1. DALILI ZA KURUDI KWA YESU NA UNYAKUO WA KANISA | Mwl. Isaac Javan

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024
  • Tunakaribia mwisho wa dunia hii, na YESU yupo karibu kuja kulichukua kanisa lake. Kama Mungu amekupa nafasi ya kuwa hai siku ya leo, fahamu ya kwamba unaishi kwenye kipindi muhimu sana kwenye historia ya maisha ya mwanadamu.
    Mambo tunayoyashuhudia leo, ni mambo ambayo manabii waliopita walitamani kuyaona lakini hawakuyaona. Mambo tunayosikia, ni mambo ambayo manabii walitamani kuyasikia, lakini hawakuyasikia. Sisi tumepewa kibali na neema ya kuishi na kushuhudia unabii ukitimia mbele ya macho yetu.
    Hili somo linakuja kwako ili kukuandaa kunyakuliwa, kwa sababu YESU yupo karibu sana kurudi. Hakikisha unasikiliza vizuri mafundisho haya, halafu uweke kwenye matendo kile utakachojifunza, ili parapanda ikilia, na wewe uwe mmoja wa tutakaomlaki YESU pale mawinguni.
    Nakuombea YESU akutie nguvu ya kusimama katika imani yako ndani ya KRISTO. Nakuombea utunze vazi lako la wokovu, ili shetani asije akaitwaa taji yako. Nakuombea tumaini lenye baraka la kumyakuliwa lisikupotee, lakini ukae tayari kwa sababu saa yaja, nayo sasa ipo. YESU anarudi.
    Mungu akubariki. Mshirikishe na ndugu, jamaa na marafiki zako juu ya ujumbe huu muhimu. Amani ya YESU iwe ndani yako. Amen
    Mwl. Isaac Javan

КОМЕНТАРІ • 150

  • @ELIYAMWANA
    @ELIYAMWANA 17 днів тому +2

    Chukrani kwa mungu kwaneema yake yaleo 🤲 nime yapenda ahaya mafudisho

  • @user-io1tp6nz8m
    @user-io1tp6nz8m Місяць тому +3

    Aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa barikiwa sanaaaana mutumishi wa Mungu ni kweli kabiza huu ni wakati wa mwinzo

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  27 днів тому

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @SarahCharles-t6l
    @SarahCharles-t6l 6 днів тому

    Mimi nimeota kama mara tatu Yesu amekuja na mimi nimebaki, nabaki kulia tu na kunakuwa na vita kubwa mno akishaindoja 🙏🏼🙏🏼😭

  • @bigtengwemela3153
    @bigtengwemela3153 13 днів тому

    Mungu wa mbinguni akubariki sana, Nmekuwa nikitafta mafundishi&Mahubiri ya aina hii haya ya hzi nyakati za mwisho wa dunia, mkono wa Mungu uwe juu yako🙏

  • @cesiliamasumu432
    @cesiliamasumu432 Рік тому +9

    Mafundisho yako yananifanya nionekama natoka shimoni ambako kulikuwa nagiza nene sana Ni Mungupeke yake ndo anajua, Mungu akulinde na kukutunza wakati wote Kwa damu yake TAKATIFU UNATUFUNGUA KWA JINA LA YESU BARIKIWA

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому +2

      Amen mwanangu ubarikiwe sana na BWANA YESU. Mungu azidi kukuonekania na kukushindia daima. Ubarikiwe sana

  • @AbishagiPeter
    @AbishagiPeter 6 місяців тому +7

    Roho Mtakatifu nisaidie, niwezeshe nakuomba unipe utayari wa kukesha. Nakupenda sana YESU nisaidie.

