MAJIBU KWA MUHAMMAD AL-HATIMIY | SEHEMU YA TANO |Muhammad Bachu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 394

  • @aminayusuf3051
    @aminayusuf3051 Рік тому +6

    A blessed son from a blessed father may Allah bless you muhammad bachu

  • @aliabdalla6998
    @aliabdalla6998 Рік тому +21

    Allaahu Akuhifadhi sheikh M Bachu, Akujaalie ufanye yote hayo kwa kutaka radhi zake Allaahu, Akuepushe na ujbu, riaa, na hasad. أمين

  • @saidfhamad
    @saidfhamad Рік тому +14

    Sheikh Muhammed Bachu Wallah nakupenda sana kwaajili ya Allah na Allah akupe umri mrefu, elimu na Mwisho mwema!!

  • @mudybeka6698
    @mudybeka6698 Рік тому +12

    Sheikh Muhammad watu wabidaa wasiachwe wakileta uzushi wao...wanatupotezea ndugu zetu hawa masheikh wakibidaa....wanasababisha mpaka wengine tunaoneka vituko mbele ya wazizi wetu...watu wabidaa ndio sa7bu ya ushirikina
    Allah awasimamie masheikh wetu
    Kassim mafuta,Muhammad bachu,sheikh kishiki ,baraiyan na wengine wote mnajitahidi kubainisha shiriki na bidaa...Allah awajalie mwisho mwema

  • @bakariomari8758
    @bakariomari8758 Рік тому +10

    Sheikh upo wazi maelezo yako. Unajua kuelezea kwa mifano mizuri. Jazakallah million kheir

  • @omarally6819
    @omarally6819 Рік тому +26

    Shekh Muhammad Bachou bado kauli yangu kwa wingi ni kukuombea umri mrefu wenye kheri kwako na kwa Ummah wa Kiislamu kiujumla, na nakuombea Afya njema na Nguvu ya kuisemea Dini ya Allaah Azza Wajalla
    بالعلم والحجة والبرهان.
    Masufi wameharibu sana na Mashekhe zetu kuna kama junaha fulani hivi wanaihisi endapo watasimama nao na kula nao sahani moja kwa kila hatua waipigayo ya kufanya uzushi na ushirikina.
    Allaah Mtukufu tunamuomba akulinde na hasad, shari za watu wabidaa na waovu wote kiujumla.

    • @yussuphsaleh2165
      @yussuphsaleh2165 Рік тому

      Amin

    • @abujole3992
      @abujole3992 Рік тому

      Ww unamjuwa mtume wako kwanza

    • @abujole3992
      @abujole3992 Рік тому

      Ikiwa Kwanzaa u amjuwa mtume wako Mohamed basi Kwanzaa Soma siira ya mtume utajuwa mtume amemsomeya nani duca katika wahabi ni watu ahli suna

    • @abujole3992
      @abujole3992 Рік тому

      Mtume ame wa apiza wahabi ahlu najdi ndiwo mawahabi

  • @hadimohammed8414
    @hadimohammed8414 Рік тому +9

    Huyu ndugu al-hatimy na wafuasi wake wataelewa tu insha'allaah biidhni-llaah..
    Tunakupenda shaikh wetu Muhammad nassor bachu na tuko pamoja nawe katika kutufunza na kutuelewesha dini yetu ya kiislamu kwa ujumla wake.

  • @suleiman5257
    @suleiman5257 Рік тому +8

    MashaAllah bacho Allah Akuhifadhi
    Unafafanuwa Kwa makini
    Nalisema kitambo
    Mohmed Alhatmy
    Afafadhali unyamazi au utaadhirika
    Zaidi.

  • @abdulazizabdallahsalim8392
    @abdulazizabdallahsalim8392 Рік тому +3

    Maa shaa Allah sheikh Bachu nakuunga mkono 100% na nimependa hiyo Nahau nimefurahia sana Allah akulipe kila la kheir na usichoke kuwafahamisha na kuwafundisha hawa sufiyah Kwa ajili ya kutaka Radhi za Allah

  • @mselemk23
    @mselemk23 Рік тому +21

    Natamani huu mjadala wa ki-elimu uendelee mpka mmoja aseme wazi mbele ya umma kwamba mimi sikuwa sahihi ninaomba radhi na kuomba maghfira kwa Allah (sw)

