2. DALILI ZA KURUDI KWA YESU NA UNYAKUO WA KANISA | Mwl. Isaac Javan

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • Tunakaribia mwisho wa dunia hii, na YESU yupo karibu kuja kulichukua kanisa lake. Kama Mungu amekupa nafasi ya kuwa hai siku ya leo, fahamu ya kwamba unaishi kwenye kipindi muhimu sana kwenye historia ya maisha ya mwanadamu.
    Mambo tunayoyashuhudia leo, ni mambo ambayo manabii waliopita walitamani kuyaona lakini hawakuyaona. Mambo tunayosikia, ni mambo ambayo manabii walitamani kuyasikia, lakini hawakuyasikia. Sisi tumepewa kibali na neema ya kuishi na kushuhudia unabii ukitimia mbele ya macho yetu.
    Hili somo linakuja kwako ili kukuandaa kunyakuliwa, kwa sababu YESU yupo karibu sana kurudi. Hakikisha unasikiliza vizuri mafundisho haya, halafu uweke kwenye matendo kile utakachojifunza, ili parapanda ikilia, na wewe uwe mmoja wa tutakaomlaki YESU pale mawinguni.
    Nakuombea YESU akutie nguvu ya kusimama katika imani yako ndani ya KRISTO. Nakuombea utunze vazi lako la wokovu, ili shetani asije akaitwaa taji yako. Nakuombea tumaini lenye baraka la kunyakuliwa lisikupotee, lakini ukae tayari kwa sababu saa yaja, nayo sasa ipo. YESU anarudi.
    Mungu akubariki. Mshirikishe na ndugu, jamaa na marafiki zako juu ya ujumbe huu muhimu. Amani ya YESU iwe ndani yako. Amen
    Mwl. Isaac Javan

КОМЕНТАРІ • 144

  • @etoabwe3451
    @etoabwe3451 22 дні тому +2

    Ubarikiwe mtumishi unatufungua akili ili tupate kujuwa wakati tulio nao ,Bwana yesu akuongezee zaidi na zaidi

  • @mumwisenjumile1411
    @mumwisenjumile1411 9 днів тому +1

    Ubarikiwe sana kwa kutupa neno zuri la kutuokoa katika dhambi tulio kuwa nayo sasa tunatoka huko tunaenda kuokoka mungu akubariki amen

  • @lembalai
    @lembalai Рік тому +17

    Mtumishi wa Mungu, Mwl. Javan! Hakika Mungu wa mbinguni akubariki sana kwa mafunuo haya ya pekee! Mimi najifunza mengi sana kwako, hili somo limejaa mafunuo makubwa. Barikiwa Baba.

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому +2

      Amen mtumishi uzidi kubarikiwa na BWANA YESU milele, na YESU azidi kukujaza nguvu na mafuta. Ubarikiwe sana

    • @benithafredrick2465
      @benithafredrick2465 5 місяців тому

      Amina Asante

  • @ShukuruDaudi-ue6in
    @ShukuruDaudi-ue6in 20 днів тому +1

    Amina 🙏🏼 🙏🏼 Asante MUNGU akubariki sana na atusaidie sana 🙏🏼

  • @bigtengwemela3153
    @bigtengwemela3153 15 днів тому +1

    Mungu wa mbinguni akubariki sana baba🙏

  • @CelvineFloriani
    @CelvineFloriani 24 дні тому +2

    asante sana mtumishi wa Mungu by kevn😂😂😂😂

  • @CelvineFloriani
    @CelvineFloriani 24 дні тому +2

    Duhuuu!!!!! Kweli dunia imekwisha jamani tumrudiy Mungu

  • @JoshwahioBaba
    @JoshwahioBaba 17 днів тому +1

    Amén amén mtumshi wa mungu akubarki

  • @mwambakibucheche1119
    @mwambakibucheche1119 22 дні тому +1

    Ee Bwana Yesu unirehem.

