🔴

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 67

  • @Earth-Final-Alarms
    @Earth-Final-Alarms 15 днів тому

    Hii mada inahitaji unyenyekevu Mungu atufundishe kwa upole,sio kiburi😊🙏

  • @lameckjoash
    @lameckjoash 10 місяців тому

    Ubarikiwe sana Mchungaji, unajua wengi hawasomi, wengine wanasoma lakini hawaeliwi kwa sababu wanataka kuperekana na wanachotaka wao siyo kile ambacho Mungu ameeleza katika Neno lake ndo maana unaona hata wengine wanapinga na kutoa kashfa mbaya juu ya Neno la Mungu ila kuomba sana Mungu atusamehe. Mungu akubariki sana Mchungaji kuweka ukweli wazi.

  • @evansmogusu8113
    @evansmogusu8113 Рік тому +5

    Kama Hawa ndo wachungaji tuko nao basi Yesu alisema vema katika
    Yohana 10:12

    • @Revelation1412.
      @Revelation1412. 5 місяців тому

      😂😂😂😂😂😂😂 Inaskitisha Sana

  • @theheraldbroadcastingnetwo4836

    Godhead -uungu
    Trinity -utatu
    Wachana na kingeleza pastor

  • @user-vl5cs4qw6k
    @user-vl5cs4qw6k 11 місяців тому

    God bless you mchungaji.i have learned a lot from the gospel

  • @harrisonodiwa7248
    @harrisonodiwa7248 Рік тому +6

    Pastor mimi ni muadventista lakini sikubaliani nawe ukidanganya watu mchana peupe. Mungu ni mmoja tu Wala hakuna miungu mitatu wenye nafsi sawa na vyeo sawa. Biblia iko wazi Mungu ni mmoja na Yesu Kristo mwana wa Mungu na roho wa Mungu,Yesu ni Mungu juu ni mwana pekee wa Mungu na ni jina la kurithi wala Yesu siye Mungu wa pili na roho siye Mungu wa tatu. Ni fundiaho la Roman Catholic. Ongea ukweli.

    • @hayman9
      @hayman9 Рік тому +2

      NDACHA AMENIFUNZA MENGI

    • @johanesjohn8471
      @johanesjohn8471 Рік тому +1

      Unajua imani za msingi wa kanisa lako ? Kwa taarifa yako ziko 28 na kati ya hizo Kuna fundisho la utatu mtakatifu.... Baba, Mwana na Roho mtakatifu.

    • @paulsamuel3976
      @paulsamuel3976 Рік тому

      @@hayman9 ndacha anasema kwamba mwaafventista anaemini katika utatu amepota

    • @mwitanyangi1044
      @mwitanyangi1044 Рік тому

      Umeelewa Somo mtu wa Mungu au umejikuta umecomment. Omba Mungu akusaidie kuelewa

    • @albertmwangi3297
      @albertmwangi3297 Рік тому +2

      Kwa ufupo Soma la utatu linafunza kuwa Yesu si mwana wa mungu,, ni fundisho la mpinga Krito, tafadhali tutoke katika giza hili la utatu

  • @fingilijacob2585
    @fingilijacob2585 Рік тому +1

    Mchungaji rudi kwa magoti muombe Mungu akufunulie siri hii bure Utazidi kuposha wanawa Mungu na wewe mwenyewe pia utapotea milele tumrudie Mungu wa kweli na tujishushe atufunze

  • @saimonmgeta5239
    @saimonmgeta5239 Рік тому +1

    Pastor nakufuatilia nikiwa hapa Dar es salaam masomo yako yananibariki sana
    Kupitia masomo haya pamoja na masomo mengine yamenipa uelewa wa kujibu hoja nzito kuhusu Uungu wa Yesu na Roho Mtakatifu