    • @saidside-xq8ch
      @saidside-xq8ch Рік тому

      Mijadala ipi hebu kasomeni Dini muijue vizuri Hii mijadala watu wanaitumia kwa maslahi yao kuendesha na kukuza kipato hapa You tube nakukuza majina Yao ya urithi tu

    • @saladinkamis7814
      @saladinkamis7814 Рік тому

      Hii mijadala haifai kufanywa kwenye mitandao.Ubora wakutane masheikh wa mirengo tofauti wakae kikao kila mmoja alete dalili zake .wakielewana sawa la sivyo kila mtu afuate kwake.Hii inaleta mvurugano na kufarikisha umma na kuleta chuki na uhasama baina ya waislamu.Tofauti iliyopo ni lugha na itikadi.Watu wa banii israel walipovuka bahari ya sham waliabudu kigombe mbele ya na Nabii Harun akatulia akihofu kuwafarikisha. mashekhe wanafaa wavumiliane waheshimiane wote kweli wamesoma sehemu tofauti ibaki hivyo kwa umoja ya uislamu.maadui wetu wanatucheka .Tukipigana sisi kwa sisi tunampa mwanya adui wetu kutumaliza

    • @ismaelhussein2112
      @ismaelhussein2112 Рік тому

      InshaAllah jumapili hii yakesho kutwa mombasa itakuwa mjadala inshaAllah haki itasmama

    • @fatmasalim7132
      @fatmasalim7132 Рік тому

      Na wala asijihisi atakuwa mjinga bali kukubali kushindwa kwa ajili ya kuokoa nafsi yake na waislamu wanaokuamini ni kheri kubwa hiyo!

  • @mkude
    @mkude Рік тому +6

    MAASHA ALLAH, Sheikh Muhammad Bachu ALLAH akuhifadhi na akupe umri mrefu, umeeleweka vizuri sanaa.

  • @alial-amoudy4399
    @alial-amoudy4399 Рік тому

    MashaAllah tabaarakaAllah
    Nakupongeza Sana.
    Allah akuhifadhi na akuzidishie ilmu.
    Huyu Hatimy anakimbia mada ya nyuma anaruka nyengine.
    Lakini usichoke kumweka sawa manake wanapotosha waislamu na wao kujipa vyeo na utukufu usiostahiki.
    Shukran ustaadh

  • @mirajimsigiti7317
    @mirajimsigiti7317 Рік тому +9

    ALLAAH AKUHIADHI SHEKH M.BACHU AMA KWA HAKIKA ALLAAH AMEKUTEUA UJE UWAFUNDISHE UMMA,MIMI NAKUOMBEA KWA ALLAAH

  • @NyabwanaAli
    @NyabwanaAli Рік тому

    Jazzaka llahu kheira shekh wetu marhem katuwachia tunda zuri allah akuhufadhi, usiwatolee nafasi makhurafi, nawasio kupenda kzi wanao

  • @kaykastro9302
    @kaykastro9302 Рік тому +4

    Shukran Ustadh Muhammad Bachu !!! Allah Akuhifadhi. viboko wape vya elmu na utunufaishe sote Jamii ISLAM. HUYU ANATHIBITISHA 100% SIMSOMI WACHA AKAPIGE MTEE KWENYE MAULID 😅😅😅

  • @funnysmile8666
    @funnysmile8666 Рік тому +2

    Ala akuhifathi sheikh najua unacho jaribu kutuelewesha waislamu ni wachache watakuelewa ila Allah akulipe ila tam us tuu Kuna watuu tu nakupenda na tunakufatilia kwaumakinii na una chozungumza unaeleweka it' make senc

  • @omarally6819
    @omarally6819 Рік тому +5

    Hii itakua ni darasa kwako wewe alhatimy na kwa watu mfano wako, na kwa wale wasaka tonge wanao taka kumchafua Shekh Muhammad Bachou Allaah akuhifadhi Shekh.

