Highlights | Yanga 0-1 Rivers United - CAFCL 12/09/2021

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2021
  • Tazama mambo yalivyokuwa wakati Yanga ikimenyana na Rivers United kwenye mtanange wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Yanga imepoteza mchezo kwa kufungwa bao 0-1.
    Ni mchezo wa raundi ya kwanza hatua ya awali.
    Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
    ►INSTAGRAM: / azamtvtz
    ►INSTAGRAM: / azamsports2
    ►TWITTER: / azamtvtz
    ►FACEBOOK: / azamtvtz
    ►WEBSITE: www.azamtv.co.tz
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 337

  • @NellyWaKidato
    @NellyWaKidato Рік тому +24

    Waliokuja kuutazama huu mchezo baada ya kupangwa tena na rivers nipeni like zangu

  • @gervasalvine6804
    @gervasalvine6804 2 роки тому +23

    Kama Nawewe ulikua ukisubirii hizi highlights za Azam gonga like tujuane

  • @KidotiTwiga
    @KidotiTwiga 2 роки тому +6

    Tuliokuja kwa ajili ya Okwa tujuane🔥🔥

  • @Othman496
    @Othman496 2 роки тому +7

    tulio kuja kwa ajil ya okwa tujuan

  • @zanmedia5225
    @zanmedia5225 2 роки тому +22

    Wangapi tuliokuja kumuangalia okwa vizuri baada ya kusikia anakuja unyamani?

  • @femidayahaya4882
    @femidayahaya4882 Рік тому +1

    Al kisasi Haqi
    Mtajua hamjui..Mlituonea sana kwenu Kenge Nyie.

  • @joshuanyonyi3313
    @joshuanyonyi3313 2 роки тому +2

    Yanga..
    Mkitulia hii timu Nageria mtawapiga..
    Sio wazur sana..

  • @julianashani9408
    @julianashani9408 Рік тому +5

    Yaaan mafaraaaa hawa wamejileta mdomo wa Mamba, uhakika n nje ndani mbwa hawa

  • @saadjuma4609
    @saadjuma4609 2 роки тому +4

    Never give up Alota continues

  • @emmanueljoseph2576
    @emmanueljoseph2576 2 роки тому +6

    Mngefunga nisingeangalia ila naangalia tu sababu mmefungwa 😂😂😂utoploooooooo oyeeeeeee

  • @yohanakiyumbi4795
    @yohanakiyumbi4795 2 роки тому +3

    Daah! GSM ana kazi sn... kusem ukwl hii Mechi Yanga wamejiabisha sn

  • @adifar89
    @adifar89 2 роки тому

    Hamna cha manara wala mzee pili hapo :D. This is genuine football OG

  • @yussufbakarhaji7114
    @yussufbakarhaji7114 Рік тому +2

    Kila jambo linakua na mwanzo na mwisho wake, Sasa KAZI yetu wana yanga ni kuujaza uwanja, na kuweka record yetu mpya, ya kuchukua mataji

  • @daudsam3146
    @daudsam3146 2 роки тому +4

    WAMELALAAA YOOOOOOOOOOO😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐵🐵🐵🐵🐒🐒 MLIKUA MNAZICHUKULIA POA TEAM ZINAZOSHIRIKI CLUB BINGWA NA UO NI MWANZO TU MANINA ZENU

  • @mudylipawaga5362
    @mudylipawaga5362 Рік тому +1

    ALLAH atujalie yanga tuweze kumfungu huyu Rivers

  • @yohanakiyumbi4795
    @yohanakiyumbi4795 2 роки тому +5

    Mbona Wamepata nafasi nyingi af wamezichezea hv...daah! aisee Yanga wanastahili wachapwe Viboko

  • @hamidayanga8224
    @hamidayanga8224 Рік тому +2

    Kama walitufunga 1 na King mayele nakuchezea Dr aucho hakucheza Juma shaban hakucheza je safari hii kikosi kimekamilika watatuweza??😂😂😂😂😂

    • @femidayahaya4882
      @femidayahaya4882 Рік тому

      Aaa wapi...labda watuletee tena chuki zao.. Lkn mungu fundi.

