Much respect my Brother sio move tu unagusa hisia nauhalisia wa maisha ya watu wengi Mungu akutunze ili tuendelee kupata burudan na mafunzo Ur the best
Kiukweli Adamu na uyudada kwenye mapenzi uwa Wana endana saaaana tu uyu hidaya ana juwa kuigiza sana Asa kwenye mapenzi na Adamu apo ndo Muna niuwaga na wapenda bur tu❤️❤️❤️
Hayo mabusu tu mm yamenifanya nifihali sanaaa ila nilivyokumbuka kua nimambo ya movie nikaaludi kwenye makasiliko yangu maana hapo najua adam kiuhalisia nateseka na mapenzi 😂😂😂😂😂😂😂
Tazama tamthilia ya WAKE ZANGU hapa👇👇
WAKE ZANGU EP 2 | love story💞💕Adam Leo
ua-cam.com/video/YjhT9VjlnuI/v-deo.html
Adamu mnaniponza Mimi niachike sijampikia mume nimeganda kwenye muvi naangalia mahaba yenuuu🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂nimekwishaaaaa
Much respect my Brother sio move tu unagusa hisia nauhalisia wa maisha ya watu wengi Mungu akutunze ili tuendelee kupata burudan na mafunzo Ur the best
Thanks Dickson🙏
Basi Adam umezidi na amanda mmmmh mwaumiza wenzenu ❤❤❤❤❤🤣🤣🤣🤣🤣🥰🥰🥰 congratulations your very talented 🌟🌟🌟👌👌 MashaAllah I like it
Thanks
😂😂😂😂😂
Kumbe pia wewe umeona
Adam fund sana moves zako zinaelimisha sana kaka tupo pamoja sanaaaaaaaaa
Shukrani
Daah aisee adam hubahatishi..🎉🎉🎉 hebu leta muendelezo mana hapo ni moto..
Sawaa
Watching from BURUNDI 🇧🇮 yaaani Adam and Amanda tunawapenda saana movies zenu tamuu❤
Asante
Kiukweli Adamu na uyudada kwenye mapenzi uwa Wana endana saaaana tu uyu hidaya ana juwa kuigiza sana Asa kwenye mapenzi na Adamu apo ndo Muna niuwaga na wapenda bur tu❤️❤️❤️
Shukrani sana sana
Adam Sabi mwenderezo unazingua ujue@@AdamLeoStudios
Itakuwa ni wapenz kweli hawa make si kwa mabusu hayo😂😂
@@IzkiOamn
Jaman mbona penzi la boda boda aipo ten jaman Yan alionekani ten nikwnini
Kwa kweli Adam, filamu zako Zina mafunzi nzuri. Hongera kaka
Asante
Nakukubaly sana wewe Adamo n movie zako ni tamu k ukweli EP 2❤❤❤❤
Episode 2 soon
Duuuu team single tunafanyaje maana sio kwa mabusu hao 😂😂😂❤❤❤🇧🇮🇧🇮
Polee
Tutakoma 😂😂😂
Natafuta mume😂😂😂
Kimetulamba😂😂
😂😂😂😂😂
kaz kaz kaka adam mpe hai sana amanda sekta ya mahaba yuko vizur🎉🎉🎉🎉❤
Zimefika
Vizuri sana adam tunasubili p2 ❤
Okay
Nakupenda sana Adam unajua mpaka unajua tena❤❤🎉🎉🎉🎉
Shukrani sana
Kaka uko vizuri pamoja na huyo bidada hidaya
Shukrani
Good job👌 mungu 🙏🏼 akusaidie katika mihagaiko yako
Amen
Respect for u Adam mnatuburudisha sana
Enjoy
Mabrook elfu Mabrook keep up Adam..all the best❤ filamu nxuri sana
Shukrani
Maingizo haya yanakaa ukweli kaka,, af very clear quality videos,, nawapogeza
Asante
Naipenda sana filamu zako Adamu. Very nice and Educative ones. From Kenya.