  • @jumakumala1337
    @jumakumala1337 Рік тому +5

    Shukran jazzakka ALLAH kheir kwa kutuonyesha shirki iliojificha na tuliokuwa tukidanganywa sn kwa mda mrefu , tena aswa kwa sisi tuliokuwa na elimu ndogo , ALLAH akuifadhi na akulinde na hasadi Mohammed bachu

  • @abdallahmwabungale
    @abdallahmwabungale Рік тому +3

    Ma sha Allah Sheikh Mohammed Bachu Nakufuatilia Vizuri katika Kutuelimisha na Kutujuza ukwli Upande Huu wa Kuijuwa Haki Ilipo. Atakujawa sawa Na Kukuelewa In Sha Allah

  • @fundibombazanzbar5717
    @fundibombazanzbar5717 Рік тому +12

    Bachu niskilxe unajua unafanya jambo kubwa sana katka hii Dunia kwasab sijaona Kaz kubwa kama kuondoa shirki

  • @mbjunior166
    @mbjunior166 Рік тому +5

    Jazakallah sheikh! Tupo tunamsubir tuone atarukia mtawi gani awamu hii

  • @yunusramadhan2546
    @yunusramadhan2546 Рік тому +3

    Mashaallah hawa masufi walitudanganya sana wakifikir sisi hatupimi maneno hatimi nimuongo japo nimbishi balili insaanu alaanafsihii baswiira Alihamdulillah Allah akuhifadhi sheikh wangu

  • @naahla19
    @naahla19 Рік тому +19

    Maasha Allah, Barakallahu feek sheikh M.Bachu, thumbs up👍👍Allah akuhifadhi akuzidishie ilmu na maarifa. Shukrani zote kwa Allah kutuletea ww kutufunza tunafaidika sana kwa mafundisho yako, Allah akuweke. The other brother should stay low tht is one missile has destroyed his image completely he shouldn't go further, aache tu sasa. M. Bachu si wakufunzwa ni mwalimu! He is good at his books, Allah amzidishie kila kheri amuepushie kila balaa yaa Rabb. Peace.

    • @MohammedSaid-qr1zn
      @MohammedSaid-qr1zn Рік тому

      Iyo imeisha shekhe mpamaamuma ameelewa hiyo yeye anaongea lunga anatufunika funika tusielewe mantwiq hatujui maskini kumbe ndio ilivyo baarakallahu fiika.

  • @kitosio
    @kitosio Рік тому

    Kazi Ya Bachu NI huruma kwenu mnapotea anawaongoza. Lake limeisha kufukufikishieni Ujumbe. Hamna AKILI kuwazidi waliopita

  • @husseinilyas8570
    @husseinilyas8570 Рік тому

    Asalaam Alaykum sheikh Mohammed bachu allah akupe umri utakao nifaisha wa Islam kwa imu yako

  • @rajababdallah579
    @rajababdallah579 Рік тому

    Hafidhakal llah... Twamshukuru Allah Alomchukua sheikh Nasour Bachu Akatupa Sheikh Muhammad Bachu.... Darasa imeeleweka

  • @hasanadamhasanadamally
    @hasanadamhasanadamally Рік тому +1

    Jamani tunasoma hapooo mm nimekumbuka taaluma alkaanuun, mubtadau walkhabar mudhwafu wamudhwafu ilayhi dhwamaairuljarri tunasomaaaa MAASHAALLAH

  • @abdallahmohammed6079
    @abdallahmohammed6079 Рік тому +4

    Allah akubarik na atuongoze sote shk Alhatmy usipanic zungumza kwa upole ili uweze kurakiz katika point zako huwezi kutetea uzushi dhidi ya sunna, Quran na sunna ndio mambo ya kuyatetea..

  • @ibn_maleeqqeibraheem_188
    @ibn_maleeqqeibraheem_188 Рік тому +8

    Mabrouk sheikh muhammad bachu, usimuache huyo khurafi mpe ilmu wanalazima wapotoshe watu kwa maslahi yao wapate tonge hao

  • @awadhhussein6217
    @awadhhussein6217 Рік тому +2

    Allah akuhifadhi sheikh Al Faadhil Muhammad Nasor Bachu.

  • @allydaud117
    @allydaud117 Рік тому +4

    Allah akulinde akuhifadhi akuzidishie elimu akupe afya njema uzid kutunufaisha na sisi. Endelea kushusha nondo mpk wanyooke

  • @dengepandu9734
    @dengepandu9734 Рік тому +4

    Inshaallah sheh muungu akuongoze uwenabusara kama ulionayo hapa muungu amlazepema babayako nawe muunguakuongoze hivindivyo tuvotaka sisi wafuasiwenu mashehzetuu

  • @mawaidha386
    @mawaidha386 Рік тому +6

    Al akhi Muhammad bachu Allah akuzidishie afya na uzima wallah tunanufaika sana Kila tukikusikiliza ... Na daawa unayo ifanya ni daawa kubwa Allah akulipe Janna tul firadaus ... Amiin

    • @hasanadamhasanadamally
      @hasanadamhasanadamally Рік тому +1

      Hapo nimekumbuka khabar na mubtadau mudhwafu wamudhwafu ilayhi na dhwamairuljarri dah kijana yupo vizuri anafukua taaluma ya nahau, mashaallah.

