UNABII WA KITABU HIKI SEHEMU 2: AJALI YA JIWE TOKA ANGANI na mchungaji Semba
Вставка
- Опубліковано 11 жов 2024
- KUNA AJALI INAYOKUJA KWA WAKAZI WOTE WA WA SAYARI YA DUNIA. HAITOKANI NA SILAHA NZITO ZA MAANGAMIZI ZILIZOTENGENGEZWA NA WANADAMU, LA! BALI NI AJALI YA JIWE TOKA ANGANI. TUNAWEZA KUWA UPANDE SALAMA KWA KUZINGATIA UKWELI TOKA KATIKA UNABII WA KITABU HIKI. FUATILIA UJUMBE HUU NAWE UKACHAGUE KUWA UPANDE SALAMA
Amina namshukuru Mungu anavowatumia watumishi wake katika unabii
Mungu mkuu
Aaaaaameeeen!Balikiwa saana Mtumishi Tunamshukuru sana Mungu kwa ajili yenu.wapo wanao tafsili unabii waonavyo mpaka mtu unabaki na maswali kibao !Ndiyo maana tunamshukuru Mungu kwa kutupatia walimu wenye kujaa Roho wa maalifa. Mungu awalinde na kuwazidishia Neema.
Walatusiwe nashaka juu yakanisa la wasabato mpendwa hawa wapo sahihi ilawengine wanapotosha kwamfano biblia imetuzuiya tusile nguruwe tusiunganishe nywele tusiabudu sanamu tusinywe pombe nichukizo kwamungu lakini utakuta romani catholiki haya wanayafanya aaaah nahama roma naenda sabato kwagharama yeyote ile
Mungu akubariki mchungaji but naomba siku moja ufundishe kuhusu pasaka kuna ambao hatulielewi hili
Ameeen mungu wambinguni akubariki sana mimi nandungu zangu tunahitaji kumpokea yesu kristo awebwana namwokozi wetu mchungaji
Ameen 🙏🙏
Mungu akuzidishia Moyo wa kuendelea kufundisha zaidi unabii.
Mungu tusaidie tuuone ufalme wako
Amina