Pastor Hakika Neno hili Ni Nuru katika giza na Nina barikiwa na Bwana. Mungu wa mbinguni akutumie Kwa kazi yake ili. Nasi tufanye wajibu wetu twende Mbinguni.
Mchungaji uko wapi ,nimebarikiwa sana na somo lako ,Najua HUNIKUMBUKI tuliwahi fahamiana pale chilinge kwa mjomba wako by that time nilikuwa nasoma bunda day.
Beautiful somooooooooooooooooo. Kwa kweli MUNGU MUUMBAJI wangu naomba unijalie nimalize mwendo salama. Katika kristo YESU amen 🙏🙏🙏🙏
Amina sana Pastor
Asante sana kwa jumbe zako zanibariki Mungu azidi kukupa hekima ili ulishe kondoo zake
Haleluya Bwana👏 naomba Mwenyezi MUNGU aendelee kukutumia Pr. Paul Semba. Barikiwa sana Mchungaji👏
Mungu atusaidie katika dhambi hii waadventista wasabato nimeumia sana kwa wakirsto kufanya vitu vya ajabu ivyo
Mungu akutumie Kwa ajili ya Utukufu wa Jina lake. Mungu atukuzwe Kwa Neno hili la Uzima.
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu hiIi nisomo zuri sana nisaidie mwokozi wangu nimalize mwendo salama
Asante sana Mchungaji.Mungu akulinde na kuzidi kukuogoza katika utumishi aliokuitia.Nimebarikiwa na kujifunza tena.
Asante sana Pastor kwa somo hili!
Mungu atusaidie tusikate tamaa bali tumalize mwendo katika wema
Pastor ubarikiwe! Mungu atusaidie sisitulio viongozi
Amen,Mungu akubariki sana mchungaji.
Pastor Hakika Neno hili Ni Nuru katika giza na Nina barikiwa na Bwana. Mungu wa mbinguni akutumie Kwa kazi yake ili. Nasi tufanye wajibu wetu twende Mbinguni.
AMINA
Kwakweli nimebalikiwa sana nahubili lako kwakweli mungu azidi kukubaliki pr
Jina la Bwana litukuzwe,barikiwa Pr. kwakweli ni mbaraka na ujumbe umenigusa, Bwana azidi kukutumia kuzinena kweli ya Kristo.
Mungu anisamehe na anitie nguvu nimalize mwendo vizuri.
Amen mtumishi
Dah somo+ kisa kimenibariki san
BARIKIWA Mch Kwa Masomo Mazuri yenye Mguso
Amen....nimebarikiwa sana
God bless you pastor
Mmmh hii ndo hatari ya leo nashukuru pr kwa kutoa solution pr nimeona...barikiwa kamanda.
stay blessed pastor PAUL SEMBA
AMEN
I feel so much blessed
Amen 🙏 🙏 🙏 🙏.
Aminaaaaaaa
Amina
Amen
Pastor ROHO WA MUNGU AWE NAWE
Amina
Kweli imeangushwa katika njia, endelea kumuomba MUNGU akupiganie mishale ya muovu haipendi kweli mbaya zaidi mawakala wake wako pande zote
AMINA
MUNGU MUUMBAJI NI BARIKI NEEMA ZAKO AMINA
PR NATAMANI NIMUONE MUNGU NIOMBEE MTUMISHI WA MUNGU ALIYE HAI
Amina
Skufanikiwa kuwepo kwenye kambi hili lakini nimebarikiwa kwa ujumbe huu
Je? Kuhani heri hatakuwepo Yesu akija.maana alimaliza mwendo kwa kuchecheme? Je tutamwona mbinguni?
Hubiri la kishindo cha wakoma, nmelitafta sjaliona, au bado hujaliweka you tube
Sijalirekodi, Bwana akitujalia uzima nitafanya hivyo.
Semba wewe ni nijembe nasema wewe chombo sijaona mtu mwingine mwenye msimamo
NAAMINI KUWA BWANA ANA WATU WENGI SANA ANAOWATUMIA. HATA WEWE PIA
@@paulsemba_TV nikweli mm nilikua sabato nilikutana namengi.sana lakn nilisimama nimejifuza somo.lako.lakumaliza mwendo nisaidie namba yako
@@isakarobson 0621154690
@@paulsemba_TV satee sana pasta
Mchungaji uko wapi ,nimebarikiwa sana na somo lako ,Najua HUNIKUMBUKI tuliwahi fahamiana pale chilinge kwa mjomba wako by that time nilikuwa nasoma bunda day.
Kwakweli nimebalikiwa sana nahubili lako kwakweli mungu azidi kukubaliki pr