SIMBA SC 0-0 YANGA SC; FULL HIGHLIGHTS (TPL - 30/09/2018)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 250

  • @kruverthmasanula9914
    @kruverthmasanula9914 6 років тому +15

    nimependa approach ya kocha wa yanga kujilinda maana simba angeshinda maneno yangekiwa mengi alafu yanga ana presha game 5 point 13 safiiiiii yanga

  • @mosimahanga3445
    @mosimahanga3445 6 років тому +4

    Shikamoo kipa WA Yanga. 😘😘😘😘😘🙌🙌

  • @mwarabujrtz2376
    @mwarabujrtz2376 5 років тому +3

    This is yanga big Up dar Young africans

  • @saidyusuph4129
    @saidyusuph4129 6 років тому +1

    Kwa Mara ya kwanza simba kuwakubali yanga, hii ni hii storia unaposema kakolanya Tatar ni Yanga, big up sana

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 3 роки тому

    SIMBA sports club big Team Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @youngxhadah7951
    @youngxhadah7951 6 років тому +42

    simba niwanaume washoka yanga wanalijua hilo ndiomaana wanatuogopa wanasimba oyeeeeeeeeeeee gonga like apa tujuane wekundu wa msimbazi

    • @godflaymshakangoto4013
      @godflaymshakangoto4013 6 років тому

      Wamelala.najezi

    • @petermwakambonja9017
      @petermwakambonja9017 6 років тому

      Young Xhadah yanga noma

    • @abdurinchimbi6389
      @abdurinchimbi6389 5 років тому

      weboya

    • @edgasimwanza887
      @edgasimwanza887 5 років тому

      Kweli mashabiki wa simba ni viraza sasa yanga ana waogopa kwa lipi wakati record inaonyesha yanga kamfunga maranyingi simba licha ya hayo hja mfunga yanga ume toka saree ivi una akili ww kuma ww

    • @jamlidmajidu1812
      @jamlidmajidu1812 5 років тому

      Young Xhadah kamadaaaaa

  • @barakanaiji5657
    @barakanaiji5657 6 років тому +4

    Iyo sio bahati kweli simba wamecheza vuzuri sana ila uchawi amezidi kwayanga

  • @rajviry
    @rajviry 6 років тому +4

    Kwa wanao jua mpila lazma aisifu yanga kwa mchezo waliochza

  • @francismacha2584
    @francismacha2584 4 роки тому +1

    Huyo masud Juma aliekuwa kocha msaidizi wa Simba, Ananifurahisha sana akiugulia maumivu ya Kosakosa 😂😂😂😂😂😂😂#nguvumoja 💪

  • @titoemanuel4652
    @titoemanuel4652 6 років тому +10

    .naipenda xana yanga

  • @williammwanahanja5149
    @williammwanahanja5149 5 років тому +1

    Good head coach for simba spots clab for making a tim

  • @markosirikwa3874
    @markosirikwa3874 6 років тому +12

    Ila huyu coach wa Yanga nmemwogopa kacheza na akr za Simba, Hongera kwa Kakolanya

  • @emmanuelmkindi2545
    @emmanuelmkindi2545 6 років тому +3

    big up goal kipa BENO kakolanya

  • @editambowe3431
    @editambowe3431 6 років тому +5

    Simba 🔥🔥🔥

  • @masanjamasunga4019
    @masanjamasunga4019 6 років тому +10

    Kwann Ajibu kila Match akimaliza kupeana mikono na wachezaji wa timu pinzani au marefa anarudi nyuma haendi mbele kama wenzie?

