Khaligraph amjibu Fido Vato baada ya kumchana kwenye interview ya SnS, Amuita Beyonce wa Arusha

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

КОМЕНТАРІ • 279

  • @antonymutharimi254
    @antonymutharimi254 8 днів тому +19

    Respect the OG dude 😎😎 last warning ⚠️⚠️ ma G

  • @MorrisMwaniki-t3o
    @MorrisMwaniki-t3o 8 днів тому +7

    I think the fact that khaligraph doesn't call for a show in Tanzania doesn't make him a local artist may be his is doing it in Amsterdam

  • @kellysood-eg3kr
    @kellysood-eg3kr 8 днів тому +7

    Khaligraph is a force i think he should be added science book 😂❤ OGIMETRIC FORCE ,OG to the top❤😅 i think this war will not end to fido vato 😂😂

  • @johdanny7816
    @johdanny7816 8 днів тому +13

    Me mtanzania naskiza sana ngoma za khalighraph. OG ni biggest rapper huezi mlinganisha na fido kwa chochote kile... Simsifii ni haki anajituma na anafanya vema

    • @PaulNdauka
      @PaulNdauka 7 днів тому

      @@johdanny7816 kachomekwe huko..ss hatuna fagio Wala panga

  • @omondiowino7875
    @omondiowino7875 8 днів тому +16

    Huyu ni dem wa Nani aliyejibleach

  • @AbdulMaeda
    @AbdulMaeda 8 днів тому +5

    Og anasikilizwa Tanzania bn 🇹🇿🔥

  • @heavydee2546
    @heavydee2546 8 днів тому +11

    Uyo fido ni mrembo kwa OG ma English to the world

  • @toney..
    @toney.. 8 днів тому +8

    Hata nyimbo za fido vato zinasikukuzwa Arusha tu tena kaloleni na sekei huko na mianzini

  • @jojoshama2494
    @jojoshama2494 8 днів тому +6

    Babe gal relax khaligrap he's in another level

  • @Nihadshighadi
    @Nihadshighadi 8 днів тому +12

    Og sio level zako ww baby girl,kile chuma bwana

    • @richardduwe
      @richardduwe 8 днів тому

      og mchumba tu mwili jumba ila boya tu hapo anakaa tu

    • @Nihadshighadi
      @Nihadshighadi 8 днів тому +1

      @@richardduwe jifunze kuandika kisha uje

    • @richardduwe
      @richardduwe 6 днів тому

      huelewi kichina si ndio? 😂

  • @presenternathan9490
    @presenternathan9490 8 днів тому +8

    Kizungu Bado haujafika mzimbiting

  • @Allymoh001
    @Allymoh001 2 дні тому

    Khaligraph does not want a TZ platform. Tz artists like you need Kenyan platform to penetrate in international markets.

  • @josesombo186
    @josesombo186 2 дні тому

    Wewe huwezi elewa what the og is producing, the og must be respected

  • @gabsmwanix
    @gabsmwanix 2 дні тому

    Khaligraph haezi kuwa na show Tanzania juu Tz hawajui kingereza

  • @duruboyzofficial
    @duruboyzofficial 4 дні тому

    Eti OG...afanye show tz ...ww unaota mama fatuma ..mtamlipa pesa ngapi....
    Unamchokoza na sijui utapita na wapi
    ..Respect the Og....💪💪

  • @kennar012
    @kennar012 2 дні тому

    In terms of hip-hop Kenya is the best in East Africa. In terms of bongo, Tanzania is the best in east Africa. We cannot be compared in any way.

  • @Ethnicfm91
    @Ethnicfm91 8 днів тому +3

    Kaliigraph Ndo Nani Msanii Mpya wa Singel au?

