TANROADS YACHUKUA HATUA KWA MATAPELI WALIOJIFANYA NI MAOFISA WAKE NA KULETA USUMBUFU KWA MADEREVA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 44

  • @ReaganHaule-c8e
    @ReaganHaule-c8e 27 днів тому +2

    Safi sana viongozi I swear to God hata mm walinikamata wakaleta ujinga wao ila wali enjoy maana walikutananacho cha moto

  • @mxofmfk8406
    @mxofmfk8406 24 дні тому +1

    Tanroads Dar es salaam kuna shimo kubwa sana kwenye bump ya ukiwa unafika stand ya kimara baruti kama unatoka mbezi. Tafadhali litazamwe na lifukiwe maana tunavunja na kuharibu magari tukioita pale hata usiku

  • @allykassim1120
    @allykassim1120 27 днів тому +4

    toeni namba zenu tanlord hayo maeneo

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 27 днів тому +2

    Wapuuzi tu hao wangapi wesha wadhulumu hao madereva kwakweli hawaogopi hata mungu wao na dini zao daaah

  • @ShabanAlly-cb1sl
    @ShabanAlly-cb1sl 3 дні тому

    Hao ni wengi sana Mimi nimeshachukiliwa Hela mara 2 kibamba na tegeta

  • @norbertmbena5896
    @norbertmbena5896 2 дні тому

    hata hapa Kibamba hospital wapo pia wanasumbua sana

  • @billgussy6099
    @billgussy6099 27 днів тому +2

    Polisi wako bize na Chadema hii nchi ni ngumu sana.

  • @stevenhassan269
    @stevenhassan269 13 днів тому

    Hayo ni ya kweli au mnatupanga mbona preti namba hamtuonyeshi

  • @nicksontz17
    @nicksontz17 21 день тому

    Hao jamaa wanasumbua sana aisee

  • @user-xu3ul8nn8x
    @user-xu3ul8nn8x 20 днів тому

    Safisana wanatuonea sana

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 27 днів тому +2

    Duuuh hii kali bongo bhanaa

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 27 днів тому +1

    Hao watu washasumbua sana wamekula sana hela

  • @makanyakabilayote9169
    @makanyakabilayote9169 27 днів тому +1

    Tatizo lipo kwenu mnafanya mambo kinyemera kwa kuvizia amna alama yoyote ya kuwatambua mkifika amraki kusikiliza tatizo nyie ni kugombabtu utazan barabara mnatengeneza kwa pesa zenu 😊

  • @ChartyCharz
    @ChartyCharz 27 днів тому +1

    Sio uyo tu ata mimi nirisha chukuliwa laki na nusu icho icho kigari cheusi

  • @user-ju8zg7td2f
    @user-ju8zg7td2f 27 днів тому

    Duuuuh hapa tanroad mmefanya mambo mema sana hawa jamaa ni wasumbufu sana hongereni sana serekali yetu

  • @mufaddalmoawalla8522
    @mufaddalmoawalla8522 27 днів тому +1

    Wanapewa kitu wale machinga na jamaa wanaojiita ni ktk hzlmashauri

  • @Worldunite
    @Worldunite 27 днів тому +1

    Usitumie maneno ya kufunika funika, anika tu ukweli

  • @domymerinyo8165
    @domymerinyo8165 27 днів тому +2

    Hongereni kwa umakini nawaamini sana Tanroad

  • @zubeiramlanzi2480
    @zubeiramlanzi2480 27 днів тому +1

    Bongo loose balls nyingi sana

  • @greenwellnsyukwe4729
    @greenwellnsyukwe4729 27 днів тому

    Ni Bahati yako Kwa kweli, Ina maana wengine wameshatapeliwa sana.

  • @barakatovagonzi6275
    @barakatovagonzi6275 27 днів тому +1

    Safi sana

  • @hassankongolilo8408
    @hassankongolilo8408 27 днів тому +1

    wamekiambiaje ssa mbona haiingii akilini

    • @NemessSkawa
      @NemessSkawa 27 днів тому +1

      Hawa wanajuana vizuri sana Apa wanatuzuga tyu

  • @BedaKunguluche
    @BedaKunguluche 27 днів тому

    Hawa watu wameanza siku nyingi, lakini cha ajabu wanawaacha tuu waendelee kuwaumiza madereva.Inasikitisha saana.

  • @JUSTNEMITOMINGI
    @JUSTNEMITOMINGI 27 днів тому +1

    Njaa kali

  • @simonkitaly9767
    @simonkitaly9767 27 днів тому

    Watu wazijie sheria za nchi ...hakuna msaada mwingine kwa mwananchi

  • @mufaddalmoawalla8522
    @mufaddalmoawalla8522 27 днів тому +2

    Hata jiji ni mitaa za kariakoo wapo,wanashirikiana na baadhi ya wamachinga waliopo mitaani wanawapigia simu na kuja kuzikamata magari yanayoshusha mizigo na za wale wateja wanaokuja kununua bidha

  • @Worldunite
    @Worldunite 27 днів тому

    Hawa na zaidi ya wezi wanaodokoa, ni kuwakabidhi kwa vyombo vya dola na kuwaripoti pia takukuru wasimamie kesi

  • @BobNasa
    @BobNasa 27 днів тому

    Hao wanaosumbua mabarabarani hakuna haja ya uchunguzi, nikuwahukumu Sababu niwahujumu uchumi, matapeli, Lazima Tanroads muwe makini nao.

  • @kassimkitta6118
    @kassimkitta6118 27 днів тому +1

    Njaa kali bongo

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 27 днів тому

    Wawachunguze watu wa huko halmashauri pia

  • @stanleyfocas8250
    @stanleyfocas8250 27 днів тому

    Hao Mimi nilishawaletea moto ni wezi sana

  • @lyimoej7198
    @lyimoej7198 27 днів тому +1

    Hako ka toyota porte ni kakaliiìi

  • @reganuisso1256
    @reganuisso1256 27 днів тому +2

    Hawa wapuuzi wanasumbua sana kwakwel

  • @user-qb7ej8cp5y
    @user-qb7ej8cp5y 27 днів тому

    Kwakweli wapo wengi sana matapeli kama haho

  • @user-xv8tb2fl5x
    @user-xv8tb2fl5x 27 днів тому

    Yani mm maeneo Ayo hata mkaa sishushi

  • @user-bz5ti6op6z
    @user-bz5ti6op6z 26 днів тому

    Wapigwe spana hao

  • @ChartyCharz
    @ChartyCharz 27 днів тому

    Watowe namba zao tuwe tunapiga na mimi uyo jamaa labda asitoke nisikutane naye atatowa tu ela yangu kigari icho icho

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 27 днів тому

    Za mwizi arobaini

  • @CharlesEdwardCvanoedward
    @CharlesEdwardCvanoedward 27 днів тому

    🫡