  • @lovenesssheggy7353
    @lovenesssheggy7353 6 років тому +3

    This is simbaaa wamecheza sokaaa

  • @emmanuelmkindi2545
    @emmanuelmkindi2545 6 років тому +2

    kilichopo ni kudhukuru Mungu maana mchezo haukuwa rahisi ila kubwa ni kwa mwl mwinyi zahera kwanamna alivyo kipanga kikosi na kuondoka na point moja niwakumbushe Tuu wana simba kuwa kwenda uturuki ni mbwembwe tuu na kusajili wachezaji wengi wenye uwezo sio sababu ya kuchukua league au point tatu pia niwapongeze wachezaji wangu wa YANGA kwautulivu waliokuwa nao hawakuwa na papara kama wenzetu laiti kama nafasi zile tungetengeneza sisi kwa utulivu ule yangekuwa mengine

  • @elizabetherick724
    @elizabetherick724 6 років тому +1

    Big up kipa yanga

  • @shaabans.marijani9659
    @shaabans.marijani9659 6 років тому +1

    Simba haoooooooo hawana lolote kikosi cha billion moja ikicheza na kikosi cha sh. Million mia tatu.simba ovyo tu

  • @binurusm8886
    @binurusm8886 6 років тому

    Nafurahi Sana Simba na Yanga zinapocheza.

  • @MBAGOTV
    @MBAGOTV 5 років тому +2

    YANGA oyee

  • @titoemanuel4652
    @titoemanuel4652 6 років тому +5

    Safi xana yanga

  • @Bongo360
    @Bongo360 5 років тому

    Hongereni wanasimba

  • @saidmpolla5196
    @saidmpolla5196 6 років тому +8

    Huyo mama hafai kuchezesha Mechi za Simba.....sina imani naye kabisaa!

    • @jordanfromyt2861
      @jordanfromyt2861 5 років тому

      Said Mpolla , Lol 😂 nabado macho yatakutoka,hahaha

    • @saidmpolla5196
      @saidmpolla5196 5 років тому +1

      @@jordanfromyt2861 Ahahahaaa!!! Ukweli ndio
      huo Jordan!

  • @lunyasimanyasi7972
    @lunyasimanyasi7972 6 років тому

    YANGA AFRICA hataree sana kakolanya man of the game watake wasitake kelele nyingi kikwapi nabado tuna mechi moja daah lazima mshuke daraja mmeshndwa kwa mbao mtaweza kwa chuma YANGA

  • @maishaally6999
    @maishaally6999 6 років тому +9

    Wamsimbaz wajaribu nafasi nyingine tena sio hiyo ya jana

  • @gadielkabamba4314
    @gadielkabamba4314 3 роки тому +1

    Roma stamina ft ferooz

  • @goodifulyimatey3658
    @goodifulyimatey3658 6 років тому +8

    Ximba wapo juu apa tanzania ximba oyeeeeees

    • @DIweni
      @DIweni 6 років тому

      goodi fulyi matey Yanga ndio wapo juu kimataj,na kwa ushind dhid ya simba hilo hakuna asiyelijua lipo waz nchin.

    • @paulomelita2877
      @paulomelita2877 6 років тому

      Yanga msiofu muongeze bidii ndugu zangu mko vizuri

    • @joantawinston30
      @joantawinston30 5 років тому

      Jhg

    • @engibertmzaula9461
      @engibertmzaula9461 5 років тому

      yanga ni shida,,,,simba mmeponea chup chup

  • @emmanuelkiraka1695
    @emmanuelkiraka1695 6 років тому +10

    Huyu kocha wa yanga nimemuheshim

  • @daumaka1980
    @daumaka1980 6 років тому +5

    Yanga hongera sana

  • @tumainikami7765
    @tumainikami7765 6 років тому

    simba simba hongera sana

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 6 років тому +6

    Haaaaaaaa si mchezo,siku simba wasipofunga yanga wachawi,wakifunga hamtuwezi.mashabiki Mungu anawaona kwa kweli kwani hamjui mpira ni dakika 90 kuna kushinda na kushindwa!!!!!!!? Leo posta na k/koo kutapoa kelele hatutozisikia

