Jinsi ya kupika chapati laini za maji / Mikate ya maji

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 54

  • @gicherucarol
    @gicherucarol 5 років тому +4

    Asante sana Dada, hii recipe ilinipatia crepe tamu sana hadi marafiki walinipatia sifa tele. Mungu akubariki!

  • @gicherucarol
    @gicherucarol 4 роки тому +1

    Asanteee! Nimeipenda recipe yako sana! Mungu akubariki! ❤️

  • @oddynathan6899
    @oddynathan6899 3 роки тому

    The real pancakes hua hazina mafuta, ukiweka na cinnamon unyunyizie maple syrup ni tamu sana, mapishi uko vizuri

  • @zaytunyemen3537
    @zaytunyemen3537 5 років тому +1

    Nzur nimejaribu jaman mpka nimeipenda mwenyewe thanx mamy

  • @dieterfenn6773
    @dieterfenn6773 4 роки тому

    Lecker chapati za maji asante dada ubarikiwe 👏👏👏👏👏👏👏👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍

  • @shammoha5297
    @shammoha5297 5 років тому +3

    MashaAllah. Yummy 😋👌🏽🤗 Shukran

  • @aisiamangowi8498
    @aisiamangowi8498 8 місяців тому

    I tried and it worked

  • @evanmaniac2549
    @evanmaniac2549 5 років тому +3

    Kazi safi kabisa kabisa.

  • @nomar3708
    @nomar3708 Рік тому

    Thank you!

  • @uwezedjadida5968
    @uwezedjadida5968 2 роки тому

    Ma nsha Allah naipanda Sana recipe yako

  • @tegistikimathi5719
    @tegistikimathi5719 2 роки тому

    i like it

  • @peterbillas9131
    @peterbillas9131 4 роки тому

    Jabari dada wa mapishi rahisi

  • @rosegeorge4832
    @rosegeorge4832 3 роки тому

    Nzuri sana nmependa mamy

  • @shilaseif5852
    @shilaseif5852 5 років тому

    My husband love this thanks for the recipe

    • @lauraabass1077
      @lauraabass1077 5 років тому +1

      Usiseme anachopenda mumeo hadharani dear baadhi ya watu watamuiba😎

    • @ummrumi1564
      @ummrumi1564 4 роки тому

      @@lauraabass1077 🙄🙄🙄🙄

  • @asmaafamau8307
    @asmaafamau8307 5 років тому +2

    Mashaallah tabarakallah shukran kwa kutuelimisha

  • @princeshadrak2310
    @princeshadrak2310 4 роки тому

    Nimeipnda recipe yko saaaana

  • @ummunifaljabry2266
    @ummunifaljabry2266 5 років тому +1

    Nimesave InshaaAllah nitajaribu

  • @johnanatoli6136
    @johnanatoli6136 2 роки тому

    Je kweny farampeni naweka Madhya??

  • @starexraheem3901
    @starexraheem3901 2 роки тому

    Unapomwaka mchanganyiko walo kwenye pan unaweka mafuta pia unapozichoma?

  • @asirasachi5700
    @asirasachi5700 2 роки тому

    Pishi zuri

  • @Odama-dn7xy
    @Odama-dn7xy 2 роки тому

    Niliweka mchanganyiko mwepesi uling'ang'ania kwenye sufuria

  • @fatmajezan6812
    @fatmajezan6812 2 роки тому

    😍

  • @sarahwanjala6601
    @sarahwanjala6601 5 років тому

    Wow nice

  • @namayembajesca
    @namayembajesca 3 роки тому

    ❤️❤️❤️❤️

  • @JackSon-sl3ct
    @JackSon-sl3ct 4 роки тому +1

    Sielewi dose ya mafuta. Vikombi vyapataje? Umesema maziwa vikombe viwili lakini mengi zaidi ya vikombe viwili vya mafuta.

  • @abudebinabri5873
    @abudebinabri5873 5 років тому

    شكرا جزاك الله خير

  • @shakirauth1505
    @shakirauth1505 5 років тому +1

    Can i make the same without eggs.???

  • @nevernicodem8420
    @nevernicodem8420 5 років тому +2

    aiseeee waoooh nice but vp hutumii mafuta tena wakati wa kupika??

    • @agnescharles3895
      @agnescharles3895 4 роки тому

      Naona mafuta aliweka kwenye mchanganyiko wake kabla

  • @ammulaal-timimi7096
    @ammulaal-timimi7096 5 років тому +3

    Salaam alkm mamangu anifundisha kutia mafuta time yakuchoma. Kwa hivo ukitia mafuta pale wamix ingredients Si lazima kutia mafuta time ya kuchoma? Ama

    • @Mapishirahisi
      @Mapishirahisi  5 років тому +6

      Nimeweka mafuta wakati wa kukoroga mchanganyiko. Ndio maana sikuweka mafuta wakati wa kuchoma. Lakini ukitaka waweza kutia dear😊❤

  • @niciaanthony7474
    @niciaanthony7474 5 років тому +3

    Kama situmii maziwa

  • @mesalimrashid6312
    @mesalimrashid6312 5 років тому +1

    Nazipenda na nyama ya kukaanga rosti yani we mwana mbona ni tamu.

  • @halemamohammed2381
    @halemamohammed2381 5 років тому +1

    Mashaallah

  • @zenamalela8077
    @zenamalela8077 5 років тому +2

    Mashallah lkn mafuta hutii wakati wakuchanganya tutaumwa c kwa mafta hyo hpo umekosea mafta unatia kidg tu wakat wa kuchoma

    • @Halimaalawsy
      @Halimaalawsy 5 років тому +2

      Mchele ni pishori upishi kila mmoja na wake

    • @lightwilliam4443
      @lightwilliam4443 4 роки тому

      lakini umeona wakati wakuchoma hajaweka mafuta

  • @halimatajiri2993
    @halimatajiri2993 5 років тому

    Mashallah yummy yummy

  • @eunicekamau8066
    @eunicekamau8066 5 років тому +2

    Zakuonja tafadhali😊

  • @jackilinamurre6574
    @jackilinamurre6574 5 років тому

    maandazi

  • @mariammssumi6012
    @mariammssumi6012 5 років тому

    Shukran

  • @carolinelivingstone6523
    @carolinelivingstone6523 4 роки тому

    Unga vikombe viwili ni nusu kilo au

  • @rashmaakhalid4967
    @rashmaakhalid4967 5 років тому +1

    Ni maziwa fresh au mtindi?

  • @ummunifaljabry2266
    @ummunifaljabry2266 5 років тому +1

    Huti mafuta wakati ya kuchoma?

    • @Mapishirahisi
      @Mapishirahisi  5 років тому +3

      Nimeweka mafuta wakati wa kukoroga mchanganyiko. Ndio maana sikuweka mafuta wakati wa kuchoma. Lakini ukitaka waweza kutia dear😊❤

    • @ummunifaljabry2266
      @ummunifaljabry2266 5 років тому +1

      @@Mapishirahisi okay thank you for replying

  • @mariammgaya7860
    @mariammgaya7860 5 років тому +1

    hueki mafuta wakat wa kuoka

    • @queenandchill91
      @queenandchill91 5 років тому +3

      Kwa sababu alishaweka mafuta kwenye kukoroga mchanganyiko....

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 5 років тому

    Lkn jitahid unapoosha mapish kata makucha hayo yanachefua ujue

  • @azizamawji3245
    @azizamawji3245 5 років тому +1

    Mashaallah