    • @abdilahiriyami
      @abdilahiriyami Рік тому

      Nyinyi mashehee munaipelekaa wapi dini ya alhaa waislamu hawatakiwi kua namnaa huu muogopeni munguu

    • @mkude
      @mkude Рік тому

      @@abdilahiriyami jitahidi uwe unaandika vizuri, kama hujui uliza ,na kusoma dini ni muhimu, dini ya alhaa hii unekosea andika ALLAH kwa ufasaha

  • @mshtiemshtie3565
    @mshtiemshtie3565 Рік тому

    Allaah Akuhifadhi na Akuzidishie il'mu sheikh wetu Muhammad Bachu, uzidi kutujubia na kuwaweka Sawa hawa makhurafi mpaka waelimike na kuzungumza yaliyo Swahihi na ya kweli. Ama kweli wewe ndio kiboko ya hawa ma shekhe wa Bid'aa.. Allaah Akuongoze aameen.

  • @WizzyWizzy-bg7xc
    @WizzyWizzy-bg7xc Рік тому

    Allah akuhifadhi sh.wetu kk yetu! Achana nao weuoni wanavyo ongea kwa jazba.

  • @hassanmubarak704
    @hassanmubarak704 Рік тому

    Sh. Muhammad Bachu,Allah akuhifadhi na akuzidishie Elimu, Hekima na Subira. Huyo Al hatimy kisha fahamu na kishapata Darsa, iliyobaki ile kutete nafsi yake, kama inavyosema aya ya 14 ktk suratul Al Naml واستقنتها انفسهم ظلماًوعلوا

  • @kitosio
    @kitosio Рік тому

    Hamtawadhinda mwasahaba kumpenda Mtume s.a.w katu. Mnapoteza MDA na kuziangamiza nafsi zenu.

  • @alimasiga8422
    @alimasiga8422 Рік тому

    Alhamdulillah kwa hii ufafanuzi. Miaka waislamu wamepotoshwa ki hikma. Allah akuhifadhi na kila shari na akuzidishie ilm, umri, afya njema na imaan zaidi.

  • @mahfoudhcalender2747
    @mahfoudhcalender2747 Рік тому +11

    Allah akuhifadhi Muhammad Bachu.

    • @Muhammad_Nassor_Bachu_.
      @Muhammad_Nassor_Bachu_.  Рік тому +1

      @mahfoudhcalender2747 Ameen.

    • @hamadali3231
      @hamadali3231 Рік тому +1

      @@Muhammad_Nassor_Bachu_. sheikh Mohammed bin Bachu tuna kuomba umsikilize khalfa Mussa wa Twarikatul Qadiria anavyo ongea maneno ya upotoshaji

    • @abdallahomarabdallah7058
      @abdallahomarabdallah7058 Рік тому +1

      @@Muhammad_Nassor_Bachu_. sheikh tupo mapoja na ww mpaka waelewe

    • @abdulrahmanmussa4479
      @abdulrahmanmussa4479 Рік тому

      @@Muhammad_Nassor_Bachu_. piga nyundo sheikh langu wataelewa tu taratibu

    • @mkude
      @mkude Рік тому

      @@Muhammad_Nassor_Bachu_. Tunakuoenda kwa ajili ya ALLAH. Namuomba ALLAH atupe mwisho mwema

  • @osmanabuu7989
    @osmanabuu7989 Рік тому +4

    Allah akulipe makubwa sheikh Muhammad

  • @rashidyussuf3429
    @rashidyussuf3429 Рік тому +1

    Shekh Al-Hatimiy Acha ukaidi usitetee jambo ambalo tayar shekh mwenzako Muhammad Bachu anakupenda kwanza anakufahamisha wewe umeshikilia umfundishe lugha ya kiarabu mfuate huyu kijana wetu Muhammad anafahamisha na anafahamika vizur

  • @mbanomrage604
    @mbanomrage604 Рік тому +1

    Maashaallah nilikua nasubir majibu Kwa shekh wa kenya kwahamu sana. Sasa sijui atarudi na hoja gani tena maana nilidhani atarudi kuitetea Hadith yake kumbe akarudi na Barazanj.
    Aache tu haukuwez kijana wetu Muhammad Bacho