  • @iddimngazija1957
    @iddimngazija1957 2 роки тому +4

    Azam mnazingua sana Highlits mnachelewesha hadi tunaangalia video za kurekodiwa na tecno kwenye vi medear uchwara

  • @mohamedkigwehe4025
    @mohamedkigwehe4025 2 роки тому +1

    Time ni nzuri sema kinamakosa madogo sana yani

  • @mariapialakanje3446
    @mariapialakanje3446 2 роки тому

    Hongereni sana River kwenu naamini kbisa mtawapiga zaidi lbda wajipange sana Utopolo

  • @danielmwakalebela5812
    @danielmwakalebela5812 2 роки тому +4

    Nipo apa kwa ajili ya Okwa tu

  • @wamoroboy8963
    @wamoroboy8963 2 роки тому +6

    Popote ulipo shabiki wa YANGA jipige kifuani kwko na useme Mimi ni Falaa🥴😂😂😂

    • @aishachambo8663
      @aishachambo8663 2 роки тому +1

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @wamoroboy8963
      @wamoroboy8963 2 роки тому +1

      @@aishachambo8663 #hajismanara tumemkuta chooni akicheka😆

    • @kasmirypaschal2228
      @kasmirypaschal2228 2 роки тому +2

      mwanangu wa moro umenichekesha sana kaka tatzo lao utopolo ule mwiko nyuma unawasumbua sana kk nipo moro mzinga

  • @emmanueldonald9985
    @emmanueldonald9985 2 роки тому +1

    Big up, hata Kama tumefungwa

  • @emmanuelmasse6219
    @emmanuelmasse6219 2 роки тому +2

    Nilifurahia Sana utopolo kufungwa hii mechi

  • @saimonseleka2311
    @saimonseleka2311 2 роки тому +3

    Yani huyu kocha anataka kutuaminisha kuwa nchimbi ana maajabu kuliko kaseke, bangala na saido🤣🤣🤣

  • @buimohammed1255
    @buimohammed1255 Рік тому

    Angekuwepo kuwepo king 👑 mayele kwa nafasi izo asinge wa acha salama kama alivyo wafanyia sasa

  • @madukaj.j.6999
    @madukaj.j.6999 2 роки тому +3

    Nipo hapa kumwangalia Okwa

  • @naizertelisha1863
    @naizertelisha1863 2 роки тому +5

    Manara ana dhambi et Tim inafungwa anaenda kuchekea chooon,lakin Ii nchi ndg mda utafika tutakupiga mawe this uto🐸🐸🐸🐸

  • @kefaJmalimali
    @kefaJmalimali 2 роки тому +1

    Mwemwe poleni sna utopolo tatizo mmesajili waimba kwaya wengi

  • @samwelmangi843
    @samwelmangi843 2 роки тому +5

    MAREHEMU ALIKUA NA TATIZO LA MDOMO MREFU

  • @mariapialakanje3446
    @mariapialakanje3446 2 роки тому +2

    Simba level ingine kbisaa

  • @mohamedidd7385
    @mohamedidd7385 2 роки тому

    Highlight imechelewa sana aisee

  • @user-zl5vg9vt4e
    @user-zl5vg9vt4e 2 роки тому +3

    Huyu Fesal ilo goli alilokosa dah ila ndo wachezaji wetu walivyo hawana nidham na mpira leo atakuchezea vizuri alafu kesho anacheza Blanda kama izo tatizo wana mazoea sana 😂😂😂

  • @josephjohn7003
    @josephjohn7003 2 роки тому +3

    Poleni sana watani zetu mkajaribu kupindua meza huko Nigeria kilala kheri watani

    • @allymtungunyu2425
      @allymtungunyu2425 2 роки тому

      Lakini wamejitahidi kufungwa gol moja na livers pool mabingwa wa ulaya wamejitahidi sana

    • @rithadonatus8110
      @rithadonatus8110 2 роки тому

      Wee vipi unawatakia kila kheri kwani wewe uwa wanakutakiaga kheri ....wakomeee wakomeeee wapuuuuzi

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 2 роки тому

      @@rithadonatus8110 😂😂😂doooh utaki ujinga

  • @selemanmussa3459
    @selemanmussa3459 Рік тому +2

    Nna uchungu sana kila nikikumbuka, jamaa walitunyanyasa sana hawa....watakiona kivumbi na jasho....