    • @angelitapaulo
      @angelitapaulo 6 місяців тому +4

      Amen tunaomba kwa pamoja tumepita kwenye chanel hii MUNGU aziponye roho zetu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  6 місяців тому

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  6 місяців тому +1

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele yote

  • @johnjohnkipokola5077
    @johnjohnkipokola5077 7 місяців тому +5

    Ninatamani mbingu ya Mungu. Ee Yesu nakusihi usiniache na unikumbuke kwenye ufalme wako.✝️Amen

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  7 місяців тому +1

      Amen Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele yote

  • @KITELEJAROBERT
    @KITELEJAROBERT 4 дні тому

    Mungu atusaidie

  • @ShukuruDaudi-ue6in
    @ShukuruDaudi-ue6in 18 днів тому

    Amen 🙏🏼 🙏🏼 Asante MUNGU akubariki sana na atusaidie sana 🙏🏼 🙏🏼

  • @ShaloMasofa
    @ShaloMasofa 4 дні тому

    Amina

  • @nanapega3908
    @nanapega3908 8 місяців тому +3

    Mungu atupe hofu ya Zambi na kuliweka neno lake moyoni

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  7 місяців тому

      Amen Mungu akubariki sana kwa baraka za milele yote

  • @rehemashariff3119
    @rehemashariff3119 Рік тому +4

    Ameeeen Ameeen eeh Bwana wangu kristo naomba uniongoze katika hii dunia nishikamane nawe Baba yangu nipe moyo wakuyapuza ya dunia hii ili niishi kwa tumaini lako Yesu kristo ili ujapo Bwana niwe mmoja wa kukulaki mawingini 😢😢😢nisaidie Yesu tawala maisha yangu niwembali na dhambi mimi mtumwa wako nakusihi Bwana

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому +1

      Amen Amen mwanangu, ubarikiwe sana na BWANA YESU. Tuzidi kujiweka tayari. Amen Amen

  • @AlexMagoda
    @AlexMagoda 10 місяців тому +3

    bwana yesu asifiwe mtumishi mungu akubariki sana maana kupitia wewe nimejifunza mambo mengi ambayo nilikuwa siyajui kabisa mungu akubariki sana mtumishi mimi naswali moja tu naomba unisaidie hapa unyakuo utatokea ni baada ujenzi wa hekaru la tatu au kabla ya ujenzi wa hekaru la tatu niilotu.

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  8 місяців тому

      Mungu akubariki sana pia, na asante kwa kufuatilia mafundisho haya. Unyakuo utatokea "wakati wowote kuanzia sasa".

  • @patrickndamiye3402
    @patrickndamiye3402 4 місяці тому +1

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu

  • @leonardkitta2143
    @leonardkitta2143 3 місяці тому +1

    Ubalikiwe sana mtumishi

  • @sophiamsuliche9487
    @sophiamsuliche9487 Рік тому +2

    Amen baba,kwakwel Mungu azidi kukubariki toka nianze kukufatilia humu UA-cam nimepiga hatua kiroho,nimepona

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому

      Amen mwanangu zidi kubarikiwa sana na BWANA YESU milele yote

  • @elizabethsidi5574
    @elizabethsidi5574 6 місяців тому +1

    Ooooh mwalimu hapo mwisho ni mimi nimefikisha mara ya nne sasa leo ikiwa ni sku ya nne nikiota yesu amerudi watu wamenyakuliwa mm nieachwa 😢😢 mwaka 2015 nilikua katika maombi nikaota hivo nilipoamka nililia saaana lakini hivi leo nimeota nimenyakuliwa halafu nikarudi 😢😢😢 ooooh Jesus have mercy on me lord.

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  6 місяців тому

      Amen, indeed may God have mercy and help us stay on the right path as we wait for his return. Mungu akubariki

    • @afredfodogo7857
      @afredfodogo7857 5 місяців тому

      Maneno haha ni ya kweli tupu na yamekuja kwa wakati wenyewe mwenye masikio ya Rohoni ataelewa na atayapenda sana ,

  • @mwarabu-u2r
    @mwarabu-u2r 4 місяці тому +1

    Nahitaji msaada wako mwalimu kwasababu nilikuwa mfuasi mzuri wa Mungu ghafla nimetoka kwenye uwepo wa Mungu na kuwa mtenda dhambi mkubwa dhambi chafu sana nafanya jitihada kurudi tena kwake lakini nahisi kabisa yuko mbali

