UNABII WA KITABU HIKI SEHEMU YA 5 MFALME WA KASKAZINI na MCHUNGAJI SEMBA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 сер 2024
  • ROHO YA KUTOTAMBUA UWEPO NA UWEZO WA MUNGU ITAKUTANA NA UFALME WA KASKAZINI. HUU NI UTAWALA UTAKAOFURIKA KILA KONA: VIJIJI HADI MAJIJI , UTAPINDUA PINDUA KILA FIKIRA NA MIFUMO ILIYOPO. LAKINI KUNA TUMAINI KWAO WAMCHAO MUNGU. JIANDAE KUEPUKA MFUMO HUU KWA KUSIKILIZA SOMO HILI.

КОМЕНТАРІ • 10

  • @angelinakessi1992
    @angelinakessi1992 4 роки тому +1

    Amina,, Pr nabarikiwa sana , Mungu akubariki

  • @joycejoseph8632
    @joycejoseph8632 4 роки тому

    Amin pr,,Mungu azindi kukufunulia ili tujue ukweli kuhus siku za mwisho.

  • @elpidiusezekiel2729
    @elpidiusezekiel2729 4 роки тому

    Ubarikiwe sana Mwana wa Mungu

  • @musajulius3364
    @musajulius3364 5 років тому +1

    Aminaa,ahsante sana Pr.
    Barikiwa kwa kuifundisha kweli adimu

  • @jeremiahjames573
    @jeremiahjames573 5 років тому +1

    Amina pr.na ahsante kwa mafundisho yaliyo fumbwa kutufumbulia UBARIKIWE

  • @ruthmaivaji1973
    @ruthmaivaji1973 5 років тому +1

    Tukiifahamu kweli....itatuweka huru....barikiwa mno Pr Kwa kuuweka wazi unabii

  • @daddybenny
    @daddybenny 4 роки тому

    Pr. Ubarikiwe kwa masomo Haya mazuri mno ya unabii. Nimeguswa kipekee