3

    Waaaw aki hawa vinjana wameoza ila kp hongera sana kwa kazi zuri❤❤❤❤

  • @jeankabongo718
    @jeankabongo718 3 години тому +5

    Kp unafanana na dada yako nasi sahana ce jean depuis congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @OdnessDominick
    @OdnessDominick 4 години тому +21

    Kp unajua kufurahisha kutoka kwenye dakika adi lisaa maua yako bro🎉🎉

  • @happnssrichard4068
    @happnssrichard4068 3 години тому +12

    Basi mimi hapo wanapopigwa hao mgambo wa kisai na mimi kichwa kinaenda tii tii tii afu nimefurahi 👯‍♂️🏇⛷️🏂🏂

  • @Faru808
    @Faru808 4 години тому +26

    Mda mmezingatia sana big it up

  • @deamber775
    @deamber775 5 годин тому +25

    Dk3 na bado watu mia4 na daah bas na mimj nipeni like ata chache

  • @OrnellaNdabarushimana
    @OrnellaNdabarushimana 5 годин тому +18

    Watu hamukawiy 😂😂Ila sio ishu nimekuw wa 60 🎉🎉🎉🎉nawapenda sana team kp nyote 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AbdulrazaqueNfaumeAli-w4u
    @AbdulrazaqueNfaumeAli-w4u 5 годин тому +10

    Muzidi kufatilia ii movie mungu mwepushie mabalaa uyu anae soma ii comment na like 🎉🎉🎉🎉 from mozambiqui 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @salhatiddy
    @salhatiddy 4 години тому +6

    Likoma njo tulaki bwana yesu mawinguni😂😂😂😂😂😊

  • @JaneAnyona-bu3rj
    @JaneAnyona-bu3rj 5 годин тому +77

    Anayekerwa na kicheko cha kisai aje hapa alike😂😂

  • @RosalineWakina
    @RosalineWakina 5 годин тому +27

    Wa kwanza leo❤❤❤acha niketi vizuri sasa niwatch mbila haraka😊team strong hope mko ready hii nayo ni tamu kuliko kumbus na laban😂😂

  • @zainaabdallah809
    @zainaabdallah809 4 години тому +2

    Da mnajua kuwai sana tena KP Big up 🎉🎉🎉🎉🎉kazi mzuri sana 🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲 tusalimiane team 🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲

  • @DouglasKibet-v8p
    @DouglasKibet-v8p 5 годин тому +6

    Kazi mzuri kp na zebuu shei shei nice one from kenya bungoma give me like

  • @MelooNash
    @MelooNash 5 годин тому +13

    Wa kwanza from kenya 🇰🇪🇰🇪naomba like zenu napenda sana sheyshey

    • @ibrahimwario3177
      @ibrahimwario3177 4 години тому +2

      Kongole kutuwakilisha mapema sheyshey ni komando kipenzi

  • @OmarJuma-gn4rs
    @OmarJuma-gn4rs 5 годин тому +135

    Ewe mwenyezimungu nakuomba yeyote atakayesoma comment hii umjalie mwisho mwema na awe miongoni mwa watu wa peponi..🤲

  • @DonMooFILMES_Express
    @DonMooFILMES_Express 5 годин тому +14

    😂😂 sikuhizi episode inakuja na saa nzima 😂 ebana ee! Shukran snaa Mr KP na team nzima ya KP ❤🎉

  • @salimasava11
    @salimasava11 5 годин тому +7

    Asalamalekum,,,mashallah leo mimi wa kwanza good job ❤❤❤❤

  • @ElianeNsabumuremyi
    @ElianeNsabumuremyi 5 годин тому +19

    Kp and zebu feet sheishei munipe liké hapa nawapenda sana kazi nzuli❤

  • @Kharim_MTU
    @Kharim_MTU 4 години тому +4

    kaka kuna seem sauti inakua chini sana tunaomba ulekebishe kwenye EP hijayo kaka naombeni like ata tano jamani allah awabaliki