  • @misnasma7875
    @misnasma7875 Рік тому +2

    Asante Kwa kutuelimisha ... MUNGU akubariki mtumishi

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele yote

  • @gracekunambi7438
    @gracekunambi7438 3 місяці тому +1

    Amen Ameeeen nimebarikiwa mno na mafundisho yako mwl Isaac

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  27 днів тому

      Amen ubarikiwe nawe pia kwa baraka za milele yote

  • @lembalai
    @lembalai Рік тому +3

    Hakika Yesu yu karibu kurudi. Baba ubarikiwe sana kwa ufunuo huu mkubwa. Utunzwe na damu ya Yesu!

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому

      Amen Amen mtumishi Mungu akubariki sana kwa baraka za milele yote, na damu ya YESU inene mema kwa ajili yako.

    • @annastaziaemmanuel8664
      @annastaziaemmanuel8664 Рік тому

      Bwana Yesu akutunze Mwl, maana kupitia wewe Mungu amenipa Kile Huwa napenda,mm napenda kufundishwa kwanza afu ndo niombe,Mungu wa mbinguni azidi kukupa mafunuo zaidi na zaidi.
      Na pia nawezaje pata mfululizo wa Somo la Vita ya ndoa,maana ninaona vl 40 tuu.

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому +1

      @@annastaziaemmanuel8664 Amen Mungu akubariki sana, na asante kwa kupenda kujifunza. Roho Mtakatifu azidi kukufundisha zaidi kupitia neno la Mungu. Ubarikiwe sana.
      Hilo somo linaitwa MAOMBI YA KUPONYA HISTORIA YA MAISHA. Vita ya ndoa ilikuwa ni kipengele kimojawapo cha somo. Vipengele vinavyotangulia havihusiani na ndoa lakini vitakusaidia kwenye maeneo mengine ya maisha.
      Ili kupata mfululizo wote, fungua link hii hapa chini, na Mungu akubariki sana. Amen!
      ua-cam.com/play/PLP643MGs6uo1HZKI6Xpub1jCmQeBjo5Be.html

    • @annastaziaemmanuel8664
      @annastaziaemmanuel8664 Рік тому

      @@IsaacJavan Amina Amina,Somo la Vita ya ndoa naweza lipataje lote Mwalimu,plz nalihitaji sana

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому +1

      @@annastaziaemmanuel8664 Mungu akubariki mwanangu, naomba uwasiliane nasi kwa WhatsApp kwa msaada zaidi.

  • @rhodamwakatundu5226
    @rhodamwakatundu5226 8 місяців тому +2

    Asante YESU kwa mafundisho haya

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  8 місяців тому

      Amen Amen hakika jina la BWANA YESU libarikiwe sana. Mungu akutunze na kukubariki kwa baraka za milele yote. Usisahau kuwashirikisha na wote unaowapenda ili twende nao mbinguni pamoja.

  • @pearlgellix8485
    @pearlgellix8485 Рік тому +3

    Very important message to all! Be blessed Teacher!

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому +1

      Important message indeed! God bless you very much and please help me share this message to your loved ones. Tomorrow we shall continue with part two. You are blessed!

    • @pearlgellix8485
      @pearlgellix8485 Рік тому

      Amen

  • @ZuenaKararo
    @ZuenaKararo Рік тому +2

    JESUS CHRIST is coming soon 🔜 let’s be Ready Children of God Amen Thank you Man Of God 🙏🏽

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому +1

      Amen He is coming soon indeed! Let's all be ready. God bless you with everlasting blessings

  • @GAlice-cn5zh
    @GAlice-cn5zh 9 місяців тому +1

    Mambo ni mengi ambayo tumekuwa hatuyajua..God has choosen you for his purpose to his people.Na mwenye sikio ni asikie...Yanaongopesha..lakini tuliyenaye ni MKUU!! Be BLESSED!!