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 Рік тому +2

    Biidhinillah hakki itashinda, mm huwa napenda saana kuipa akil yangu uhuru wa kufikiria, shukuran Kwa mawaidha. Ikiwa twataka kumpenda Mtume Muhammad swalallah aleyh wasalaam bas tumfuate na tutende Yale aliyoyaleta Kwa vitendo na tumswalie, na tufanye Yale ya Sunna yenye manufaa., Kama kutembelea wagonjwa, kuwasaidia wenye uhitaji. In shaa Allah Mwenyezi Mungu akulinde sheikh Kwa ilimu

    • @fawziasaeed-mn3in
      @fawziasaeed-mn3in Рік тому

      السلام عليكم ورحمة الله وبركاته مع الأسف
      wewe Muhammad Bachu kwa unatakiwa ujuwe kuna kitu kina itwa ادب الحوار namna ya kuzungumza na watu khaswa wakumbuka zako kwa hivo na Swalha yangu kwanza kajifundishe ADABU

    • @fawziasaeed-mn3in
      @fawziasaeed-mn3in Рік тому

      pili wewe huna sifa hata moja ya wana vyuwoni wewe ni mwana CHOONI مع الأسف

  • @rashidyussuf3429
    @rashidyussuf3429 Рік тому

    Mimi nakupenda sana Muhammad Bachu kwa ajili ya Allah kwa sababu unarekebisha sehemu ambayo ina makosa na hata wewe unapokosolewa kama umekosea kweli unakubali sasa huyu shekh wa mombasa mbona mkaidi

  • @shabanialfani5394
    @shabanialfani5394 Рік тому

    Wewe M. Bachu unaifahamu sana Dini na umetufingua Macho Watu wengi sana. Allah azidi kukupa Afya na Umri mrefu na wenye manufaa kwenye kuilingania Dini yetu hii ya Kiislam

  • @mussabinyussuf945
    @mussabinyussuf945 Рік тому +2

    Sheikh wangu mm nina kuombea umri ulio mzuri na mrefu na akuhifadhi shekh wangu muhammad bachu masufi ni waongo hao eti mtu afe halafu afufuke tena awaombe radhi jamaa zake kisha arudi kaburini na allah anasema mtu akifa harudi tena duniani hawa masufi vp sheikh wangu muhammad bachu wafundishe hawoo

  • @nayef3903
    @nayef3903 Рік тому +1

    Hatimy yupo sawa kabisa kielimu humfiki hata kidogo.

  • @suleymansalim5732
    @suleymansalim5732 Рік тому +4

    SHUKRAN KWENU SHEKHE. MWENZIO KAAMUWA KUWA UBAO WASISI KUJIFUNZIA BASI NAWE UTUMIE VIZURI UBAO HUU TUPATE FAIDA NA USITOKE KATIKA MSTARI. JAPO KUNA WATU WATAONA NI USHINDANI KUMBE NI NJIA NZURI KUTUFAHAMISHA PENGINE HAYA TUSINGEYAPATA BILA YA KUPATIKANA SABABU. SHUKRAN KWENU NYOTE TUKO PAMOJA. NIKUOMBE TU NA DARSA ZINGINE UTUPE SISI TUNAFATILIA ZOTE. SIO KAMA WALE WANAOFATILIA MIJADALA TU JAPO INATOA FAIDA KWA WAJUZI. NA INAONEKANA NI TABU KWA WASOJUA WANAONA NI MALUMBANO BADALA YA KUJIFUNZA KITU.
    MWISHO KABISA NIKUOMBE DARSA LA QADARI MLANGO WA QADARI MAANA UMEKUA TATIZO KUUELEWA. WATU WANAFANYA MAOVU WAKITEGEMEA QADARI KAMA NI WAPEPONI BASI QADARI ITAMTANGULIA KARIBU NA KIFO CHAKE ATATENDA MEMA AINGIE PEPON. NA MJA MWEMA QADARI IKIMTANGULIA KAMA ALIANDIKIWA MOTON BASI ATAACHA MEMA NA KUA MUOVU AINGIE MOTONI.HIVYO NDIVYO WANAVOICHAMBUA HIO HADITHI SASA TUNAOMBA UTUPE DARSA HII VIZURI .