  • @cyruscosmas3593
    @cyruscosmas3593 Рік тому +2

    MUNGU andelee kukutumia sawa sawa nant mapenzi Yake pr,

  • @johanesjohn8471
    @johanesjohn8471 Рік тому +1

    Nimegundua watu wengi wanapingana na Imani zao kwa mfano kanisa la waadventista Lina Imani za msingi 28, na kati ya hizo Kuna 1. Neno la Mungu 2. Baba 3.mwana 4.Roho mtakatifu nk.... Nafikiri fundisho la utatu mtakatifu ni Pana Sana na usipo kubali kujifunza hutaelewa..... Jamani tukae chini tujifunze

  • @user-og2hm6fk7b
    @user-og2hm6fk7b Рік тому +2

    ROHO YA UNABII NA NAFSI TATU ZA UUNGU.
    ROHO YA UNABII inasema kuna nafsi tatu za UUNGU.
    1. The Desire of Ages 671
    "Sin could be resisted and overcome only through the Mighty agency of the Third Person of the Godhead...but in the fullness of divine power"
    Hivyo, Roho Mtakatifu ni nafsi ya tatu ya Uungu.
    2. Evangelism pg 617.
    "The Holy Spirit has a personality, else He could not bear witness to our spirit and with our spirits that we are the children of God. He must also be a DIVINE PERSON , else He could not search out the secrets which lie hidden in the mind of God."
    The Holy Spirit has a ☝ divine person
    Roho Mtakatifu ana nafsi ya Uungu!
    Roho Mtakatifu ni nafsi ya Uungu.
    3. Evangelism pg 615.
    "There are three living persons of the heavenly trio; in the name of these three great powers- the Father, the Son, and the Holy Spirit..."
    TRIO = THE GROUP OF THREE.
    (Dictionary )
    Hivyo Mungu ni mmoja katika nafsi tatu za Uungu.
    4. Evangelism pg 617
    "We are to co-operate with the three highest powers in heaven, - the Father, the Son, and the Holy Ghost,..."
    Hivyo, Roho Mtakatifu ni nguvu mmojawapo kati ya nguvu tatu za mbinguni.
    5. Evangelism pg 617.
    "The prince of the power of evil can only be held in check by the power of God in the Third Person of God - head, the Holy Spirit."
    Hivyo, Roho Mtakatifu ni Mungu katika nafsi ya tatu ya Uungu.
    6. Evangelism 616.
    "We need to realize that the Holy Spirit, who is as much a person as God is a person, is walking through these grounds."
    Hivyo Roho Mtakatifu ni Mungu, pia ni nafsi inayojitegemea kama Mungu Baba alivyo Nafsi inayojitegemea.
    7.Evangelism Pg 616
    "The eternal heavenly dignitaries - God, and Christ and the Holy Spirit."
    8. Manuscript 27a, 1900 Pg 7.
    "Three distinct agencies, the Father, The Son, and the Holy Ghost, work together for human Beings."
    Roho Mtakatifu kama nafsi, hufanya kazi pamoja na Mungu Baba na Mwanaye.
    9. Review and Herald, Dec 13, 1906
    "You are born unto God, and you stand under...the power of three Holiest Beings in heaven who are able to keep you from falling.
    Kuna nafsi Tatu takatifu mbinguni.
    10. Manuscript 57, 1900.
    "The work is laid out before every soul that has acknowledged his faith in Jesus Christ by baptism, and has become a receiver of the pledge from the three persons, The Father, The Son, and the Holy Spirit."

  • @user-hc6im6hu3y
    @user-hc6im6hu3y 6 місяців тому

    Barikiwa

  • @peternduati8877
    @peternduati8877 Рік тому +2

    beginning::: according to my understanding Yesu milele zake ni kabla ya Dunia kuumbwa,,,alikua mwana kabla hakujakuwa na uumbaji....Alikua mtoto wa Baba milele hizo,,,, genesis 1:26 natuumbe Mungu sasa na mwanae wanaumba...neno yesu, likatumika kupitia nguvu za Mungu zikiwa ni roho wa Mungu....God the father,word as the son,,, powers of God as the holy spirit of God 🙏...

