PIERRE LIQUID ALIVYOGEUKA KUWA BABA DIAMOND/ ACHUKUA NAFASI YA PAUL MAKONDA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 281

  • @kingbidax9053
    @kingbidax9053 4 роки тому +3

    Baba yangu kanipgia remix rudishaah juuu rudishaah juuu wee moo sanya mbunifu fire🔥🔥

  • @everlineeverline105
    @everlineeverline105 4 роки тому +14

    Napenda huyu mtangazaji sana. Big up.

  • @alphoncekikolola7321
    @alphoncekikolola7321 4 роки тому +28

    Sema Dunia wanayoishi hawa jamaa ni nzuri Sana inawezekana haina hata stress

    • @beckamsafi2897
      @beckamsafi2897 4 роки тому +4

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣wew acha tyuuu adii makonda awamjui dah

  • @martinerichard5827
    @martinerichard5827 4 роки тому +10

    Daaaaah ufwalaaaa kweli Teh teh Baba ake Nasibu Piere teh teh

  • @wakujanation7539
    @wakujanation7539 4 роки тому +5

    Axe me nawakubaliii sana

  • @shabanimwinchea2696
    @shabanimwinchea2696 4 роки тому +10

    Hiki kpnd mwanzo mwisho n hatariii, watu wanatoa Maboko Maboko hatariii, gonga beat🔥🔥🔥🤣🤣🤣

  • @siwemasaid2619
    @siwemasaid2619 4 роки тому +10

    Kipindi hikiii chanikoshaa gongaaaa beat 🤣🤣🤣🔥🤣🤣🔥

  • @brobabuu3973
    @brobabuu3973 4 роки тому +47

    Kwa yeyote anayesoma hii..
    nakuombea Baraka na maisha marefu yenye mafanikio tele. siku njema iwe kwako na kwa familia yako YOTE.! Ikikupendeza waweza pita kwenye channel yangu napost mada mbali mbali za biashara na mafanikio uweze kujifunza jambo siku ya leo. Kwa pamoja tutafanikiwa!!

  • @remikiusmahela1087
    @remikiusmahela1087 4 роки тому +169

    Hiki kipindi na view sijawai pata like ebu nipen na mm zangu

  • @imathomas5597
    @imathomas5597 4 роки тому +14

    Hakuna kama mo town😂😂😂😂😂💪💯

  • @zulekhaally3524
    @zulekhaally3524 4 роки тому +12

    Mmmm ngoma ya leo ngumu aseee washikaj wamefeli lugh

  • @delsbeatstz4732
    @delsbeatstz4732 4 роки тому +28

    Pombe anakunywa Piere, wanalewa wapita njia 🤣🤣

  • @hamzamoshi8275
    @hamzamoshi8275 4 роки тому +6

    Motown sanyaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🌍🌍🌍🌍✔✔

  • @trumpson1442
    @trumpson1442 4 роки тому +6

    Huyo mzeee kaua hatariiiiiiiii!!! Daaah nimecheka hadi mbavu zimeniumaaa

  • @britonngale6644
    @britonngale6644 4 роки тому +5

    Hatare sana

  • @habibasallah8139
    @habibasallah8139 4 роки тому +4

    Mashaallah kipindi ichi nikizuri

  • @muurock2177
    @muurock2177 4 роки тому +28

    Fanyeni muje Zanzibar kila siku bongo

    • @signalboy4260
      @signalboy4260 4 роки тому

      Rico Single atawawakilisha vyema

    • @marechojohn4289
      @marechojohn4289 4 роки тому

      Kuna wasaniii huko🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @khamoshmikidadi9262
      @khamoshmikidadi9262 4 роки тому

      Yan ulikua n ndoto km yng waje n kwetu tuinjoi zaid

    • @khamoshmikidadi9262
      @khamoshmikidadi9262 4 роки тому

      @@marechojohn4289 kwn lazim kuwe n wasanii ao ao walokuepo bongo tunawajua

  • @mcdw8043
    @mcdw8043 4 роки тому +6

    Hatari 🙌 🙌 🔥

  • @bakarimussa6785
    @bakarimussa6785 4 роки тому +1

    Imekaa poa Sana mkali

  • @yousufswaleh354
    @yousufswaleh354 4 роки тому +1

    Mumeuwa Sanaa wanangu

  • @leylamohamed9939
    @leylamohamed9939 4 роки тому +3

    MOTOWN una tabia mbaya sana sehemu ya GongaBeat ... Hahahaaaa #FunnySession😁🤣

  • @omaryshabanomaryomaryshaba4644
    @omaryshabanomaryomaryshaba4644 4 роки тому +7

