UTHIBITISHO KWAMBA QURAN NI KITABU CHA MUNGU KWELI KAMA BIBLIA/ UST. SULEIMAN MBOGO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 58

  • @fettymcharuko7341
    @fettymcharuko7341 24 дні тому

    37. Na haiwezekani Qur'ani hii kuwa imetungwa na haitoki kwa Mwenyezi Mungu. Lakini hii inasadikisha yaliyo tangulia, na ni mfafanuo wa Kitabu kisicho na shaka ndani yake, kutokana na Mola Mlezi wa viumbe vyote. 37
    ❤❤❤❤❤

  • @DesderiusHaule
    @DesderiusHaule 12 днів тому

    Mlishindwa kwa hoja na pastor Ndacha wahadhiri wa kiislamu kwenye mdahalo wa hadharani sasa mmeanzisha mdahalo ya sebuleni na akina simulizi ili mtupoze tuendelee kuwaamini kwamba mnatufundisha iliyo kweli, hatudanganyiki.

  • @Jamal22-o5n
    @Jamal22-o5n 12 днів тому

    Uyu mwehu kila akiokota kitabu anakariri na kukitumia

  • @tospend
    @tospend 27 днів тому +1

    Kama unataka kujua Quran sio kitabu cha Mungu mtafute Sam Shamon ukiwa open mind utanishukuru

    • @Anonymous-w9v-i1p
      @Anonymous-w9v-i1p 26 днів тому

      Jamaa yupo vizuri sana..na mwenzake Godlogic💪..wana elim kubwa sana ya dini.

    • @JoeZeno-q1b
      @JoeZeno-q1b 26 днів тому

      Sam shamour uko vizuri

  • @roggerasili3089
    @roggerasili3089 26 днів тому +1

    Unataka Biblia iandike unavyofikili wewe
    Kama neno Biblia alimo kwenye biblia ndio sababu isiwe Biblia

  • @waluohopaulo2116
    @waluohopaulo2116 27 днів тому

    Uongo miiiingi...ungemuuliza mambo ya evolution ja Charles Darwin

    • @ulimwengumaulid7397
      @ulimwengumaulid7397 27 днів тому

      @@waluohopaulo2116 Tumia akili wew ile inaitwa Dawn Theory of Evolution ni nadhalia ambayo haijathibitishwa kisayansi, Ingekua inaitwa Dawn Fact of Evolution hapo kweli Quran is about FACT ambazo zipo na Zijazo ambazo zingine hazipo

  • @omaryally3489
    @omaryally3489 27 днів тому

    Makafir wagumu kuelewa saana....waobwanataman kwenda mbingun na co pepon na ndio maa misalaba wana vaa ad walev na wanajua wataenda mbingun....

  • @Jamal22-o5n
    @Jamal22-o5n 12 днів тому

    HAKUNA UKWELI UNAOWAUMIZA WAISLAM KAMA KUWAAMBIA ALICHOFANYA TAPELI WAO MUHAMMAD KUMUOA MJUKUU WAKE WA MIAKA 6, NA ILE YA KUOA MKE WA MWANAE. APO WANANUNA MPAKA WANAKUWA WEKUNDU

  • @JumaAthuman-bk6hx
    @JumaAthuman-bk6hx 27 днів тому

    KILA MARA NAKUELEZA KWENYE UISLAM HAKUNA MUNGU!MBONA UNACHANGANYA MAMBO.

  • @imhotepheru436
    @imhotepheru436 25 днів тому

    Science na Quran ni kama fisi na simba,. Na Quran bila Hadiths akuna uislamu, Sala tano zipo kwa hadiths ila Quran imetaja sala tatu pekee, Quran inasema dunia iko FLAT 🤔 Quran inasema nyota ni kombora za kumpiga shetani 🤔 Quran inasema dunia imebebwa na samaki/nyangumi SURAH 68:1 Ibin Abbas TAFSIR) 🤔 Same time Allah kaishikilia Dunia SURAH 35:41 🤔 Surah ya kupiga mawe mzinifu aipo kwenye Quran ilipotea kwa kuliwa na mnyama (SUNAN IBN MAJAH 1944) Quran aiezi kuwa Complete au kitabu cha Mungu...

