AMKA NA BBC LEO, HABARI KUBWA ZA DUNIA: JESHI LA ISRAEL NA HAMAS WAKUBALI KUSITISHA MAPIGANO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024
  • Check more here: bit.ly/3yrpH70
    If you find any error in material provided please take a minute to tell us about it. We will resolve it at the earliest.
    COPYRIGHT VIOLATION
    For Copyright Issues: We try our best to verify the ownership of content with the contributor. If you think your material is wrongly used, or if its a violation of copyright.

КОМЕНТАРІ • 17

  • @allysimu6856
    @allysimu6856 18 днів тому +2

    Sio kusitisha tu Bali wamalize kabisa Israel iondoke kwenye aridhi ya wapalestina wawache ubabe na uwalifu wa kivita

    • @mimiyeye123
      @mimiyeye123 17 днів тому

      Wew acha zako utuliv ndo mwnz wa kuacha vita, hbr za ardhi achana nazo hawan nafas hyo😂
      Ardhi washapewa na Mungu wew nani upinge😅

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 18 днів тому

    Taarifa zako unazipata wapi ??

  • @OmarNasor
    @OmarNasor 18 днів тому

    Kilakitu kinamwisho

  • @HussenMadimbwala
    @HussenMadimbwala 18 днів тому

    Mshishangaze watu mnawachanja uku mnawauwa faida gani

  • @MaulidAbdullah-nw9wu
    @MaulidAbdullah-nw9wu 18 днів тому

    Mnawachanja alafu mnawaua sasa hiyo chanjo itafanya kazigani hiyo nibiashara ya kuanika viroboto juani

  • @johnmike6059
    @johnmike6059 18 днів тому

    Na nyie mmeanza kuwa wa puuz BBC ya nn tena humu habar za uongo ma propaganda

  • @MatumlaMatumla
    @MatumlaMatumla 18 днів тому

    Munatowa chanjo harf munawaua Vt iendelee mpk siku y kiyama

  • @ramadhanhassan5285
    @ramadhanhassan5285 18 днів тому

    Kwanini wasimalize tuu vita?israel muogopeni mungu nynyi mnauwa raia wengi tena wasio na hatia

  • @ibrahimabdullah1887
    @ibrahimabdullah1887 18 днів тому

    Uhalifu wa kivita mnauona kwa nchi maskini tu mbona hamuoni israel laniwe hadi kizazi chenu

  • @AbdallahBakar-oc3ue
    @AbdallahBakar-oc3ue 18 днів тому

    Wa Israel wameuwa wamama na watoto ndio Vita gani hiyo au wamechanganyikiwa

    • @PetroMpunga-rt7hv
      @PetroMpunga-rt7hv 18 днів тому

      Shambulio la Oktoba 7 la Hamas, halikuuwa watoto na wamama, acha wafe tu 😅😅😅

    • @Awatee
      @Awatee 17 днів тому

      ​@@PetroMpunga-rt7hvunataka kunambia weye utaishi milele ng'au ng'au weye

  • @user-tm6gv9kp7v
    @user-tm6gv9kp7v 18 днів тому +1

    NAMSHUKURU MUNGU NIMETIMIZA MIAKA MIWILI XAIV TOKA NILIPOGUNDUA BBC NI CHANNEL YA UONGO IPO KWAAJLI YA KUTETEA MASLAHI YA MAGHARIBI NA MSHUKURU MUNGU NA NAWAOMBEA NYINYI AMBAO MNAAMNI BBC MUNGU AWAFUNULIE AKILI ZENU MUWEZE KUELEWA ZURI NA BAYA(UONGO)😂😂😂😂 SAMALEKOOOOO 😂😂😂

  • @Patrick-n2u
    @Patrick-n2u 18 днів тому

    Wa kongo inchi imewashinda kwanini wasigawe wa ishi kwa amani

    • @theodorythobius3965
      @theodorythobius3965 18 днів тому +1

      Kama unaona unaamani shukuru Mungu.Hata wakongo wenyewe hawataki vita wanataka amani isipokuwa nchi za magharibi zikihitaji kitu kutoka kwako huna pakukwepea wanafanya kila aina ya ukatili kuhakikisha wanapata wanachohitaji

  • @ibrahimabdullah1887
    @ibrahimabdullah1887 18 днів тому

    Mbwa nyie