    Mamaeeeeee

  • @fundimiguuclassicweartz4787
    @fundimiguuclassicweartz4787 4 роки тому +1

    Chapaa hakunaaaa👐👐👐👐

  • @stewartjohn5338
    @stewartjohn5338 4 роки тому +7

    Duuh kweli dunia simama nishuke mm 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @eliavynnwasi6175
    @eliavynnwasi6175 4 роки тому +8

    Liquid fire iko kileleni,mama nakufa na liquid konki fire

  • @johngodwin8281
    @johngodwin8281 4 роки тому +11

    Yaan wabongo muchknow hawajawah sema hawajui ktu

  • @benjaminsemwenda9035
    @benjaminsemwenda9035 4 роки тому +12

    Haahaaa Daaaah! ILa wabongo wamenishinda tabia, kwan kitu kama hukijui si useme sijui mbona sio ushamba

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 4 роки тому +25

    Hawa watu hawapo kwenye social media hata kidogo ulimwengu huu km haupo social media basi wew upo ulimwengu mwengine ya dunia huwezi yajua hata kidogo

    • @haimahaima9473
      @haimahaima9473 4 роки тому

      😂😂😂alaf kma wanawajuag kabsa wanavouliza

    • @fredylucas2484
      @fredylucas2484 4 роки тому

      Ndiyo maana hua nawaambia kina Zitto Kabwe wanapoteza muda kushinda Social Media kujinadi. Wapiga kura wenyewe ndiyo hawa.

  • @khamoshmikidadi9262
    @khamoshmikidadi9262 4 роки тому +7

    Piere mjinga kweli eti alipoitwa mheshimiwa abee 🤣🤣🤣

  • @mwambarock3696
    @mwambarock3696 4 роки тому +13

    Gonga beti daaaa 😂😂😂😂😂

  • @junuferjinu1444
    @junuferjinu1444 4 роки тому +4

    Kutiana aibu tuuuu eti rudi juujuuuu😀😀😀😀😀😀😀😀😀🙌🙌🙌

  • @dyanamotz
    @dyanamotz 4 роки тому +1

    Kalivyo jifanya Makonda

  • @youngyayoo2805
    @youngyayoo2805 4 роки тому +11

    Tanzania wengi hawana simu nimegundua🇰🇪

    • @josephstephen2047
      @josephstephen2047 4 роки тому

      Unapakatwa wewe

    • @joycechaz2840
      @joycechaz2840 4 роки тому

      Mmh una uhakika na unachokisema?

    • @ommietrendz7175
      @ommietrendz7175 4 роки тому

      Tanzania inaingia top 3 Africa nzima kwa kuwa na watu wengi watumia simu smart ila huyu ni nani katika jamii haeleweki sasa watu hawana habari nae

    • @malisamasawe3646
      @malisamasawe3646 4 роки тому

      Pluto Man nimecheka ila umempa kinacho mfaa😂😂😂😂

    • @hassanmassaga2476
      @hassanmassaga2476 3 роки тому

      Endelea kugundua tu

  • @musitemusite4316
    @musitemusite4316 4 роки тому

    Amina

  • @juxjemc5768
    @juxjemc5768 4 роки тому +8

    Doohh hii leo umekipatia kipindi chako

  • @evelinaluvata1471
    @evelinaluvata1471 4 роки тому +2

    Et kwan pomakonda ndo huyo hahahaha🤣🤣🤣🤣🤣kacheka kizarau sana

  • @salimmawiya6473
    @salimmawiya6473 4 роки тому +1

    Hapa wasafi mnatuzinguwa

  • @stansilauseliasi7883
    @stansilauseliasi7883 4 роки тому +3

    Kamatia chini hiyo

  • @controlTheoryChamps
    @controlTheoryChamps 4 роки тому +4

    Pierre umezingua, unamwambia mshkaji atukuze lugha ya Taifa wakati wewe mwenyewe unashinda ukisema "It's OK, It's OK"

  • @hahmadhabibu2076
    @hahmadhabibu2076 4 роки тому +3

    Liquide kumbe mfupi😁😁but I like this guy

  • @yassirgk3954
    @yassirgk3954 4 роки тому +5

    Hahah amenimaliza piere anavoshangaa hahah kama anataka kupaa chiiiiii

  • @dieudonmasudi9432
    @dieudonmasudi9432 4 роки тому +7

    sasa watu kama hawa wanahishi katika dunia hii tulimo kweli😁😁😁eti makonda

  • @ramadhanineneza7317
    @ramadhanineneza7317 4 роки тому +17

    Aisee hapa Tanzania kuna watu hawamjui Paul Makonda kumbe kuna watu hawamjui hata JPM .ndio maana ukiona msafala wa wanasiasa watu wanakuwa wengi wanadhani wote ni wanachama wao kumbe wengine wanaenda kushangaa tu

  • @idrisatv5540
    @idrisatv5540 4 роки тому +10

    Jamani mimi mdau mwenzenu embu naomba like

  • @briankarua2131
    @briankarua2131 4 роки тому +1

    Ebwana dogo kama van dirgjick wa liverpool au thurham mpiga masumbwi....nimeipenda hugo style bongo sijaona umebamba maya...👊👊👍.