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  8 місяців тому

      Amen Amen uzidi kubarikiwa na kutunzwa na BWANA YESU milele yote

  • @user-je2cr9su8q
    @user-je2cr9su8q 6 місяців тому +2

    Amen glory to GOD

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  6 місяців тому

      Amen to God be the glory indeed! Be blessed with everlasting blessings

  • @annamushi7357
    @annamushi7357 Рік тому +1

    Mungu aendelee kukupa na mwendelezo wa jambo hili la wakati na majira

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому

      Amen mwanangu ubarikiwe sana na BWANA YESU milele. Nimeweka muendelezo wa tatu, karibu sana uendelee kubarikiwa.

  • @wivinendege
    @wivinendege Рік тому +3

    Ooh Lord Thank you for connecting me with Your servant Isaac Javan , I have learned a lot and I have been opened to passages that have bound me hallelujah Thank You Jesus my Sevior Amen Amen 🙏 ♥️♥️♥️🤝🤝🤝

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому +1

      Amen my daughter, God bless you very much. Please help me share this message to your friends and family. Tomorrow we shall continue with part two. You are blessed!

    • @wivinendege
      @wivinendege Рік тому

      Amen I do it My Dad . God bless your Servant Isaac Javan Forever 🎉hallelujah amen 🙏

  • @frankmwagike
    @frankmwagike 5 місяців тому +1

    Mungu akubariki

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  5 місяців тому +1

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @annamushi7357
    @annamushi7357 Рік тому +1

    Mwalimu Mungu akubariki na kukuongeza zaidi.
    Namshukuru Mungu kwa ajili yako

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому +1

      Amen mwanangu ubarikiwe sana na YESU akutunze

  • @user-ip3oo1st7u
    @user-ip3oo1st7u 3 місяці тому

    Asante Nina mushukuru mungu kwa ajili ya neno ili la okovu nimefunguliwa

  • @petermollel1471
    @petermollel1471 7 місяців тому +2

    Powerful Powerful teachings

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  7 місяців тому

      Amen God bless you with everlasting blessings

  • @magrethmkemwa9287
    @magrethmkemwa9287 9 місяців тому +1

    Mungu akubariki, Kwa kuwa ninMtumishi mojawapo wa Mungu anayejitambua kuwa Yesu Anarudi,Shangaa wengine wanapotosha kanisa😭😭wanasema hata vita inayoendelea Israel ni ya kawaida

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  8 місяців тому

      Ni kweli, roho ya udanganyifu inatenda kazi kwa kiwango kikubwa sana kwenye siku hizi za mwisho. Mungu ni mwaminifu, YESU anarudi, na tuzidi kujiweka tayari. Ubarikiwe sana na BWANA YESU

  • @DEUSLONGO-fd8qb
    @DEUSLONGO-fd8qb Рік тому +1

    Amen baba Mungu akubariki kwa kutupa neno nzuri LA kutafakari kila siku

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому

      Amen mwanangu uzidi kubarikiwa sana na BWANA YESU milele yote

  • @faithe4063
    @faithe4063 8 місяців тому +1

    Ohh hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah yaani huu ufunuo ni ya ukweli kabisa, barikiwa kweli, ndio maana ufunuo 22 v 11 inasema na mwenye kudhulumu na azidi, kumbe hiyo wakati Roho wa Mungu itakua imeenda na waminio, Asante sana kwa huu ujumbe nzuri umenifunza kweli

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  7 місяців тому

      Amen Amen Mungu azidi kukubariki na kukutunza

  • @helansakeyan5307
    @helansakeyan5307 Рік тому +1

    AMEN AMEN NINAMSHUKURU MUNGU KUNIWEKA HAPA

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому

      Amen mwanangu ubarikiwe sana na BWANA YESU milele

  • @RehemaKimaro-dw3pg
    @RehemaKimaro-dw3pg 4 місяці тому

    🙏🙏🙏🙏

  • @user-rq1sc4pc7u
    @user-rq1sc4pc7u 8 місяців тому +2

    Nimejifuza kuwa nisifuatishe ya dunia hii.

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  8 місяців тому

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele yote

  • @eveandrew7096
    @eveandrew7096 Рік тому +1

    Amen baba. Kristo atusaidie tuisikie sauti yake tusibaki nyuma..

