much love kwa familia yote ya chumvi nyingi nimezifatilia filam zenu zote na nimepokea mafunzo mengi sana kutoka kwenu big up sana jamani nawafatilia kutoka Kenya
Dah niliwamisi Sana maana nimecoment hata sijaangalia Ila hamujawai kuboa ni kazi ju ya kazi alafu Bora Bora big up kwa Chumviiiiiiiiii nyingiiiiiiiihapaaaaaaa Gang,🙌🙌🙌🙌
We jmaa chuv njing unanini wew jaman mbn mchz unahaz na utam hv jaman ebu chkuw maua yako🌺🌺
suis toujours derrière vous FADHILI LUHEMBWE depuis RDC congo kalemie
Sura nyingine mpya unyama kinyamwezi sana Bilakuchoka wanangu
Nakubar Sana chumvi namuona king ndepe hum
Alhamdulillah tunamshukur Allah tumekutana tena kwenye season mpya nipewe japo like moja tu from Zanzibar 🔥 respect for you chumvi nying gang
❤
Pamoja inshallah
Hongereni xanaa chumvi nyingii
Chumvi nyingi nakukubali sana.
From Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Gang mabegani daima mbelee chumvi nyingi
Kazi nzuri chumvinyingi naisubiri sehemu ya pili❤❤
Yess salute nyingi Chumvi gang wakongwe wa ucheshi
Nawangoja jaman fanya mplay jaman I love you gang chumvi nyingi💚
Nikikaa kilaaa wakat niko bize na cm tenaa niko bizee na chumvnyingi gang jmn ❤️💯💯💯💯
Chumvi nyingi kazi iendelee season mpya gizani hongera sana 💯💯 bidii na kazi
Safi sana muko vizuri kwa fila zenu muko juu sana BG UP All team love so much
Hongera sana chumvi nyingi gang
Pamoja sana wapendwa chumvi gang mko vizuri
Mmeanza vizuri sana msitupoteze kama wengine sound good.
Unyama Unakuja wanangu Nimewamis sana CHUVINYINGI GANG
Chagama Kisofa Chumvi nyingi Mainah Zungu kazi nzuri ndugu zangu
Kazi nzuri nlkuwa nmeisubiri sana
Miamba imerud 2songe. Mbele kwapamoja amenii🙏🙏🙏
Asanteni mulipo nipo kazi moto 🔥🔥🔥🔥🔥💯👌🔥🔥💯
Wakwanza bhana chumvi nyingi shabiki Ako apa pande za mbeya zangu basi nne tu
CHUMVI MBONA PENZI HISIA HAINA MWENELEZO PLZ
Hongera sana Chumvi tumesubiri sana hii...Tunakutazama kutoka kenya mombasa....
Mwenyezi mungu awabariki san kazi yenu zuri san 🙏🙏
Polo m2 mbad salute Sana chumvi nyingi!
Chumnyi genga muku vizuri
Safi Chumvi Nyingi
Kazi nzuri sana tunaanza wote Inshaallah tumalizie wote
Safi nyingi
much love kwa familia yote ya chumvi nyingi nimezifatilia filam zenu zote na nimepokea mafunzo mengi sana kutoka kwenu big up sana jamani nawafatilia kutoka Kenya
Chumvi nying hapaaaaaaa
Eh e e e eeh mwalimu mkuu pongezi sana mr kisofa😂😂
Wakwanza mie kutoka undengelekoni kalibuni kibiti weyeeee
Estive esperar com grande saudade esa historia😂😂😂 nimesubili kwa hamu sana hii history
Mpo vizuri sana
Unyamaa chumvu gangs
Unajua kucheza na Blaine zetu pw bhn maana watu hatukosekani hewani kwaajili ako alafu unakaa kimya mpaka mb zetu tunaztumia hovyo hovyo
Majilaniii ukuuuuuuu kixofa mwalim mku😀😁😁🤣🤣😃😄😅
🤣🤣🤣🤣
Hongerani sana
Waiting it
Ongereni kwa kaziii bombaaa
Yani imeanza tu, kitu motoo 🔥🔥🔥🔥🔥
oy washua eeeh fanyeni mambo tunawangoja nyie tu
Hakika me gizani nimeipenda San
Unazidi kupanda viwango chafu yangu komaa utimize malengo
Dah niliwamisi Sana maana nimecoment hata sijaangalia Ila hamujawai kuboa ni kazi ju ya kazi alafu Bora Bora big up kwa Chumviiiiiiiiii nyingiiiiiiiihapaaaaaaa Gang,🙌🙌🙌🙌
Da safi sana umerudi tena
mmetisha sana
Big up sana chumvi gang
Nimeipenda
Unajua sana kwakweli
Ndo tumeanza xaxaahh
Sana nakubali
Safi sana chumvi unaweza baba😋😋😋😋
Pamoja sana chumvi gang
jamani naombeni namba yamaina nampenda bure
Mashallah asante sana ❤❤❤❤❤
nilkua nawasbr Sana Wanangu nmefrah kuona hii big snàaa am your fany From Kenya ndakndak
mwalimu mkuu kisofa katisha sana
❤❤❤❤❤ nakubal sana chumvi nying the gang😊
Kali sana
chumvi nyingi gang big up sana kwenu mlofanya kitu hii👏👏👏
Nakubali chumvi nyingi
Mwendelezo
Chumvi nyingi kafumaniwa akikaanga dawa 😂😂😂😂unyama mwingi 🔥🔥🔥🔥
nice wakwnz mm leo
Nakuelewa vizur chumv kaz njema
big up chumvinyingi gang
Safi chumvi 💪💪💪
ee ee eee jamani
❤amakweli chumvi we akuna tena
Nawakubal sana chumvunying geng
Unyama wa chumvi huo
From kwale county kenya 254
Nakubali moto Moto sema siliya kifo atali
😂😂chuvi nyingi nakupenda bure from. Kenya
Ndio Ndio chumvi kidogo 😂😂😂
🔥🔥🔥
One love
Hahahahahah uwalimu umeingiliwa kisofa teacher nakubali
Nilikuwa nassubir kwa hamu sana
Eeeee Eeeee Leo ndio mwalimu duh
CHUMVI NYINGI GANG FOR LIFE🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Big up bro and ur gang qs well
Au siyo 🤔🤓🤓🤓🤓🤭🤓🤭
Mwalim mkuuuu ❤❤❤
Kisofa ndy mwalimu mkuu😂😂😂😂😂
Asanteni.sana ❤❤🇧🇮🇧🇮
pongezi sna kz nzuri
Mashaa Allah...❤❤❤...next plz
Haya twendeni nalo sasa
Saf Sana
From Nachingwea
😅😅😅 mvuta bangi awachi kiraisi hivyo mpe time 😅😅.
Nipewe maua yangu
Toka hapa🤣🤣
Big up team chumvi ❤❤❤❤ kutoka Kenya
❤❤❤❤❤❤❤ nkbl
Chumvi una kitu utafika mbali
Gizani💪💪💪...from mozambique
Juntos
Welcome chumvi gang