  • @mariapialakanje3446
    @mariapialakanje3446 2 роки тому +2

    Ila hata hawakupokelewa kwa uzuri poleni sana waliwachukia kweli River nfo maana wameamua kuwatenda zaidi duhu

  • @japharyewalla3565
    @japharyewalla3565 2 роки тому +2

    Yanga ni timu yangu lakini inasikitisha kikweli

  • @shadrackjuliuskaboya5239
    @shadrackjuliuskaboya5239 2 роки тому +1

    *bcs of okwa am here hata kama sijui kinge ila nimeeleweka kudadeki*

  • @mariapialakanje3446
    @mariapialakanje3446 2 роки тому

    Rive wako vizuri sana wajitahidi kuoasiana mipira na kucheza kwa upendo watapata magoli mengi snaa

  • @mrliverpoolynwa7641
    @mrliverpoolynwa7641 2 роки тому

    CAF wana wimbo mzuri sana.YNWA

  • @tanzanianews2558
    @tanzanianews2558 2 роки тому +3

    Tumelala Yooooo

  • @chizashungu1236
    @chizashungu1236 2 роки тому +4

    Yanga mpira upo safi,umakini tu........fei toto amepoteza nafasi na wengine wengi.Tumefungwa ila nimeridhika na perfomance ya Yanga.

    • @daudsam3146
      @daudsam3146 2 роки тому +1

      na wao wameivuruga saf yenu ya ulinzi mara ngap shukur mola mngetiwa vitatu halali au vinne na kule mnaenda kukalia msumar wa moto😂😂😂😂😂😂🐸🐸🐸🐸🐸🐸

    • @karago88
      @karago88 2 роки тому

      Hakuna kitu pale, umejifaraji tu Yanga ilikuwa wakufunga kabisa lakini wametobanga inakuwa wacheza mpara wakubahatisha

  • @yahayasetembo5375
    @yahayasetembo5375 2 роки тому +1

    The return of utopolo.., vipigo viendelee n,,!😂😂

  • @martinswai239
    @martinswai239 Рік тому +1

    Hii mechi tuliwakosakosa sana hawa jamaa safari hii tunawakanda nje ndani

  • @nuruworldinsight2957
    @nuruworldinsight2957 2 роки тому +2

    Baada ya mechi kipa wao RIVERS UTD AMEIPONDA sana MISUKULE FC eke MIGONGO WAZI FC na kuipa VYEO SIMBASCTZ eke MNYAMAA MKALI 🦁🦁🦁💪💪💪

  • @ericksonodhiambo9964
    @ericksonodhiambo9964 2 роки тому +6

    Tz mwache mpira wa midomo na magazeti mpira ni uwajani

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 2 роки тому

      Ninyi wenyewe acheni pia kazaneni ,timu za kenya nazo tia maji tia maji tu

    • @ericksonodhiambo9964
      @ericksonodhiambo9964 2 роки тому

      @@emmadora7848 Wewe sijakuelewa,watz wenzako wanasemaje?

  • @mariapialakanje3446
    @mariapialakanje3446 2 роки тому

    Wahooo safi sana Giper wa River tumpateje huyo dah yuko poa sanaaa

  • @harunasaidmussa8585
    @harunasaidmussa8585 2 роки тому +3

    Mlisema Simba anashinda kwakua kuna Corona kwan vip Corona imeisha

  • @yusuphabsaid8151
    @yusuphabsaid8151 2 роки тому +4

    Rivers mmenipa Raha Sana

  • @mariapialakanje3446
    @mariapialakanje3446 2 роки тому +3

    Bora sisi ni kamchezo kakirafiki huwii sasa nyie utopolo jmn mwanzoni kbisa mwa ligi mshatolewa huwiii hta hmjacheza. Mara mbili duhu utopolo mwaka huu mtaishia tu na manara wenu

  • @yacenharuna380
    @yacenharuna380 2 роки тому +5

    Kibwana, Mauya, Adeuy wote hawafai kuanza kwa game yyte, kfupi hao ndo waifersha Yanga SC, Yanga SC naiamin sana nguvu na Taifa moja, 2tasonga mbele

    • @daudsam3146
      @daudsam3146 2 роки тому

      msonge wap mna gem mbil zijazo mkikojolewa kwaheri 😂😂😂😂😂🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐵

    • @rashidjoseph2624
      @rashidjoseph2624 2 роки тому

      @@daudsam3146 🤓🤓🤓🤓🤓

    • @shatindebarcelona1223
      @shatindebarcelona1223 2 роки тому

      Dah makambo ulimi ni tai

  • @christerlaurent8580
    @christerlaurent8580 2 роки тому +4

    Mamaaaaa!! kumbe ukiangalia marudio yanga wanafungwa tena

  • @poulndimila4588
    @poulndimila4588 2 роки тому +3

    Bahati haikuwa Tanzania Jana tujipenge TM iko Poa

  • @salimtweyale1699
    @salimtweyale1699 2 роки тому +1

    Wamelala Yoooooo

  • @issaally4364
    @issaally4364 2 роки тому +2

    Hahahaha huku kwetu tunakula kuku kwa mlija Utooooo Return of huzan matatzo maumivu kuteseka 🤪