  • @kitosio
    @kitosio Рік тому

    Mkizidi Msijejuta ALLAH NATUONA MNAHARIBU DINI YAKE

  • @amourmakame9795
    @amourmakame9795 Рік тому +7

    ASALAM ALAIKUM, SHEIKH MUHAMMAD NASSOR BACHU. ALLAH AKUHIFADHI.... TUNAKUOMBA SHEIKH WETU MFUATE HUKO HUKO ATA KM HATAKI,,,, MVIZIE ILI TUJUE MOJA

  • @abubakarmuhammadsaid3244
    @abubakarmuhammadsaid3244 Рік тому +3

    Hii nzuri sana Nimependa.
    Usimuache, mkamate hivyo hivyo asifurukute.

  • @adamjuma616
    @adamjuma616 Рік тому +1

    Allah akuhifadhi sheikh Muhammad bachu

  • @ImranAbdallah-o7j
    @ImranAbdallah-o7j Рік тому

    Yeye ndo kapewa cheo Cha kutetea,,Wacha sisi Hadi mitume wote,,hua Shafii ya bachu

  • @johariabdalla3319
    @johariabdalla3319 Рік тому +3

    Maaashallah Ustadh Muhammad Bachu M Mungu azid kukuhifandhi,na uendelee kutowa elimu ya uhakika,na endelea kunyoosha na kukosowa yalikuwa hayako sawa.

  • @saeedabdulatiff4505
    @saeedabdulatiff4505 Рік тому

    Subhanallah aibu kubwa ,mashekhe kidinii ni makosa makubwa sana ,Allah atuongoze manaa mashekhe WA sasa balaaa

  • @FatahFatah-x4u
    @FatahFatah-x4u 2 місяці тому

    Tunamuomba Allah atukinge na bid-a'

  • @JK-um6op
    @JK-um6op Рік тому

    Mashaa Allah. hapa nimepata faida ya kikweli.. kumbe barzanji ni chafu na shirki.. Allah atusamehe waja zake madhaifu.. Nimetoka huko Kwa moto yaarabi naomba uniongoze na Sunnah ..

  • @allyally5124
    @allyally5124 Рік тому

    Masheikh wa mitandao. Wenye uchu wa vyeo vya kilimwenguni. Ogopeni Allah. Na adhabu yake.

  • @MustafaMoturi-zt7ch
    @MustafaMoturi-zt7ch Рік тому

    Aslm aleikumu ndugu yangu haqqi iko wazi ole wao ole wao wanao ng'ang'ania huu upotovu wa uzuka Na wakome.

  • @rashidwesonga7475
    @rashidwesonga7475 Рік тому

    Allah akupe umri sheikh wangu

  • @saidyusuf9245
    @saidyusuf9245 Рік тому +3

    Watu wabidaa hawana tawheed ndipo wa katawasali kwa makaburi Mungu atuongodhe sote ammin ammin

  • @عمرأحمد-ص9ل4ش
    @عمرأحمد-ص9ل4ش Рік тому +15

    Assalaam alaykum warahmatullah, Sheikh Muhammad hafidhwakallah nasaha yangu kwako ni moja tu, nayo ni hadith ya mtume صلى الله عليه وسلم, hadith ambayo waijua na kuielewa zaidi yangu ila kama unavyojitahidi kuitetea dini ya Allah basi furaha yangu ni kukwambia: قل آمنت بالله ثم استقم☝️.....
    Sheikh Allah akuhifadhi na azidi kukuzidishia ilmu na kukuruzuku ufahamu zaidi ili tunufaike kupitia kwako🤲🏼, يآ أخي أحبك لأجل الله، na Allah amsamehe na kumrehemu mzee wetu, kipenzi chetu na sheikh wetu Sheikh Nassor bachu rahimahullah🤲, dua yangu ya mwisho na tamaa yangu ni Allah anitolee sababu kijana wangu aje awe mwanafunzi wako, kwani naamini atakuwa makini kusoma kwa mtu ampendae.

    • @sidrasidra8616
      @sidrasidra8616 Рік тому +1

      Wallahi nam natamani amsomeshe kijana wangu sema si tunaishi inchi jirani

    • @عمرأحمد-ص9ل4ش
      @عمرأحمد-ص9ل4ش Рік тому +1

      @Sidra Sidra in shaa Allah tumuombe Allah huenda akatutolea sababu,

  • @albassammusaalbassam7487
    @albassammusaalbassam7487 Рік тому +7

    Hawez elewa huyu Al hatimiy amelewa uzushi analeta taawili nyingi kutetea uzushi na shirki wallah Al mustaanu

  • @swabirfarouk3885
    @swabirfarouk3885 Рік тому

    Assalam A'laykum Warah'matullahi Wabarakatuhu.Mtume Swalallahu Alaihi Wasalam.Angekuwa Ana moyo kama nyinyi Uislam Usingetufikia.Acheni kushambuliana.

