Asante sana mtumishi kwa kutufunulia mambo ya Kiroho. Nmejiona ni uchi kiroho kwa dhambi zangu za ulevi, uasherati, uzinzi na nyingine nyingi. Naomba Mungu anirehemu na kunijaza roho wake mtakatifu ili aniongoze na kunifundisha yale yanipasayo kuyatenda na kunionesha sehemu sahihi ya kuabudia. Amen
Kuishi na Roho mtakatifu ni 1.Kuzaliwa kwa mara ya pili na ndio unakua mfuasi wa Yesu 2. Naye anakuvuvia Roho Mtakatifu.Maana utaishi kwa Imani ya Kristo na ndio Mktristo mwenye. Waktristo ni Wengi ila matendo yao hayafanani na Kristo Yesu.
Shaloom mtumishi shuhuda zako ni amini.........unapofundisha au kuhubiri tamka....BWANA.. ukimaanisha .....YESU..... au tamka .... BWANA YESU.... usitumie .....YESU.... tupu.......YESU ni Jina tukufu,ni Jina kuu,ni Jina lipitalo kila jina.......ahsante
@@adriannebatakanwa6904 YESU sio jina la kawaida ni jina la Mungu mwenyewe....hata KRISTO BWANA mwenyewe alikiri na kudhihirisha hivyo... Yohana 5:43...Mimi nimekuja kwa Jina la BABA yangu....Yohana 17:6 Jina lako nimewadhihirishia.....Yohana 17:11-12,26 Soma Bible yako vizuri Thenashara wote hakuna aliyethubutu kumuita YESU maaana walimjua kuwa ni Mungu...na hawakuruhusiwa kulitaja bure Jina la BWANA Mungu wako iliwalazimu kumuita Rabi(Mwalimu) au BWANA YESU ni Jina ambalo KRISTO BWANA alilirithi baada ya mauti ya msalaba Ebrania 1:4 ,& Fililip 2:8-11 Kristo aliitwa YESU baada ya Mauti ya Msalaba kabla ya hapo walimuita KRISTO.....Mathayo 1:16.....pia walitumia jina YESHUA(MWOKOZI) Narudia tena YESU sio jina la kawaida kwa Mujibu wa Filipi 2:9-10 Nionyeshe wewe andiko linalotuonyesha YESU ni Jina la kawaida tafdhali
@@godphreypriest9714 hapana bibilia yenyewe imedhihirisha kuwa kuna yesu zaid ya mmoja isipokuwa Bwana Yesu ndie mmoja sikumbuk vzuri kuwa ni mstai gani ila nimesoma katka biblia
Mahubiri yanachoma sana, Wahumini wapo wachache sana, Wakristo wa sasa, tunapenda miujiza ya chumvi, maji na mafuta. Injiri inachoma sana. Mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana 🙏
Yaaan mie hapo kwenye ivo viszidizi/mbadala kw jina l Yesu nashindwaga kuvielewa su cjuw imani yangu hapa? N Mungu anisaidie n kuniongezea kiasi ch Imani kwkweli
Mwanamke kuwa mchungaji kwanza asiwe na mapambo yaan kujiremba, pia avae mavazi ya kujisitiri pili awe amefunikwa kichwa chake, tatu na mwisho awe ameitwa na Mungu mwenyewe yaan amwambie nataka uwe mtumishi wangu uchunge kanisa . Ubarikiwe@@thobiasbukali9008
Ushuda huu ni kweli na amini, na heri masikio na macho yaliyosikia na kuona kisha kuzingatia, Mungu ambariki sana dada Esta Masanja. Katika jina la Bwana Yesu, Amen.