  • @emmymatigula4870
    @emmymatigula4870 3 місяці тому +2

    Asante kwa Neno na maombi
    Naendelea kupona kwa Jina la YESU KRISTU ALIYEHAI 🙏
    Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU ALIYEHAI 🇺🇸

  • @hellen9056
    @hellen9056 Місяць тому +2

    Mungu akubariki sana mtumishi wa Jehovah

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  29 днів тому

      Amen ubarikiwe nawe pia kwa baraka za milele

  • @overcomer-ud1it
    @overcomer-ud1it 6 місяців тому +3

    Mmoja Katika wattumishi ameelezea vizuri sana hata darasa la nne anaelewa ni huyu sasa

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  6 місяців тому

      Amen jina la BWANA YESU litukuzwe na kusifiwa sana. Ubarikiwe na YESU

  • @jacobkazungu7089
    @jacobkazungu7089 3 місяці тому +2

    Amen Amen Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  29 днів тому

      Amen ubarikiwe nawe pia kwa baraka za milele yote

  • @henryvictoirek
    @henryvictoirek 3 місяці тому +2

    Ubarikiwe mpendwa kwa mafundisho hayo

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  29 днів тому

      Amen ubarikiwe nawe pia kwa baraka za milele yote

  • @JoshuaKameta-jf2rb
    @JoshuaKameta-jf2rb 2 місяці тому +2

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu🎉 😢❤❤❤❤❤😂

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  29 днів тому

      Amen ubarikiwe nawe pia kwa baraka za milele

  • @user-lk6ms2py7k
    @user-lk6ms2py7k 6 місяців тому +2

    Amen

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  6 місяців тому +1

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU

  • @NatashaCharles-gv3qb
    @NatashaCharles-gv3qb Місяць тому +2

    Uniongoze baba kwa huruma yako.

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  29 днів тому +1

      Mungu akubariki na kukutunza

  • @rhodamwakatundu5226
    @rhodamwakatundu5226 8 місяців тому +5

    ubarikiwe mtumishi wa Mungu kwa kutufungua na kutukombos

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  8 місяців тому

      Amen Amen ubarikiwe nawe pia kwa baraka za milele yote

  • @MAIKOMODEST-gw3go
    @MAIKOMODEST-gw3go 7 днів тому

    Ubalikiwe mtumishi munguazit kitufunuliwa

  • @rabiokama6910
    @rabiokama6910 4 місяці тому +1

    Yesu akutunze mtumishi

  • @FloridaSyombua
    @FloridaSyombua 8 місяців тому +4

    Amen ,nimebarikiwa sana na mafundisho haya ,Mungu akubariki sana na neema yake iongezeke kwako, Amina

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  8 місяців тому +1

      Amen Amen jina la BWANA YESU litukuzwe milele. Uzidi kubarikiwa pia kwa baraka za milele yote

  • @faithe4063
    @faithe4063 8 місяців тому +3

    Amen and Amen yaani Mungu akubariki kweli unaniinuwa kiwango kingine.

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  7 місяців тому

      Amen jina la BWANA YESU litukuzwe sana. Mungu akubariki

  • @johnjohnkipokola5077
    @johnjohnkipokola5077 7 місяців тому +3

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu.

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  7 місяців тому

      Amen ubarikiwe nawe pia kwa baraka za milele

  • @NanaMachela
    @NanaMachela 7 місяців тому +3

    Mtumishi ubarikiwe sana sana ! Jina la Bwana libarikiwe! Mungu tusaidie!

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  7 місяців тому

      Amen Amen ubarikiwe nawe sana pia kwa baraka za milele yote

  • @YusufKisingile-dv7ui
    @YusufKisingile-dv7ui 6 місяців тому +3

    Asante kwa ujumbe mzuri. Mungu akubariki mtumishi wa Mungu.

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  6 місяців тому

      Amen Mungu akubariki nawe pia kwa baraka za milele

  • @johnlisu7715
    @johnlisu7715 8 місяців тому +3

    Ubarikiwe mtu was Mungu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  7 місяців тому

      Amen Mungu akubariki nawe pia, kwa baraka za milele yote

  • @rehemashariff3119
    @rehemashariff3119 Рік тому +3

    Ameeeen Ameeeen mtumshi wa Mungu akubariki sana na azidi kukufunulia ilikwamba utujuze mambo haya ya Muhimu eeh Mungu wangu nitie nguvu katika safari hii naomba eeh Bwana utengeneze nami mtumwa wako

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому

      Amen Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

  • @beatricechepkurui9161
    @beatricechepkurui9161 Рік тому +5

    Amen 🙏 i receive in Jesus name this message is very powerful service God is good all time

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому

      Amen God is good all the time. Be blessed with everlasting blessings

  • @AngelJeska-qz2jg
    @AngelJeska-qz2jg День тому

    Hakika unabii unatimilika mungu atutangulie atuhrpushe atupe nguvu na ujasiri wakiroo wakuikataa dunia na mambo yake wala tusigeuke nyuma tena😓🙏