    • @priscamsangi3029
      @priscamsangi3029 6 років тому

      Cathereen Exzavery kama uchawi diri bac nawao waroge

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 6 років тому

      @@priscamsangi3029 weacha,ujuwe mimi simshabiki wa timu yoyote,lakini huwa wanakera sana unakuta mtu anamawazo yake mengine tuyakimaisha ooookanuna jana kafungwa,yaani wao wakiona mtu haongei mambo yampira basi yanga.kwass kuna mashabiki au wapiga kelele mashabiki wazamani ndowalijua kushabikia kiheshima kistarabu bila matusi na kuthuriana

    • @kingmpima2861
      @kingmpima2861 6 років тому

      the mafiki band

    • @chrismerod579
      @chrismerod579 6 років тому

      Klaus kindoki sio kipa amuachie beno kakolanya

    • @rfgrsn9164
      @rfgrsn9164 5 років тому

      Cathereen Exzavery yanga ndo tim

  • @mohamedbangwe7954
    @mohamedbangwe7954 6 років тому +2

    Sijui MANARA ataenda na TV tena ?

  • @sulezbeatz3853
    @sulezbeatz3853 6 років тому +5

    Mechi hii ilikuwa kama picha la X anashambuliwa mmoja 😂😂😂😂

  • @mlomboally9434
    @mlomboally9434 6 років тому +1

    mashabiki Wa yanga hii sare kwao kama ushind
    NA ukiona team man of the match kipa ujue wamezidiwa yanga wabovu ila mganga wenu fundi mmeloga

  • @mwaungadavid4744
    @mwaungadavid4744 4 роки тому

    Hapa yanga iliheshim uwezo wa Simba lakin ingejaribu kufunguka yangejirudia ya tano bila

  • @daumaka1980
    @daumaka1980 6 років тому +2

    Hilo ni somo mskalie majna,et timu ,mbona droo2

  • @niinalaizer8783
    @niinalaizer8783 6 років тому +3

    simba wamecheza kweli dahhh

  • @barakanaiji5657
    @barakanaiji5657 6 років тому +2

    Simbaaa oyeeeeee ndio timu kubwa tu mwenyewe

  • @queenmwasanguti2370
    @queenmwasanguti2370 5 років тому

    forwerd wazee simba

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 6 років тому +2

    Wageni rasmi karibu 30 do!!!

  • @moseshalinga7877
    @moseshalinga7877 6 років тому

    Azam burudani kwa wote respect to you

  • @stephenmalilo9833
    @stephenmalilo9833 6 років тому +7

    Kakolanya .....big up! Otherwise mnetuwekea dodoki aka Kindoki.......tungekuwa tunasema nengine saiv.......hahahahaaaa

  • @bestbahati3009
    @bestbahati3009 6 років тому +3

    Dah! Huyu mshika kibendela ameiokoa yanga haikuwa offside maana kichuya alipoupiga mpira kagere hakuwa offside na mpira ulichezwa mara ya mwisho na ninja hivyo haikuwa offside.

    • @DIweni
      @DIweni 6 років тому

      Best Bahati nenda kasome

    • @abumuhammad7802
      @abumuhammad7802 6 років тому

      Offside ilikua tayari mara ya kwanza na bendera ilikua juu

    • @geofbeka1669
      @geofbeka1669 6 років тому +1

      Ni sahihi hakukuwa na offside

    • @mrishorajabu1131
      @mrishorajabu1131 6 років тому +1

      Hamna offside pale....

    • @brytonkipingi2598
      @brytonkipingi2598 6 років тому

      Best Bahati ni vigum mpumbavu kujua kama ilikuwa ofside

  • @kingson6568
    @kingson6568 6 років тому

    angelikuwepo chirwa bas naamini kwa mfumo waliocheza yanga . simba angefungwa tu. number 10 yanga hamna

  • @ramadhanikhalfan544
    @ramadhanikhalfan544 5 років тому

    Salim mohd uko sawa

  • @shukurually2011
    @shukurually2011 6 років тому

    Mwanaume haogopagi vita yule anaerudi nyuma lazima achunguzwe nsajingwa alitoa suluhu ya 1-1 na hajasema chochote zahela anaenda uwanjani anasuluhu tn akiomba mpila uishe anatamba kuwa alitaka kujilinda inanekana simba anaogopeka sana umetawaliwa mchezo unajisifu hata molinho hawezi akangea upumbavu kama wa zahela

  • @masanjamasunga4019
    @masanjamasunga4019 6 років тому +4

    Yanga kwa muonekano tu wanaonekana hawana hofu kabisa.

