MA SHA ALLAH SHEIKH JAZZAKKA KHEIR.Allah Akuweke uwe Pamoja na Rassoolula....iwapo wataka kuongeza Mke Nina dadangu...na mahari yake ni umfunze tu Quraan.
Asalam Alaykum Sheikh Izudin..Naomba utusaidie mawaidha kuhusu hukmu ya Hayawani aliengiliwa na Binaadamu.. Wasalam..Nafuatilia sn mawaidha yako..nipo USA..
MASHAALLAH Allah akuzidishie Elimu yenye manufaa Kwa Kila mfuatiliaji wadarsa zako aamin
MA SHA ALLAH SHEIKH JAZZAKKA KHEIR.Allah Akuweke uwe Pamoja na Rassoolula....iwapo wataka kuongeza Mke Nina dadangu...na mahari yake ni umfunze tu Quraan.
Swadakta ya Sheikh.....Allah atuepushe namachafu ili imani zetu zipande......Ahubuk lillah From Saudi Arabia
mashalla shekh wangu Allah akupe kila la kher
Mashallah, Shukran shekh Allah akujaalie umri mrefu na afya njema uzidi kutuelimisha
Mashalllah allah akupe umri na afya yarab
SubhanaAllah
Allah akulipe kila la kheri hapa dunian na kesho akhera
Subhanallah Allah atuongoze atuzidishie subra na imani
Mashallah Allah akuzidishiee elimu yenyee manufaa uziidii kutuelimisha amin
Mashallah mwenyez mungu akupe kheri za duniayan na akhera kwa kutuelimisha
subhanallah Allah' akuzidishie fatuwa
Mashallah sheikh tuko pamoja Allah akujalie kila la kheri in shaa Allah kwajuhudi zako za kutuelimisha Akujalie umri wenye afya tele uzidi kutujuza.
online tv Allahumma amin
Zayyati yusufu Aamin
safina ali Allahumma amin
zayyati yusufu amin Allahumma amin
Rahma Ayoub. Omn thumma amin
Allah akuongoze ktk imani ...masha Allah nimejifunza sanaaa
Jazaaka Allah Kheir....
Subhanallah
Asalam Alaykum Sheikh Izudin..Naomba utusaidie mawaidha kuhusu hukmu ya Hayawani aliengiliwa na Binaadamu..
Wasalam..Nafuatilia sn mawaidha yako..nipo USA..
Mashallah Allah akuzidishiee elimu yenyee manufaa amin
SUBHANNALLAH, ALLAHU AKBAR , Allah atuhifadhi tumiliki ndimi zetu tuwe ni wenye kutamka ya kheri Amyn
safina ali amin
Rahma Ayoub . omn Allahumma Aamyn
Ma shaa Allah, mwenye zimungu atuzindishie ufahm wa quran in sha Allah
Ganet Tsofa amin
Allah akupe umri mlefu
Assalam Aleykum warahmatullah wabarakatu
ALLAAHUMMA SALII WA SALIIM ALA SAYYIDINA MUHAMMAD WALA ALIHI WA ASS HABIHI WA JIMAIN
Subhana Allaah
MASHA ALLAH
Hapo ni kweli mwenyeziungu atusamehe,
Maashaa Allah uko vizur sana twakupatabtanga hapa
Allah akulipe khery ww pamoja na familia yako na ss wanafunzi wako ishallah
Shukran jaziila ya sheikh Izudin Allah akujaalie swiha njema na umri wa ziada uzidi kutuelimisha Aamyn
Allahuma amin
safina ali amin
Rahma Ayoub. Omn Allahumma Aamyn
Aamiin Rabil Aalamiin
shukran sana kwa darsa zuri hakika nimepata mafunzo makubwa sana
wale wauumin tunaoangalia kipindi hicho cha ramadhan 2019.tugonge like plz
Hapo nikweli kabisa
Astaghafir Allah, mwenyezi mungu atufanyie wepesi InshaAllah
Mashaa Allah
mashaallah mungu akuzidishie uzidi kutuelimisha inshaallah
Ameen yarab
Alllahummma innna nassaluka,ridhwaka wal jana,wanaadhubika min saghatika wa nari
Naiomba io dua kwa anoijua aniandikie japo kwa kiswahili.au atakiarabu.inshallah.🌷io dua ya radhi.
Alllahummma inna nass,aluka ridwaka wal janna ,wanaaudhubuka min saghatika wa nari
Mbona whassap hapatikani
Allahu Akbar
Shukran kwa Mawaidha
Sheikh,allah akujalia maisha marefu na yenye kheri,napenda sana mawaidha yako.
Nikweli shekh
Mashallah barakallahu fiq
Shukran
Shukrn kwa kutuwaidha
Shukrani
Jumaah Qareem y'all 💞
Ameen na walizo watana mungu azilainishe nyoyo zao waregeane..
Fafa Ali amin
😂😂😂😂
Vipi kuhusu kugombana na kafiri
Shukran