GAMBA TV
GAMBA TV
  • 140
  • 841 235

Відео

BABA MDOGO WA KIPESILE AFUNGUKA MAZITO YA KIPESILE KUPENDA UCHAWI/NI MTOTO WA KIUME/MM SIO MCHAWI
Переглядів 83617 годин тому
#stevemweusi #mavalatv #mbengotv #clamvevo #stevemweusi #dontatv #mweusifamily #jotitv #tikitvkiakilizaidi #
BABA HALIMA AFICHUA UKWELI WA KIPESILE/NILIJUWA NI MSICHANA/MM SIJUI UCHAWI KABISA/KIPESILE NI MCHAW
Переглядів 3,6 тис.2 години тому
#stevemweusi #zuchu #mavalatv #dontatv #mavalatv #zuchu #mweusifamily #mbengotv #bongoswahilimedia #kipesile#
KIPESILE AFUNGUKA UKWELI MM SIO MWANAMKE/ SHULENI NAITWA MCHAWI/NAWAOGOPA WACHAWI MM NI MWANAUME
Переглядів 10 тис.2 години тому
#dontatv #zuchu #stevemweusi #mweusifamily #chingamedia #clamvevo #donta #mwakatobe #clamvevo #
ELIUDI ATOA NENO KWA CLAM NA KICHECHE WAACHE UTOTO/ WANAITAJI MAOMBI TUWAPELEKE KWA MWAMPOSA
Переглядів 4107 годин тому
#stevemweusi #zuchu #mavalatv #singleagain #chingamedia #clamvevo #dontatv #stevemweusi #mbengotv #nyundotv #batt#
ISALITO AMLILIA GRECE KWANGU NI KAMA MAMA NILIONGEA NAE AKIWA ICU/ NIPIGO KUBWA SANA
Переглядів 1447 годин тому
#dontatv #stevemweusi #mavalatv #zuchu #singleagain #chingamedia #chingamedia #harmonize #clamvevo #bongo #
BABA KELVIN KWENYE MSIBA WA GRECE_NIME MLEA BORA NINGETANGULIA MM_LOVENESS NA KELVIN WANAPENDANA💞💞
Переглядів 9787 годин тому
#dontatv #stevemweusi #mavalatv #mbengotv #minotv #stevemweusi #chingamedia #
CLAM AFUNGUKA CHANZO CHA BIFU LAKE NA KICHECHE_NATAMANI KUMUONA KICHECHE ANAFANYA KAZI MM NINA PESA
Переглядів 8 тис.9 годин тому
#chingamedia #clamvevo #mavalatv #mbengotv #mweusifamily #stevemweusi #stevemweusi #dontatv #kichechecomedy #babajoan #busatitv #singleagain #chingamedia #clamvevo #
BABA LEVO AMCHANA MWIJAKU NA ROMA WANAISHI MAISHA MAGUMU SANA WANATEGEMEA WAKE ZAO AWANIFIKII
Переглядів 11912 годин тому
#stevemweusi #zuchu #clamvevo #chingamedia #clamvevo #
CHEUSI AFICHUA UKWELI CHADO NA KIDEMU JAU WANAPENDANA KWELI/ UKIMZOEA KIDEMU JAU UNAFUKUZWA KAZI
Переглядів 67614 годин тому
#stevemweusi #zuchu #chingamedia #clamvevo #mbengotv #dontatv #
MAMA MZAZI WA KICHECHE AFUNGUKA UKWELI CHANZO CHA KUNDI LA KICHECHE KUVUNJIKA/CLAM ANAUSIKA/KITALE