  • @broamz
    @broamz 6 днів тому +1

    Pole dogo. Endelea kujitafuta

  • @wilsonwafula-l5d
    @wilsonwafula-l5d 2 дні тому

    OG ni mkali Si level yko kwani huwelewi kingereza

  • @kassimlugwe1760
    @kassimlugwe1760 8 днів тому +15

    Ata huku Kenya hatukujui unaimba ama unafanya nn, ata wasanii wa Kenya hawakujui kama wee ni Msanii,,achana na OG ni level kubwa snaa kwako

    • @lakasid3860
      @lakasid3860 8 днів тому

      Sisi Tz hatuwajui 😂

    • @fahimluniz5051
      @fahimluniz5051 8 днів тому +3

      ​@@lakasid3860Sasa imekuwaje mwaongea kuhusu mtu hamumjui? 😂😂 punguzeni nyege watoto wa kiume Khaligraph yuatambulika Africa nzima na nje ya Africa huyo mama wa kiswazi fido akaimbe taarabu hip hop iko na wenyewe.

    • @PaulNdauka
      @PaulNdauka 7 днів тому

      ​@@fahimluniz5051unaongea Kama shoga...eti mwaongea....hatufagiliiik Wakenya .....ss tuna Maisha yetu

    • @bonfacemunyambu457
      @bonfacemunyambu457 6 днів тому +1

      Mwambie

    • @emmanuelmulunda7
      @emmanuelmulunda7 5 днів тому +1

      100

  • @luckyluchano1
    @luckyluchano1 8 днів тому +5

    We mwenyewe uko na hit song gani? Kazi kupiga domo tu na hauna lolote...umechichubua ka shoga🚮⚰️🪦

  • @daudikombe
    @daudikombe 8 днів тому +8

    OG sio level yako jamaa

  • @uwemattiss880
    @uwemattiss880 19 годин тому

    OG is doing shows in America,uk and Australia, Tanzania is not a market to be bothered with, how many shows has fido vato done outside tanzania?

  • @FeliMcute
    @FeliMcute 20 годин тому

    The OG shall be respected, King Khali is not in your league. I love and respect Tz music & artists but Our King is on another level. Kujicompare na the OG ni kama kucompare our currencies 🤣🤣🤣 Respect the OG !!!

  • @Lando_Anthony
    @Lando_Anthony 8 днів тому +2

    Respect OG

  • @m-jay2840
    @m-jay2840 8 днів тому +6

    I like both but fido just came for kaligraph unnecessarily
    Kali can beat him in boxing ring and rap battle that’s a fact

    • @angelsblackboard8008
      @angelsblackboard8008 8 днів тому +1

      Not true.

    • @m-jay2840
      @m-jay2840 7 днів тому

      @@angelsblackboard8008 it’s my dear kali is bigger and stronger physically and bigger musically

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 8 днів тому +4

    I love Fido but truth be told my G can't handle og period

  • @braysonminja
    @braysonminja 8 днів тому +1

    Mimi ni mtanzania apa una tafuta mailage ww kwa kali n mdogo sanaa

  • @jerryjerrie8957
    @jerryjerrie8957 5 днів тому +1

    Who is this dude I've never even heard of challenging da O.G??
    I'm sure even in TZ some don't know him 🤣🤣

  • @RajabShariff
    @RajabShariff 6 днів тому +1

    Uyo n mrembo au nn

  • @ramadhanyusuf2401
    @ramadhanyusuf2401 8 днів тому +2

    Og ni og siku zote big up

  • @haronboss30
    @haronboss30 2 дні тому

    Huyu ni Peter Salasya wa Tanzania

  • @user-ie8cw9cx2i
    @user-ie8cw9cx2i 8 днів тому +8

    OG king of hip hop Africa

  • @victorosong132
    @victorosong132 День тому

    Khaligraph alioshwa na Roma kwenye ngoma yake mwenyewe.Jamaa ni mzuri kuflow na Kiingereza lakini mistari yake ni ya kawaida,haina punchline nyingi ambayo itakufanya uumize kichwa. Mimi ni Mkenya lakini uzalendo wangu ni kwa Hip Hop. Tz wako fiti tangu enzi za Mr.2,Prof Jay , Fid q mpaka enzi za Dizasta,Stamina,Songa,Toxic...Jamaa wanawakilisha vizuri.

  • @vincej9275
    @vincej9275 8 днів тому

    Fido Vato mdogo sana kwa OG Kaligraph ki mziki na vyote.