    • @Yu-jr9uf
      @Yu-jr9uf Рік тому

      simply Yesu hana uwezo wa kuumba chochote maana yeye mwenyewe kaumbwa

    • @thinktank8748
      @thinktank8748 Рік тому

      Barikiwa

  • @bensonmanyalape7802
    @bensonmanyalape7802 Рік тому +3

    Tunaitaji tujifunze kwa unyenyekevu sio kwa manigambo

  • @emanuel4148
    @emanuel4148 20 днів тому

    Pr. Unatumia nguvu nyingi sana kuongea kutetea uongo, ulitakiwa uitishe mjadala

  • @peternduati8877
    @peternduati8877 Рік тому +1

    Pastor with due respect hapo nkama hatuko pamoja,,Mungu ni mmoja aliye Baba na mwana wake yesu,na Roho ni WA Mungu......ata katika viti vya enzi Kuna kiti Cha Mzee wa siku,na kiti Cha Yesu ..basi!!!

  • @albertmwangi3297
    @albertmwangi3297 Рік тому +2

    Huu ni upotofu wa hali ya juu.
    Some hili lilikuja ili kupiga kuwa Yesu ni Mwana pekee mzaliwa wa Mungu.
    Pastor chemba unawadanganya watu peupe,, tafadhalini tumuombee huyu Pastor ili aweze kukubali ukweli awache kuwapotosha watu wengi

  • @judyalex1237
    @judyalex1237 3 місяці тому

    AMEN AMEN 🙌🙌 on my God thanks 🙏🙏🛐🛐🛐🩸🩸🩸🩸

  • @kulwakilala
    @kulwakilala Рік тому

    Kwanza hakuna utati mtakatifu,..
    Na tena yesu ni mungu maana alivaa mwili (enzi ya neema) naye akashuka kwetu.

  • @piuslugata4931
    @piuslugata4931 Рік тому

    Ubarikiwe sana mtu wa Mungu

  • @Yu-jr9uf
    @Yu-jr9uf Рік тому

    wakristo tokeni kwny itikadi ya kuamini Yesu ndio muumbaji na achani mambo ya utatu!!! Mwenyez Mungu ni mmoja tu peke yake wala msiseme amegawanyika mara tatu

    • @nyagaboy1427
      @nyagaboy1427 Рік тому

      We ulitaka awe na nafsi moja kama wewe

    • @Yu-jr9uf
      @Yu-jr9uf Рік тому

      @@nyagaboy1427 ndio kama alivosema yeye mwenyewe kwamba anae nafsi moja

    • @thinktank8748
      @thinktank8748 Рік тому

      Kapisaa, Mungu ni mmoja, na mpatanishi wetu na Mungu ni Kiristo

  • @thinktank8748
    @thinktank8748 Рік тому

    Unakaa kufunza ukweli kwa nje lakini kwa jinsi ya mwili.....umefarakana na roho wa Mungu

  • @kulwakilala
    @kulwakilala Рік тому

    Yesu ni mungu

  • @nchemuwilfredwilfred9572
    @nchemuwilfredwilfred9572 Рік тому +4

    Wewe ni muongo sana. Hilo fundisho unawadanganya watu peupe.

    • @charlesmafwimbo5588
      @charlesmafwimbo5588 Рік тому

      Wilfred pole sana nakushauri umfuatilie mchungaji utselewa tu

    • @RehemaJoely
      @RehemaJoely Рік тому

      Tafuta ukweli wa maandiko sio kukalili dini yako mr

  • @fingilijacob2585
    @fingilijacob2585 Рік тому

    Na pia Waadventista wenzangu tuelewe kumeingiwa mbwa mwitu miongoni mwetu na usishangae huyu mchungaji ni miongoni mwao kutoka Kwa baba yao anae patikana Roma ya Upagani wanaojidai ni wenzetu kumbe si hivo

  • @ntemimaduhu9808
    @ntemimaduhu9808 Рік тому

    Pr. Ubarikiweee Sana

  • @user-og2hm6fk7b
    @user-og2hm6fk7b Рік тому

    Wanaopinga hawaweki hata aya moja ya maandiko kusapoti hoja zao.
    SOMA ROHO YA UNABII HAPA CHINI. MUNGU ANA NAFSI TATU. Mwenye masikio ya kusikia na asikie!!