Thanks
Always amazing movie blessed bro tunainjoy 🎉
Thanks for watching
Uko vizuli xan adam mungu akurinde
Amen
Iko Sawa lakini mlikosea part ya mwisho kutokueka mabishano ya mwisho wewe na idaya
Sawa tusamehe ila kuna namba 2 yapo
Kweli kaka Adam, unaniliwaza na hiz move zako😂😂
Endelea kuenjoy
Ni kweli kabsa syo kila tulichokutana nacho hapo mwanzo n sahihi kwetu hapana ❤❤❤
Ni kwelii kabisa
Nikweli kabisa wajina
Episode safi sana Adam Leo keep up and if that lady is single I looking for a wife from TZ and she fits the bill
Au sio 😂😂
😶🌫️
Umeweza sana kaka Adam mungu akubariki kwa movie zako nzuri sana ❤❤❤
Shukrani
very good film !!! asante sana Adam Leo
Shukrani
Adam kafanana na sifael mwabuka Kwa nyie ni ndogus much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Asante
Adam na Amanda munaendana,sana kaka big love ❤️
Thanks
Adam unajuwa mpaka unakela 🎉🎉🎉
Asante sana
mko vizuri sana wadau keep it up
Thanks
Move zake zote Bomba ongera Kaz nzr
Asante
Nawapenda sana sana na kazi zenu 💗💗💗
Shukrani
Nzuri kbs mchelewe kutoa ngoma ya pir
Saaa
Much Respect Team Adam Leo ❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮
Thanks
Ad leo pongezi talenti gikaze unakaribia marehemu kanumba
Aisee
Much love from Kenya
Thanks
Congratulations 🎊 🎉 kaka kazi mzuri sana
Asante sana
Hii ni fire kuliko niwape maua yenu kaka🎉
Asante
UA-cam bila wewe Adam si UA-cam . Asante Kwa kutuelimisha Kila wakati tunapata mafunzo mapya.twakupenda
Shukrani
😂😂😂umeanza miemko Sasa et bila yy UA-cam sio UA-cam😂😂😂hahaha UA-cam imekuwepo kabla yake 😂ujue Kiukwel Adam anajua lkn usmlinganishe na UA-cam bs😂
@user-ch2it3qt5z 😂jamani si maoni yake! Maoni ya mtu yaheshimiwee😂😂😂🙏🙏all in all asanteni sana nyote.
Hayo makande na bro wtu adam jamani 😂😂😂😂😂🎉much love from Kenya
Thanks
Story line always Hua top notch..bwana Adamu kweli unakipaji cha uandishi..ata Mimi pia am an actor naweza Pata chance Kwa movie yako moja kaka
Asante
Kazi nzuri adamu hongera
Asante
Kenya Watching
Thanks
Mnafanya vizuri hongeren sana
Asante sana
Kwenye kuigiza kwa Adam na huyu mwanamke kwenye mapenzi huwa nawakubali hatari
Shukrani
Mambo ni 🔥 ubarikiwe sana Adam
Shukrano
Much love from kenya Adam na amanda❤❤❤
Shukrani
Nzuri sana
Shukrani
Mama wee mambo ushaya peruza zen unajitoa ufaham kuhusu ndoa duh!! 😂😂😂😂❤
Mama huu anata kula raha za wanawume xataki kupata mtoto
Kanichanganya sana
Yaani
KAZ nzuri🎉🎉🎉🎉
Asante
Adam na humu makande yamo 😂😂😂😂😂😂
Angalia ujionee🤣🤣
Adamu unapenda sana Makande
Mnoo
Utajua mwenyewe na mungu wako sisi hajayetu ni ujumbe tu uwasilishwe bila hasira😂
Hahaha endelea ku enjoy😃😘😘
Eiiiiiiiish🙈adam acha kunitamanisha😂😂😂😂😂karibu niume ulimi😅😅😅
Pole mzee😂
Nafurai ZAI anapoingiza na misemo ❤❤❤ Hongera kwake
Shukrani sana
Nzuri sana nimeipenda ❤❤❤
Shukrani
Kazi swaafy kaka much ❤❤❤❤❤❤from Kenya 🇰🇪
Shukrani
Afuan
Ee mnatoa move nzuri
Asante sana
Adamu wangu weeee😋 kachochea makande kaweka nanazi. Mie kusikia njaa imeanza kuniuma
Polee
Adam ao wanawake wa Morogoro awajielewi ,kanyaga kenya kumbwa kumbwa ❤❤❤❤🎉🎉
Hahaha wamekufanyeje mzee🤣🤣
Adam napenda sana kazi zenu nawapenda sana ❤❤❤❤
Shukrani sana
Waaoooh bonge la combinationation,,,mnajua maashaallah adi mnajua tena
Shukrani sana
Hongera sana adam unajua na unajua tena
Asante
Bonge la move
Thanks
Afuu we adam😂😂😂😂😂
Kwa nini unapenda kupikaa makandee jamaniiii
Nayapendaa
@@AdamLeoStudioshongera Adam
Mimi mpenzi WA mkande sana
@@AdamLeoStudioskaka Adam,makande n nn?
