BARNABA NDIO MWALIMU WA DIAMOND/ ILA RAYVANNY HATA APIGE YOWE BARNABA MKALI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 гру 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @brysonsulle1322
    @brysonsulle1322 4 роки тому +88

    Msanii wangu wa muda wote Barnaba nakukubali sana

    • @omanimujsa9756
      @omanimujsa9756 4 роки тому

      😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁humu wanatumaje voice jaman ntume nkicheka walah mbavu zangu

    • @hasnasaif1075
      @hasnasaif1075 4 роки тому

      Namimi pia

    • @brunojoseph7059
      @brunojoseph7059 3 роки тому

      Hata me sana tu

  • @mtawalaanimation5354
    @mtawalaanimation5354 4 роки тому +78

    Aiseee huyu msenge ni bonge la presenter #Best presenter in town Mo Town sanya

  • @shuaibbone7799
    @shuaibbone7799 4 роки тому +36

    The first guy is really smart and honest 👌

  • @alluminiumexperttz.12mview13
    @alluminiumexperttz.12mview13 4 роки тому +21

    Walomkubali jamaa wa kwanzo anavyojibu maswali tujuane. Bigup to him anajua kujieleza

  • @Lilmbunah
    @Lilmbunah 4 роки тому +30

    Twende sawa replay ngoma ya barnaba unayo ikubali mim NABEMBELEZWA

  • @norahnekah5644
    @norahnekah5644 4 роки тому +19

    My favorite musician,he is so polite much love from254 🇰🇪

  • @achieguda6556
    @achieguda6556 3 роки тому +3

    I love Barnabas music from Kenya with love

  • @mweshaosako2011
    @mweshaosako2011 4 роки тому +10

    Namimi na mkubali Barnaba, akitowa hit always ni fire🔥, much love🥰

  • @martinerichard5827
    @martinerichard5827 4 роки тому +22

    Respect Kwako Barnaba! Ila wajumbe wana ka unafki haaaa haaa "Barnaba Classics"

  • @sara20028
    @sara20028 Рік тому

    Nampenda sana barnaba ana saut nzur na mwonekano wak ni mzur sana❤❤❤❤❤❤❤

  • @bboy2560
    @bboy2560 4 роки тому +37

    Daaah leo nimekua wa 20 kwenye comment sio mbaya tupo na kipindi chetu cha kijanja good

  • @hamedabashir9
    @hamedabashir9 3 роки тому +1

    Mm namkumbali sana barnaba

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 4 роки тому +12

    Barnaba katulia sana ka relax kwenye interview safi sana

  • @johnvaloisy1482
    @johnvaloisy1482 4 роки тому +9

    Kenya 2nakukubali Noma sana Barnaba Big up bro

  • @suleimanimsejeri7009
    @suleimanimsejeri7009 4 роки тому +8

    Wewe mtangazaji Ni noma sana aisee,nakukubali mno.unakitu Cha tofauti Sana kwenye kazi yako.

  • @minahsamiry4459
    @minahsamiry4459 4 роки тому +14

    Nan amegundua location Makumbusho... Sem kipind n 🔥

  • @maulidnyumbu8976
    @maulidnyumbu8976 4 роки тому +107

    Kama unamkubali motown Sanya gonga like hapa 🤜🤛🔥🔥🔥

  • @asifiwechinois
    @asifiwechinois 4 роки тому +133

    kama we nishabiki wa HIVI NI KWELI na THE STORY BOOK gonga like twende sawa

  • @sitiabubakar2892
    @sitiabubakar2892 4 роки тому +28

    Jamaa wa kwanza nomaa🤣🤣🤣

  • @mikasureboy6032
    @mikasureboy6032 4 роки тому +3

    I love this man barnaba classic

  • @salhamrishoaish9292
    @salhamrishoaish9292 4 роки тому +4

    Barnaba ndio baba lao😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘

  • @mjangeshabani3490
    @mjangeshabani3490 4 роки тому +25

    Hahaha nimecheka sana barnaba boy afai

  • @marcelmarco5182
    @marcelmarco5182 4 роки тому +229

    Nipeni likes za BARNABA

  • @heriholder1625
    @heriholder1625 4 роки тому +38

    Dah leo nimewahi Sanya hichi kipindi huwa unakipatia kinyama, Barnaba yupo fresh hana dharau.