  • @mrliverpoolynwa7641
    @mrliverpoolynwa7641 2 роки тому +2

    The return of aibu lol😂😂😂🐸🐸🐸 bana.YNWA

  • @swamweliteobady4496
    @swamweliteobady4496 2 роки тому +1

    Yani young alivyo fungwa hii mechi ameenda kumlamba simba kwenye ngao nimependa sana

  • @suphianyahya1781
    @suphianyahya1781 2 роки тому +1

    Okwa mtu kazi

  • @khloevibe7569
    @khloevibe7569 Рік тому +3

    Nimeirudia hii match kmmmk wataona moto hawa wasenge

  • @authorepiscopereemmanuel964
    @authorepiscopereemmanuel964 2 роки тому +1

    Vive Yanga

  • @badrushikeli9899
    @badrushikeli9899 2 роки тому +1

    💚💛

  • @beaugosseadam6831
    @beaugosseadam6831 2 роки тому +3

    KWANI VYETI VYA PROFESSA NABI HAVIJAIPA YANGA MATOKEO?

  • @imbamohamed358
    @imbamohamed358 2 роки тому

    Jamani jamani tuna timu nzuri kuliko midimu miwili iliyopita muhimu Sana Sana kwa kipindi hichi ni kuwapa sapoti wachezaji,daima mbele nyuma mwiko

    • @mahengomwenyewe4204
      @mahengomwenyewe4204 2 роки тому

      Maneno ya ujinga tu mbele uko hamuendi mnaongea utopolo tu mdomoni mnazidi kurud nyuma kama hujui hiv sasa mmekalia jezi jezi jezi hadi wachezaji mmewatia usukule wenu walikua wanashangaa jezi wakafungwa sasa yanga tim ya kuongelea jezi kweli mwezi mzima had Ridhiwan kikwete kaingilia kati kuona hawa watu vip nyie mifuniko fc

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 2 роки тому +1

    Kwani huwo police hapo anafanyanini au ndo kamatu ya ulinzi 😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤷🏿‍♀️

  • @zuhuramohamed3424
    @zuhuramohamed3424 2 роки тому +2

    Okwa kanleta hapaaa

  • @elikanamyula1667
    @elikanamyula1667 2 роки тому +3

    Hahahahaha na Akina bangala mlianzaje kutolewaaa jaman duuuu

  • @amenyemwansile631
    @amenyemwansile631 2 роки тому +1

    Hapo nafasi ya kaseke ilikuwa inahitajika sana

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 2 роки тому +2

    Nasubiri matokeo ya Nigeria

  • @israelkisserei524
    @israelkisserei524 Рік тому +1

    USIKU WA LEO NIMEOTA "UTTO UNITED" WAMELIWA TATU UGENINI, HALAFU BONGO WAMETOKA SARE SARE

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 2 роки тому +1

    Huyu golikeeper wa rivers ni mpuuzi sana

  • @maikokapelo5508
    @maikokapelo5508 Рік тому +1

    Hakika.kisasi.kitaripwa.yanga.tamuuu

  • @flova7022
    @flova7022 2 роки тому +1

    Yani mm ni msimbazi Ila nimeumia Sana.. Hawa rivers FC ..watakuaa kijito FC subr tuwafuate hukohuko gonga 3.. viva Tanzania

  • @elifasinimpagaritse7902
    @elifasinimpagaritse7902 2 роки тому +2

    Bado Ana uliza mshale umepitaje

  • @HamicKauno255
    @HamicKauno255 2 роки тому +2

    Timu nzuri sana haikuwa bahati yetu tu

  • @oscarjohn477
    @oscarjohn477 2 роки тому +2

    yule alie nunua Jez ya simba n yupi Kati ya Hao wote😅

    • @daudsam3146
      @daudsam3146 2 роки тому

      jamaa anaitwa uche anavaa jersey no 32

  • @enlightenedoness2228
    @enlightenedoness2228 2 роки тому +1

    Rivers watachezea port harcourt yanga wame wazidi vingi

  • @saimonseleka2311
    @saimonseleka2311 2 роки тому +1

    Anatoka yacouba anaingia nchimbi 🤥🤥 au ndio nchimbi amemloga kocha🤣🤣

  • @omaryregga5315
    @omaryregga5315 2 роки тому +2

    Pointi nyingine za rivers waperekeeni kwao

  • @mariapialakanje3446
    @mariapialakanje3446 2 роки тому

    Wanajua kulinda sana River ulinzi Imara sanaa Yanga bdo sanaaaaaaaa yaani ni maneno tu uwanjani sifuri Aibu tu mnaipakaza nchi yetu

