MZEE YUSUPH asitisha INTERVIEW baada ya Mkewe kuulizwa SWALI la Uke WENZA ''Mke sio kama NAZI''

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

КОМЕНТАРІ • 37

  • @user-pu6pr5jt4n
    @user-pu6pr5jt4n 3 місяці тому +2

    Leyla Ana dam ya nguo mashalah anachovaa👌♥️♥️♥️♥️

  • @user-dx6dm6lh1i
    @user-dx6dm6lh1i 4 місяці тому +8

    Wanawake wamekosa hya na kujishusha thamani subhanallah Allah awaongoze.

  • @marselinarweyemamu4034
    @marselinarweyemamu4034 4 місяці тому +8

    Kavumilia mengi sana huyu dada Acha tu..wazeeke kwa neema

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 4 місяці тому +6

    Ibilis akitaka kuangamiza mji au familia hupitia kwa Mwanamke, waeza kataza jambo kwa Mkeo lakini akawa analirudia kila mara masikioni mwako mwisho unamkubalia, huwezi acha kuimba taarafu alafu Mkeo bado mwimbaji ngumu

  • @sadikjuma5519
    @sadikjuma5519 4 місяці тому +3

    Much love from 254🇰🇪❤️✨... Ila mwaka wa 2004 hadi sasa ni miaka 20 not 24.

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 4 місяці тому +7

    Nampenda sana raila hana mambo mengi maashaallah

    • @salimsoyo8118
      @salimsoyo8118 4 місяці тому

      Raila tena ??ilo jina la mwanasiasa kenya

    • @salimsoyo8118
      @salimsoyo8118 4 місяці тому

      Ni leila

    • @Fondo0
      @Fondo0 3 місяці тому

      Raila ni mtu wetu wa maana uku Kenya

    • @AllyhHassani
      @AllyhHassani 3 місяці тому

      Mmechoka sana hamna jipya tena bora muurudie muumba wenu tu

    • @user-bc3lh5ss6c
      @user-bc3lh5ss6c 3 місяці тому

      😂😂😂😂😂😂​@@salimsoyo8118

  • @user-sj3wf5vz7l
    @user-sj3wf5vz7l 3 місяці тому +1

    Mie huyu mwimbaji yusuph kaniudhi kumkataa mtoto wake ambaye anafanana naye. Sitaki hata kumwona

  • @user-pw2sw1sk1b
    @user-pw2sw1sk1b 4 місяці тому +3

    Reila mvumilivu ndio.maan uwez kumuacha 😅😅😅wanakuja wanamuacha 😅😅hongera madam reila 😅😅pambana

  • @Muhamed_mo
    @Muhamed_mo 4 місяці тому +1

    Mhhh mzee yusuf hata kucha umechonga bado nn kwako ushanga na kipini tu

  • @faridapandu7579
    @faridapandu7579 4 місяці тому

    😂😂😂😂❤❤❤ asant dazai nakuona kijiwenongwa

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 4 місяці тому

    Hawa wote Wanawake wa Kiislamu, Masheikh hapo kimyaa!

    • @mussamgonola3983
      @mussamgonola3983 4 місяці тому

      Masheikh unawaonea hawana pepo ya kumpa wala Moto hivo hayo ni maisha yao , mwenyezi Mungu mwenyewe ndo anaehukumu ! Dunia tamu ndugu yangu we Acha Tu hasa ukiifuata sema tuombe mwisho mwema

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 3 місяці тому

      Wakati wa ule mwezi wa Ramadan panakuwa kimya,bar zimetulia,kumbi za starehe kama makanisa..hata kitimoto haina wateja

  • @GreysonMdee-wm8tn
    @GreysonMdee-wm8tn 4 місяці тому

    Yaani ndo wamekuja kuangalia hiki nilichokiona mwisho wa interview au, kesho utasikia wanawake wanalia hawathaminiwi

  • @ZainaFatma
    @ZainaFatma 3 місяці тому

    Mmesaulika sana bora mungee kaa kimyaa tu watu wazima hovyo😂😂😂

  • @shabaniramadhani8026
    @shabaniramadhani8026 3 місяці тому

    Muendelee kulaaniwa. Wa Zanzibar mpaka uchi hovyoo{o

  • @wemaMichael-fr4th
    @wemaMichael-fr4th 4 місяці тому

    huyu nae kuhoji hajui

  • @AsdDsa-fi5qk
    @AsdDsa-fi5qk 4 місяці тому +1

    Mapete ya nn mwnamme

    • @muhammadjuma8457
      @muhammadjuma8457 3 місяці тому

      Mwanamme kuvaa pete sio kosa ila kwa ayo mengine siyaungi mkono

  • @user-qe3fs1xc3b
    @user-qe3fs1xc3b 3 місяці тому

    Eeh !wee mzee ayo mapete mapaka madole gumba..umejua km C muislam !? Duh!?

  • @pesaspy_tv
    @pesaspy_tv 4 місяці тому +1

    Inaonekana mzee Yusuphu anapenda nazi sana 😂😂😂😂 kila kitu nazi

  • @marselinarweyemamu4034
    @marselinarweyemamu4034 4 місяці тому

    Mbona umemkimbiza mwandishi jamni swali zr tu

    • @muhammadjuma8457
      @muhammadjuma8457 3 місяці тому

      MZEE KAMPA CHATI ZAIDI MKEWE NDO AKAKATISHA MAHOJIANO

  • @babajay3445
    @babajay3445 4 місяці тому

    Karudi mjini

  • @aaa64sa13
    @aaa64sa13 4 місяці тому

    😂😂😂😂❤🎉

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 4 місяці тому

    Layla mbona uliposema mafanikio ya sauti Yako NIKWASABABU hutumii vitu vikali ,umechakaaaaaaaa mhhhhhh 😂😂😂😂