Enzi za mitume ilikua raha maana ukipeleka shida au matatizo yako ya ndani kabisa kuhusu ndoa kulikua na stara kubwa lkn siku hizi ukisema wende kwa sheikh,ustadh, wazee wa mtaa au bakwata kuelezea mambo yako basi siku ya pili yako mitaani masheikh wengi mafridge yao hayagandishi ukienda Bakwata pia halika dhalika sub-hana llaah.
Mashaallah mwenyezi mungu akupe nguvu na uwezo uendelee kutupa da awa
Shekhe wangu mpendwaaaa❤❤❤❤
2seme Allhamdulillah sote waislam
Assalamu Aleykum warahmatullah wabarakatu
Alhamdhulillah
Allaahumma salii wa saliim Ala Sayyidina Muhammad wala alihi wa Ass habihi wa Salaamu ❤️
Mashaallah tabarakaah
Shukran Shukran sheikh wetu mawaiza mazuri
Yy
Allahuma yahfidhuka fii duniya wal Akhira wa ya’atiyak kitabak bi yaminika mal walidak Amin Allahuma Amin Ya Rabil Alaamin 🤲🤲🤲
Ameen
Allahuma amin amin Thuma amin yarabalallamin
Mashallah Allah akulipe kheyr
ALLAH akuzidishie shekh wangu
Mashallah jazakallah khaira
Mashaallah allah akuwezeshe kuilimisha watu swiha umri❤❤❤❤❤
Hawa ndo watu waeshima wallahi 😢😢😢😢 ya Allah umuifathi uthman
Ma sha Allah tabaraka Rahman
Mashaallah allah akulipe😊
Allah akuhifadhi na akulipe kheri duniani na akhera
Ma Sha Allah Kila la kherr katika ndoa zetu inshhaallah ya rabby
Takbir Allah Akbar mashallah mwenyenzi MUNGU akijalie la kheri la shari akuepushi
mashallah tabaraka llah
Alhamdulillah Rabil Alamiin
Jazaaka lwahu Khair,kwa kisa kizuri,a allah akutie nguvu kwa kila hatua ❤
Allhamdullillah mungu akujazie kheri shekhe wetu
Masshalls❤❤❤❤❤
Jazak Allah kher😅😅😅😅😅 Mungu akujalie mwisho mwema
Amin 🙏 🙏 🙏 ❤
Masha-Allah Allah ti abençoe
Mashaallah mashaallah ❤
Mashallah
Shoukran
Ma sha Allah
Assalamu alykum warhatuallah wabarakatuh
Mashaalah
Mashaalah darsa yana funza
Mashaallah ❤❤❤❤❤
Shukran
Hakika umetumwa kwa ajili yetu
Nikweli
Enzi za Mtume raha ukifikwa na tatizo2 unakwenda kwake kutatua tatizo ? Ila ashv kinyume yke utamuendea nani kupata suluhisho !!!
Enzi za mitume ilikua raha maana ukipeleka shida au matatizo yako ya ndani kabisa kuhusu ndoa kulikua na stara kubwa lkn siku hizi ukisema wende kwa sheikh,ustadh, wazee wa mtaa au bakwata kuelezea mambo yako basi siku ya pili yako mitaani masheikh wengi mafridge yao hayagandishi ukienda Bakwata pia halika dhalika sub-hana llaah.
Mbona unamhukumu sheikh, husikiii kama amesema mtendwa kamuomba asimulie na wengine tujifunze. Sasa kosa lake nini? Na jina hajamtaja.
Unazeeka na ujinga na ulimbukeni.
unachofahamu weye nikujaza tumbo tu.
Sikiliza Kwa makini kabla ya kuandika.
assalim....
Vp kuhusu mwanamke aliyetaka kusal si Alienda kushtakia mtume
Je si aliadithiwa mtume? Visa ni vya kujifunza...jtaid usikilikize kwa makin
Allhamdullillah mungu akujazie kheri shekhe wetu
Mashallah
Maashaallah
Mashaallah
Mashaallah
MashaAllah
Mashallah
Mashaallah