Jazaakallahu Khair..!..shekhe Izzudyn ama hakika uko sahihi.....mi naishi Dubai ‘ miskiti ulio jirani yangu hizo Duaa zimeandikwa kabisaa’ Watu wapate kuzisoma mara Kwa mara...!..ALHAMDULILLAH ALLAH akupe ufahamu wa kufundisha mambo muhimu kama haya...IN SHAA ALLAH..!
Ma Sha Allah tabaraka Allah lakuwata illa bilah shukran shekh izudin kwa mawaidha mazuri insha Allah yameniingia mungu anijaalie niyatekeleze kama ipasavyo yaarabi
mashaallah barakallahu fiiq allah akujalie afy njm na umri mrefu shkh wng niko magomeni zanzibar .natia mb kwa ajili yk tu shkh narishika na naburudika na najiona nimebadilika.Allah akuzidie elimu na hekma
Jazaka llah kher ustadha je inawezekana kupata vitabu vya duwa hizo ulizo zitaja tukawa na ukumbusho sahihi kila tunapo maliza kuswali,hata piya baada ya kuswali.
mashaallah sheikh Allah akuhifadh ila umenena kwamba hakuna muawidhatain baada ya swala ya maghrib na nyengine ninesahau hebu fatilia vizur ili tupate faida Au huenda ulikosea hukukusudia kusema hivi sababu huuu ni udhaifu wetu naomba ukiipata comment yngu ni jibu allah atuongoze ktka kumfuata rasulu wahi swala wahu alayhi salam katika kila ibada kwani ndio kufaulu baraka wahu fyiiikum
Shekhe Mashaallah Mungu akuzidishie ,Ila nna suala moja naomba niulize (1)ukimaliza kusali swalatul Hajja ukisha sujudi rakaa ya pili na kutoa salamu ,kisha unaeukuu tena je yale maombi unaomba ndani ya ile sujudi au ukitowa salamu tena
Shukran kwa darsa sheikh ila nina swali kwangu nizito sana kujua jinsi ya kutatuwa. Mtu aliedhulumu mika mingi iliopita na hakumbuki wote aliowadhulumu na hao anaowakumbuka nimtihani kuwafata akawaomba msamaha hili halina toba zaidi ya hii kuwaomba msamaha??? Na pengine wengine aliowafanyia hayo washakufa nayeye anajilaumu kwa mambo aliofanya ktk ujanawake shekh naomba ufafanuzi wahili.
Naam mashaaallah Allah akuhifadhi sheikh wetu na atuhifadhi nasi..
Mwenyezi mungu akupe umri murefu shekhe
Mashallah sheikh nimejifunza mengi kutoka kwako Allah akuzidishie
Sheikh Izudin Mola akupe umri mrefu na afya njema uzidi kituelimisha kwa uwezo was ALLAH. Ishaallah
Haya Ni mafundisho mazuri kwetu sisi. Allihamdulillah Mwenyezi Mungu akuzidishie baraka
Allah anijaalie kuyafata haya mafunzo na maelekezo.. Mashallah Sheikh Izudin anaelekeza vizuri mwalimu mzuri Allah akutunze atufunze zaidi na zaidi..
Allah akilipe kila la kher Inshaallah uish kwa kudra za Allah.
Maasha Allah sheikh wetu twamuomba Allah atuongoze naatusamehe mabaya yetu jazaka Allahu khaira Allah akujaalie jannah firdaus sheikh wetu Aamiin
Well done sheikh naomba kuulza
Allah akupe umri mrefu na afya njema tuzidi kufaidika na elimu yako 🤲🏽
Maashaallah Allah akupe kheri
MashaAllah Allah akuzidishie kheri naumri uzidi kutuelimisha .ameen
M. Mungu akulipe ujira mwema shekhe
ameen
Jazakallahu khayr
Alhamdululah allah akupe kila la khery
wallah napenda sana darasa lako allah akuzidishie
Jazaakallahu Khair..!..shekhe Izzudyn ama hakika uko sahihi.....mi naishi Dubai ‘ miskiti ulio jirani yangu hizo Duaa zimeandikwa kabisaa’ Watu wapate kuzisoma mara Kwa mara...!..ALHAMDULILLAH ALLAH akupe ufahamu wa kufundisha mambo muhimu kama haya...IN SHAA ALLAH..!