Переглядів 5 тис.14 годин тому
#stevemweusi #chingamedia #clamvevo #dontatv #mavalatv #dontatv #stevemweusi #
CHADO MASTAR AFUNGUKA UKWELI KUHUSU MAHUSIANO YAKE NA NAJIMA AU KIDEMU JAU/SISI WAUNI TUNAPENDA SANA
Переглядів 2,3 тис.19 годин тому
#stevemweusi #dontatv #mbengotv #clamvevo #mweusifamily #chingamedia #harmonize #
BONGE AFUNGUKA UKWELI NAMPENDA KIDEMU JAU ANAKUWA MKE WANGU/MAMA NGWEWE ANAZINGUA SANA
Переглядів 3,1 тис.19 годин тому
#stevemweusi #dontatv #chingamedia mbengotv #clamvevo #
NAJIMA AU KIDEMU JAU AFUNGUKA UKWELI KUHUSU MAHUSIANO YAKE NA CHADO MASTAR/NILIPENDA ALIVYO NIBEBA
Переглядів 16 тис.19 годин тому
#chadomastar#stevemweusi #mavalatv #chingamedia #clamvevo #mbengotv #nyundotv #dontatv #
MANYANYA AFICHUA UKWELI KUVUNJIKA KWA KUNDI LA KICHECHE/CLAM VEVO ANAUSIKA /NIMEMSI KICHECHE
Переглядів 10 тис.21 годину тому
#chingamedia #mavalatv #dontatv #stevemweusi #clam #clamvevo #jotitv #
SINDI MKE WA MUDY CHAPOMBE AFICHUA UKWELI TABIA ZA MUDY KUPENDA POMBE/NAMPENDA SANA MUDY WANGU
Переглядів 41221 годину тому
SINDI MKE WA MUDY CHAPOMBE AFICHUA UKWELI TABIA ZA MUDY KUPENDA POMBE/NAMPENDA SANA MUDY WANGU
MAMA WA KIBENTENI YA KICHECHE AFUNGUKA VIJANA WANANITONGOZA SANA /SITEMBEI NA VIJANA NILIMPENDA SANA
Переглядів 418День тому
MAMA WA KIBENTENI YA KICHECHE AFUNGUKA VIJANA WANANITONGOZA SANA /SITEMBEI NA VIJANA NILIMPENDA SANA
MUDY AFUNGUKA UKWELI NAMPENDA SINDI/ MM SITUMII POMBE KABISA/NI MWANAMKE MZURI SANA NAMPENDA UKWELI
Переглядів 4,6 тис.День тому
MUDY AFUNGUKA UKWELI NAMPENDA SINDI/ MM SITUMII POMBE KABISA/NI MWANAMKE MZURI SANA NAMPENDA UKWELI
BOBO OG AFICHUA UKWELI WA LOVENES NA KELVIN NI WAPENZI SIO MAIGIZO mm bishoo sio msela
Переглядів 1,4 тис.День тому
BOBO OG AFICHUA UKWELI WA LOVENES NA KELVIN NI WAPENZI SIO MAIGIZO mm bishoo sio msela
GOLDEN VOICE WATANGAZA TAMASHA KUBWA LITAKALO WAKUTANISHA WAIMBAJI WA QASWIDA WOTE/
Переглядів 61День тому
GOLDEN VOICE WATANGAZA TAMASHA KUBWA LITAKALO WAKUTANISHA WAIMBAJI WA QASWIDA WOTE/
MAZONGE AFICHUA UKWELI WA CLAM VEVO ALIVYO MSAIDIA_MBWELA NI MKWELI SNAKE 🐍 BOY IMEBADILI MAISHA YNG