  • @manbonge3015
    @manbonge3015 4 роки тому +1

    Ume uwa moo town Sanya "kamata chini kamatia chini" 🔥🔥🔥😂😂😂

  • @veramusic6310
    @veramusic6310 4 роки тому +2

    mo town sanya umetisha sana kitaani hapo mbagala zakhem huyo mzee anaimba anaitwa mzee money alikuwa baharia kitambo anazingua kinoma yaniii😅😅😅😅

  • @xerxespersian1384
    @xerxespersian1384 4 роки тому +3

    Daaaaaaaaaaaaaaaa me nimejifunza kitu ktk hii clip

  • @shukurufelisi2774
    @shukurufelisi2774 4 роки тому +1

    noma

  • @allysikiweni1173
    @allysikiweni1173 4 роки тому

    Muuza maji man of the match

  • @sullehtz9327
    @sullehtz9327 4 роки тому +1

    Pierre Liquid amekuwa Paul makonda🤣🤣🤣afuhh amemuosheya huyo jamaaa

  • @temboebeati5293
    @temboebeati5293 4 роки тому +4

    Nyie jamaa mnachagua watu wasio jielewa mnawafata😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁

  • @francisruambothetechnician
    @francisruambothetechnician 4 роки тому +8

    Unajua we sanya unatisha kinoma, unawasapoti na miondoko

  • @djgeorgekiller3617
    @djgeorgekiller3617 4 роки тому +35

    Ivi Hawa jamaa wanaishi dunia ya Wapi🤣🤣🤣🤣🤣😂😂

  • @Noah-se3ni
    @Noah-se3ni 4 роки тому +3

    Waimbaji wenyewe ni Shida Kweli Kweli 😁😁😆

  • @bongelabwana7523
    @bongelabwana7523 4 роки тому +4

    Kipindi bora mwaka 2020 hahahaha hahah ahahahahahah ahahahaha :D

  • @officialjclever9879
    @officialjclever9879 4 роки тому +6

    Hahahahahaha mnanipa raha

  • @mossesyulibilao5831
    @mossesyulibilao5831 4 роки тому

    makonda mheshimiwa😃😃

  • @zulekhaally3524
    @zulekhaally3524 4 роки тому +5

    Mmmmmm🤣🤣🤣nimesikia tu koko

  • @joharimussa2552
    @joharimussa2552 4 роки тому +2

    hahahaaa noma sana piere napenda vituko vyako wewe

  • @zulekhaally3524
    @zulekhaally3524 4 роки тому +5

    Wakwanza leo

  • @Bullah_tz
    @Bullah_tz 4 роки тому +4

    Mo town sanya napendaga sana code zako asee izo t-shirt zako sijui unatoaga wap asee

  • @wallasfoundation2389
    @wallasfoundation2389 4 роки тому +9

    Tatizo wa bongo tuko wajuwaji saana kila kitu tunajifanya tunajuwa😃😃😃😃'Paul Bashite njoo uku uone washenzi .

  • @rehemaseifrehema7499
    @rehemaseifrehema7499 4 роки тому +2

    My 8th fb

  • @mekumeku2484
    @mekumeku2484 4 роки тому +1

    Ndo ujue sio kila ujuacho wote wanajua

  • @erickboy5336
    @erickboy5336 4 роки тому +8

    Ndugu zangun lik jomn wapendwa

  • @isaaacnewtontv1269
    @isaaacnewtontv1269 4 роки тому +5

    Motown sanya nembo ya mtaa

  • @mayasajuma1985
    @mayasajuma1985 4 роки тому +2

    Muuza maji kavunja rekodi ☝️😂😂

  • @cutebaby3247
    @cutebaby3247 4 роки тому +9

    Ila Pierre ni comedy tosha😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @sweetprincess4771
    @sweetprincess4771 4 роки тому +2

    Yaan wey mkaka siku ni kikukuta ntakimbiaaa😁😁😁😁daah Maan sitaki kutoa bokooo nije kujikut mbele ya wajumbee