  • @winniemassawe6612
    @winniemassawe6612 6 років тому +2

    Yanga wamewanyima furaha wakaruhusu tabasamu 😂😂🤣🤣🤣🤣

  • @maythamsahmir7185
    @maythamsahmir7185 4 роки тому

    Sawa

  • @tegemeoerenest62
    @tegemeoerenest62 6 років тому

    yanga noma

  • @markosirikwa3874
    @markosirikwa3874 6 років тому +1

    Good game

  • @RizikMtafya
    @RizikMtafya Місяць тому

    Tulio ludia 2024 tujuane

  • @daumaka1980
    @daumaka1980 6 років тому

    Simba ni sawa na you zngne 2 tatzo wapenzi manaishi kwa majna ,okwi ,kagere

    • @sonylight8357
      @sonylight8357 6 років тому

      Nayanga wanaishi kwamatumaini ya wamuzi au roz muhando

  • @markosirikwa3874
    @markosirikwa3874 6 років тому +1

    wow

  • @hassanmoshi5439
    @hassanmoshi5439 6 років тому

    Yanga hawana Utofauti na walicho kifanya ndanda nimekubali basi walilo amua kulipaki dakika 90

  • @tabithaandrew709
    @tabithaandrew709 6 років тому

    Big up kakolanya

  • @sardelydeter3864
    @sardelydeter3864 6 років тому +20

    Tuache2ushabiki yunga tumeponea chupuchupu

  • @ismailyusuph740
    @ismailyusuph740 6 років тому +25

    KASIMBA kenyewe kalikua KAMEKONDA.....MCHUZI usingetosha...!
    Bora tulivyokaacha kaende zake...!

  • @matildachatila734
    @matildachatila734 6 років тому +1

    sijaona kikos cha bilion hapo Okwi/ kagele/ pasko wawa/ kichuya/ yanga wanapaki bas mbele yenu mkashindwa hata kuli sukuma. kakolanya oyeeeee yanga kwakupaki bas mbele ya cmba oyeeee maana hawa kuweza kupita hamsi mangwi ila ndo ukweli!!

    • @hamisikasongo5132
      @hamisikasongo5132 6 років тому

      hawana fofwrd xmba mganga hachez mbuz nyingi xmba

  • @sulleysonsulley4160
    @sulleysonsulley4160 6 років тому +4

    Makocha wa simba WANA sababu ya kuwafunza wachezaji wao iliwajue kutumia kona ,

  • @moshijumanne720
    @moshijumanne720 6 років тому +3

    c
    simba ndo mpango mzimaa!!!!!!

  • @allyomary1874
    @allyomary1874 6 років тому

    ushirikina sana yanga hawana lolote hao mechi ijayo watakula 4, 0

  • @ombenijonathan1041
    @ombenijonathan1041 5 років тому

    Wapi wakuziba machooooo

  • @shinjeshinje8948
    @shinjeshinje8948 4 роки тому

    Chama la wana

  • @ramadhanimseza9169
    @ramadhanimseza9169 5 років тому

    Makambo kamuandaa Hawa na amefanikiwa kuingiza duh nyie watangazaji mungu a nawaona

  • @jonamnyone8014
    @jonamnyone8014 6 років тому

    Simba waongeze umakini katika umaliziaji. Huu ulikuwa mchezo wao na kwakweli Yanga imeponea chupuchupu.