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому

      Amen mama ubarikiwe sana na BWANA YESU, tuzidi kujiweka tayari. Ubarikiwe sana

  • @creativepublishers7746
    @creativepublishers7746 Рік тому +1

    Ubarikiwe sana baba nami nimejifunza kitu na Mungu atusaidie sana kwa kweli

  • @jerryjuma1339
    @jerryjuma1339 9 місяців тому +1

    Ubarikiwe sana

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  8 місяців тому

      Amen ubarikiwe nawe sana pia kwa baraka za milele yote

  • @beatricemwashiti7763
    @beatricemwashiti7763 9 місяців тому +1

    Ubarikiwe sanamutumishi

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  8 місяців тому

      Amen Amen ubarikiwe nawe sana pia kwa baraka za milele yote

  • @user-jc5uc6ds6n
    @user-jc5uc6ds6n Рік тому +1

    Amina barikiwa

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому

      Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU milele

  • @PaskalinaNesphory
    @PaskalinaNesphory Рік тому +2

    Ee yesu kweli mwisho wa dunia umekaribia maana maasi yamezidi sana ninazidi kukusihi niwe mmoja wa watu wako utakao wanyakua nishike mkona kama yule akida uliye ingia ktk ufalme wa mbinguni

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

  • @marybukuku1494
    @marybukuku1494 Рік тому +1

    Ameen Amen ahsante kwa neno la uzima 🙏🙏🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому

      Amen Mama ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote

  • @esthermalisa9516
    @esthermalisa9516 Рік тому +1

    Ubarikiwe sana Kwa mafundisho haya Kwa kuzidi kutukumbusha..Mungu azidi kukuinua ktk huduma hii.,namshukuru Mungu kupitia huduma yako imefanyika kua msaada mkubwa sana ktk maisha yangu.

  • @JumaKimanga
    @JumaKimanga 7 місяців тому

    Amina nabalikiwa sana na mahubili yako all the way from Boston Massachusetts BWANA YESU ASIFIWE

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  6 місяців тому

      Amen Mungu azidi kukubariki kwa baraka za milele

  • @pendoshaban1010
    @pendoshaban1010 Рік тому +1

    Mbarikiwe

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

  • @Thinker338
    @Thinker338 4 місяці тому

    😭😭Nisaidie Yesu

  • @serinaserina9639
    @serinaserina9639 Рік тому

    Ameen Ameen baba asanteee sana kwa somo neema ya Mungu itusaidie kuyashika haya nakuwakarbu na Mungu 🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому

      Amen mwanangu, uzidi kubarikiwa sana na BWANA YESU milele yote

  • @amaryanmnango
    @amaryanmnango Рік тому

    ubarikiwe sana Baba mungu wa mbinguni akutunze mafundisho yako yananibariki sana🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому

      Amen mwanangu uzidi kubarikiwa sana na BWANA YESU milele yote

  • @fatumaadam7970
    @fatumaadam7970 7 місяців тому +1

    ✝️😭lord have mercy on us

  • @akhalakwalubisia1738
    @akhalakwalubisia1738 Рік тому +1

    Amen glory to God ❤

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому

      Amen God bless you with everlasting blessings

  • @rachelc2633
    @rachelc2633 Рік тому +1

    Amen 🙏

  • @silasnatir7915
    @silasnatir7915 Рік тому

    Amen mwalimu umepotea sana

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому

      Amen Mungu akubariki sana. Ni kabisa, nimerejea kwa neema ya YESU. Mungu akubariki sana kwa baraka za milele yote

  • @cynthiatesy4998
    @cynthiatesy4998 7 місяців тому

    Habari, Asante kwa dadili nzuli sana. Na mimi napata ndoto mara kwa mara bus ikiniacha , as all seating space have been taken. Naomba unifufunurie.

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  7 місяців тому

      Hapana, hiyo ndoto ina maana nyingine tofauti na unyakuo.