  • @SixmundNdunguru
    @SixmundNdunguru 3 години тому +4

    Big up Sana KP.kwa kutukosha vyema nakujali kutuongezea muda ❤❤❤❤❤❤

  • @MwahanjeNdegwaNdegwa
    @MwahanjeNdegwaNdegwa 4 години тому +50

    🇰🇪Acha niwakilishe wakenya wenzangu🇰🇪

  • @KadiiKalimbo
    @KadiiKalimbo 3 години тому +1

    Wow hongereni sana kwakazi nzuri🎉🎉🎉kp na timu yako🎉🎉🎉

  • @NancySibiaOnguti-gb9yq
    @NancySibiaOnguti-gb9yq 4 години тому +4

    Zebuu pia mimi nimetoka Kenya 🇰🇪 kwa ajili ya project yako 😂😂😂😂

  • @BertrandMuhoza
    @BertrandMuhoza Годину тому +2

    Good work kp with your team, keep it up

  • @ThomasMhine-h5e
    @ThomasMhine-h5e 2 години тому +3

    Mnapga sana kazi ila inayofuata msiicheleweshe

  • @E.solangeNiyo
    @E.solangeNiyo 5 годин тому +2

    Si mnaona sasa,hongeleni sana team ipendwao,mashabik tuko macho,live live

  • @kura.the.boy-
    @kura.the.boy- 5 годин тому +15

    NAKUBALI TEAM KP HAMNA BAYA Number moja kura la makura the boy 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @OmarChigamba-sx4yc
    @OmarChigamba-sx4yc Годину тому +2

    tangu niangalie kp na zebu na sheyshey sijapata like hata Moja jamani❤

  • @NajmaSaid-sb2lh
    @NajmaSaid-sb2lh 4 години тому +6

    😂😂😂😂 wajua huo mwili sio kuku wee ni kuku tu kwa KP

  • @kengitonga
    @kengitonga 5 годин тому +10

    Wakwanza from meru maua kenya

  • @JamesBoke-tn6cg
    @JamesBoke-tn6cg 5 годин тому +5

    Nawacheki kutoka maseno university,,,,,,good work

  • @elijahkiprotich9259
    @elijahkiprotich9259 5 годин тому +4

    Hapo sasa niko ndani tuambatane mpaka mwisho enjoying venye kisai amechezwa

  • @CollisBill-mu3zp
    @CollisBill-mu3zp 5 годин тому +6

    Aya marafikii wa kisaii tuonane hapa😂😂😂 wote tunao fuatilia hii tamthiria ni marafkii na niwatu tunao pendana❤🎉🎉🎉

  • @Ankobcomedytz
    @Ankobcomedytz 4 години тому +5

    mimi nipo sambamba na mabodygurd mpaka tufe 😅😅

  • @JemahEvaristo
    @JemahEvaristo 5 годин тому +6

    Leo nimewahi kwa mara ya kwanza hongereni kazi nzuri❤❤
    Ila mabodyguard wa kisai kazi wanayo😂😂😂😂😂

  • @MaryianKea
    @MaryianKea 3 години тому +2

    Wow kp chkuwa maua yako🎉🎉🎉🎉jeuri tena kwa nyumba ya joel😂😂

  • @husnaburah3491
    @husnaburah3491 4 години тому +3

    😀😀😀😀😀 nainjoy sana jaman plan b

  • @josephbaya8370
    @josephbaya8370 3 години тому +1

    waaa sema plan b imekwenda vairo sana aki napenda sana nawakikisha 🇰🇪🇰🇪🇰🇪KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪npeni maua yangu jamani

  • @AminaKhalfani-ib7sh
    @AminaKhalfani-ib7sh 5 годин тому +30

    Wao wapil naomben like timu kp

  • @StellaKugomwa
    @StellaKugomwa 5 годин тому +2

    Hongereni washiriki wote wa move tena mmetisha hadi wingi wa dk.🎉🎉

  • @aminaabdalla-uo9zq
    @aminaabdalla-uo9zq 5 годин тому +7

    Wa nne jamn like plz😢kw niaba ya jamb kubw la kp❤❤ kutup one hours

  • @AnchaAbdul-z3w
    @AnchaAbdul-z3w 5 годин тому +2

    KAZI nzuri sana kp,nawatakia KAZI njema,nipeni like zangu 🇲🇿

  • @julietadija8906
    @julietadija8906 4 години тому +5

    Nora amecheza kweli plan be 🌷🌷🌷

  • @JosephineMomanyi-jp8tv
    @JosephineMomanyi-jp8tv 3 години тому +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤mingi nora kp sheyshey pongesi mmecheza vizuri sana leta haraka tuone mr kisai vile amemshutukia nora na anadanganya sebuu

  • @chadiaManirakiza
    @chadiaManirakiza 5 годин тому +13

    Kwadakika nane nimesha fika😂😂 basi mnipe na mimi hata like moja kutoka Burundi bujumbura

  • @BintiOmar-y9c
    @BintiOmar-y9c 4 години тому +2

    Kisai ubaya ubwel Leo na ch aajbu toto la kishua limepraga juu ya mti👍👍🧡🧡🤣🤣🤣🤣🤣tup Kenya hap🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @JackboyNgoya-qc7fi
    @JackboyNgoya-qc7fi 3 години тому +3