  • @zulekhaally3524
    @zulekhaally3524 4 роки тому +9

    Sanya mwehu kwel adi beseni umembebea 🤣🤣🤣Eti disadisadisaaa

  • @fahmijuma3617
    @fahmijuma3617 4 роки тому +3

    🤣🤣🤣🤣yani kwenye kuimba duh 😂 unawawezeaga sana

  • @mussamussa8181
    @mussamussa8181 4 роки тому +1

    duuuuuuuu bongo noma

  • @mpigadili
    @mpigadili 4 роки тому +2

    Yaani nyinyi mna dhambi sana😂😂😂, Watu wazima mnawafanya kama Watoto😂😂😂

  • @VC-oo3cj
    @VC-oo3cj 4 роки тому +1

    Niko zangu Moçambique nawaona mosanya.fanyeni munipe Lik zangu jameni

  • @hellyally4395
    @hellyally4395 4 роки тому +6

    hichi kipindi bhn lazma niwekage salio kila j4 niaangalie axeee 💪💪💪

  • @ankotwaha4598
    @ankotwaha4598 4 роки тому +3

    Uyuuuuuuu chingaaaa Wa Dúína nishidaaaaaa🙀☠️😸😸😸😸🙈🤖👾 Ílà nn Nembô ya mtaaaaaaaaaà

  • @gracethomas683
    @gracethomas683 4 роки тому +2

    Wa kwanza eti hadi muda wa kipindi kasema duuh😆

  • @ommybiggie4825
    @ommybiggie4825 4 роки тому +8

    Hahaha paul makonda,,,🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂🤣🤣🤣🤣🤣😂

  • @beckajunior3829
    @beckajunior3829 4 роки тому +1

    Angali mo town utakuja kukunjwa 😂😂 watu wanaimba kamatia chini afuu anapiga remix mwenyewe

  • @hawaynatimam982
    @hawaynatimam982 4 роки тому

    Tatizo izo ngoma Zina na kiingereza ukizingatia wengi wao hatujui

  • @ayubukassim7995
    @ayubukassim7995 4 роки тому +9

    😂😂😂 Eti piere leo kawa Rayvanny🙌🙌🙌

  • @vicentmayanda3935
    @vicentmayanda3935 4 роки тому +7

    dah🤣🤣🤣🤣 eti makonda

  • @mbeuzaseleman7392
    @mbeuzaseleman7392 4 роки тому +2

    Huyu mzee hanavyoimba halaf kashika bado kiki 😀😀

  • @gftdaniel2198
    @gftdaniel2198 4 роки тому +16

    🤣🤣🤣baby kapig remx et rudish juuuuu

    • @kiredio_
      @kiredio_ 4 роки тому

      Yan mzee kanichekesha sanaaaa

  • @inearclassictz1233
    @inearclassictz1233 4 роки тому +3

    Pieree

  • @al.mansoor_baluch6647
    @al.mansoor_baluch6647 4 роки тому

    Ttzo wa tz wango sana
    Mtu awamjui wanakubali

  • @allykaizar6242
    @allykaizar6242 4 роки тому +4

    Pierre eti abee

  • @denisfred1294
    @denisfred1294 4 роки тому +1

    Kwani hawa watu wanaishi wapi !!

  • @fanuelycliff1912
    @fanuelycliff1912 4 роки тому +4

    Waliokuwa wanamsubiri liquid mpoo

  • @elizabethkizota3474
    @elizabethkizota3474 4 роки тому +1

    Gonga beat😁😁😁😁😁😁

  • @34wolfman74
    @34wolfman74 4 роки тому +4

    baba kegan .....vany boy.....baba naseebu😂😂😂😂😂😂😂

  • @joackimmapunda4697
    @joackimmapunda4697 4 роки тому +5

    Waonyeshen na madem wanavokosea kuimba sio kilaa siku wahuni tuu,mnatuonea sema "wana mnatoa maboko saana "

  • @fizzozimba
    @fizzozimba 4 роки тому +3

    Duuuuh mwamba mfupiii kinomaaa😂😂😂

  • @mbwanahussein2014
    @mbwanahussein2014 4 роки тому +5

    Sijawahi comment ila hawa jamaa wa gonga biti😂😂😂😂

  • @genovivakahema5655
    @genovivakahema5655 4 роки тому

    Hi

  • @rapmorizo
    @rapmorizo 4 роки тому +3

    DAH,, ET HAYO "MANENO YA KIBIASHARA"

  • @jasminyiddysulaiman9807
    @jasminyiddysulaiman9807 4 роки тому

    Wana wanatoa maboko sn..Mo T Sanya mi nakukubaleee kinyamaaa

  • @eidkhan6024
    @eidkhan6024 4 роки тому +1

    😂😂😂😂Iyo kamatia chini ni balaa

  • @tatiya6883
    @tatiya6883 4 роки тому +1

    yani mtangazaji mukaushi wanavyo imba ye yupo kimya🤣🤣😀😀