Amin
@@halimamohammedy9247 n
Nakuomba unitumie na mm hizo dua mm sizijui
Allah akupe malipo makubwa sheikh Izudin
mash allah allah s.w akujaleye janatul firdows amiiin allahuma amiiin
Mashaallah Allah akuzidishie kila la heri uzidi kutupa Mawaidha mazuri inshaallah
JazakaAllahu kheir
Ma Sha Allah tabaraka Allah lakuwata illa bilah shukran shekh izudin kwa mawaidha mazuri insha Allah yameniingia mungu anijaalie niyatekeleze kama ipasavyo yaarabi
MAASHALWAH ALWA AKUJALIE UMRI MREFU WENYE KHEIR NAWE INSHWALWA
Mashallah Allah akuzidishiee elimu yenyee manufaa uziidii kutuelimisha amin
ameen
MashaAllah,yameniingia haswa,mungu nijaalie niyatekeleze.
Q
Maashallah sheikh wetu, ALLAH AKUJAALIE UHAI MREFU WENYE KHERI NAWE TUENDELEE KUFAIDI I'LMU INSHAA ALLAH
Manshalah ustadh
Shukran shekhe kwa kutuelimisha allah ukujalie umri mrefu uzidi kutuelimisha hakika unatutoa gizani na kuleta nuruni.
Subhanalha AlhahuAkbaru😭😭😭😭😭
ameen
Mwenye enzi mungu akuzidishie ili uweze kutujuza na sisi in shaa Allah
ameen inshaallah
Mungu akuzidishie kila la kheri insha Allah yaarabi
Barakallahu Fiik kwa Darasa lako
Shukran Kwa mawaidha mazuri.......Allah akuzidishie umri🤲🤲
Mashallah Allah atuongoze jamii Islam Atusameh
Mashaa allah shekh Allah akujazi kheri napenda mawaidha yako unatufundisba mengi
ameen inshaallah
Alhamdulillah tumepata faida
Ameen yaa Rabbil allamiin. Shukran kwa Dua Ustadh
Baraka Allahu fii inshaAllah🙏
Allah akuzidishie elimu ili tupate kunufaika kutoka kwa darsa zako ustadh......
ALLAH akulipe popo ya hali ya juu yaa izudin alwy
Jazak Allahu Khairaan Kathiraan kwa Darsa zako zote.
Mashaallah... barakallahu khair...Allah akuzidishie umri na elimu inshaallah
Jazzakallah shekh Allah akuzidishie ilmu ili uelimishe umma wake Allah
Mashalah, shukran ustadh kwa mafundisho mema... Alhamdilah.🙏
mashaAllah Allah akuzidishie uzidi kutuelimisha
ameen
Mashaaaalah Allah akuongoze zaid
Mashaallaah Jazzakallaahul khair. Allaah akuzidishie kheri nimejifunza mengi hapa. Alhamdulillaah.
ameen inshaallah
Allah akuzidishie kheri na umri twawil wenye manufaa.
Alhamdulil Allah Wa lil Allahi Hamd. Allah Akbar.
mashaallah barakallahu fiiq allah akujalie afy njm na umri mrefu shkh wng niko magomeni zanzibar .natia mb kwa ajili yk tu shkh narishika na naburudika na najiona nimebadilika.Allah akuzidie elimu na hekma
Allaahakbar
Mashalha Alhamdulihi
Alhamdulilaah...Allah akuzidishie elimu inshaallah
Mashaallah jazakah Allah khairan shukran sheikh Izudin
Nimenufaika allah akupe elimu.zaidi
mashaallah yaarabb mpe nguvu na afya nzur huyu mja wako Amiin
Amiiin
Marshallah,Jazakkallah kheir ya Ustadh. Burdikaaa
Mashaallah nimetiwa moyo na mawaidha
Jazaka llah kher ustadha je inawezekana kupata vitabu vya duwa hizo ulizo zitaja tukawa na ukumbusho sahihi kila tunapo maliza kuswali,hata piya baada ya kuswali.
Mimi niko Oman nafatilia sana video clip zako mola akupe uzima na afiya uzidi kutuilimisha.