  • @EvansMwatate
    @EvansMwatate День тому

    Mm n mkenya n hakuongelea vibaya Tanzania ju n ndugu zetu alisema challenge kwani hamjasoma

  • @ZulumanSulesh
    @ZulumanSulesh 8 днів тому +5

    Wacha kujichubua kwadza ndipo uwe mwanaume kamili wewe u can't conca kaligraph jones

    • @HusseinAhmedy-g3j
      @HusseinAhmedy-g3j 8 днів тому +2

      Huyo jamaa anaasil ya kizungu ndugu acha kukurupuka

    • @josephkiwale374
      @josephkiwale374 8 днів тому +2

      Uyo mshkaji ni chotara wa kihindi ww acha ujuaji

    • @TrinaRoman345
      @TrinaRoman345 5 днів тому

      Kichaa wewe.. mzungu huyo ndezi wewe

  • @raftasxidy5113
    @raftasxidy5113 4 дні тому +1

    Huyu NI mrembo wa wapi? Watanzania hawewezi Rada OG ju ya ngoso bana Mambwakni mawaganiz wao

  • @macharjunior8031
    @macharjunior8031 4 дні тому

    OG Must be respected🦁

  • @fredrickotieno-iu1dt
    @fredrickotieno-iu1dt 2 дні тому

    Jamaa haelewi kizungu

  • @pauloreo4005
    @pauloreo4005 День тому

    No problem am sorry

  • @elysoncharo6156
    @elysoncharo6156 8 днів тому

    Don't even think of challenging OG on the ring broo.dont,dont. Before you stand up for him think of yourself G.

  • @titusmutuku6355
    @titusmutuku6355 2 дні тому

    OG mkali wao

  • @jbsilulatv4513
    @jbsilulatv4513 5 днів тому

    Kumtaja prof jay katka dis track yake phatboy wenu wakenya hapo alifail...

  • @ElizabethNgima-i5r
    @ElizabethNgima-i5r 6 днів тому

    OG to the world❤🎉💪🔥🇰🇪👑

  • @homemadestory4871
    @homemadestory4871 8 днів тому +3

    Bro sky the way unaongeaga na fido it's like ok i'm ready for anything that will happen😅😅😅😂😂😂

  • @kennar012
    @kennar012 2 дні тому

    KENYA iko mbele kwenye hiphop, Tanzania iko mbele kwa bongo. Nyimbo za Kenya na Tanzania siyo kitu cha kulinganisha maana ni nyimbo tofauti sana. Kenya huimba Genge na hiphop, ila Tanzania wakona Bongo, Amapiano lakini kwa rap hampo kabisa.

  • @ONLYMAWIRA
    @ONLYMAWIRA 12 годин тому

    What is his account??we say hi to it

  • @ezekiambise2595
    @ezekiambise2595 8 днів тому +6

    We proud of fido.❤

  • @dennislugo1110
    @dennislugo1110 5 днів тому

    Khaligraph anajulikana uko kwenu wew hatujui huku

  • @francislewa
    @francislewa 8 днів тому +3

    hamuwezi mlipa broo

    • @tp-kh8hl
      @tp-kh8hl 7 днів тому

      Jay z, rick rose, fifty wamelipwa ndo tushndwe kumlipa uyo tukunyema!....sema ukimlipa hakuna mtu atakayekuja maana ajulikani

  • @TonnyMaran-vx6mn
    @TonnyMaran-vx6mn 2 дні тому

    Fido Vato mi sijaisikia ngoma zake

  • @mwinyiswaleh8388
    @mwinyiswaleh8388 6 днів тому

    Fido tafuta kiki kwengine OG humuwezi kwa lolote OG ananyimbo nyingi sana za kiswshili.

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 4 дні тому

    Huyu jamaa bado sana kwa OG ...no wonder umeitwa Beyonce ....wataka upepo

  • @SammyDoh-w9q
    @SammyDoh-w9q 2 дні тому

    Sasa Fido ni msanii ama kasanii 😏😂.. Mwambie Fido kama mziki umemshinda aende nyumbani Acha kutafuta kick kwa mastar🙌✨

  • @NAT1ON_VIBE_MEDIA
    @NAT1ON_VIBE_MEDIA 2 дні тому

    Huyo sjui ndio vado ama ndio vido.....Achana na OG .....kwanza huogopi we unabrown skin minus english