  • @jacobihongoo7362
    @jacobihongoo7362 6 років тому +2

    sisi ndo yanga wengine wataswampa tuu

  • @joctannkinda8748
    @joctannkinda8748 6 років тому

    i like yanga

  • @fikiripazi9630
    @fikiripazi9630 4 роки тому

    Sisi tz bado sana. Highlights gani ya dakika 32. Hampo serious nyinyi

  • @muddyhengo2899
    @muddyhengo2899 6 років тому

    huyu kocha Wa Simba masud yupo vzr

  • @vicentgibore8679
    @vicentgibore8679 4 роки тому

    Kidogo hiyo ilikua yanga nzuri

  • @dullahdullah9244
    @dullahdullah9244 6 років тому

    yanga oweeeeeweey

  • @bujiiclassic1964
    @bujiiclassic1964 4 роки тому

    Simba NGUVU moja

  • @mamohamed5914
    @mamohamed5914 5 років тому

    Waliloga mruguru noma round ya pili lazima wafe kafa mwaraabu sembuse hao waokota makopo

  • @jolitejolite1497
    @jolitejolite1497 6 років тому

    Ariyo wai kummkimbiaa mwanaume na kuweka mpira kwapani ni simba

    • @BontamLee
      @BontamLee 5 років тому

      Jolite Jolite heri ya SIMBA alicheza Dk 45 bila bila, ila yanga akuleta timu uwanjani.

  • @ramadhanmahongore7277
    @ramadhanmahongore7277 5 років тому

    TFF inatakiwa huyo mama asipangwe kuchezesha mechi simba na yanga maana anaonyesha ana mapenzi waziwazi na yanga . ukiangalia ile rafu ya yondani kwa chama, ilikua ni kadi nyekundu lakini huyu mama refa, kwa mapenzi yake na yanga aliamua kutoa kadi ya njano

  • @elizaatilio527
    @elizaatilio527 5 років тому

    Yaan mikia kama mlishndwa ku2funga mechii baac msahauuu kabisaaa ndoto ya kuifunga Yanga km mnayo mkalale tena ili muote vzr 😂😂😂😂

  • @cloudjest5268
    @cloudjest5268 6 років тому +3

    Mpira umeanza kwa kupigwa nje! Huu si uchawi hadharani kabisa huu!

    • @DIweni
      @DIweni 6 років тому

      Cloud jest Kumbe ndumba zilionekana live pale

  • @elikanajoseph3880
    @elikanajoseph3880 6 років тому +2

    Haikua bahat ila uanzishaji wa mpira umeniacha hoi nje

  • @BontamLee
    @BontamLee 5 років тому

    Yanga turiyoipiga bao 5,ilikuwa bora kuliko Kayanga hiki,na kikosi hiki cha SIMBA ni bora kuliko kile,tumewakosaje?

  • @lisaraymond5012
    @lisaraymond5012 6 років тому +2

    Nimepta na comment nyng sana nilichogundua n hali mbaya ya upumuaji waliyo nayo mashabk w simba p1 na viongoz wao, labda tukumbashane kidigo kipnd cha usajil simba siports club, walitamba kila kona wakisifia sana kikos chao cha musimu huu, tena walienda mbali zaid na kusema n kikos bora kw ajir y mashindano ya kimataifa (Caf champions league) na target yao kubwa ilkuw n kuifunga yanga michezo yote miwl ya league pia kutinga robo final ya mashindano y kimataifa, draw y Mapema kabisa kat ya simba na Yanga ina maan ya kwamba target yao imefel jambo ambalo linawapelekea kuanza kuropoka Ovyo.. kama ilivyo kawaida yao ukianzia kw msemaj wao mpk mashabik, Mara ooh Ajibu alianza kw kupga mpira nje, Mara oooh ile offside lilikuw ni goal, wengine kichuya hasianze tena kwenye game yoyote! Achen kukmbia uharisia wenu nyie siku zote n watu wa kuropoka ovyo.. tu, miaka 3 iliyopita enz za akina chanongo, kess, singano, na wengineo mulidai mnatengenez kikos cha mda mref wachezaj wenu bado n vijana ivo tuwape mda, nasi hatukuwa na hila tukawapa mda ndan ya miaka hiyo 3 kw kuchukua mataji yote 3, Leo naomba kuuliza je kile kikos mlichodai mnaktengeneza tuwape mda kiko wap? make Leo hii ukitaja timu yenye wachezaj weng wazee basi simba ni #1 Tanzania, Kujibu bila kutafakar n upumbavu.