Kaka naweza kuw na nyie napend xan👌🤝🤝
Asante
🎉🎉🎉adam tunasubiri episode 2
Sawa
Filam iko vizur sana❤❤❤❤
Asantee
Hidaya wenu hapa nawapenda Sana ❤❤
🫶
Twakupenda pia huku Kenya ❤️
Unajua Sana kuact mama bt nauliza tu kaulizo wewe Ni bibiye Adamu Wa ndoa ama coz Haya mapenzi yenu yananichanganya
@@RaelAmunga ha ha ha acting tu
Unaweza kaka
Hongera kazi zuri ya pili ikuwapi jamani ❤❤❤❤❤❤
Kesho
❤🎉🎉🎉hongera kaka Adam upo sawa 🎉🎉
Shukrani
Kwahiyo wabongo bila kuigiza mapenzi hamfanikiwi kila anayeigiza mapenzi fundisheni na maisha
Maisha bila mapenzi uliona wapi Nzungu?
Adam broo uyu dem ni goma lako kwl bhna 😂😂😂😂
Jamani
Eish mamjuu❤❤❤
❤️❤️❤️
Pole sna.adam❤
Asante
Sawa
Thanks
Nazipenda sana video zako adamu ziko na mafunzo❤
Shukrani
Jaman ❤❤❤
Enjoy
Mbona ulikataa sahii ndio unataka ameshaa pata mwingine ❤❤
Yaani shida tupu
Wanawake ban mungu anatuona afu anatuchekq
Hahaha yaani
Good job 👍🤝
Thanks
Hidaya nimrembo sana
Mnoo
Adam hii ni movie ama series?sijaona Adam akikiss mwanamke kwa movie huyu ndo wakwanza 😂😂kasi nzuri❤❤❤
Shukrani sana
Sio wewe tu mwenyew nimeshangaa
Na amekisss kweli kweli
Usitucheleweshehe sehemu ya pili hii ngoma kali ,usipaparikie maneno ya idaya hendelea na maisha yako hachana na idaya kidudu mtu
Kabisa kabisa
Movie Kali sana leta part 2 please
Sawa
Nami ndo nafika kwa Adamu haya twende kazi 🎉🎉🎉🎉
Asante endelea kuenjoy
Asante
Kazi zenu ni nzuri xn
Asante
Maumivu tupu maisha ya kudanganyana inauma single sio kitu kizuri ❤❤❤❤
Pole
❤❤❤❤🎉🎉🎉hongera kazi nzuri Adam
Shukrani sana
Ila damu weee ni⚘️⚘️⚘️⚘️
Jamani😘
Hayo mabusu tu mm yamenifanya nifihali sanaaa ila nilivyokumbuka kua nimambo ya movie nikaaludi kwenye makasiliko yangu maana hapo najua adam kiuhalisia nateseka na mapenzi 😂😂😂😂😂😂😂
Hahaha jamani
Kazi nzuri adam❤
Shukrani
hahaha adam hio kiss ook nice
Thanks
kazi nzuri xna Adam from Kenya
Shukrani sana
nakubar sana kazi zako zote
Asante
Hidaya ana lips mzur sanaaa na w
anajua kukis had ananivutia
Aises
Hongereni nyote 💞💞💞🌹🌹❣️❣️
Asante
Adamu we n mwamba..thumbs up.
Thanks
Maisha haya mazuri single shida kweli tunaishia kudanganywa tu jamani duhuuuuu mungu tusaidie
Poleni