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 8 днів тому +2

    Aendelee Tu na English nusu saa tuone Ka ataweza😂😂

  • @pepchallanga3626
    @pepchallanga3626 6 днів тому

    respect the OG

  • @AbdulkadirAthmani-gi7dr
    @AbdulkadirAthmani-gi7dr 4 дні тому

    Kali haezi kuja bongo cz hamuezi kumlipa hamuna hela zakutulipa labda muje nyinyi huku tuwalipe bt kama ni bongo hamuezi kutulipa sasa kana 1000 ya kenya huko mwajaza gunia sasa ww waeza ongea nn acha udwanzi bro ww endelea kujipaka mikorogo achana na kali humuezi

  • @martinnjoroge1310
    @martinnjoroge1310 6 днів тому

    Kaligraph Jones is on another level don't bargain on tht ...u are not in his level simple

  • @Green_v4w
    @Green_v4w 6 днів тому

    Kijana wacha mihadaradi OG hamuezi

  • @Lingisa47
    @Lingisa47 6 днів тому

    Huyu Fido Vato anaimba nini lakini mshenzi sana kujiona superstar kupitia tattoos

  • @naibei_Tv
    @naibei_Tv 4 дні тому

    Respect the OG😅

  • @mumspencernleah8037
    @mumspencernleah8037 6 днів тому

    Respect OG 🙏 🫡 my friend

  • @Meeknego
    @Meeknego 8 днів тому +1

    Huu ni ushahidi kwamba Kenyan guy amecatch and he cared about it. Imemuuma

  • @BrianAbanja-tq9rq
    @BrianAbanja-tq9rq 4 дні тому +1

    Young lunya anamtambua papa jones unaona amechill😂😂😂😂

  • @AdanHussein14
    @AdanHussein14 День тому

    Khali apige show TZ na hawajui kizungu si nikama kupigia makondoo gita . Khali acha apige show ulaya

  • @samkitwima7933
    @samkitwima7933 8 днів тому +44

    Mi ni mtanzania lakini huyu jamaa ni mpumbavu kumdisrespect OG. He is the best rapper in Africa for now...... Huo ni moto mwingine.

  • @willydasilver69
    @willydasilver69 8 днів тому +2

    😂😂😂Fido tunakuhurumia tuuu...utapigwa na huo uso wako😅😅😅😅

  • @EVERYTHINGNEWS.
    @EVERYTHINGNEWS. 4 дні тому

    Huyu simujui ni wa wapi

  • @kennedyobiero5697
    @kennedyobiero5697 3 дні тому

    Huyo mrembo kwanza ni nani? Ohh, nasau, ni Beyonce kutoka Arusha

  • @willyfenzo
    @willyfenzo 4 дні тому

    Hata huyu mwana habari hajui kama show OG hupiga tanzania

  • @JustinePatrinius
    @JustinePatrinius 8 днів тому

    Who is kaligraph by the way...

  • @tumlakimwaitumule
    @tumlakimwaitumule 7 днів тому

    Fido sasa utamuwezea wapi OG?

  • @AllyShamtee-yw2cr
    @AllyShamtee-yw2cr 4 дні тому

    Mi hata karigraphe ninemjua juzi aisee

  • @user-id2fy6tt3h
    @user-id2fy6tt3h 7 днів тому

    Tz respect OG plz

  • @jayomarion8183
    @jayomarion8183 2 дні тому

    To be honest maneno ya huyu jamaa ni kama ameyasema Gigi money....
    Huwezi kukaa kwenye media alafu ukasema utampiga mwanamme mwenzio .. huu ni uke kabisa

  • @kazikazini1042
    @kazikazini1042 7 днів тому

    Sky Walker Fredrick Nundala SNS ishakuwa kubwa achana na wasanii haters. Fido atambe Chuga tu asitafute kick kwa the OG. Kina Roza wananua thamani yake

  • @Beckycitizentv768
    @Beckycitizentv768 2 дні тому

    Huyu jamaa hadi UA-cam hajafikisha subscribers 30k😂 and now he think he can challenge OH

  • @Doubletrouble_ke
    @Doubletrouble_ke 8 днів тому

    khaligraph jones is a Hoe g mwambieni DT wamesema💯

  • @JosephJackson-jv1so
    @JosephJackson-jv1so 8 днів тому

    Sky unaita watu kama Hawa kwa interview then unawaogopa hata wewe ..But fido hamuwezi khaligraph. Ila fido Hana Akili.

