TAREIKH YETU MSIMU WA PILI (SILSILA 1): Pwani ya Afrika Mashariki - Eneo na Watu Wake
Вставка
- Опубліковано 21 вер 2024
- Huu ni Msimu wa Pili wa silsila zetu kukhusu tareikh ya Pwani ya Afrika Mashariki na Sheikh Riadh Al Busaidi anauanza kwa kuzungumzia eneo litambuliwalo kama Pwani ya Afrika Mashariki na watu wa eneo hilo.
Wallahy napenda sana sana kujuaa historia ya zanzibar kabla y wareno hawajaingia znz!! Mwambie sheikh Ridhwan Al Busaid atusimulieee kabla ya miaka 500 nyuma dola ya zanzibar ilikuajee
Mashallah ❤️
Zanzibar tulikua mbali Sana lakini kutokana Na wakoloni watanganyika wameturejesha nyuma Sana wametulia Kila kitu
labta haijulikani llipo, wanahistoa wote afrika mashariki ,hamjagika kilwa , itakua maajabu ,ya wanahistorua wa ajabu ulimwengu , ngombe kilwa inatarehe mlangoni mpaka Leo, 1123,hijiria
أتمنى التواصل مع المتحدث البارع
Hukuweza kujibu ni nani aliekuwa mwenyeji pwaninya afrika mashariki