SIRI HII HAKUNA ATAKAE KWAMBIA, NA KAMA UTAIFANYIA KAZI UTASHANGAA NA MATOKEO YAKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 90

  • @qwnlynuzlah3115
    @qwnlynuzlah3115 7 місяців тому +1

    MashaAllah,,,Shukran Sheikh

  • @ramlajuma5317
    @ramlajuma5317 7 місяців тому

    Alhamdulillah Maa shaa Allah tabaaraka llah hakika ni maneno mafupi lakini yenye uzani mzito mbinafsi nasema ahsante saana sheikh Wangu Allah akulipe kheri nyingi na ndugu zangu katika Imani hivi mmesha ambiwa kutafuta elimu nibora kwakila mwisilam mwanaume na mwanamke mnapewa kheri mnaibeza hii ni kwasababu kilichoandikwa hamkijuwi kaeni madarasan muisome dini ili msiwe watu wamabishano yahoja wakati namambo ya manfaa kwenu mwenyewe mjuwe mnachokifanya wanapasa kukifanya wanasiasa nasio sisi waisilamu tutafuteni elimu huo ndio msingi wetu fiddunia wal, akhera

    • @TIBAZAMAALIMHASSAN
      @TIBAZAMAALIMHASSAN  7 місяців тому

      ameen ahsantu sana dadaang allah akuzindue katika din akuzidishie kher.na wanaofuatilia darsa zetu allah awafungue wakamjue na kumtaja kwa wingi ndio allaha anapenda kutajwa sana. shukraan sana

  • @FatimaFatima-bx8ez
    @FatimaFatima-bx8ez Місяць тому

    Asante kwa somo ustadhi hassan ❤ je naweza kupata kitabu chenyewe?

  • @AngoSheriff-be5mq
    @AngoSheriff-be5mq 7 місяців тому +2

    Tunahitaji dalili kaka

  • @gamalashur5412
    @gamalashur5412 9 місяців тому +3

    UTUKUFU NI WA ALLAH ANAEGAWANYA RIZKI KWA WAJA WAKE NA KWA FADHLA ZA ALLAH HAMSAHAU KIUMBE HATA MOJA.WOTE WAPATA RIZKI ZAO.
    ALHAMDULI ALLAH

  • @KhadijaJuma-zy8gy
    @KhadijaJuma-zy8gy 5 місяців тому +1

    Assalam alykum naombeni MWENYE kujua hiyo dua alosoma hapo sheikh andike

  • @salehrwigemagisa81
    @salehrwigemagisa81 9 місяців тому +5

    سبحان من قسم الأرزاق بين عباده ومن فضله لا ينسى منهم أحدا
    Glory be to Him who divides sustenance among His servants, and from His grace He does not forget any of them

  • @hemedhemed8590
    @hemedhemed8590 8 місяців тому +1

    Ok inshaaallah asnteeee

  • @YusraSibanganya-g2u
    @YusraSibanganya-g2u Місяць тому

    Maalim samahani hapo kwenye salam Hiyo taala ina maana gani?

  • @bintimahmoud6436
    @bintimahmoud6436 5 місяців тому +1

    سُبْحَانَ مَنْ قَسَمَ الرِّزْقَ وَلَمْ يَنْسَ اَحَدًا سُبْحَانَ الَّذِي لَمْ يَتَّخِذْ صَاحِبَةً وَلَا وَلَدًا سُبْحَانَ الَّذِي لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ وَلَمْ يَكُنْ لَهُ كُفُوًا اَحَدٌ مَنْ يَرَانِي وَيَعْرِفُ مَكَانِي وَيَرْزُقُنِي وَلَا يَنْسَانِي
    Share
    Save
    Feedback