  • @petermollel1471
    @petermollel1471 7 місяців тому +4

    Powerful 🎉🎉

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  7 місяців тому

      Amen to JESUS be the glory

  • @barryelisha6349
    @barryelisha6349 6 місяців тому +2

    Amina sana

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  6 місяців тому

      Amen jina la BWANA YESU litukuzwe

  • @fatumaminyeko1875
    @fatumaminyeko1875 7 місяців тому +2

    Amen Amen ubarikiwe Sana mtumishi wa BWANA

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  7 місяців тому

      Amen Mungu akubariki nawe pia kwa baraka za milele

  • @eliasstephen5378
    @eliasstephen5378 7 місяців тому +3

    Very powerful revelation.... hakika hiki ni kipindi cha mwisho ...na Baba wa uongo anatuzubaisha kuona bado tupo sana ili aendelee kuvuna roho za kwenda nazo Motoni maana yeye amekwisha kuhukumiwa

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  7 місяців тому

      Amen Amen ubarikiwe sana kwa baraka za milele yote

  • @overcomer-ud1it
    @overcomer-ud1it 6 місяців тому +2

    Ubarikiwe

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  6 місяців тому

      Amen ubarikiwe nawe pia kwa baraka za milele

  • @user-yy8ol9ch4q
    @user-yy8ol9ch4q 7 місяців тому +3

    Asante YESÚ KRISTO amen

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  7 місяців тому

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele yote

  • @marybukuku1494
    @marybukuku1494 Рік тому +3

    Ameen Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому

      Amen Mama ubarikiwe sana pia na BWANA YESU milele

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 7 місяців тому +2

    Ameen

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  7 місяців тому +1

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @apostlemwakyoma9042
    @apostlemwakyoma9042 6 місяців тому +1

    Ubarikiwe Sana mwl kwa fundisho la kinabii

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  6 місяців тому

      Amen Mungu akubariki nawe pia

  • @cesiliamasumu432
    @cesiliamasumu432 Рік тому +3

    Mtumishi mafundisho haya yanaumiza sana na yatawaumiza sana wale ambao
    Watashindwa kuyasikia na kuyaelewa maana muda ni mchache sana wa sisi
    Kuchukua MAAMUZI MAGUMU YA KUMFUATA YESU. NAKUACHA YA DUNIA,MUNGU AKUBARIKI SANA 🙏🙏🙏🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому

      Amen Mungu ni mwaminifu sana. Tuzidi kuomba na kujitakasa na YESU azidi kuonekana. Mungu akubariki mwanangu kwa baraka za milele yote

  • @pilishabani6928
    @pilishabani6928 Рік тому +2

    Ameeen 🙏 ubarikiwe sanaa Mtumishi wa mungu kwa mafundisho haya nabarikiwa sana baba na nitazidi kuishi uweponi kwa bwana yesu kristo🙏🙏🙏🙏🙏

  • @ZuenaKararo
    @ZuenaKararo Рік тому +3

    Very deep Teaching ❤Ubarikiwe tena na milele my Dad . Amen 🙏🏽

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому

      Amen Amen my daughter, God bless you with everlasting blessings.

  • @joanithagidion9796
    @joanithagidion9796 5 місяців тому +2

    Ameeni

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  5 місяців тому +1

      Amen ubarikiwe kwa baraka za milele

  • @samsonmaroda6373
    @samsonmaroda6373 6 місяців тому +2

    ❤🎉

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  6 місяців тому

      Ubarikiwe na BWANA YESU

  • @Bynecha-uc6xc
    @Bynecha-uc6xc 10 місяців тому +2

    Amina mtumish nimebalikiwa sana

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  8 місяців тому

      Amen zidi kubarikiwa sana pia kwa baraka za milele yote

  • @eveandrew7096
    @eveandrew7096 Рік тому +3

    Amen baba. Hiii ni kengele ya kutuamsha tuwe tayari.. Kristo utusaidie

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому

      Amen Amen mama, Mungu atusaidie tujiweke tayari nyakati zote. Ubarikiwe sana na BWANA YESU milele

    • @eveandrew7096
      @eveandrew7096 Рік тому

      Amen baba. Hakika Kristo awe nguvu yetu nyakati hizi

  • @gloriatoya72
    @gloriatoya72 Рік тому +2

    Ameeen ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu kwa somo hili Bwana atusaidie

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому

      Amen mwanangu ubarikiwe sana na BWANA YESU milele

  • @KavungoSokoni
    @KavungoSokoni 8 місяців тому +2

    Amen amen

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  8 місяців тому

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @kitumainikubatu3182
    @kitumainikubatu3182 6 місяців тому +1

    Mafundisho yanayo jenga Imani yetu kuendelea.