Переглядів 3 тис.14 днів тому
MAZONGE AFICHUA UKWELI WA CLAM VEVO ALIVYO MSAIDIA_MBWELA NI MKWELI SNAKE 🐍 BOY IMEBADILI MAISHA YNG
MBWELA AFUNGUKA CHANZO CHA CLAM VEVO KUMFUKUZA GOZI HUU NDO UKWELI
Переглядів 15 тис.14 днів тому
MBWELA AFUNGUKA CHANZO CHA CLAM VEVO KUMFUKUZA GOZI HUU NDO UKWELI
ESHA BUHETI ATOBOA SIRI YA BABA LEVO CHANZO CHA KUGOMBANA NA SHILOLE_NIMEJUWA NATUMIKA WOTE WANAFIKI
Переглядів 1 тис.14 днів тому
ESHA BUHETI ATOBOA SIRI YA BABA LEVO CHANZO CHA KUGOMBANA NA SHILOLE_NIMEJUWA NATUMIKA WOTE WANAFIKI
GEMA ATANGAZA KUJA KUFANYA MAKUBWA KWENYE SANAA YA BONGO MOVE_NIMESHOT MAREKANI NA TZ HII NI KUBWA
Переглядів 5414 днів тому
GEMA ATANGAZA KUJA KUFANYA MAKUBWA KWENYE SANAA YA BONGO MOVE_NIMESHOT MAREKANI NA TZ HII NI KUBWA
KWA UCHUNGU MAUFUNDI ASIMULIA MZEE PEMBE ALICHO MWAMBIA KABLA YA KIFO_WASANII WALIMTENGA ATUNA UPEND
Переглядів 42814 днів тому
KWA UCHUNGU MAUFUNDI ASIMULIA MZEE PEMBE ALICHO MWAMBIA KABLA YA KIFO_WASANII WALIMTENGA ATUNA UPEND
KWA UCHUNGU TIN WHITE ASIMULIA ALIVYO KUTANA NA MZEE PEMBE ALINIFUNDISHA SANAA WASANII ATUNA UPENDO
Переглядів 15714 днів тому
KWA UCHUNGU TIN WHITE ASIMULIA ALIVYO KUTANA NA MZEE PEMBE ALINIFUNDISHA SANAA WASANII ATUNA UPENDO
MAMA MTUKUFU CLAM VEVO KANITOA KIGOMA NA KUNIPA NAFASI KWENYE SNAKE BOY ANA MOYO WA UPENDO SANA
Переглядів 83714 днів тому
MAMA MTUKUFU CLAM VEVO KANITOA KIGOMA NA KUNIPA NAFASI KWENYE SNAKE BOY ANA MOYO WA UPENDO SANA
MBWELA AFUNGUKA KIPI KIMEFANYA BIG BOS ICHELEWE KUTOKA/CLAM ANATAKA KUIFANYA KWA UKUBWA WAVUMILIE TU
Переглядів 1 тис.14 днів тому
MBWELA AFUNGUKA KIPI KIMEFANYA BIG BOS ICHELEWE KUTOKA/CLAM ANATAKA KUIFANYA KWA UKUBWA WAVUMILIE TU
WANDA CLAM VEVO KANITOA KIJIJINI NA KUNIPA NAFASI KWENYE SNAKE BOY YEYE NDO KANILETA MJINI NAMPENDA
Переглядів 3,4 тис.14 днів тому
WANDA CLAM VEVO KANITOA KIJIJINI NA KUNIPA NAFASI KWENYE SNAKE BOY YEYE NDO KANILETA MJINI NAMPENDA
TANU CLAM VEVO KWANGU NAMUONA KAMA BABA KWENYE SANAA CLAM ANAPENDA WASANII WAKE TUFANIKIWE PESA ANAY
Переглядів 10 тис.14 днів тому
TANU CLAM VEVO KWANGU NAMUONA KAMA BABA KWENYE SANAA CLAM ANAPENDA WASANII WAKE TUFANIKIWE PESA ANAY