  • @YusraSibanganya-g2u
    @YusraSibanganya-g2u Місяць тому

    Jamani angalieni mashekh wa kuwasikiliza mtapotezwa mpaka mtapotea tena. Na mashekhe jamani kuweni na hekima maneno kama hayo siya kufundisha mitandaoni mtatupoteza, Waislam kuweni makini tafadhalini hayana ukweli hayo shauri yenu

  • @AdanAbgudo
    @AdanAbgudo 5 місяців тому +1

    Asc kuna kitu natakuuliza

  • @TwalaaTaib
    @TwalaaTaib 9 місяців тому

    Jazakallah Sheikh tuko pamoja insh allah ❤❤umri ❤

  • @Ntamba-rq8my
    @Ntamba-rq8my 6 місяців тому

    A w w sheikh niliolew ila mume wangu nimzinifu sana nilikuwa nampenda sana kudikiya alizini nilifika namchukiya sana Tena sana Tena amazing mke wa rafikiyake niliumiya sana nikaomba Tanaka yangu alinipa nilisha mtukana uchonganishi mwingi mume sutwa

    • @TIBAZAMAALIMHASSAN
      @TIBAZAMAALIMHASSAN  6 місяців тому

      alykum salam pole sana dadaangu allah akuhifadhi
      lakin kwa utatuzi zaid insha allah nitafute kwa hizo namba hapo insha allah

    • @saidmakange2819
      @saidmakange2819 6 місяців тому

      Kwa sasa ushaolewa???

  • @ruwaidamohamed
    @ruwaidamohamed 9 місяців тому +1

    In sha Allah Allah Ameen

  • @MwanamiruruRamadhaniabda-xt4sv
    @MwanamiruruRamadhaniabda-xt4sv 9 місяців тому +1

    Mashaallah Mashaallah

  • @AminaHamzaMakenya-uj6zu
    @AminaHamzaMakenya-uj6zu 10 місяців тому +2

    Shukrani sana kwa darsa

  • @Mufti-c7t
    @Mufti-c7t 7 місяців тому +1

    Mtihani waislam yaani mpaka kumzukur Allah watu wanahofu na kutumbukia kwenye bidhaa? hakika makafir hapa wamefanikiwa yaani kupoteza muda kwa kuchati hatuhitaji dalili lakini kumzukur Allah tunahitaji dalili? Subhana llah kiama hakina mda wWallah waslamu yamebaki majina tu ya kiislam bali yakini imepotea

  • @broumaiyyah8018
    @broumaiyyah8018 9 місяців тому +1

    Shukran jazeerah

  • @AliMohamed-bp5ji
    @AliMohamed-bp5ji 5 місяців тому

    In God we trusted, maa, shaallah, haha kazikwetu.

  • @SumailiRachide-kv6xc
    @SumailiRachide-kv6xc 8 місяців тому +1

    Shukrani

  • @HajrahRamadan
    @HajrahRamadan 3 місяці тому

    Asalamu alykm warahmatulah wabarakatu shehe andika ss hatutaelewa

    • @TIBAZAMAALIMHASSAN
      @TIBAZAMAALIMHASSAN  3 місяці тому

      alykum salam angalia kwa hapo chini imetfsiriwa kwa kiswaahili

  • @tausiabdallah6402
    @tausiabdallah6402 9 місяців тому +1

    Masha allah

  • @khadijah7217
    @khadijah7217 9 місяців тому +1

    Shukran jaziilah

  • @NdayishimiyeDjuma-is8gg
    @NdayishimiyeDjuma-is8gg 9 місяців тому +6

    Sheikh tunaomb tuwe tunapew na dalili ili tusiw na hofu yakudumbukiy kweny bidaa

    • @TIBAZAMAALIMHASSAN
      @TIBAZAMAALIMHASSAN  9 місяців тому +1

      أدعون أستجب لكم قال الله تعالي

    • @ندىالعمري-ط7ي
      @ندىالعمري-ط7ي 9 місяців тому

      Shukran sheikh kwa dua zuri plz nakuomba uniandhikie hiyo dua plz​@@TIBAZAMAALIMHASSAN