    Hawa mabodgad wa kisai hawana kwao wao kila siku kipingo tu

  • @ibrahimwario3177
    @ibrahimwario3177 4 години тому +2

    Kp leo umefanya kazi nzuri nafuatilia kipindi yko kutoka Kenya

  • @GatekayvanLight
    @GatekayvanLight 5 годин тому +37

    Wakwanza nip like❤

  • @YusraMshomary
    @YusraMshomary 4 години тому +4

    😂😂 yaan mm nacheka tuu kuhusu hao bodyguard wanasema wao ni wakongwe kwenye hizo kazi huku kila siku wapo kumfelisha boss wao tuu😂😂😂,ety kamizima ndani huko 😂😂😂,

  • @AmosSinkala-lx4sl
    @AmosSinkala-lx4sl 5 годин тому +6

    ❤No 1 on trending, love you KP

  • @ZoazinaJohn
    @ZoazinaJohn 44 хвилини тому +1

    😂😂😂Kp nimecheka huku mwenzio ulivyomjibu huyo dogo wa IT kuhusu kisai atakavyomfyededaaa😂😂😂kicheko kingine Cha sauti ni kwa mabaunsa wa kisai walivyokuwa wanajikusanya hapo CHINI baada ya kipondo kutoka kwa KP na Norah eeti SIJUI TUMEROGWAAA😂😂😂😂😂🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤nawapenda nyoteee😍😍😍😍🥰🥰🥰🥰😘😘😘😘

  • @JudithNekesa-j2r
    @JudithNekesa-j2r 4 години тому +5

    Dondesheni hapa maua ya Norah na sheyshey ❤❤

  • @aumasusan-gw9gq
    @aumasusan-gw9gq 3 години тому +1

    Walai napenda hii movie sana kp na time yko maua kwengu shey shey

  • @Bahati-qd3dj
    @Bahati-qd3dj 3 години тому +4

    Natamani Norah aPige nduru ili zebuu na Nabil waje kumuona kisai na Norah 😂😂😂🤪🤪hapo najua kisai atashindwa lakufanya pindi zebuu na nabil wakiwa hapo😂😂👏👏👏👏kazi safi congrats🎉

  • @dhahabukalama2635
    @dhahabukalama2635 3 години тому +2

    😂😂😂😂😂mabodygad wanateseka kwakweli kwa boss wao vurugu kwa mahadui kiama

  • @FloraMwamlima-s6g
    @FloraMwamlima-s6g 5 годин тому +30

    Tunakiwasha bila kuchelewa 🎉🎉❤❤ kazi nzur Kwa watu wa plan b naomben like zangu sas Leo nimewah ❤🎉🎉

    • @SophiaJoramu
      @SophiaJoramu 4 години тому +1

      Maua kwa nola Kp na Sheila❤🎉🎉🎉🎉

    • @MadamOrida
      @MadamOrida 4 години тому +1

      Ilaaa kisai kama liyahudi hivii😠😠

    • @BethshebaNgendabanka
      @BethshebaNgendabanka 4 години тому

      Linakera😂​😩@@MadamOrida

  • @IsakaKalaita
    @IsakaKalaita 4 години тому +3

    ❤❤❤❤ kazi nzuri ❤❤❤❤

  • @Elasmo_mwinami
    @Elasmo_mwinami 5 годин тому +17

    Nlikuwa nasubili kwa ham sana sema nimechelewa nimekuwa wa Nne Leo like 😂❤

  • @DeliciousD-o7z
    @DeliciousD-o7z 4 години тому +3

    Ila joka na opichi nawashauri muachane na kisai mkaponde hata kototo mtaani inalipa Sana 😂😂😂la sivyo mtakufa

  • @MkemiaKadongan
    @MkemiaKadongan 5 годин тому +5

    Tunao zingatia muda na hatuachwi at one minute like zenu hapa😂😂😂😅❤❤❤

  • @Magori_jh
    @Magori_jh 5 годин тому +8

    Hellow guys nime chelewa lakina naitaj saport yenu kama familia naomba like ata moja gusa tu usi site😊😊😊😊

  • @Laisamoses
    @Laisamoses 4 години тому +3

    Aki u act perfectly may Go bless youu🎉🎉🎉🎉😊

  • @MboweFelelaurent
    @MboweFelelaurent 4 години тому +1

    Mnafanya kaz nzur hadiii mnavutia💢💯💯

  • @fathymosscooking6755
    @fathymosscooking6755 5 годин тому +5

    Wakwanza Léo mnipe like zangu mnao penda kazi za kp n'a zb 🇫🇷🇫🇷🇫🇷

  • @EmanuelChanuka
    @EmanuelChanuka 5 годин тому +14

    Me sijawah kupata ata like jaman naomben

  • @FurahaKulapha
    @FurahaKulapha 4 години тому +3

    Akina majoka mtauliw bure na kisai achen iyo kaz afanye mwnyew 😂😂

  • @KarimaKarima-u5c
    @KarimaKarima-u5c 5 годин тому +16

    Wakwanza jmn duh Leo nimeupiga mwingi like zimwagike bas😂😂❤❤

  • @SteveJames-j8m
    @SteveJames-j8m 4 години тому +3

    Ila hawa bodgurd hawajawahi fanikiwa mamaeee zao😅😅😅😅kazi kuitana JOKA mara OPICHE nyokooo