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  6 місяців тому

      Amen jina la BWANA YESU litukuzwe sana

  • @beatricechepkurui9161
    @beatricechepkurui9161 Рік тому +2

    Amen 🙏 god is in the away soon god have mercy for all

  • @oscarkalihamwe1621
    @oscarkalihamwe1621 7 місяців тому +3

    Nimetetemeka niliposikia mafundisho haya

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  7 місяців тому

      YESU akupe amani na akubariki kwa baraka za milele

  • @esthermalisa9516
    @esthermalisa9516 Рік тому +1

    Ubarikiwe sana Kwa mafunuo haya Mtumishi wa Mungu,asante Kwa kutufikishia ujumbe huu ni jukumu letu Sasa kujiweka teari ..Mungu azidi kutumia ktk huduma hii

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому

      Amen mwanangu ubarikiwe sana na BWANA YESU milele

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому

      Amen Amen mwanangu ubarikiwe sana na BWANA YESU. Damu ya YESU inene maneno mazuri kwa ajili yako. Usisahau kufuatilia muendelezo wa somo hili

  • @KoomeNzima-lp4ql
    @KoomeNzima-lp4ql 11 місяців тому +2

    Ameni

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  8 місяців тому

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele yote

  • @wivinendege
    @wivinendege Рік тому +3

    Give us an ending better oh LORD than the beginning . I know you’re coming back soon Jesus Christ our Sevior don’t leave me and also my Family in the Name of Jesus will Be there on the Last Day Kumulaki Bwana YESU Mokozi Wetu 🎉 you’re a good Father ♥️♥️♥️

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому

      Amen Amen my daughter, I have just released the continuation of the message. You will be blessed after you hear it.

    • @DevotaSanga
      @DevotaSanga 9 місяців тому

  • @norahabuyeka9617
    @norahabuyeka9617 Рік тому +1

    Waaaah,Mungu,wangu ufunuo mkubwa mno

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому

      Amen mwanangu ubarikiwe sana na BWANA YESU milele

  • @gracemambali3360
    @gracemambali3360 8 місяців тому +2

    Hakika unabii wako unatubariki sana

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  8 місяців тому

      Amen jina la BWANA YESU libarikiwe

  • @pearlgellix8485
    @pearlgellix8485 Рік тому +3

    Asante sana kwa somo hili

    • @nathalypontian2674
      @nathalypontian2674 Рік тому +1

      Mungu atujalie mwisho mwema.

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому

      Amen mwanangu uzidi kubarikiwa sana na BWANA YESU milele yote

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому

      Amen mwanangu ubarikiwe sana na BWANA YESU

    • @pearlgellix8485
      @pearlgellix8485 Рік тому

      Naomba kuuliza hivi unajuaje kama Israel ndio mtini?

  • @pearlgellix8485
    @pearlgellix8485 Рік тому +1

    Shalom, muendelezo wa somo naomba

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому

      Amen mwanangu ubarikiwe sana na BWANA YESU. Muendelezo umeshatoka tayari. Karibu usikilize

  • @magrethmkemwa9287
    @magrethmkemwa9287 9 місяців тому +2

    Ndo Kwanza nimekuonà Leo jpil tar2/Desemba,Naomba NAmba yako ya simu,kuchangia injili hii muhimi

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  8 місяців тому +1

      Amen Mungu akubariki na asante kwa kufuatilia mafundisho. Asante kwa kupenda kuchangia injili. Mungu akubariki na kukutunza. YESU akutane na haja za moyo wako. +255 745 76 45 72 Isaac Javan

  • @IreneMdemu-m9d
    @IreneMdemu-m9d 8 місяців тому +2

    Emungu nisaidie Niko hapa

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  8 місяців тому

      Amen ubarikiwe kwa baraka za milele yote

  • @renathaburchard5554
    @renathaburchard5554 3 дні тому

    Uturehemu ee bwana tumetenda dhambi😊

  • @MamaLio475
    @MamaLio475 7 місяців тому +4

    Mtumishi unaweza kutuambia tunawezaje kuchangia ujenzi wa Hekalu tushiriki baraka hii kubwa