  • @adenmdem5002
    @adenmdem5002 2 роки тому

    Nice

    • @kingyeskingyes2263
      @kingyeskingyes2263 2 роки тому +1

      Nguli ua-cam.com/video/bQ7CgIAmTcA/v-deo.html💥💥🥰👀❤️❤️💥

  • @herrysonk.edward609
    @herrysonk.edward609 Рік тому

    Kikos haikuwa na quality kbs

  • @dianajeremiah5662
    @dianajeremiah5662 2 роки тому

    Roho inaniuma nikiona hii mechi 😢 mwenyezi mungu atatujalia msimu ujao tutafanya vizur zaidi inshallah 🙏

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 2 роки тому +1

    Nilichogundua wachezaji wote wa UTOPOLO viwango vyao haviruhusu kucheza michuano mikubwa kama hii

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 2 роки тому

    Yanga lazima mshughulikie Safu ya Ulinzi. Timu nyingi za Afrika wako vizuri kwenye forward line na Yanga beki zao zinakabia macho.

  • @nuranzubail8134
    @nuranzubail8134 2 роки тому +2

    Kwanza hapo ngoja nicheke

  • @djrichsingelifreva8245
    @djrichsingelifreva8245 2 роки тому +7

    Nimekuja Kumtumainia okwa nelson

  • @johnsonjulius7832
    @johnsonjulius7832 2 роки тому +1

    Viazi FC noma

  • @asyamakame734
    @asyamakame734 2 роки тому

    Yanga marudio tunashinda uhakika kwa uwezo wa mungu

  • @malmavoice8989
    @malmavoice8989 2 роки тому +1

    Manara yukowapi cameraman?

  • @fettynassibu5304
    @fettynassibu5304 2 роки тому +1

    Umeuwona mshale huo😂😂 maneno ya mpenja

  • @dianajeremiah1547
    @dianajeremiah1547 Рік тому +2

    Waje tumalizane

  • @herrysonk.edward609
    @herrysonk.edward609 Рік тому

    Hii mechi walizingua tuu wachezaj wa yanga lkn ushindi ulikuwa wazi kabsaa

  • @ambakisyemwanjemba5787
    @ambakisyemwanjemba5787 2 роки тому +2

    Tuna beba mijitu isiyobebeka kabisa Bora Namungo

    • @amirymsati2491
      @amirymsati2491 2 роки тому

      Kabisa yaani

    • @mahengomwenyewe4204
      @mahengomwenyewe4204 2 роки тому

      Bora wangelipileka uko uko shirikisho mijitu misukule hata akili haina imeshikilia jezi jezi wenzao wanaandaa tim wao wapo na jezi tu mashabiki ziro wachezaji ziro msemaji ziro ovyooo kalaleni uko watoto kweli mtoto yake makopo.

  • @mariapialakanje3446
    @mariapialakanje3446 2 роки тому +1

    Huwii hilooo Manara tunalala yooo Yanga wamelala yoooo

  • @monalisamwinuka4591
    @monalisamwinuka4591 2 роки тому +1

    Goli kipa yuko safi kabisa tatizo beki na utulivu wa mafowad

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 2 роки тому +6

    Utopolo fc 🐸
    MAMA J fc 🤣
    Mizukule fc 😂
    Mtapata tabu sanaaa!!!

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 2 роки тому +3

    Simba kajitahid kuwabeba lakin wap pumbavu sana

  • @Rugemalilatv1994
    @Rugemalilatv1994 2 роки тому +1

    tunajipanga!!

  • @ashahasan8441
    @ashahasan8441 Рік тому +1

    Manara Yuko wapi

  • @nuhuswalehe6690
    @nuhuswalehe6690 2 роки тому +2

    Aki na Ukwa walivyojipigia utopolo🤣

    • @Dilammy6764
      @Dilammy6764 2 роки тому +1

      kama makirikiri walivyokutungua 3

    • @snsonlinetv8432
      @snsonlinetv8432 2 роки тому

      @@Dilammy6764 wao wametunguliwa ngapi? 😂😂

    • @Dilammy6764
      @Dilammy6764 2 роки тому +1

      kam makirikir walivyojipgia tatu safiiiiii