Mtumishi wa Mungu Esta YESU akubarki, mimi naomba kama inaweze kana uende hata mikoani kwani wapo wengine hawanag hizi simu kubwa kwa hiyo hawayasikii haya unayo tushuhudia
Ubarikiwe sana na Mungu mafundisho ya meningusa sana naomba roho mtakatifu aniongoze Amen 🙏 Mungu azidi kukulinda utukufu wake Mungu ukawe juu yako mutumishi
Duuh.! Lakn nashukuru kwa kuwa BWANA WETU YESU amekwisha kutuonya kwmba watatokea manabii wa uongo watadanganya, yumkini hata wateule watadanganywa na kupotea! Jaman watu someni maandiko na kuomba, shetan yupo kazn
Mungu amekutuma Kuombea kanisa la Tanzania 🇹🇿, nami niko pamoja nawe, Asante sana kwa ujumbe wenye upako wa hali ya juu. Ubarikiwe sana mama kwa ujumbe mzuri.
Mimi nkifikiria Yale yanatendeka huko kuzimu na hizo hukumu vile zinatolewa kwa makosa madogo madogo tusiyoyadania kwa kweli Mimi hujiona si kitu kabisa na ata mwili wangu huisha nguvu haswa nikiona vile kanisani wanawake wanavaa na kujipamba alafu wanabidii na kazi za mungu wengine wamezeeka na hawajaacha mapambo na yesu hajatuma mtu huku pwani kenya kuonya watu moyo wangu unauguwa Sana Sana wokovu si rahisi Asante Sana promover Tv kwa kazi nzuri munayoifanya nmeshikia mengi kutoka kwa hii tv kilichobaki ni Mimi mwenyewe kuchukuwa uamuzi na kutengeneza na bwana ,wabarikiwe watumishi wote waliotumika kutuletea habari njema neema ya bwana wetu yesu Kristo iwe pamoja nanyi
Kwani wokovu ni mpango wa Mungu kwa wanadamu au ni mpango wa mwanadamu kwa Mungu.maana kama ni mpango wa Mungu ni kazi ya Mungu kukuokoa na wokovu ni kazi kamilifu ambayo ilishafanywa miaka elfu mbili iliyopita..
@@annkim2690 mmmh!!! Hakika haya mazingiza yalivyo huku ata naogopa utaambiwa unajifanya umeokoka Sana wengine watasema ni mafundisho ya uongo juu mungu anavitakasa vitu vyote kazi ipo
@@amanisaa1426 itabidi ukawaambie sasababu unataka kwenda mbinguni sababu usipo waambia Yesu ataenda kukuuliza ufikapo huko juu mbona ulijua kweli nahukuwaambia wenzako
Ushuhuda wako dada unaendana na maandiko matakatifu. Hivyo naamini umeoneshwa mafunuo ya kweli. Neno linasema tupime mambo yote mimi nimepima kwa mujibu wa maandiko na hazipingani. Mungu akubariki endelea kumtumikia huyu Yesu.
1timotheo 5:24 dhambi za watu wengine zi dhahiri zawatangilia kuingia hukumuni.... Matendo ya mitume 19:17-19 tubu dhambi zako ndugu yangu usiangalie dhihaka za wanadamu Ezekiel 18:2-4=20 usikubali kufa ingali neema ya wokovu ipo Mungu akusaidie sana
Pole yako wewe unaeamin yesu ni mungu, mungu lazima awe tofauti na viumbe wake, mungu hajazaa wala hajazaliwa na yeye ndiye muumbaj , mfalme wa mbingu na ardhi na kila kilichomo.yesu ni nabii
Naam, na zaidi ya nabii! Ikiwa wachawi wanaweza kujigeuza paka au fisi, Je, Mungu ashindweje na mwanadamu kujibadilisha kuwa mwanadamu nabii na Mungu? Yesu ni Mungu ila hujamwomba tu ajifunue kwako uuone utukufu wa uungu wake! Mimi ninaamini kwamba Yesu ni Mungu.
Tatizo amfuati maandiko Yesu Kristo alikua na ule ubinadamu asilimia 100 na Uungu pia vivyo hivyo .Sasa ni kitu kimoja tu yeye ametuaminisha kutoa mapepo kwa jina lake .sasa kama mapepo yanamtii huyo ni nani? Wewe unafikiri mapepo yanamuogopa mtu? Jaribu kwa mitume wote wa Mungu kama yatatii.Tafuta kweli nayo itakuweka huru.
Kila mtu anaepata maono kama hivyo aheshimiwe maana wapo watu wanaweza kubadilika na kumcha Mungu mara baada ya kuskia simulizi ya hivyo. Haijalishi kama ni maono na maelekezo ya Yesu mwenyewe au ni utashi wa msimuliaji. Ile sherehe ya Mbinguni kwa mtu mmoja kuokoka haijali mtu kaokoka Kwa sababu ya nini.
Praise be to God 🙏 your story is very inspiring,, though there are alot noise and movements.wish kuna watu wanaeza control hao watoto ndiposa tuweze kukupata vilivyo mbila interactions.mungu atuonekanie.
Mungu hakubaliki sana mtumishi wa mungu huo n hushuunda wa kweli namuomba mungu hakusaindie
Mungu hakubaliki sana mama angu kwa shuunda hii
Asante sana mtumishi kwa kutufunulia mambo ya Kiroho. Nmejiona ni uchi kiroho kwa dhambi zangu za ulevi, uasherati, uzinzi na nyingine nyingi. Naomba Mungu anirehemu na kunijaza roho wake mtakatifu ili aniongoze na kunifundisha yale yanipasayo kuyatenda na kunionesha sehemu sahihi ya kuabudia. Amen
Usijali Mungu wetu ni WA rehema husamehe na kusahau Cha msingi ungama na kuacha Mungu ni mwaminifu na WA rehema
Amen
Bwana akutendee sawasawa na haja ya moyo wako 🙏🙏🙏
Nitakua nakukumbuka Kwa maombi
Anza kwa kusoma neno,kusali,na kuomba kila siku mfululizo
Mungu atusaidie me nauliza je ntapataje kujua kama Nina tembea na roho mtakatifu natamni sana kuishi maisha yakumpendeza mungu
Kuishi na Roho mtakatifu ni
1.Kuzaliwa kwa mara ya pili na ndio unakua mfuasi wa Yesu
2. Naye anakuvuvia Roho Mtakatifu.Maana utaishi kwa Imani ya Kristo na ndio Mktristo mwenye. Waktristo ni Wengi ila matendo yao hayafanani na Kristo Yesu.
Shaloom mtumishi shuhuda zako ni amini.........unapofundisha au kuhubiri tamka....BWANA.. ukimaanisha .....YESU..... au tamka .... BWANA YESU.... usitumie .....YESU.... tupu.......YESU ni Jina tukufu,ni Jina kuu,ni Jina lipitalo kila jina.......ahsante
Pia Yesu ni jina la kawaida mtu yeyote aweza kuitwa Yesu, ila Bwana Yesu ni mmoja tu. Bwana Yesu Kristo.
Hilo ndo tatzo lenu wabongo hamkosi ukosoaji kwenye lolote🤓
@@adriannebatakanwa6904
YESU sio jina la kawaida ni jina la Mungu mwenyewe....hata KRISTO BWANA mwenyewe alikiri na kudhihirisha hivyo... Yohana 5:43...Mimi nimekuja kwa Jina la BABA yangu....Yohana 17:6 Jina lako nimewadhihirishia.....Yohana 17:11-12,26
Soma Bible yako vizuri Thenashara wote hakuna aliyethubutu kumuita YESU maaana walimjua kuwa ni Mungu...na hawakuruhusiwa kulitaja bure Jina la BWANA Mungu wako iliwalazimu kumuita Rabi(Mwalimu) au BWANA
YESU ni Jina ambalo KRISTO BWANA alilirithi baada ya mauti ya msalaba Ebrania 1:4 ,& Fililip 2:8-11
Kristo aliitwa YESU baada ya Mauti ya Msalaba kabla ya hapo walimuita KRISTO.....Mathayo 1:16.....pia walitumia jina YESHUA(MWOKOZI)
Narudia tena YESU sio jina la kawaida kwa Mujibu wa Filipi 2:9-10
Nionyeshe wewe andiko linalotuonyesha YESU ni Jina la kawaida tafdhali
@@godphreypriest9714 hapana bibilia yenyewe imedhihirisha kuwa kuna yesu zaid ya mmoja isipokuwa Bwana Yesu ndie mmoja sikumbuk vzuri kuwa ni mstai gani ila nimesoma katka biblia
Hamna ubaya, dhamiri ndiyo inaashiria anamuongelea nani.. wapo wanaoita Bwana Yesu na wala Yesu hawajui!
Asante sana Mchungaji Mungu azidikukubariki nimeayibika mimi kwadhambi zangu Mungunisamehe niri tendamengi machafu hayampendezi Mungu
Ushuhuda wa kweli ubarikiwe Sana mtumishi Wa MUNGU ✍️
Mahubiri yanachoma sana, Wahumini wapo wachache sana, Wakristo wa sasa, tunapenda miujiza ya chumvi, maji na mafuta. Injiri inachoma sana. Mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana 🙏
Yaaan mie hapo kwenye ivo viszidizi/mbadala kw jina l Yesu nashindwaga kuvielewa su cjuw imani yangu hapa? N Mungu anisaidie n kuniongezea kiasi ch Imani kwkweli
Nashukuru kwashuhuda nakufatakutoka kongo
Waliotokewa na Yesu wa kweli utawajua tu
Awana mapambo
Awana majivuno
Awana kiburi.
Ndio, hawana kiburi. Kiburi cha mwanamke kuwa mchungaji wakati Bible imekataa akiulizwa anasema yeye sio Malaya...
Kabisa Mchungaji mwanamke hatakiwi kuwa Mchungaji ama Askofu?
Km wanaume wameliacha kanisa unategemea Nini, maana Mungu anaweza kusimamisha hata mawe yakamsifu😢😢
Mwanamke kuwa mchungaji kwanza asiwe na mapambo yaan kujiremba, pia avae mavazi ya kujisitiri pili awe amefunikwa kichwa chake, tatu na mwisho awe ameitwa na Mungu mwenyewe yaan amwambie nataka uwe mtumishi wangu uchunge kanisa . Ubarikiwe@@thobiasbukali9008
Amen barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa ujumbe mzuri Mungu atupe neema ili tuweze kuenenda jinsi impendavyo
Ushuda huu ni kweli na amini, na heri masikio na macho yaliyosikia na kuona kisha kuzingatia, Mungu ambariki sana dada Esta Masanja. Katika jina la Bwana Yesu, Amen.
Ubarikiwe na YESU KRISTO
Mtumishi wa Mungu Esta YESU akubarki, mimi naomba kama inaweze kana uende hata mikoani kwani wapo wengine hawanag hizi simu kubwa kwa hiyo hawayasikii haya unayo tushuhudia
Ubarikiwe sana
Asante sana dada yangu kwa ujumbe ulio tuletea sisi wana kondoo tulio potea,pia nashukuru sana promover tv 📺 kwa kututumia videos 📹 hizi
Naomba uniombee mtumishi wa Mungu
Barikiwa mtumishi mungu atupe mwisho mwema kwanyakati tilizonazo
Asante Mtumishi MUNGU azidi kukuinuwa na kutupa vyakula vya kiroho.
Ushuhuda mzuri sana, ni injili Tisha tena iliyoshiba sawasawa. Mwenyezi Mungu atusaidie kuishi maisha yanayompendeza. Barikiwa mama kwa ujumbe mzuri.
Amen amen nitafunza watu wa mungu pia nami ivyo ivyo halleluyah
Amina mtumishi wa Mungu tunaomba usiogope kuisemea dunia na itakombolewa
Hizi ndo shuhuda zenye utukufu zinazo endapo na Biblia zingine za kihuni tu Mungu atupe kubadilika tuyaishi maisha ya ki Mungu sahihi
Barikiwa Mtumishi kwa Ushuhuda wa kutujenga!!!
Barikiwa sana mtumishi wa Yesu Kristo wa Nazareti aliye hai
Yesu nisaidie niishinde dhambi Ili katika maisha haya na mwisho wa uhai wangu nikuone wewe.
Asantee mtumishi MUNGU akubariki sana
Amen Amen Barikiwa mno Mtumishi kwa Mungu.
YESU nisaidie najuwa unaweza
Tufuate neno la Mungu,hata awe malaika wa nuru akiwahubiri injili nyingine msimkubali. Manabii wa Mungu wanapewa maono na Roho Mtakatifu.Kaeni macho.
Ubarikiwe mtumishi kwakutufu ndisha mambo ya kiroho
Ubarikiwe mtumishu WA mungu tuna yajuwa mengi kupitiya nyiye
Balikiwa sana dada ester kuwakilisha vyema kazi ya Mungu
Guard my soul Jehovah my God, till I enter rapture.
Barikiwa sana mtumishi hayo mambo unayosema ni kweli kabisa dunia hii saizi mahali imefika ni hatari sana
Yesu Kristo nikumbuke kwenye ufalme wako.
Naichuchumilia taji ya uzima wakati wote.Roho mtakatifu niongoze.
Ubarikiwe sana na Mungu mafundisho ya meningusa sana naomba roho mtakatifu aniongoze Amen 🙏 Mungu azidi kukulinda utukufu wake Mungu ukawe juu yako mutumishi
Bwana Yesu asifiwe daima!
Jamani Mungu mwacheni aitwe Mungu. Tunaona kwa mipaka. Barikiwa sana mama Esta. Jacktan Barikiwa sana. Asante Yesu
Mm kwakweli inahitaji msaada wa Mungu kuelewa haya maoni sijui Ni ndoto sijaelewa
Amina mtumishi wamungu 🙏
Duuh.! Lakn nashukuru kwa kuwa BWANA WETU YESU amekwisha kutuonya kwmba watatokea manabii wa uongo watadanganya, yumkini hata wateule watadanganywa na kupotea! Jaman watu someni maandiko na kuomba, shetan yupo kazn
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu,,umenifundisha jambo kubwa sana. Naomba Mungu anikumbuke sana.
gx
Asante kwa ujumbe mkuu sana, tuombe Mungu kupitia Jina la Yesu atufanikishe tuvuke salama
Asante sana kwa kutufunulia mtumishi🎤🎤🎤
Asante sana Dada yetu kwa ujumbe huu wa nyakati za mwisho , hii ni kwa wote tulioiona na kuisikiliza yatubidi tuokoke na kufuata Yesu!!🙏🙏🙏🙏
Mmmm Mungu tusaidie,tumeanza kuona manabii wa kila aina kama ulivyosema wewe ndio utusaidie kuwa sehemu sahihi
Asantekwa Mungu Yesu atuokowe
Oo halleluya Glory to God
ESTA masanja mungu wetu ni mwema yesu wetu anahuluma sana isipo kua sisi wanadamu ndio mioyo yetu Haina uvumilivu tuombee sana yesu wetu anasamehe
Duh🤭Umejua kujiongeza Madame na utawapata Wendi sana na soon anzisha”kanisa”💪🏿👍🙏🏿
Tell the mockers that the King is coming in glory and majesty every eye will see the King
Nashukuru kwa ushuhuda wenye kumvusha mtu ili amuone Yesu.
😥😥😥😥😥😥😥😥😥BWANA YESU NAOMBA NISAMEHE MIMI NI MDHAMBI..nisamehe sana🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Atusamehe sisi sote
Atusamehe sisi sote niwaovu hooo, Yesu Kristo nishindie hii dunia majararubu ni mengi
Mungu atusaidie kushinda
Yesu Kristo nisamehe dhambi zangu
Mungu amekutuma Kuombea kanisa la Tanzania 🇹🇿, nami niko pamoja nawe, Asante sana kwa ujumbe wenye upako wa hali ya juu. Ubarikiwe sana mama kwa ujumbe mzuri.
Ameni
Naamini Mungu niokoe nampenda Yesu. Dunia inatutesa
Mungu ashukuriwe
Shalom nimependa sana mahubiri yako❤️
huu ushuhuda unaonekana kuwa ni wa kweli . bwana Yesu atusaidie
Nabalikiwa sana 🙏
Barikiwa mama
Sifa zimurudilie Yesu_Christo milele na milele
Karibu kanisan kwetu mbez,,Kwa mchungaji Charles masanja
Ubarikiwe mama angu
Amina San mutumishi
Mimi nkifikiria Yale yanatendeka huko kuzimu na hizo hukumu vile zinatolewa kwa makosa madogo madogo tusiyoyadania kwa kweli Mimi hujiona si kitu kabisa na ata mwili wangu huisha nguvu haswa nikiona vile kanisani wanawake wanavaa na kujipamba alafu wanabidii na kazi za mungu wengine wamezeeka na hawajaacha mapambo na yesu hajatuma mtu huku pwani kenya kuonya watu moyo wangu unauguwa Sana Sana wokovu si rahisi Asante Sana promover Tv kwa kazi nzuri munayoifanya nmeshikia mengi kutoka kwa hii tv kilichobaki ni Mimi mwenyewe kuchukuwa uamuzi na kutengeneza na bwana ,wabarikiwe watumishi wote waliotumika kutuletea habari njema neema ya bwana wetu yesu Kristo iwe pamoja nanyi
Sasa niwewe uende ukawafunze hao kina mama sababu umeijua kweli usinyamaze hata kama ukiweza watumie link ya promover TV
Kwani wokovu ni mpango wa Mungu kwa wanadamu au ni mpango wa mwanadamu kwa Mungu.maana kama ni mpango wa Mungu ni kazi ya Mungu kukuokoa na wokovu ni kazi kamilifu ambayo ilishafanywa miaka elfu mbili iliyopita..
@@annkim2690 mmmh!!! Hakika haya mazingiza yalivyo huku ata naogopa utaambiwa unajifanya umeokoka Sana wengine watasema ni mafundisho ya uongo juu mungu anavitakasa vitu vyote kazi ipo
@@amanisaa1426 itabidi ukawaambie sasababu unataka kwenda mbinguni sababu usipo waambia Yesu ataenda kukuuliza ufikapo huko juu mbona ulijua kweli nahukuwaambia wenzako
Hawa dini gani
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
Amina
Ubarikiwe mtumishi, tulip nje ya dar tunapataje hizo CD na vitabu?
Da! Inatisha sana! Yesu tusaidie sana.
YESU unikumbuke kwenye unyakuo
Yesu tusaidie
Ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana Yesu kwa ujumbe mzuri. Nimepata faida kwa ujumbe wako.
Mungu tusaidie,Amina.
Mungu na aibariki kazi yako na kanisa yako,mtumishi mimi Niko na shinda ya kunyongwa Sana Mara mingi hata huwa naskia vibaya ninaponyongwa
Jifunze kumtegemea Mungu, soma neno lake, imba, omba, achana na matapeli wanaotoa visa vya kusadikika kama hivi ili kuwapata wasiosoma maandiko.
Sali Sana fanya Toba kila wakati Mungu atakutoa kwenye mateso hayo ya kunyongwa
Tutapaje kupona tusipoujali wokovu mkuu namna hii! Yesu uturehemu wanao tulio viumbe dhaifu.
Hua nabarikiwa sana na shuhuda za huyu mama.mungu na amlinde na amuongezee maono zaidi ili aweze jufikia kuokoa walio duniani.🙏
Ushuhuda wako dada unaendana na maandiko matakatifu. Hivyo naamini umeoneshwa mafunuo ya kweli. Neno linasema tupime mambo yote mimi nimepima kwa mujibu wa maandiko na hazipingani. Mungu akubariki endelea kumtumikia huyu Yesu.
@@rev.asanterabi7440 AMEN AND AMEN AND AMEN🙏🙏🙏🙏💞💞💞💞💞💞
@Valentina Mremi RC ndio akina nani dada valentina.