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  7 місяців тому +2

      Mungu akubariki sana. Nakushauri usichangie ujenzi wa hekalu la tatu. Kipindi cha kutumia hekalu kilishapita. Hata utaratibu wa sadaka za kuteketezwa hekaluni zilishapita. YESU alipokuja alifanyika sadaka kwa ajili yetu, na akafanyika yote katika yote. Lakini ili unabii wa siku za mwisho utimie, ni lazima hekalu lijengwe ili Mpinga Kristo alitumie. Kwa hiyo nakushauri usichangie ujenzi wa hekalu. Ubarikiwe sana na BWANA YESU

  • @adv.benedictpius
    @adv.benedictpius 6 місяців тому +1

    Na pia utufunze jambo la kunena kwa lugha na unabii wa roho tatu za vyura

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  6 місяців тому

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU

  • @herintimizi5154
    @herintimizi5154 6 місяців тому +1

    Hi Isaac, how do we get these teachings in English language to spread the word here in UK? You’re truly the preacher of God 🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  6 місяців тому

      God bless you. Am sorry we cannot do that for now because we still have a lot more coming on the subject. But we encourage anyone who hears the message to share what they have learned to many others.

  • @mwaledwardugendo7344
    @mwaledwardugendo7344 7 місяців тому +2

    Hakika naamini hakuna jina lingine linipasalo kuokolewa kwalo ila YESU=664=EMMANUEL

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  7 місяців тому

      Amen Mungu akubariki kwa baraka za milele yote

  • @user-gv7sd4oi6q
    @user-gv7sd4oi6q 8 місяців тому +2

    Tunaomba no zako mtumishi tujue tunaenda kusali wapi ambako siyo san day

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  8 місяців тому

      Mungu akubariki sana. Mahali pa kusali nakushauri umuombe Mungu akuongoze, naye atafanya hivyo. Zaburi 23:2

  • @sundymolls9673
    @sundymolls9673 7 місяців тому +1

    Shalom mtumishi naweza kupata namba zako za sim kuna jambo napenda unisaidie naitwa Sunday Niko Marekani

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  6 місяців тому

      Amen Sunday, unaweza kuwasiliana nasi kwa WhatsApp kupitia simu namba +255 745 76 45 72. Mungu akubariki

  • @luciadominik1626
    @luciadominik1626 4 місяці тому +1

    Sasa mtumishi mbona wifi yangua alisali rozali mwenzie mzima akapata mtoto baada ya kukaa mika kumi kwenye ndoa

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  4 місяці тому +1

      Si hivyo tu, kuna watu wanaenda kwa waganga na wanapata watoto. Hiyo haina maana kwamba jambo hilo ni sawa. Shetani anao uwezo wa kuwapa watu vitu wanavyotaka.

  • @silassaitoti7689
    @silassaitoti7689 4 місяці тому +1

    Sasa watakatifu tukinyakuliwa Nani atajenga Hekalu?

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  4 місяці тому

      Hekalu halijengwi na watakatifu. Hekalu la tatu litatumiwa na mpinga kristo.

  • @adv.benedictpius
    @adv.benedictpius 6 місяців тому +1

    Sema unabii wa hekalu la tatu mtumishi bado sijaelewa sasa chukizo la uharibifu linasimamaje ili hali tayari watu wameshanyakuliwa?

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  6 місяців тому

      Mungu akubariki. Chukizo la uharibifu ni mpinga kristo. Na mpinga kristo atalitumia hekalu baada ya kanisa kunyakuliwa (kipindi cha dhiki kuu).

  • @PaulinaLunyonga
    @PaulinaLunyonga 16 днів тому +1

    Amen

  • @kizandume3015
    @kizandume3015 7 місяців тому +4

    Amen

  • @hasanygodda9242
    @hasanygodda9242 6 місяців тому +1

    Amen

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  6 місяців тому

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU

  • @EdithaSanga
    @EdithaSanga 4 місяці тому +1

    Amen

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  4 місяці тому

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU

  • @johnmurimi9831
    @johnmurimi9831 3 місяці тому +1

    Amen

  • @magdalenapeter6106
    @magdalenapeter6106 7 місяців тому +2

    AMEN

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  7 місяців тому

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @jean-mariebuhuru9833
    @jean-mariebuhuru9833 4 місяці тому

    Amen

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  4 місяці тому

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU