MAANA YA KUOTA UNAPAA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 бер 2024
  • Je umeshawahik kuota ndoto za kupaa hewani kwa namna moja au yeyote? Na je umeshawahi kufuatilia maana halisi ya kuota unapaa?
    Haya ni majibu sahihi kabisa kwa habari ya MAANA HALISI inayoendana na KUOTA UNAPAA.

КОМЕНТАРІ • 38

  • @ZaharaMohamed-zl2ud
    @ZaharaMohamed-zl2ud 27 днів тому +2

    Me naota napaa, mda mwingine naota naombea watu kanisani na wanapona, naomba uniambie maana yake mchungaji 🙏

  • @Happy-vb2nt
    @Happy-vb2nt Місяць тому +2

    Amina mtumishi wa mungu mi naota mala nying sana watu wa baya wakiwa wananifukuzia alafu najikuta nawakwepa kwa kupaa nisaidie mtumishi maana yake

    • @ulimwenguwarohoni
      @ulimwenguwarohoni  Місяць тому

      Hiyo ina maana kuna watu waovu kama wachawi na jamii nyingine ya watu waovu wanaotaka kukushusha chini na kukuangamiza.
      Ila hapo inaonyesha unapaa kwa sababu kuna neema ya BWANA katika kukuwezesha kuwaepuka.
      Ila unaitaji kujua namna ya kufanya maombi ya vita ili kukata mzizi mzima wa waovu hao.

  • @hellenmutunga5785
    @hellenmutunga5785 Місяць тому +1

    Naomba nisaidie kunifungulishs kazi ya. Mungu yaani kibali

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 Місяць тому +2

    Sema mtumishi wa bwana

  • @mancheda5688
    @mancheda5688 Місяць тому +3

    Pia mtaani kwangu baada ya kuokoka nikawa nachukiwa sana na baadhi ya watu

  • @user-gm4qi3nn9n
    @user-gm4qi3nn9n 2 місяці тому +5

    Mimi miaka 38 mpaka sasa nazoota ndoto za kupaa napigana, na Kuota Niko na watu maarufu zaidi kila MTU asiyenijua huniona tajiri lakin ndugu zangu upande wote wananichukia sana

    • @ulimwenguwarohoni
      @ulimwenguwarohoni  Місяць тому +2

      Wewe hakika una hatima kubwa sana, ila unaitaji msaada wa kiroho kiasi na maombi ili uweze kufikia malengo ya hizo ndoto za ukuu

    • @user-gm4qi3nn9n
      @user-gm4qi3nn9n Місяць тому +1

      ​@@ulimwenguwarohonisahihi na kila kitu nimefunuliwa nishajaribu kuokoka lakin nakosa Msaada wa kiroho basi narudi Tu kuswali maana nimebase Sana lakin naimani kupitia Yesu nitasaidika Ila Niko nchi ya uarabuni sina bible wala muongozo

    • @ulimwenguwarohoni
      @ulimwenguwarohoni  Місяць тому +1

      Itabidi nikusaidie uweze kukulia wokovu. Nitafute kupitia namba hii ya Whatsapp+255 762 444 418

  • @geofreypatrick6667
    @geofreypatrick6667 Місяць тому +1

    Amen 🙏 🙏 🙏

  • @janecharo1196
    @janecharo1196 Місяць тому +2

    Naomba unisaidie na hii ndoto mara nyingi naota niko kwa mto vusha watu,mara nione nachota maji kwa kisima cha katikati ya mto,na mara nione maji yanajaa wale nitakua nao wanakimbia na kuacha mitungi yao mimi ndio nitaivusha naomba tafasiri yake Amen.

    • @ulimwenguwarohoni
      @ulimwenguwarohoni  Місяць тому +1

      Hii ndoto siyo nzuri kabisa. Ina maana ya kuwa hatima yako imechukuliwa na kuwekwa uteka katika vyanzo vya maji kila uweze kutumikishwa kichawi kutokea katika vyanzo vya maji husika. Soma kitabu cha UFUNUO 17

    • @janecharo1196
      @janecharo1196 Місяць тому +1

      @@ulimwenguwarohoni Amen Asante sana

    • @ulimwenguwarohoni
      @ulimwenguwarohoni  5 днів тому

      ​@@janecharo1196amen

  • @Victoria-bv6xu
    @Victoria-bv6xu Місяць тому +1

    Ameni

  • @StellaMwakyami
    @StellaMwakyami 27 днів тому

    Mimi huwag naota wakati mwingine nipo na watu wakubwa mara nimeshikwa mkono na raisi mara wasanii wakubwa hata sielew

  • @PendoShengo
    @PendoShengo 12 днів тому +1

    Mmmmm mtumishi umenigusa Sana Mimi nilikuwa napita Sana hiyo ndogo ya kupaa juu Sanaa pia nilikuwa napenda Kuota ndoto Niko viwanjani na kuna kundi kubwa la watu Kama vile mkutano halafu naambiwa niombe au niimbe nauliza sitaweza kuimba au kuomba nitakutieni aibu matokeo yake naimba watu wanafurahi na naomba mpaka watu wanapona Ila siku hizi hizo ndoto hazipo tena nifanyeje mtumishi

    • @ulimwenguwarohoni
      @ulimwenguwarohoni  5 днів тому

      Wewe ulikuwa na vito mkubwa sana. Lakini hapo kinachotokea ni kuwa mafuta ya wito wako yameibiwa na kufukiwa.
      Lakini kwa asili wewe una wito mkubwa sana.
      Labda pia fuatilia MASOMO MENGINE YA TAFSIRI ZA NDOTO ZA WATU WALIOKUFA NILIYOTUMA HIVI KARIBUNI uone kama unaweza ukajifunza kitu pia.

  • @erasmygachu-yi4sg
    @erasmygachu-yi4sg 28 днів тому +1

    Mm huwa naota napaa juu ya anga maeneo ya bahari alafu watu ambao wapo nchi kavu pembeni wananinyooshea vidole kwa kunishangaa ila mm mwenyw huwa nakuwa na hofu huwa nakuwa kama mtu aliyebebwa napelekwa juu kabsaa naomba msaada tafadhal

  • @scolastikavictor
    @scolastikavictor Місяць тому +2

    Jaman mi naot kila siku nikiwa napaa uku nasaidia watu

    • @ulimwenguwarohoni
      @ulimwenguwarohoni  Місяць тому

      Hii ina maana una hatima kubwa sana ya mafanikio ambayo yataendana na kuwainua na kuwasaidia watu wengine

  • @IDDYBELABELA
    @IDDYBELABELA 2 місяці тому +2

    Kweli mjungaji tutafanya nn ili tutimize

    • @ulimwenguwarohoni
      @ulimwenguwarohoni  Місяць тому

      Hapo unaitaji msaada wa kiroho ili kuvunja vifungo vya giza vinavyojiinua kinyume nawe

  • @TehsHdhdh-lm3ow
    @TehsHdhdh-lm3ow Місяць тому +1

    Kweli mchungaji

  • @user-pv9hq3mi4w
    @user-pv9hq3mi4w Місяць тому +1

    Mm nilikuwa naota napaa mara nyingi sana nikiwa binti naomba unishauri nifanyeje ili nifikie hatma yangu Mungu aliyonikusudia?

    • @ulimwenguwarohoni
      @ulimwenguwarohoni  Місяць тому +1

      Kama hizo ndoto zimeacha mana yake kuna nguvu za giza zilijiinua kinyume nawe na kuleta shida ya kukwamisha hatima yako.

    • @ulimwenguwarohoni
      @ulimwenguwarohoni  Місяць тому

      Pia je naona kama una shida ya mguu wa kushoto maeneo ya gotini kushuka?

  • @user-pp7ug2bc1y
    @user-pp7ug2bc1y 4 місяці тому

    Jesus that prophecy haihusiani

  • @mrteacher1639
    @mrteacher1639 Місяць тому

    Mimi huwa naota napaa juu sana. Naweza ota nakimbizwa na watu wabaya af ninaruka juu sana. Kuna wakati mwingine naweza Ota nipo juu au nimepelekwa juu ya mlima mrefu sana then nasukumwa na mtu ili nianguke chini lakini sasa cha kushangaza nikiasukumwa nashuka kama nimefungiwa parachuti!

    • @ulimwenguwarohoni
      @ulimwenguwarohoni  5 днів тому

      Wewe una hatima kubwa lakini kuna nguvu ya mpinzani inataka kukusukuma udondoke. Lakini bado unaonekana una mbawa za kiroho

  • @user-pp7ug2bc1y
    @user-pp7ug2bc1y 4 місяці тому

    Khaaa

  • @ElinamiMmari
    @ElinamiMmari Місяць тому +1

    Mim naota San kupaa uku naimba

    • @ulimwenguwarohoni
      @ulimwenguwarohoni  Місяць тому

      Hii ina maana una wito mkubwa sana sana unaohusiana na uimbaji. Na kama utaufuatilia wito huu na kuutendea kazi basi utafika mbali sana

  • @mancheda5688
    @mancheda5688 Місяць тому +1

    Me naota napaa angani pia nishawahi kuota nipo na wazazi wangu wawili wote simba akawa anataka kutuzulu wakati anamfikia mama angu nikamuua pia nishawah kuota nimelala kwenye kiti gafla ndotoni nikawa kama nimemshika mtu nyuma upande wa kulia uku nakemea kwa jina la yesu nikamvuta mbele ya miguu yangu nikaanza kumkanyaga

    • @ulimwenguwarohoni
      @ulimwenguwarohoni  Місяць тому

      Wewe ni kiongozi na msaada wa familia. Sema hiyo ya kulala kwenye kiti ina maana nyeti sana

    • @mancheda5688
      @mancheda5688 Місяць тому

      Naomba ushauli wako mtushi wa bwana