Ukiingia play store zipo appction mbalimbali dua na azkar
Asantee sna sheikh Allah akujali kher akuepushe na shar
Sheikh asante .mashallahu. shatra
MashaAllah mawaidha matamu😘😘 jazaqah Allah kheri🙏🙏
MashaAllah shukran kwaelimu nzurisana
Shukrn.....
Jazakallah
mashaallah sheikh Allah akuhifadh ila umenena kwamba hakuna muawidhatain baada ya swala ya maghrib na nyengine ninesahau hebu fatilia vizur ili tupate faida Au huenda ulikosea hukukusudia kusema hivi sababu huuu ni udhaifu wetu naomba ukiipata comment yngu ni jibu allah atuongoze ktka kumfuata rasulu wahi swala wahu alayhi salam katika kila ibada kwani ndio kufaulu baraka wahu fyiiikum
shukran shekhe
MashaAllah
Jazakhaallah kheir
Insha Allah, ALLAH atuwezeshe kwa yote hayo🤲🤲🤲
Inshaallah Jadhaka lakher
Jazakallahu khayran
Mashalla Allah
Kweli kabisa ustadh
Asalam alyekum nataka mnifundishe jinsi ya kuswali
Jazakahllahu khair
Mashallah Mashallah
Jazzakallah kheri
Tunayapata vizuri mawaidha from qatar
Jazaaka Allah Kheir
MASHAALLAH TABARAKALLAH
JAZAKALLAHU KHAIR SHEIKH
Mashaaalla ila shekhe wasoma alaka alaka izo Dua nyengine nimezikosa ila nakufatilia vizuri nikiwa omani ibri
@@مياسةيوسف-ش7ذTupo sehemu Moja oman dua gani ambazo unazitaka
Amiin yaa rabbi allamiin🤲
Jazakallah khar
mawahidha mazuri sana shukriyah
Neema, mwenyezi mungu ukuokoe na moto
Shukran ineded it
Shukraan Sana sheikh wetu jazaka Allahu kher
Shekhe Mashaallah Mungu akuzidishie ,Ila nna suala moja naomba niulize (1)ukimaliza
kusali swalatul Hajja ukisha sujudi rakaa ya pili na kutoa salamu
,kisha unaeukuu tena je yale maombi unaomba ndani ya ile sujudi au ukitowa salamu tena
Mashaallah baraka wahu fihii
Alhamdullilah
Pepo iwenawewe Amin amini amini Nakupenda sana sana ostazi wetu
ameen inshaallah
Iwenasi sote inshaallah
Shukran sheikh jazakallah khayran
ameen allahuma ameen
Mashallah Mufti Izudin. Jamani chief kadhi namna hii sasa
Ameen yaarab 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Shukran kwa darsa sheikh ila nina swali kwangu nizito sana kujua jinsi ya kutatuwa. Mtu aliedhulumu mika mingi iliopita na hakumbuki wote aliowadhulumu na hao anaowakumbuka nimtihani kuwafata akawaomba msamaha hili halina toba zaidi ya hii kuwaomba msamaha??? Na pengine wengine aliowafanyia hayo washakufa nayeye anajilaumu kwa mambo aliofanya ktk ujanawake shekh naomba ufafanuzi wahili.
+254772611120
Mashaallahh Alhamdulillah
Masha Allah allahum amiin yaa rabb
Masha allah
SUBHUANNAH ALLAH
Mashallah Sheikh wangu, mm niko Pemba ninakufuatilia sana mafundisho yako.
Mashallah
Mashallah sheikh mbona kama ndugu yangu
Sheikh Izudin nakupenda sana naomba Mwenyezi Mungu akupe mwisho mwema. Amiin
Asalam allekum shee mimi kunandoto zinanipa mawazo zipo tatu3 yakwanza niota nimuna wanamke mwezangu anazaa kwenye tenga tametoka motto na takatakazake zote na mavi amekunya mamamtto alafu Mimi nayachezea yalemavi nikimshika mtto yapili nimeota nimeshika uzu nikaswali nimasali saa7 naluditena saa10 nakuta msala ule aupo nakuta alizi tu naomba unisaidie majibu sheewangu
Mashaa Allah
Beneficial
Shukran sheikh
Mashallah
Shukran jaziila
Assahlam alaykum vp ukhty mzima leo darsa hamna au mtandao
Shukran Sana
MashaaAllah