  • @Shayy97
    @Shayy97 4 роки тому +6

    Sipendi kutokuwa na hela yaan umasikini umasikin Sipendi yaan wewe ni mimi mtupu🤣🤣🤣🙌

  • @alilauzi5996
    @alilauzi5996 4 роки тому +26

    Big up💪👍😁 Wasafi TV Yani mwa mwi

  • @indivirabonnymatenje7290
    @indivirabonnymatenje7290 4 роки тому +5

    Watching all the way from Philippines representing 254

  • @khamoshmikidadi9262
    @khamoshmikidadi9262 4 роки тому +3

    Naikumbuka nyimbo aloimba barnaba n linah sms enzi izo niko shule dah noma sanaa tuliharibu madaftar kwakeli n nyimbo y barnaba n shishi tecno pia kali naikubal yupo sw sn barnaba

  • @johnvaloisy1482
    @johnvaloisy1482 4 роки тому +21

    Huyo Mzee siye yani barnaba anafanana na john Makini

  • @abumoyo5341
    @abumoyo5341 4 роки тому +6

    Watu wangu wa nguvu moo town sanyaa &Barnaba classic

  • @wakujanation7539
    @wakujanation7539 4 роки тому +10

    Hiiii show karii sana mo town sanya hiiii zaid yaooo mzeeee daaah ubunifuuuu

  • @lusticabernad7693
    @lusticabernad7693 4 роки тому

    Nampenda sana barnaba, ni mwanamuziki ambaye ana sauti nzuri sana ya kuimba, ana mistari mizuri na uandishi wake ni balaaa , binafsi ile penzi kiberiti washa Bado ni hit song kwangu

  • @josephkambona2054
    @josephkambona2054 4 роки тому +20

    Daaaaah kipnd nakikubal sana hk yaan kinafurahsha sana siku moja njoo cnza bas

    • @edwardmassawe5116
      @edwardmassawe5116 4 роки тому

      Jamani nimecheka sana huyu fala sanya anajuaaaaa jamani anajuuuaaaa kutangaza ona alivyombana yule msela eti Barnabas anaimba aleluyaaaa???? Gonga like kama zote

  • @luluadam3086
    @luluadam3086 4 роки тому +30

    Jaman huyu kaka wa tshist nyekundu nmekubal kanichekesha balaa halafu kaongea kitu ambacho kipo real kabisa

    • @veeJesus
      @veeJesus 4 роки тому +1

      Hahahha ad mimi

  • @flavianchuwa1533
    @flavianchuwa1533 4 роки тому +11

    🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌MO town sanya

  • @agnesvintan1538
    @agnesvintan1538 4 роки тому +3

    Nampenda sana barnaba boy classic💕💕💕

  • @meckthedone2823
    @meckthedone2823 4 роки тому +59

    😀😀😀😀wajuba tunaishi natunatoa maboko 😋😋😋😆

  • @NipaiaABu
    @NipaiaABu 9 місяців тому

    barnaba I love your song Nipaia boy classics.

  • @manbonge3015
    @manbonge3015 4 роки тому +6

    My favorite gonga beat yani 😂😂😂😂

  • @officialmrtop1018
    @officialmrtop1018 4 роки тому +19

    Daah huyu jamaa alohojiwa mara ya kwanza nimependa kitu asokipenda ni kutokuwa na pesa yani umaskini umaskini daah mimi unanikera kweli

  • @devaxtz
    @devaxtz 4 роки тому +8

    Yan Moe sanyaaaaaaaaa hichi kipindi kitamuuuuu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 aliekushaur ukianzishe bas big up Sana 😂😂😂😂😂

  • @joshuatz4616
    @joshuatz4616 4 роки тому +7

    Barnaba classic na barnaba boy

  • @benjaminmapenzi3581
    @benjaminmapenzi3581 4 роки тому +5

    Gonga beat my favorite part😂😂😂😂😂

  • @janetkemush3784
    @janetkemush3784 4 роки тому +2

    Wa t-shirt ya red anaelewa mziki saaaana🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌balaaa umeongea point

  • @abdul-raqibalirashid4690
    @abdul-raqibalirashid4690 4 роки тому +8

    One man army💯💯💯💯💯💯💯 @barnaba❤

  • @priscarmilambo3615
    @priscarmilambo3615 4 роки тому +11

    Pindi la kinyamwezi noumaaaa sana wcb 4life

  • @happykibiki7879
    @happykibiki7879 4 роки тому +7

    Yaan huwezi amn wimbo wa barnaba wa washa ulifanya niibiwe cm ya an... Niliplay wimbo halafu nikanogewa mpk cm ikaibiwa🙆🏻🙆🏻😂😂😂 asee like zenu kwa barnaba kama unamkubali

  • @kamuchidyblez2136
    @kamuchidyblez2136 4 роки тому +247

    Kama unakubal hik kipindi Cha HIVI NI KWEL Kuwa ni kipindi Bora kwa sasa iv gonga like twende sawa