  • @daudymlauletv8489
    @daudymlauletv8489 Рік тому +6

    mashaallah sheikh unatoa dawa yenye kutibu maradhi na tukapona

  • @bassurintertainments1546
    @bassurintertainments1546 Рік тому

    Allah akuhifadhi shekh Muhammad na akulipe Jannah kwa rehma zake

  • @hashirmzee5549
    @hashirmzee5549 Рік тому

    Shekh bachu Allah akuzidishie elimu amin

  • @salumrashid8513
    @salumrashid8513 Рік тому +1

    Tumekufahumu vizuri sana sheikh letu..may Allah safeguard you!

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 Рік тому

    Tafadhali tuacheni kugombana hadharani Mashekhe wetu.Kukosoana Kwa njia nzuri.

  • @salatmohammed21
    @salatmohammed21 Рік тому

    Kuna tofauti kati ya Abdullah na Abdu muhammad.

  • @jumaibrahim9029
    @jumaibrahim9029 Рік тому

    Sheikh acheni ubishi neno uwanamaana tofauti acheni kupotosha umaa

  • @kitalukitalu6303
    @kitalukitalu6303 Рік тому

    Alhatimy bachu hawumuwezi hiko chuma ndugu naomba pumzika tuu

  • @ahmedbyser
    @ahmedbyser Рік тому

    Mashallah sheikh m.bachu Allah akuhifadhi akulinde uadui na hasad za watu

    • @MohammedSaid-qr1zn
      @MohammedSaid-qr1zn Рік тому

      Wanyooshe shekhe Bachu huwenda baadhi yao wakaacha kutupotoshea watotowetu

  • @issamuhammad111
    @issamuhammad111 Рік тому +7

    Alhatimy' si ukubali tu kaka, Kuna kushindwa ujue utaaibika

  • @Dekingalba
    @Dekingalba Рік тому

    Unanivitia sana nije nisome kwako sh bachu upo very clear mashallah

  • @omarsirleem7105
    @omarsirleem7105 Рік тому +1

    MashaAllah.......mambo yamewekwa sawa,ubishi hamna tena hapa

  • @rajaburajabu7105
    @rajaburajabu7105 Рік тому +1

    جزاكم الله خيرا

  • @SalehSaleh-re1ud
    @SalehSaleh-re1ud Рік тому

    MashaAllah tabaarakallah, nimeipenda hii kama lugha haiwezi kukutofaitishia baina ya shirk na tawhid au baina ya bidàh na Sunnah, basi ni sawa na kina abi lahab maana aliijua lugha ya kiarabu kuliko...

  • @saidnassor5655
    @saidnassor5655 Рік тому +6

    Kweli al-hatimiy hapa kakosea njia ataabika sana kijana wa bacho yupo sawa

    • @saidfhamad
      @saidfhamad Рік тому

      Mwache apinge ukweli atanyooka tu!!

  • @jumamahmoud9271
    @jumamahmoud9271 Рік тому +2

    Ningelikua mimi ni ndio uyu malemba ningelikua nishakimbia.uyu sheikh muhamed bachu humuezi ata chembe na wenzako walikuja na wakakimbia.

  • @ksasupermarket1249
    @ksasupermarket1249 Рік тому +2

    Bachu nkpnd xn kwa ajili ya Allah Nlkua nachukia sana masalaf ila now watakoma wametupotosha sana hawa

  • @Sein169
    @Sein169 Рік тому +1

    Natamani ningesoma kiislam

  • @mursalabdallah8139
    @mursalabdallah8139 Рік тому

    Allah ibarik Mohammed bachu naam sahihi kabisa

  • @issaibnsaidi2095
    @issaibnsaidi2095 Рік тому

    Sheikh Mimi binafsi ntakuomba tu
    Ushike Adabu ktk Da'wa yako
    Sio vizuri Hio , utaaribu niya yako.

