BMG TV: Tazama maendeleo ya ujenzi wa Soko Kuu jijini Mwanza #01

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 21

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 Рік тому +3

    Masha Allah tz,🔥🔥🔥👏👏👏😘

  • @fatumasuleymanashurambinda6880

    Salam ‏‪nani inayfaham chuo cha thaqeb mwanza sokoni?!?? kilmahewa

  • @Stan-103
    @Stan-103 9 місяців тому +2

    Tunaomba utuoneshe mabadiriko yake mpka mwaka huu 2024

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  9 місяців тому

      Sawa, tutajitahidi kufanya hivyo

    • @Stan-103
      @Stan-103 8 місяців тому +1

      @@BMGOnlineTV Hivi ile stend ya daladala mbele ya soko bado itakuwepo?

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  8 місяців тому

      @@Stan-103 ilihamishwa

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  8 місяців тому

      @@Stan-103 soko lilianzia kutumika, itajulikana, inaweza kurudishwa ili kupeleka wateja sokoni

  • @josephmwanaupanga731
    @josephmwanaupanga731 Рік тому +2

    airport vipi bro? ujenzi ulisimama?

  • @thomasardoph
    @thomasardoph Рік тому +2

    Stendi ya Nyegezi inaanza kazi lini boss mkubwa.???

  • @chifuthedoni8889
    @chifuthedoni8889 Рік тому +4

    mradi ulio lala hapa mwamza ndo hu sasa! Hio chuma ni mwaka sasa tangu imewekwa! Hakuna cha bati wala ukarabati!

  • @khalidballeth5957
    @khalidballeth5957 Рік тому +1

    Nawasikitikia waanyabiashara waliopo RWAGASORE STREET,,,Hio barabara ni mwaka wanne sasa tangu imefungwa ili kuusubiria huu mradi wa ujenzi wa soko hadi utakapo kamilika

  • @abdallahhussein1918
    @abdallahhussein1918 Рік тому +1

    Hv huo mradi usha kamilika hakuna updated kitambo

  • @abdallahhussein1918
    @abdallahhussein1918 Рік тому +2

    Nyegezi bus vipi kunani paleeee afu na hapo nilisikia mkandarasi kang’anywa tenda