    • @kelvinsanga2907
      @kelvinsanga2907 Рік тому

      Nipe hiyo coations ya Roho ya unabii inayosema MUNGU Ana nafsi tatu

  • @mtemiagribusiness-rr2hl
    @mtemiagribusiness-rr2hl Рік тому +1

    maneno tu ndiyo mengi, unajiita msomi wa kiyunani afu unanukuu yoh 1:18 kwa kiswahili huku unajua hilo neno [Mungu mwana] lilitafsiliwa kimakosa kutoka kwa biblia ya king James version limeandikwa begotten son
    sasa wanadarasa tujiulize???
    begotten son tafsili yake >>ni Mungu mwana 🤔

  • @elizabethnyirato9856
    @elizabethnyirato9856 Рік тому +1

    Toa maandiko acha kupiga mboyoyo maneno mengi maandiko hakuna
    In short ukitumia maandiko hapo yanakutoa nje mapemaaa

  • @GilesKhamis
    @GilesKhamis Рік тому

    Ukweli wa mafundisho tu,nasio maneno mengi

  • @paulnyakxx
    @paulnyakxx Рік тому +4

    Sijaona hoja yoyote ya kimsingi. Punguza maneno mengi na utusomee bibilia ili kutukosoa. Hata sasa, hujaleta ushahidi.

    • @peternduati8877
      @peternduati8877 Рік тому +1

      Yale anasema hana pa kutusomea😢😢😢😢ila ukweli Mungu ni Baba,, Yesu ni Mwanawe,Mzaliwa wa kwanza,na Roho ni WA Mungu....full stop.

    • @Earth-Final-Alarms
      @Earth-Final-Alarms 9 місяців тому

      Very correct... Hakuna maandiko ya miungu tatu!!

  • @harrisonodiwa7248
    @harrisonodiwa7248 Рік тому +2

    Ataendaje kinyume na ukiangalia katekism ya katoliki na foundamental belief ya Waadventista number 2 zinafanana katika kueleza Trinity. Huyu akienda kinyume,mshahara hakuna.

  • @jeandedieuyamungu4750
    @jeandedieuyamungu4750 Рік тому

    Mchungaji ubarikiwe kunambweha walio liingilia kanisa wanaendelea kulichafua Kwa kuukataa utatu nakusema limeandikwa na wakatholiki

  • @thinktank8748
    @thinktank8748 Рік тому

    Hauna hoja jamaa

  • @evansmogusu8113
    @evansmogusu8113 Рік тому +1

    I won't go with this false teachings. The preacher is just blissing his master's. To me
    1 Corinthians 8:6 is true.

    • @thomasbwire8800
      @thomasbwire8800 Рік тому

      Fungu Hilo linasema Kwa Yesu vitu vyote vimetoka kwake,sasa kama vyote vimetoka Kwa Yesu atakuwaje sio Mungu?au Kwa fungu hili Mungu ni wawili tu.
      Jifunze biblia na sio fungu la biblia.

    • @evansmogusu8113
      @evansmogusu8113 Рік тому

      @@thomasbwire8800 .Mungu ni mmoja na Yesu ni mtoto wa Mungu Kwa hivyo Yesu ni Mungu katika asili
      Lakini Yesu sio Mungu katika nafsi.

    • @thomasbwire8800
      @thomasbwire8800 Рік тому

      @@evansmogusu8113 kama ni katika asili maana yake ni Mungu,maana yake Hana uungu wa kupewa.

  • @dubedangali4262
    @dubedangali4262 Рік тому +1

    Unadhidi kupotosha watu na hakika jehanum inawakodolea macho na Mungu hataendelea kukaa kimya