Allah akupe njiA nzuri ya kueneza dini yetu ya kislamu naomba Tu dua Mimi nilikua kila Aina ya uraibu lakini namshukuru mungu nimeacha kila kitu na sai naswali nikikosa swala hua naumia sana
Hizi hadithi za Mtume kupunguziwa sala kutoka 50 mpaka 5 alizihadithia yeye mwenyewe au? Mbona zinatia shaka ukweli wake Quran 6:115 "Neno la Mola wako Mlezi limekamilika kwa haki na uadilifu. Hakuna awezaye kubadilisha Maneno Yake. Naye ni Mwenye kusikia, Mjuzi wa yote." Yaani kutoka 50 mpaka 5 bwana Mtume alirudi mara 9 kwa Mwenyezi Mungu ili kupunguziwa. Jibu Sheikh atakuambia Mungu alikua anajua kama ingekuwa hivyo sasa jee kwanini basi afanye jambo ambalo liko kinyume na maandiko? Mbona maarifa ya elimu yamekuwa tatizo sana kwa mashekh na maulamaa?
She Unasema Wanawake wana Tabia ya kutokupenda Kushirikiana haswa kweye kushirikiana Mwanaume kwamba mwananamke anapenda Mume wake mwenyewe na sio mume kuoa wake wengine. Je, Wanaume nao Mbona hawapendi kushirikiana Mke mmoja wanaume wawiwili? Kwanini Kwa Wanawake iwe Raihisi kushirikiana Mume Lakini kwa Mwanaume hataki kushirikiana na Mwanaume mwingine? Hapo ndio penye kasoro kubwa ya Mwanamke kukandamizwa na kumfanya Mwanaume kama Mungu wa Duniani
Hio ni sheria na imeekwa kwa mazingatio makubwa na aliamrishalo Allah basi limetolewa kwa mazingatio makubwa sana.. Sheria ni wanaume ndio waneruhusiwa ila wanawake sisi kwa maumbile yetu Allah ameona tunatosheka na mmoja na tukiwa na wengi basi athari kubwa anaweza kuipata mwanamke
Allah akupe njiA nzuri ya kueneza dini yetu ya kislamu naomba Tu dua Mimi nilikua kila Aina ya uraibu lakini namshukuru mungu nimeacha kila kitu na sai naswali nikikosa swala hua naumia sana
Alhamdulilah
ALLAH AKUHIFADHI SHEKH OTHMAN NA MASHEKHE WOOTE WANAO TUILIMISHA IN SHA ALLAH
Masomo na wasio mzuri, naenda, mola akupe maisha mrefu, uendelee kunufaisha umma wake mtume.
Allah akulipe kher ndugu yangu Ahsante kwa ukumbusho ahsante kwa darsa....Allahakbar
Mashaa Allah Allah akupekila lililokuwa lakher
Jazaakallaah kheri shekh othman mashallah
Mashaallah mungu atuongoze
Jazzakah llah sheikh🤲🤲🤲
InshaAllah mungu nijalie nikutane na shekhe othman
Mola akuhifadhi Maalim othman Maaalim
Mashaallah 🥰🥰 jazakanllah kheri othmani maalimu
Mambo
Mashaallah mwenyezi mungu akujalie Kilalaher
Allwa akupe heri kumbwa pamoja na kizazi chako kiwe na ilimu
SubhanaLLAH ALLAH ni Mwingi wa Rehma
Mashaa Allah tabaraka arrahmaan sheikh Othman.... in shaa Allah Allah azidi kukujaalia ilmu na sisi tunufaike 😍
Mashalla jaeak Alla million billion kheir
Mashaallah tabaraka Allah 🎉🎉🎉
MASHA ALLAH
Masha Allah... Allah tabaraq
Jazaaka lahu haira sheikh wutu
Shukran sana sheikh wetu
Allah akuhifadh pamoja na kizazi chako.
Ma sha Allah Allah Othman Malim
Masha Alla
Isso está muito claro, allah te abençoe Osman
Mashallah jazakaallahu kheiran
Assalamu alykum warhatuallah wabarakatuh
Masha Allah kisa kizuri
Mashallah jazaka llahu lkheir 🥰
Masha Allah tabaraka llah
Mashaaallah
Allah Akbar
Moyo wangu hufarijika sana nikiwa na skiza visa
Ma sha Allah
Mashallah
Assalam Aleykum warahmatullah wabarakatu JazakAllahu kheri
Maashallah
Hizi hadithi za Mtume kupunguziwa sala kutoka 50 mpaka 5 alizihadithia yeye mwenyewe au? Mbona zinatia shaka ukweli wake Quran 6:115 "Neno la Mola wako Mlezi limekamilika kwa haki na uadilifu. Hakuna awezaye kubadilisha Maneno Yake. Naye ni Mwenye kusikia, Mjuzi wa yote."
Yaani kutoka 50 mpaka 5 bwana Mtume alirudi mara 9 kwa Mwenyezi Mungu ili kupunguziwa. Jibu Sheikh atakuambia Mungu alikua anajua kama ingekuwa hivyo sasa jee kwanini basi afanye jambo ambalo liko kinyume na maandiko? Mbona maarifa ya elimu yamekuwa tatizo sana kwa mashekh na maulamaa?
She Unasema Wanawake wana Tabia ya kutokupenda Kushirikiana haswa kweye kushirikiana Mwanaume kwamba mwananamke anapenda Mume wake mwenyewe na sio mume kuoa wake wengine. Je, Wanaume nao Mbona hawapendi kushirikiana Mke mmoja wanaume wawiwili? Kwanini Kwa Wanawake iwe Raihisi kushirikiana Mume Lakini kwa Mwanaume hataki kushirikiana na Mwanaume mwingine? Hapo ndio penye kasoro kubwa ya Mwanamke kukandamizwa na kumfanya Mwanaume kama Mungu wa Duniani
Hio ni sheria na imeekwa kwa mazingatio makubwa na aliamrishalo Allah basi limetolewa kwa mazingatio makubwa sana.. Sheria ni wanaume ndio waneruhusiwa ila wanawake sisi kwa maumbile yetu Allah ameona tunatosheka na mmoja na tukiwa na wengi basi athari kubwa anaweza kuipata mwanamke
Ameamrisha allah,Allah ni mjuz
Hii Sheria ALLAH mwenyewe ndo aloiweka na waislam tumeieidhia na uislam umesha kamilika hauna kasoro Wala mapungufu.
Mashallah