Stereo: Rostam walimtuma Bando anichane, Stamina tumetoka mbali, labda anaona leo amekuwa mkubwa
Вставка
- Опубліковано 7 вер 2024
- Unaweza kusikiliza album ya Stereo, #Experience kwa kufuata link hii:
distrokid.com/hyperfollow/stereosingasinga/experience-2
Stamina ft Jux-Alisema
I better do it.. sterio singa singa ni nomaaaaaa sana namkubali since nitabaki juu
Genius kutoka kikosi Kazi
Big up brother stereo...nakumbuka album yako ya 'african son' ulinitumia yote kwa unafuu...bless up
Hizi ndo ngoma sasa. Yani unakula burudani na elimu juu yake, guys stereo ni balaa
Thus a nice way of selling and promoting, congrats @stereo.
0
Stereo master ni nouma
🔥🔥🔥🔥
Point kbx jamaa anaongea
Wana hip hop wanamaarifa sana
Nakubal sana bro
Akili mingi sana bro,,,Aman kwenu
Album iko moto sana
Mziki wakujibizana ndio mziki gani huo mwishoni mje muimbe matusi tuu kila mtu afanye anachoweza kisha tupime mizani
Kama hujui nguzo za hiphop ww
Kaa kmy
noma sana
@Sky link ya album aijakaa Poa kwenye description, pls edit it
Stirio nmekuelewa mwamba ila unaongea sana ila zote point, pa1 sana.
Hip pop ni darasa kamili no more
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍
Stamina ninae mjua mimi....anajua ku rap kabla sijamsikia Sterio
Stereo n hatal zaid
Stamina ni kuanza msic ni wajuzi sana , steterio ni dope , na ana muda mref kweny game
Daaaaaa kweli shida stamina alitangulia kwa stereo??? Kweli Kuna tatizo sio bure stamina awe juu ya stereo daaaaaa inaumiza sana
Bora hata unge-google upate taarifa za wasanii lkn sio kukurupuka, kasome bio ya stereo vzr
Album tunaipata wap aseee...nyie mnatuzngua
Hii album tunaipata digital platform gani?
Ndio ipo kote
Haipo platform yoyote ya App zaidi ya Email na unatumiwa kwa WhatsApp na telegram.
@@MtuSafi ipo ndugu fata link hiyo ni boomplay tu but kote ipo
Nenda kwenye bio yake instagram utakuta link utaiclick utaona platfom ambapo album ipo & pia anauza mwenyewe kupitia e-mail,watsup&telegram
IPO kote
May be ROSTAM hawakukujibu sababu it was bad for business
Mbona huchezi na bando
Brother unaweza unapozingua,kujifanya unaijua shule hivyo,unavimba na kubebwa punguza maneno fanya mziki,wenye shule wapo mitaani pia naweza punguza we ni issue ya fulsa
Brother unashule gani kwanza,huwezi hivyooooo brother kuongea kwenye media,we uandike na Roma au Bando aandike watakupoteza
Bando ndio nani ww pumbu
@@bababoni9571 kumbe ww ni kizaz cha maguguli humjui huyu jamaa
@@asiliyakechuma4319 bando mc ni rappa kutoka mwanza