  • @hassaniothumani5501
    @hassaniothumani5501 4 роки тому +3

    Huyu Mzee wa mwisho chenga kweli 😂😂😂😂🔥

  • @jeckasshadrack6519
    @jeckasshadrack6519 4 роки тому +1

    Jamaaa anaoneka anampenda mungu sana coz kila neno hamna ambapo hajamtaja mungu

  • @najmagudeh203
    @najmagudeh203 4 роки тому +29

    WASAFI CHAMA LAO

  • @halimanasihu1200
    @halimanasihu1200 4 роки тому +1

    😀😃😃love barnaba

  • @abdulsalaammtipa5309
    @abdulsalaammtipa5309 4 роки тому +6

    jama wa kwanza katishaa

  • @abdilahhamis620
    @abdilahhamis620 4 роки тому

    Haaahaaahaaa haijanivutia jamaa hamjui barnaba boy ana mjua barnaba class pamoja sana on love

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 4 роки тому +6

    My favourite Tv Show from Tz.🤣🤣🤣🤣

  • @edwinmtuka736
    @edwinmtuka736 4 роки тому

    Da mecheka Sana mm naimbaga haleluya barnaba bwana

  • @willyjulius4907
    @willyjulius4907 4 роки тому +60

    Sipendi kutokuwa na ela 😂😂😂

  • @priskilamajengo8683
    @priskilamajengo8683 4 роки тому +1

    Mo Sanya wampe zawadi tu ya Gari ile waliosema Kila mwisho wa mwezi wa tawapa wafanyakazi Bora anajituma Sana huyo kakaa😍

  • @swahibamohamedyswahiba4832
    @swahibamohamedyswahiba4832 4 роки тому +3

    Barnab anawez bhn ❤❤❤

  • @aspaslove113
    @aspaslove113 4 роки тому

    mtu mpole Barnaba namkubali mshikaji all love from Rwanda

  • @alostipersephjoo3701
    @alostipersephjoo3701 4 роки тому +6

    Dah yechu sana wakuu pamoko xnaa

  • @purityangle
    @purityangle 2 роки тому

    Mwenyewe namkubali sanaaa love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪😘😘

  • @mashajohanes7727
    @mashajohanes7727 4 роки тому +35

    Aliemwona shabiki wa yanga anaemkubali barnaba classic huku akimponda barnaba boy alike hapa twende sawa😅😅😅

  • @UserQA0111
    @UserQA0111 4 роки тому +1

    My favorite star Barnaba 😍😍

  • @dumakaecj1756
    @dumakaecj1756 4 роки тому +5

    Nakumbali barnaba class

  • @valeriachipeta774
    @valeriachipeta774 4 роки тому

    Barna nakupenda bure kaka angu. Nampenda sana diamond as my role model but nakupenda sana as my number one talented singer. Unajua sana babaa asiekuelewa hajui kuimba

  • @emmyyahya8358
    @emmyyahya8358 4 роки тому +7

    Nataman hichi kipindi kiwe kilasiku daa noma sana 😂😂

  • @shabanrashidrajabu7629
    @shabanrashidrajabu7629 4 роки тому +39

    Yan ndio utamin bongo ndio nchi pekee inayongoza Kwa majungu

  • @debest4164
    @debest4164 4 роки тому +12

    Sanya on air🔥🔥🔥🔥🔥🔥🌏🌏🌏🌏

  • @haythamsalim9724
    @haythamsalim9724 4 роки тому +56

    Nembo ya mtaa ... Kipindi changu bora kitaa km na ww pia kipind chako bora gonga like tuwe sawa

