IMETHIBITISHWA: QURAN IMEKAMLIKA KISAYANSI ZAIDI YA BIBLIA YA WAKRIST| UST. MBOGO AMTEGA UST. DANIEL

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 4

  • @ikramikra5219
    @ikramikra5219 Годину тому

    Sheikh umekoses kaka,Toronto ni Canada siyo Ufaransa

  • @m.e.ssofttech2806
    @m.e.ssofttech2806 5 годин тому

    Quran haijakamilika kisayansi kwa sababu inasema "Jua linazama matopeni" kwenye Jua hakuna mvua, mvua ipo duniani
    Tuonyeshe sehemu zipi zilizoharibiwa, tuzifahamu?,
    Mtume hajui kusoma na kuandika hivyo Quran iliandikwa zaidi ya mara moja na mahalifa na Kuna sehemu za Quran ziliondolewa na halifa wa mwisho

    • @OmariShuli
      @OmariShuli Годину тому

      Onyesha hiyo aya inayoesema kua jua linazama matopeni.
      Pia ili ujue kizuri ni lazima ujue kibaya. Wewe wajua hiyo hiyo bibilia tu. utaipima na kitu gani na ilhali huna kipimo.
      Tatu, Hekima ya mtume kutojua kusoma na kuandika Allah ameitaja ktk Qr 29: 48. rejea.

    • @Kim19onlinetv
      @Kim19onlinetv 5 хвилин тому

      Nakuomba kaka tuwasiliane hoja yako ni muhim sana