  • @maglindaanyango
    @maglindaanyango Рік тому

    Oooooo😢😢😮😮😮 barikiwa sana amen

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому

      Amen mwanangu ubarikiwe sana na BWANA YESU milele

  • @pilishabani6928
    @pilishabani6928 Рік тому

    Ameeen 🙏 ubarikiwe sanaa Mtumishi wa mungu 🙏🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому

      Amen mwanangu uzidi kubarikiwa na BWANA YESU milele yote

  • @beatricechepkurui9161
    @beatricechepkurui9161 Рік тому

    Amen 🙏 nothing but the blood of Jesus Christ the Lord is my shepherd amen 🙏 please pray for me thanks

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому

      Amen Amen, and we shall overcome the devil by the blood of JESUS. You are blessed!

  • @bwilamwakajumba1498
    @bwilamwakajumba1498 5 місяців тому +1

    Nimebarkiwa sana n it's so scary..naomba niilize swali kuhusu hii theory ya kuona meli ikiwa baharini inaonekana kwa mbali ilkianzi kwenye top then badae unaiona?!

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  5 місяців тому

      Amen Mungu akubariki kwa baraka za milele. Kuhusu swali lako la meli ikiwa baharini, hiyo ni "law of perspective"

  • @kidadimgaya7479
    @kidadimgaya7479 Рік тому +1

    Amen baba. Mungu atupe kusimama imara mpaka siku ya unyakuo.

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому

      Amen mwanangu Mungu akubariki sana kwa baraka za milele yote

  • @ansilalulehana4715
    @ansilalulehana4715 4 місяці тому +1

    Mungu anisaide nisije nikawa wakukataliwa

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  4 місяці тому

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU

  • @dinairenge
    @dinairenge 7 місяців тому

    Amen

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  7 місяців тому

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU

  • @Famiya949
    @Famiya949 7 місяців тому

    Amen 🙏🙏🙌🙌👏👏😭😭

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  6 місяців тому

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU

  • @sirpleasureb
    @sirpleasureb 3 місяці тому +1

    MIKONONI MWAKO YESU NAIWEKA ROHO YANGU..

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  27 днів тому

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU

  • @SarahCharles-t6l
    @SarahCharles-t6l 6 днів тому

    Amina amina baba hauna namba ya wasp labda group ambalo huwa unatoa mafundisho huko?

  • @lilyiminza79
    @lilyiminza79 Рік тому

    Emen 🙏🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @elishangoma8235
    @elishangoma8235 5 місяців тому

    hapo kwenye unyakuo ndio pameniogopesha kuanzia leo nimeamua kuokoka sitaki kuachwa na YESU

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  5 місяців тому

      Amen ubarikiwe sana na hongera kwa kufanya maamuzi mazuri. Ubarikiwe sana

  • @giffttymlemwa4523
    @giffttymlemwa4523 3 місяці тому

    Naomba namba za huyu mchungaji

  • @sirpleasureb
    @sirpleasureb Місяць тому +1

    ULIENDA WAPI NA MBONA HU POST MAHUBIRI?.

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  27 днів тому

      Mungu akubariki sana, hivi karibuni kutakuwa na muendelezo wa somo hili. Damu ya YESU ikufunike

    • @sirpleasureb
      @sirpleasureb 26 днів тому

      @@IsaacJavan amina twasubiri kwa hamu sana ujumbe

  • @fatumaminyeko1875
    @fatumaminyeko1875 7 місяців тому +1

    Eeee MUNGU usiniashe ukirudi unitakase na damu yako

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  7 місяців тому

      Amen Mungu akubariki kwa baraka za milele

  • @sophiaesmarcharo9775
    @sophiaesmarcharo9775 Рік тому

    💓🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @alfayosauli-ls8uv
    @alfayosauli-ls8uv 7 місяців тому +1

    Amina

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  7 місяців тому

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU

  • @josephfortunatuskuzenza1378
    @josephfortunatuskuzenza1378 7 місяців тому +1

    Amina

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  7 місяців тому

      Amen Mungu akubariki kwa baraka za milele