TAREIKH YETU MSIMU WA TATU (SILSILA 6): Athari ya Kifo cha Sayyid Said

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 9

  • @suadbarwani4117
    @suadbarwani4117 2 роки тому +1

    Ahsanteni Bwana Riadh na Bwana Ghassani kwa ķutuweleza kwa kufahamika habari ýa Utawala wa Zamani wa Unguja shukran.

  • @imraniqbal00765
    @imraniqbal00765 2 роки тому +2

    Assalam aleiykum
    Warahmatullah
    Wabarakatuh
    Napenda kuwashukuru
    Sanaa napenda kuuuliza
    Hivi vitabu vya al-maruhum bwana issa vina patikana
    Wapi na pia Tunaomba majina
    Ya hivyo vitabu please

  • @mwalimuali1850
    @mwalimuali1850 2 роки тому

    Vitatu vya history yetu ya zanzibar muda ndo huu tunahitaji kusoma

  • @SA-xj8hc
    @SA-xj8hc 2 роки тому

    Tunataka historia ya Bushiri aliejenga Mambomsiige. Kutoka kuwa tajiri Zanzibar na kuishia kupigana na kunyongwa na Wajerumani Tanganyika.

  • @printmedia1422
    @printmedia1422 Рік тому

    Kuzorota kwa unguja na zangebar uliaanza baada ya kuanguka walio saida kwanza kumfukuza mreno
    Yalio fuata ni msiba paka mapenduzi
    Leo mswahili amevunjwa vubaya sana....lakini misungi yake ime dumu paka lugha ime tambulika bara africa nzima
    Niwakati ya kurudi paka palipo haribika ili uswahili umfae mwafika asionekane kama hakua chochote paka kuja wageni
    Uswahili ni sura nzuri ya safari ya afrika

  • @mfyoko
    @mfyoko 11 місяців тому

    Inasemekana wakati Barghash alipokuwa anatoka nje, kutokana na khofu aliyokuwa nayo basi ile barkoa aliyojifunika ilianguka, yule askari wa kibulushi aliyekuwepo kwenye gate aliona mbona 'mwanamke mmoja' kati ya waliotoka ana ndevu? Lakini hakuamini na alidhani labda ni mawazo yake tu, mpaka baadae waliposikia kuwa Barghash ameondoka kwenye nyumba ndiyo akatoa maelezo hayo.
    Hii niliisoma kwenye kitabu kimoja zamani sana.

  • @oscarezekiel1826
    @oscarezekiel1826 2 роки тому

    Je huyu Shekh Riyadh anaposema manuari anamaanisha nyambizi au meli tu?
    Kuna wakati anazungumzia karne za 114,15,16 na kutaja manuari,mimi hujiuliza je kipindi hicho kulikua na manuari?

    • @ramadhanijackson7832
      @ramadhanijackson7832 2 роки тому

      Anamaanisha merikebu...sio hizi manoari au nyambizi au sabmarine