    • @hildachiboti6080
      @hildachiboti6080 4 години тому

      Hahaaaaa wanifurahisha ety kuitana ndo kazi yao😁😂😁😂😁😂😁

  • @StellahMutie
    @StellahMutie 5 годин тому +5

    Wa kwanza kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 like jamani

  • @KiaSelemani
    @KiaSelemani 5 годин тому +4

    Iyoooooooooo😂😂niliisubiri kwa hamu

  • @AmaniRazalo
    @AmaniRazalo 4 години тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂 hatari kila plani ya kisai ni mchongo tu mabodi gadi nao niviazi tu

  • @EricWillo
    @EricWillo 5 годин тому +5

    wanao tamani keep na zeb waowane waley mutoto wao tujuane

  • @JoselineJuma-r7o
    @JoselineJuma-r7o 3 години тому +2

    Hawa vibaraka wa kisai ndo wanajutia iyo kazi, sio ngumi sio mateke 😂😂😂

  • @KhalidiMwalimu-t1d
    @KhalidiMwalimu-t1d 3 години тому +5

    mh usiomb kuangalia hii move ukiwa umevaa foni alaf kixai apige makelele yake mh usimb yakukute......................

  • @NancySibiaOnguti-gb9yq
    @NancySibiaOnguti-gb9yq 4 години тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂 haki woye hawa mabodyguard wa kisai haki si wanayapitia jamani matege mangumi mmmh na bado wanaitaji saidi 😅😅😅

  • @HadijaKanze
    @HadijaKanze 4 години тому +5

    Vp boss kp hauna buku hapo😂

  • @DicksonShirima-q7o
    @DicksonShirima-q7o 3 години тому

    Waoooooh wapnz weny mapnz ya kwel kp na norah🎉

  • @shadrackimonje2899
    @shadrackimonje2899 5 годин тому +3

    Kazi nzuri mkuu

  • @CatherineSakari
    @CatherineSakari 25 хвилин тому +1

    Norah 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉kazi nzuri sana❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️maua Yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💋💋💋💋💋💋💋🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤️❤️❤️❤️😍😍😍🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @NshashiKitapanda-q2l
    @NshashiKitapanda-q2l 5 годин тому +3

    Wa kwanza naomba like zangu

  • @AzizaQueen-lr8oz
    @AzizaQueen-lr8oz 4 години тому +2

    Jmn mumeupiga mwingi sana mupewe mauwa yenu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Judishia2
    @Judishia2 5 годин тому +9

    Jamani leo nimewahi sijuwi kama nitapata like ata kama tuu ni moja kwa pongizi ya kp na sheyshey

  • @SharifuAlbughuli
    @SharifuAlbughuli 2 години тому

    😂😂😂😂😂😂Wakina joka et wamerogwa akt n uzembe wao😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @SharonMmboga-m7k
    @SharonMmboga-m7k 4 години тому +5

    Huyu nesi katakana kp hlf good job kp

    • @alhimnamussasaid3619
      @alhimnamussasaid3619 3 години тому

      Naona amerekodi sijui ni kwa lengo gani, hatujui yuko upande wa KP au upande KISAI

  • @mudihussein-ce8hp
    @mudihussein-ce8hp 5 годин тому +2

    mko vizur sana aisee mtiwe nguvu na yeye aliye juu

  • @wilberforcemwongera
    @wilberforcemwongera 5 годин тому +19

    Kenya wepi subscription

  • @JeremiahMgoba
    @JeremiahMgoba 2 години тому

    Jaman tunao ajiliwa tuomben mungu asije akakupa boss Kam kisai ni mwendo vibuti2

  • @MUQADDARMEDIA
    @MUQADDARMEDIA 5 годин тому +2

    All the way from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @DamarisMoraa-y5d
    @DamarisMoraa-y5d 4 години тому +1

    Hongera sana kp pokea maua yako.maanake huwa mnaleta kwa wakati na ndefu vixuri 🎉🎉🎉nmejifunza mengi ktk kwenye pamoja na favorite komando kipenzi🎉🎉🎉

  • @JanetMoraa-or2rx
    @JanetMoraa-or2rx 5 годин тому +5

    Maua ya norah yaangushwe pole Poole Tu yaani, nimewakilisha from this side 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @E.solangeNiyo
    @E.solangeNiyo 3 години тому +1

    Yaan Kp kanivunj mbav,anakaa aka put miguu mezani ,anatia vuruguvurugu kama ako chumbani kwake,hhhh w kp weee