  • @ibrahimkhatibu4561
    @ibrahimkhatibu4561 4 роки тому +4

    Ila wabongooo🙌🙌

  • @celinefabian333
    @celinefabian333 4 роки тому

    Mashabiki mungu anawaona

  • @fatumamfaumeilawatafulia834
    @fatumamfaumeilawatafulia834 4 роки тому +11

    GONGA BT 🔥💕👈

  • @sulemandaud2967
    @sulemandaud2967 4 роки тому

    Eti haleluya daah wabongo hatutaki kabisa kusema sijui🙌🙌

  • @paulmgoli4853
    @paulmgoli4853 4 роки тому +7

    Uyo mwana wa kwanza kaua 😁😂🔥

  • @motuber1228
    @motuber1228 4 роки тому +1

    Jamaaa kajitahidi mi sijui hata mstar mmoja

  • @dreamfighiter8401
    @dreamfighiter8401 4 роки тому +12

    Qareeeeeee🔥🔥🔥🔥

  • @wassobrillant1888
    @wassobrillant1888 4 роки тому +1

    barnaba jiamini sana kaka unanjua sana mimi ni fans wako mze buja tunakukubali

  • @lamecknkini57
    @lamecknkini57 4 роки тому +16

    Bonge moja LA kipindi wasafi hakuna show mbovu

  • @zabibunduwimana4612
    @zabibunduwimana4612 4 роки тому +1

    Kukosa pesa sipendi😂😂😂🙌🙌Sanya😍😍

  • @Cheche_Boy
    @Cheche_Boy 4 роки тому +7

    Mo town Sanya 🔥 🔥

  • @mohamedmnjeja70
    @mohamedmnjeja70 4 роки тому +1

    Creativity.. 100%

  • @swahibamohamedyswahiba4832
    @swahibamohamedyswahiba4832 4 роки тому +3

    Barnaba love you ❤❤

  • @victormoshi8400
    @victormoshi8400 4 роки тому +6

    Ila Barnaba kwenye hii interview umekula tano hatari, lazima ukachue mkono aseee

  • @khadijazinga8173
    @khadijazinga8173 4 роки тому +11

    Mm uwa nacheka gonga beat tu

  • @berthamwalu8689
    @berthamwalu8689 4 роки тому

    Hhhaaa aleluya aah nimecheka sana!! Nakukubali sana barnaba

  • @sitiabubakar2892
    @sitiabubakar2892 4 роки тому +56

    Yaani nimenotice mtanzania akipata mike na camera hawezi acha Ongea chochote hata kma hajui chochote 🤣🤣Eti barnaba ameiba haleluya

  • @rickyfyne7795
    @rickyfyne7795 4 роки тому

    Nyc mmetisha sana.

  • @heriholder1625
    @heriholder1625 4 роки тому +57

    JEJE Mziki mwingine kabsaa ukitaka kujuwa balaa lake Uwe ktk Sabufa.

  • @bboy2560
    @bboy2560 4 роки тому +1

    Daaah washikaji wanaimba kichina nawakubali sana

  • @fanny7565
    @fanny7565 4 роки тому +62

    Mashabiki wanafki😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @hakitv4717
    @hakitv4717 4 роки тому

    Hata mm Nakupendaga kinyama halafu ameokoka huyo jamaaa Nakupenda cna ! Na una Moyo Safi lazima utamuona Mungu Baba!

  • @junuferjinu1444
    @junuferjinu1444 4 роки тому +38

    Ikifika kwa vibogoyo ndona kufa mbavu zangu😂😂😂😂😂😂😂😂😀SANYA UTALIPA MBAVU ZANGU

    • @mgenisuleiman56
      @mgenisuleiman56 4 роки тому +1

      🤣🤣🤣🤣 yaaaani nimecheka kama fala vile aky

    • @NimuFx
      @NimuFx 4 роки тому +1

      kweli na mimi nimekufa apooo

    • @iddymvukuye2502
      @iddymvukuye2502 4 роки тому +1

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @junuferjinu1444
      @junuferjinu1444 4 роки тому

      YANI MM SIKUBALIATA KIDOGO KUFANYIWA HIVI😂😂😂😀😀

    • @zuleikhakhamis3303
      @zuleikhakhamis3303 4 роки тому

      @@junuferjinu1444 unakua hujui @

  • @nadramohd7699
    @nadramohd7699 4 роки тому

    Nimecheka had bc jmn ila mtangazj umetsha barnaba much Lov from znz

  • @hassaniothumani5501
    @hassaniothumani5501 4 роки тому +4

    Wabongo wanafiki sana 😂😂😂😂🔥🔥🔥

    • @poshney1204
      @poshney1204 4 роки тому +1

      Kama huyo wa kwanzaaaa ana unafiki wa degree

  • @mankalema7182
    @mankalema7182 4 роки тому +1

    Haleluyaa Bamba baa ,😁😁😁

  • @brightnesshawa1089
    @brightnesshawa1089 4 роки тому +4

    Barnaba M2 na Nusu M2 Fundi Mtu Hataree🔥🔥

  • @zenadaudzena2849
    @zenadaudzena2849 4 роки тому

    My favorite barnaba

  • @beautywithnay5974
    @beautywithnay5974 4 роки тому +9

    Uyo baba mwenye kofia muongo sana yaani anaonganisha umoumo 😂😂😂😂kumbe ajui chochote nimecheka baraha

  • @amissahassan495
    @amissahassan495 4 роки тому

    Jamani BARNABA nakukubali sana and ILOVE YOU SO MUCH💕😍😘