  • @kassimmsuleyman1055
    @kassimmsuleyman1055 Рік тому +5

    جزاكم الله خيرا و احسن الجزء

  • @abuqusay8912
    @abuqusay8912 Рік тому

    Sheikh Nasser Basho, Mungu amrehemu, ni miongoni mwa mihadhara bora, yenye ufanisi mkubwa

  • @benjaminkangolo2017
    @benjaminkangolo2017 Рік тому +2

    Allah Akbar, MashaAllah mpe ilim uyo ana ona aibu kuku fwata umpe ilim basi mpe apa kwenye TV nina imani ata pata faida

  • @kitosio
    @kitosio Рік тому

    { وَٱلسَّـٰبِقُونَ ٱلۡأَوَّلُونَ مِنَ ٱلۡمُهَـٰجِرِینَ وَٱلۡأَنصَارِ وَٱلَّذِینَ ٱتَّبَعُوهُم بِإِحۡسَـٰنࣲ رَّضِیَ ٱللَّهُ عَنۡهُمۡ وَرَضُوا۟ عَنۡهُ وَأَعَدَّ لَهُمۡ جَنَّـٰتࣲ تَجۡرِی تَحۡتَهَا ٱلۡأَنۡهَـٰرُ خَـٰلِدِینَ فِیهَاۤ أَبَدࣰاۚ ذَ ٰ⁠لِكَ ٱلۡفَوۡزُ ٱلۡعَظِیمُ }
    [Surah At-Tawbah: 100]

  • @naimaally6719
    @naimaally6719 Рік тому

    Mohamed Bachu Sheikh wa Mchongo

  • @adamnguvu1020
    @adamnguvu1020 Рік тому

    *Sheikh nakupenda kwaajili ya ALLAH ILA sharupu hizo zitoe haramu*

  • @zulfahussein6784
    @zulfahussein6784 Рік тому

    Shukran wa JazakaAllaahu khayran
    yaa sheikh hyu Ustadh wa Kenya anataka watoto wa temeke ndio tena wamfuze lugha ya kiarabu walisha mkosowa sana kwenye lugha 😂

  • @salumsimai642
    @salumsimai642 Рік тому

    MashaaAllah mijadala kama hiii iendelee ila msigombane tuuu tunafaidika sana

  • @IbrahimMuhammad-o3y
    @IbrahimMuhammad-o3y Рік тому

    Bachu unaonekan umejipanga Mwenyez mung akuongoe awaongowe na wale wasio tak kuyafaham haya kuona kam nifedheha wakat kweny Elimu hakuna aibu.........

  • @zainabmaulidi9846
    @zainabmaulidi9846 Рік тому +1

    SubhanaAllah SubhanaAllah nimtihani wallah 😢🤔🤔

  • @salmaalkyumi6030
    @salmaalkyumi6030 Рік тому +5

    Salallahu Alaihi Wasalam ❤️❤️❤️

  • @mussaali7209
    @mussaali7209 Рік тому +4

    ماشاء الله يا محمد

  • @mgazamhina840
    @mgazamhina840 Рік тому +6

    Yaani kila mtu akitoa ushabiki wake asikilize vizur ataelewa,kumbe hata elimu ya mantiki haifai nashukuru kwa faida hii kubwa uliyonipa,Allah akupe mwisho mwema

  • @AbuuArqamtz
    @AbuuArqamtz Рік тому

    As-salaamu Alaikum Warahmatul-laahi Wabarakaatuh.
    Afwan, Swali langu ni hili:-
    ikiwa Abdu tumeinasibisha na utamwa Au (Ar-rajulul mamluuk) na vipi kuhusu istighaathah wal-istiaanah ambazo ni aina za ibaadah, mbona Amezinasibisha na mtume katika hicho kifungu chake cha kumsifu mtume kuwa ni mbashiri na muonyaji ? Maana shekhe ja3far baada ya kujipa hiyo sifa tuliotafsiriwa kuwa ni utumwa wala sio mja kama Alivyo sema ndugu yetu muhammad bacho , Shekh ja3far akaomba uokozi kwa kalima ya Al-stighaathah ambayo ni Aina ya ibaada. Au kulingana na misingi ya shekh ja3far istighaathah pia sio Aina ya ibaadah na Anaweza kumpelekea mtume bila kugeuka na kuwa shirki kwa kusema hivyo?
    NAOMBA ELIMU ZAIDI JUU YA HILO KIDALILI.
    Was-salaamu Alaikum Warahmatul-laahi Wabarakaatuh.

  • @hafsumohd2049
    @hafsumohd2049 Рік тому

    Wala hatujibupo kielimu labda kunguruu amee mvii.

  • @nabiljumaothman5912
    @nabiljumaothman5912 Рік тому

    Allah akupe umri mrefu