КОМЕНТАРІ

  • @asuminimtulia568
    @asuminimtulia568 3 години тому

    Uko vizur sana baba halima🔥big up sana

  • @mrfashion1687
    @mrfashion1687 5 годин тому

    Mtu kashakwambia kua Kipesile ni mtoto wake na unajua anaigiza, halafu unamuuliza "Katika watoto wako kuna yoyote anafanya sanaa??" mtangazaji hapo umezingua

  • @DENISMAZIA
    @DENISMAZIA 5 годин тому

    Baba halima safi sana nafatilie kipesile kutoka kilifi county

  • @denson.d.johnmsabi3194
    @denson.d.johnmsabi3194 6 годин тому

    Mwandishi anahoji kichonganishi

  • @SamilaAlvel
    @SamilaAlvel 6 годин тому

    Mama Eva we noma 🎉🎉🎉

  • @YvonneWangeci-oe8uf
    @YvonneWangeci-oe8uf 7 годин тому

    Inamaana kipesile ni kijana daah😂

  • @Rachel-q9m
    @Rachel-q9m 7 годин тому

    Nilikua natamani patokee mwana habari afanye mahojiano na Adery na kikosi kizima Cha waigizaji wake,,kiukweli nimefurahia sana...kongole sana Master kwa hiki elewa mmefika mbali nabado mtapaa sana maana wapenzi wenu tupo wengi sana tu hapa inchini Kenya ambao tunawafatilia sana katka Ngoma yenu..Hongera sana🎉🎉❤

  • @MasauShida
    @MasauShida 8 годин тому

    Kazi nzuri sana Gamba tv🇹🇿

  • @MaryMwende-r4w
    @MaryMwende-r4w 8 годин тому

    Baba Halima wacha nikupe mauwa yako ❤❤❤❤❤ unapabana nakipesile. Kwel kweli

  • @steadfastlove646
    @steadfastlove646 8 годин тому

    Usinyowe nyuwele ile wiki baadaya kifo, sikupenda hio kipara

  • @annemwende4480
    @annemwende4480 8 годин тому

    Uchawi halisia kabisaa, ila mi naona mmeucheza vizuri, Shani anatisha😂😂alafu misukule wakogo hivyohivyo🤣🤣

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 8 годин тому

    Shani mkataba Kwa warabu 🇴🇲🇴🇲 au mkataba Oman Dubai katari Saudi uturiki ndyo mikatam mama Shani

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 9 годин тому

    Mashallah kumbe Shani kipesile ni mtoto wake wa tatu jembe unalo Shani maan kipesile hatakuwa kama marehem kanumba sasa kipesile wa 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @SalimaMirunga
    @SalimaMirunga 9 годин тому

    Nawapenda sana team kipesile

  • @SalomeMideva
    @SalomeMideva 11 годин тому

    Wauu hongera Shani kumbe kipesile mwanao ❤❤hongera👍👍

  • @steadfastlove646
    @steadfastlove646 12 годин тому

    Sasa mbona alipenda ku act kama mchawi, and then ako so horrible witch woman😂😂😂

  • @jacquelinekivamba8541
    @jacquelinekivamba8541 12 годин тому

    Baba halima unajua sana🎉🎉🎉🎉

  • @michaelmusyoka6195
    @michaelmusyoka6195 12 годин тому

    Mzee mzimaaa😂😂😂natazama kutoka Nairobi Kenya🎉napeda sana kazi ya baba halima na sura ya kiume❤good luck men💪

  • @michaelmusyoka6195
    @michaelmusyoka6195 12 годин тому

    Watching from Nairobi kenya,napenda bongo zenu "kipesile"itunaipeda sana❤❤hugs guys🫡🫡

  • @zuhuramuhanga5400
    @zuhuramuhanga5400 13 годин тому

    Adery upo vizuri sana na tim yako

  • @laurentkapongwa2078
    @laurentkapongwa2078 13 годин тому

    Natamani cku moja waungane Team Adel na Team boss mchawi watoe cha pamoja.......😂😂😂😂

  • @zuhuramuhanga5400
    @zuhuramuhanga5400 14 годин тому

    BABA WEWE NI MWAMBA ENDELEA KUPIGA WACHAWI WANAO WAONEA WATU WASIO NA HATIYA

  • @zuhuramuhanga5400
    @zuhuramuhanga5400 14 годин тому

    mtangazaji mimi naomba kujua kipesile mama ake ni nani

  • @RogerKimaro-f2o
    @RogerKimaro-f2o 14 годин тому

    Kweli bro

  • @FaithTimothy-d3k
    @FaithTimothy-d3k 14 годин тому

    Woow Shani pokea maua yako mamaa nakupenda Tu ila unaact kama vile uko roho mbaya🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @BrendaMogambi
    @BrendaMogambi 14 годин тому