  • @fettymcharuko7341
    @fettymcharuko7341 24 дні тому

    Wagalatia jibu hilo hapo Quraan 10--37 hamna ujanja kwenye kitabu cha mwenyezi mungu😂😂 uislam raha sana toeni aya nanyi tuone 😂😂😂

  • @Jamal22-o5n
    @Jamal22-o5n 12 днів тому

    WAISLAM WANAFOSI KUFANANA NA WAKRISTO, ILI HALI INAJULIKANA UISLAM BILA UONGO HAWATOBOI. WAISLAM WAMESOMA BIBLIA ILI KUANDIKA QURAN ALAFU LEO WANASEMA QURAN NDO YA KWELI BIBLIA YA UONGO 😅😅😅😅😅😅😅

  • @Jamal22-o5n
    @Jamal22-o5n 12 днів тому

    Eeh, uyu jamaa anarukaruka. Anakuambia kuna mbingu mpya. Muhammad ni tapeli cjawahi ona. Kawadanganya hawa masikini mpaka basi.

  • @ulimwengumaulid7397
    @ulimwengumaulid7397 27 днів тому

    BIBILIA INASEMA MUNGU ALIUMBA MIMEA HALAFU BAADAE JUA SASA SCIENCE INATUAMBIA MIMEA INATEGEMEA JUA NDO INAKUA KOSA LA KWANZA LA WAZI HILO, BIBILIA INATUAMBIA KAINI ALIENDA NCHI YA NODI AKAMJUWA MKE JE HUYO MKE ALIMTOA WAPI??????
    QURAN INAJITETEA YENYEW BUT BIBILI INATETEWA

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh 27 днів тому

      tuliza majini chini kijana kasome icho kitabu cha shetani utaelewa kwamba si kitabu cha Mungu!

    • @ulimwengumaulid7397
      @ulimwengumaulid7397 27 днів тому +1

      @JeanMuzaliwa-bs6qh Huna hoja zaidi ya kutukana na ndivyo mlivyokalilishwa makanisani kwenu hamuwezi kuutetea ukristo wenu au bibilia yenu kwa hoja za kimantiki au za kisayansi zaidi mnatukana tu nasisi tutawaelimisha bila kujali matusi yenu ni kaujinga mnako soon kataondoka

    • @Anonymous-w9v-i1p
      @Anonymous-w9v-i1p 27 днів тому +1

      Na quran inatuambia dunia ni tambarare😂 hapo vipi boss?😂 pia inasema jua linazama kwenye matope😂 hio je? Mtume katika hadith anasema ukila tende saba hakuna sumu itayokudhuru lakini akafa kwa sumu 😂 hapo vipi mkuu?

    • @ulimwengumaulid7397
      @ulimwengumaulid7397 27 днів тому +1

      @Anonymous-w9v-i1p Usilete story weka Aya hapo ili uelekezwe

    • @Anonymous-w9v-i1p
      @Anonymous-w9v-i1p 27 днів тому

      @@ulimwengumaulid7397 Aya za nini mkuu wewe si muislam umesoma kitabu chako leta maelezo tuelewe..ndugu.

  • @JeanMuzaliwa-bs6qh
    @JeanMuzaliwa-bs6qh 27 днів тому +5

    quran si kitabu cha mwenyezi Mungu never,biblia pekee ndicho kitabu cha Mungu duniani ukatae ukubali full stop,na akuna mtume alie tumwa na Mungu anaitwa Muhammad no,pope,Muhammad nima agent wa shetani,ndio mm nakubali quran inatumika kwenye uchawi waganga wengi wakienyeji utumia quran!

    • @ramadhanikuhanga3324
      @ramadhanikuhanga3324 27 днів тому

      Hayo mawazo yako mgando tatzo kichwa kikubwa ubongo wa mende

    • @ulimwengumaulid7397
      @ulimwengumaulid7397 27 днів тому

      @@JeanMuzaliwa-bs6qh Lete hoja acha munkali acha hasira

    • @waluohopaulo2116
      @waluohopaulo2116 27 днів тому +1

      ​@@ramadhanikuhanga3324Allah aliteremushia Muhammad jinni.

    • @SabihaibrahimRajabu
      @SabihaibrahimRajabu 27 днів тому

      Bibilia inasema mungu malaika na yesu hawakijui kwamwee kitabu kinachoitwa bibilia sasa wewe tujibu ni mungu yupi alokuja na bibilia na alipewa mtume gani bibilia

    • @SabihaibrahimRajabu
      @SabihaibrahimRajabu 27 днів тому

      Ikiwa shetani ni mwanafunzi wa yesu katika wale wanafunzi 12 mmoja shetani nasio Paulo sasa shetani ni mwalimu wenu wa bibilia