  • @kingson6568
    @kingson6568 6 років тому +7

    hakuna cha bahati yanga walitumia mifumo ya chelsea kipindi kile ilivyokuwa inavyopaki basi . simba walijiamini sana wakaja na matokeo ya ushindi kabla ya mechi.

  • @jackemanuel8983
    @jackemanuel8983 5 років тому

    siku iyo tuliwakosakosa yanga simba tulimiliki mpira

  • @tiktokTviral
    @tiktokTviral 6 років тому +2

    wamezingua tu hao Hamna soka happy wala ninii..

  • @harunamsabah4640
    @harunamsabah4640 6 років тому

    Duh hili bus balaa

  • @georgeluis307
    @georgeluis307 5 років тому +1

    Duuu

  • @kingson6568
    @kingson6568 6 років тому +2

    refa kawabeba simba wawa alistahili kupewa kadi nyekundu baada ya kumpiga ngumi makambo . hawa marefa uchwara ndio wanaharibu soka la bongo.

    • @issaali1321
      @issaali1321 6 років тому

      Awo simba wenyewe tu .sio yame ya kishida 0.0 at least 3.0 nafasi nyingi simba wamepoteza na Yondani he should be send off.

    • @thobiasmushangaki1155
      @thobiasmushangaki1155 6 років тому

      Soka la kisasa saka la kisayansi halihitaji presha kuubwaaa kivile Cha msingi ni kucheza na akili za watu tu basi

    • @abduliadam2108
      @abduliadam2108 6 років тому

      hii ndio jangwani ya zahera

    • @amiriramadhan7753
      @amiriramadhan7753 6 років тому

      Yondan alistahili red card napia hao yanga walikua wakiomba mungu ngoma iishe

    • @dionisjoseph5604
      @dionisjoseph5604 6 років тому

      Goal huzungumzii wakati halal kabisaa lile,,

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 6 років тому

    Mbaooooooo

  • @daudgodwin1831
    @daudgodwin1831 6 років тому

    Iyo tone ni ya nyimbo gan

  • @selemanijilla5978
    @selemanijilla5978 6 років тому

    kama boli LA yanga ndilo hilo ,ubingwa was ndani. na Africa no wao kabisa

  • @markosirikwa3874
    @markosirikwa3874 6 років тому

    kuna fainal 1 hv huko ulaya kat ya mas na Atr yakutoka LA Laliga, Mase walianza kwakutoa mpra nje lakn wakafungwa hyo game, Je? pia nao walihisiwa kuwa n uchawi ama 😀😀😀😀😀😀 tatzo Tz 2nakall xana

  • @grecehuyukibanishida5595
    @grecehuyukibanishida5595 5 років тому

    ila mungu anajua wajiandae mechi ijayo

  • @shingichuma3319
    @shingichuma3319 6 років тому

    Mimi ni yanga lackini simba kacheza mpila

  • @EvangelistNyamkina
    @EvangelistNyamkina 6 років тому

    mipira ming ilienda nje... simba wajipange... hawatuwez

  • @elifurahamsuya435
    @elifurahamsuya435 6 років тому

    japo no bao walitepeshwa kama watoto wadogo😁

  • @goodluckrumoka8833
    @goodluckrumoka8833 6 років тому

    HV wanao jiit wakimataif wenyew ndo wanache3a hivy

  • @omaryhndongi7989
    @omaryhndongi7989 6 років тому

    simba wafungen ao machoko yangaa

  • @ashaalmasi7603
    @ashaalmasi7603 6 років тому

    kagere anakasirika balaaa Mpaka anapiga ardhi

  • @soccertv293
    @soccertv293 6 років тому

    hua sipend sana mwanamke kuchezesha mpira wa wanaume ulaya mambo haya po