    Hila shani ww ni mnoma sana 😅😅😅😅😅

    • @StephenNdunda-ct7cn
      @StephenNdunda-ct7cn 11 годин тому

      Shani umenibwaga, nilizani wewe ni mchawi kweli unifunze umaster kumbe ni ku act. 😅😅

  • @BrendaMogambi
    @BrendaMogambi 15 годин тому

    Nakukubali sana baba Halima 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @adelaidethequeen-t9k
    @adelaidethequeen-t9k 15 годин тому

    Nampenda sana adery na kipesile wanafanya natafuta kipesile Kila wakati kujua yanayojiri🇰🇪🇰🇪🇰🇪we love you all

  • @patrickedward937
    @patrickedward937 15 годин тому

    shani mtu hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii🙌🙌🙌🙌

  • @patrickedward937
    @patrickedward937 15 годин тому

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @LilianNkirote-t2w
    @LilianNkirote-t2w 16 годин тому

    Nampenda sana aderi Hana Baya n mtu kabisaa 💐🌹

  • @isaberaisaka7259
    @isaberaisaka7259 16 годин тому

    Masta ww ni fireee

  • @ernestmwakalambo3938
    @ernestmwakalambo3938 17 годин тому

    Mzee upewe hongera xana umeitendea haki script yako

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 17 годин тому

    😂😂😂mzee kauzu😂😂😂

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 18 годин тому

    Hil baba halima eeeee mashallah unajua San baba yangu nikupe mau🎉🎉🎉 yako tu wallah unapambana na kipesile

  • @JanethDeus-z5i
    @JanethDeus-z5i 19 годин тому

    Nakupenda sana baba alima

  • @SADOCKEkyochi
    @SADOCKEkyochi 19 годин тому

    Kanadanganyasana kadogo clam

  • @amrisaleh8804
    @amrisaleh8804 19 годин тому

    Mzee ukovizuri sana pambana Hawa takuchezea

  • @abuumaryam185
    @abuumaryam185 19 годин тому

    Mzee upo vzr sana unajua kweli kweli

  • @issaKighanga
    @issaKighanga 19 годин тому

    Mwamba huyu😊💪

  • @Samiyabahatinanti
    @Samiyabahatinanti 22 години тому

    🤣🤣🤣😁

  • @NamiriNamiri-oz4xs
    @NamiriNamiri-oz4xs День тому

    Acha uongo were mtangazaji mama kicheche yule anae Akti na Tabu mtingita sio huyo Bora ungesema huyo mama kittle tungekuelewa japo kittle piya sio mama ake ila mama kwenye maigizo.

  • @DishaniDisha-zm2gm
    @DishaniDisha-zm2gm День тому

    Hongera sana mzee

  • @WonderfulCardinal-pc5vs
    @WonderfulCardinal-pc5vs День тому

    Kama unamkubali baba halima gonga like apa

  • @officialkara7178
    @officialkara7178 День тому

    Nakukubali sana

  • @officialkara7178
    @officialkara7178 День тому

    Mzee

  • @AbediKayumbafelicien
    @AbediKayumbafelicien День тому

    Jambo, kwani hamjatoa muendelezo wa iyi penzi la mutoto wa boss ?

  • @JonMozec
    @JonMozec День тому

    Ooooooo kumbe uposingo waoooooooo

  • @JonMozec
    @JonMozec День тому

    Dakumbe love nimutuwake na kilvini dabikap kaka kelvn

  • @MartinSichinga-c9f
    @MartinSichinga-c9f День тому

    I love you loveness