Amen!!! ubarikiwe mama
Hilo neno linanilenga mm nisaidie mtumishi wa mungu
1timotheo 5:24 dhambi za watu wengine zi dhahiri zawatangilia kuingia hukumuni.... Matendo ya mitume 19:17-19 tubu dhambi zako ndugu yangu usiangalie dhihaka za wanadamu Ezekiel 18:2-4=20 usikubali kufa ingali neema ya wokovu ipo Mungu akusaidie sana
Wakati umetimia, na ufalme wa Mungu umekaribia. Tutubu na kumfuata Yesu kidhati.
amina
Ameen Roho Mtakatifu niongoze
Kweli mwenye masikio naasikie.ubarikiwe Sana mama
Mungu akubariki sana mama
Amina mama nimezaliwa upya kiimani
Praise God! This is a true strong soldier of Jesus.may God bless you forever
What is she saying please,any English please share links
Vizur
Mungu atusaidie tuu mpaka naogop
Habari njema ,,Mungu tuogoze tuweze kutenda mema
Pole yako wewe unaeamin yesu ni mungu, mungu lazima awe tofauti na viumbe wake, mungu hajazaa wala hajazaliwa na yeye ndiye muumbaj , mfalme wa mbingu na ardhi na kila kilichomo.yesu ni nabii
Naam, na zaidi ya nabii!
Ikiwa wachawi wanaweza kujigeuza paka au fisi, Je, Mungu ashindweje na mwanadamu kujibadilisha kuwa mwanadamu nabii na Mungu?
Yesu ni Mungu ila hujamwomba tu ajifunue kwako uuone utukufu wa uungu wake!
Mimi ninaamini kwamba Yesu ni Mungu.
Be blessed servant of God
Nimebarikiws sana
Mungu nisaindie
Mtumishi wa Mungu nimebarikiwa sana na ushuhuda na mahubiri ya Mungu
Mungu akubariki mtumishi
Bwana Yesu atusaidie
asanteni sana nimeamini the mafundisho yako ni ya kweli.
Asante mama mungu hana sifa ya kufa
Tatizo amfuati maandiko Yesu Kristo alikua na ule ubinadamu asilimia 100 na Uungu pia vivyo hivyo .Sasa ni kitu kimoja tu yeye ametuaminisha kutoa mapepo kwa jina lake .sasa kama mapepo yanamtii huyo ni nani? Wewe unafikiri mapepo yanamuogopa mtu? Jaribu kwa mitume wote wa Mungu kama yatatii.Tafuta kweli nayo itakuweka huru.
Dada mwenye kijani.kwakweli umenifurahisha hayo maswali yako ndo yaliyojaa moyoni mwangu.Mungu Akubariki
AMINA mtumishi kwa kutuletea ujumbe wa kutuponya roho zetu
Eeeeh Yesu nipe neema ya kuishi maisha matakatifu.
Kila mtu anaepata maono kama hivyo aheshimiwe maana wapo watu wanaweza kubadilika na kumcha Mungu mara baada ya kuskia simulizi ya hivyo.
Haijalishi kama ni maono na maelekezo ya Yesu mwenyewe au ni utashi wa msimuliaji.
Ile sherehe ya Mbinguni kwa mtu mmoja kuokoka haijali mtu kaokoka Kwa sababu ya nini.
Praise be to God 🙏 your story is very inspiring,, though there are alot noise and movements.wish kuna watu wanaeza control hao watoto ndiposa tuweze kukupata vilivyo mbila interactions.mungu atuonekanie.
Search part one ipo vzr
True
Mungu akubariki sana mtumishi was bwana
Hayo mahubiri sipingani nayo lakini stori ya kupelekwa mbinguni mhh kwangu mimi acha tu ipite hivo hivo tu
Shuhuda nzuri saana. Lakini chungeni kanisani mama wenye watoto wakiwanyonyesha wajisitiri, tafadhalini.
Thank you for the massage from God. And God bless you