  • @androidtv4286
    @androidtv4286 2 дні тому

    Hata hili neno "RAP" ni KIZUNGU!

  • @anthonyatandi3658
    @anthonyatandi3658 2 дні тому

    We mwenyewe sauti yako ka ya mwanamke, huna nyota ni mdomo tu na pia wewe kutojua kiingereza sio tatizo letu

  • @DesayG
    @DesayG 8 днів тому

    Who is this fido btw, Respect The Ogs is the African anthem when it comes to hip-hop

  • @jacobsadock3530
    @jacobsadock3530 7 днів тому

    Fido uko rights , jamaa alitunyea Kwa zarau sn ko umedefend tz yetu

    • @donhussle948
      @donhussle948 3 дні тому

      Ndo mana mukaimbiwa na MEJA KUNTA na CHIDI BENZ NYIMBO YA MJAMBO baadhi ya TZ hawana brk kama kina fido vato na ww watoto wazuri ww na fido vato Beyonce na Rihanna 😂😂😂

  • @amukoaletshavefun8859
    @amukoaletshavefun8859 6 днів тому

    Tanzania hawana hela kulipa khalighraph

  • @devidjav3583
    @devidjav3583 День тому

    Pesa na maisha ya Khali utazidi kutamani tu😂😂😂

  • @faustinkilote4687
    @faustinkilote4687 7 днів тому

    Huyu mpuzi anatafuta Kiki na og bado sana bro

  • @hatarifire652
    @hatarifire652 9 годин тому

    Manna bleacher huyu anatuambia nini

  • @judithkirenga9977
    @judithkirenga9977 7 днів тому

    Wakenya wakiona mambo hayaendi wanachokoza Watanzania 🥴 Watanzania shtukeni MNATUMIKA

  • @yakstasivak
    @yakstasivak 4 дні тому

    Buda creativity does not base on one language eti kiswahili 😂😂 you can rap In even mother tongue
    So never dare Kenyans we will make you a lady kijanaa

  • @donhussle948
    @donhussle948 3 дні тому

    Huyo ni Beyonce mke wa Jay-Z 😂😂😂😂😂ana mdomo wa kunyoa mbooo ...kisha wasema eti ana sauti ndogo OG ww ujioni mtoto mzuri hata waeza kuolewa wacha wivu Beyonce wa Arusha 😂😂😂😂.

  • @gossipke43
    @gossipke43 День тому

    😂😂😂look at this guy kizungu ikikushinda bana wachana nayo unaaibisha tanzania bana wewe pekeako ndio ujui kizungu ama aje tanzania😂😂

  • @JohnTsofa
    @JohnTsofa 7 днів тому

    Wewe ushaiskia Jayz ama Ye ako Na show Tanzania😂😂😂😂does it make them local artist

  • @ChampionsHome-i6v
    @ChampionsHome-i6v 7 днів тому

    Maskini huyu 😢😢

  • @JoshuaAgumba
    @JoshuaAgumba 6 днів тому

    Alafu uyu ndio nani anaongelea OG

  • @stevenmahanu9261
    @stevenmahanu9261 7 днів тому

    Huyu jamaa kila akiongea yeye ni ubabe wa ngumi tu, haongelei mziki anaoufanya ila kila msanii anamtishia kumpiga ngumi, sasa si uache mziki uingie kwenye boxing kaka?

  • @denisrobert5195
    @denisrobert5195 8 днів тому

    Kwan wadau uyu Fido nyimbo zake ndo zip????

  • @Arivo254
    @Arivo254 4 дні тому

    Huyu ni msanii kwani? 😂. Ata Simple Boy anajulikana Tz

  • @SimiyuFideh
    @SimiyuFideh 7 днів тому

    😂😂 Me ni Mkenya na naskiza rappers wa Tz but huyu simtambui .Ile Ngoma ya target niliiskiza Kwa sababu Chidi alikuwa hapo