KISA CHA MAMA ASIYEKUA NA KHERI KWA WATU // SHEIKH OTHMAN MAALIM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лют 2025
  • USISAHAU KU SUBSCRIBE

КОМЕНТАРІ •

  • @asilalisuhoyeesalimsultan791
    @asilalisuhoyeesalimsultan791 5 місяців тому +3

    Mashalwah mimi napenda sana darasa lako
    Mungu amekupa elimu na hekima akupe mwisho mema kwako na kwetu
    Amin

  • @fanunachedeye8372
    @fanunachedeye8372 5 місяців тому +4

    I downloaded this video ,took my projector and phone and went to the mosque,SubhanaAllah, Alhamdulillah those who benefited MashaAllah

  • @NeylaJuma-k2x
    @NeylaJuma-k2x 4 місяці тому +1

    Mungu akupe kila itaji lamoyo wako🙌🥰🥰🥰🥰🥰

  • @RehemaaradiinRehemaaradiin
    @RehemaaradiinRehemaaradiin 5 місяців тому +2

    Mashallah Allah akupe umri mlefu wenye. Faida tuzid kupata elim

  • @jaysullman3697
    @jaysullman3697 5 місяців тому +2

    JazzakalLah khairan Mashaa'lLah BarakaalLah fiykum 🤲

  • @mohamedS-yd9wh
    @mohamedS-yd9wh 5 місяців тому +4

    Sheik Othman Allah akuhifadhi akuzidishie elimu, hekma na busara. Mawaidha yako yanatufunua akili na ufahamu mzuri wa mambo ya dini yetu.

  • @wardamwikali7891
    @wardamwikali7891 5 місяців тому +2

    Mashallah tabarakallahu sheikh maalim,mungu akuzidushie elmu,na akukidhie haja zako kwa kutunufaisha na mawaidha🎉

  • @LilaAl-b3x
    @LilaAl-b3x 5 місяців тому +1

    Shukuran sn kipenz Mungu akuzdshiye afwa njem kilalaher ktk Maisha yako ❤

  • @theknightking5345
    @theknightking5345 5 місяців тому +1

    Allah akujaalie kheir in sha Allah duniani na akhera

  • @ShebbyMageta
    @ShebbyMageta 5 місяців тому

    Shekh mungu akulinde na shali za ulimweng na akupe mwisho mwema ishaalh

  • @eshasaid3258
    @eshasaid3258 5 місяців тому +1

    Shukran ❤❤allah ajaliye mema unayòyasema ❤❤❤ lnshaallah❤❤❤

  • @MohammedMo-ew7el
    @MohammedMo-ew7el 4 місяці тому

    Shukran jazakallahu kheir ❤

  • @theknightking5345
    @theknightking5345 5 місяців тому

    Allah akulipe kila la kheir in sha Allah

  • @MuhammadFundi-wu3rl
    @MuhammadFundi-wu3rl 5 місяців тому

    Mashallah mawaidha yako yatufunua akili mm niko kenya but nahisi niko huko Tanzania nikiskia laive mawaidha yako

  • @MohammedMo-ew7el
    @MohammedMo-ew7el 4 місяці тому

    Subhanallah

  • @jaysullman3697
    @jaysullman3697 5 місяців тому +1

    RassulLah SAW ❤

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 5 місяців тому +3

    Assalamu alykum warhatuallah wabarakatuh

  • @Mamiisalehe
    @Mamiisalehe 5 місяців тому

    Rassullah ❤