  • @AishaHamisi-o6w
    @AishaHamisi-o6w 9 місяців тому +1

    Mashallh

  • @Marymwabayabaya-k7w
    @Marymwabayabaya-k7w 9 місяців тому +1

    Mashaallah

  • @IssaJuma-rk5qb
    @IssaJuma-rk5qb 8 місяців тому

    Insshaallah

  • @khalifmohamed1995
    @khalifmohamed1995 9 місяців тому +2

    Shekh wetu Kuna Hadith yenye husema hivo

  • @fatumahamisi1604
    @fatumahamisi1604 9 місяців тому +1

    Mashallah shekh wetu inshaallah tutayafanyia kazi na Allah atatujalia kheri zake

  • @seifothmanothmanjuma-qr3hj
    @seifothmanothmanjuma-qr3hj 9 місяців тому +1

    Mashallah❤

  • @faridaali6850
    @faridaali6850 9 місяців тому

    Jazakallahu lkheyr

  • @سيوابورندي
    @سيوابورندي 9 місяців тому +1

    Shukurabni❤❤

  • @Kisra-yw3qz
    @Kisra-yw3qz 9 місяців тому

    Shukran❤

  • @hajratysaidy
    @hajratysaidy 8 місяців тому

    Tuko pamoja inshaallah

  • @karimnatu7125
    @karimnatu7125 9 місяців тому +1

    Hyo..dua sheakh.. Tunaomba uiandike

  • @ShijaMarry
    @ShijaMarry 4 місяці тому

    Tuandikie kwa kiiswaahili

  • @TwalaaTaib
    @TwalaaTaib 9 місяців тому

    Frm kenya❤❤❤

  • @abdulatifmoxamed8047
    @abdulatifmoxamed8047 9 місяців тому +1

    Shekhe unatoa duwa tafadhali toa na tafsiri ya duwa tujuwe tunaomba nini

  • @ruqaiyahrashid4235
    @ruqaiyahrashid4235 3 місяці тому

    Hao wenzetu ansari sugu wasikusumbuwa na kudai kwao dalili hadithi na vitabu hayo ndio masuali yao wote na kila mmoja kila ahlu bidaa hakosi hio hoja. Tafadhali fikisha unalo lijuwa na wakupokea watapokea watafuata na kutafuta Ahsante

    • @TIBAZAMAALIMHASSAN
      @TIBAZAMAALIMHASSAN  3 місяці тому

      @@ruqaiyahrashid4235 alaykum salaam shukraan sana ukhty ruqay-ya

  • @TatuRashid-d6t
    @TatuRashid-d6t 9 місяців тому +1

    Dua nzr ila iandke taf

  • @mariamharoon1840
    @mariamharoon1840 9 місяців тому +1

    Mashaalla😢

  • @halimamuketi6738
    @halimamuketi6738 9 місяців тому +2

    Tafsir ya dua hyo tafadhali

  • @Sofhia-fh4pw
    @Sofhia-fh4pw 8 місяців тому

    Tupe dalili bwana yame tajwa katika kitabu gani? je mtume na maswahaba walifanya hayo? dining imekamilika.

  • @ismaelselemane5798
    @ismaelselemane5798 9 місяців тому +1

    Masha Allah

  • @zainabzash1463
    @zainabzash1463 9 місяців тому +1

    Mashallah

  • @saumsaum712
    @saumsaum712 9 місяців тому +1

    Shukran

  • @ZainabuMwambashi
    @ZainabuMwambashi 9 місяців тому +2

    Mashallha

  • @eshamohamed9833
    @eshamohamed9833 9 місяців тому +2

    Mashaallah

    • @TIBAZAMAALIMHASSAN
      @TIBAZAMAALIMHASSAN  9 місяців тому

      ahsant pia kwa kupata darsa allah akufungulie kher zaid