The heart of praise - Nani kama wewe (live)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 лют 2025
  • Song Title: NANI KAMA WEWE
    Written by: Samwel C. Nyakimwe
    Leading: Jescah & Samuel Nyakimwe
    Music arranged & directed by: Sephone Sospeter
    SONG LYRICS.
    Wewe ndiwe Mungu
    Mungu mkuu
    Umejawa nguvu
    Hakuna kama wewe
    Matendo yako Bwana
    Ni ya ajabu sana
    Shuhuda zako
    Zanipa tumaini na imani
    Wewe ndiwe Mungu
    Mungu mkuu
    Umejawa nguvu
    Hakuna kama wewe
    Nani kama wewe
    Kama wewe
    Nani kama wewe
    Eeh Yesu
    Wewe ni Mwema
    Wewe ni Mwema
    Wewe ni Mwema
    Wewe ni Mwema
    MUSICIANS.
    Keys - Sephone Sospeter (Musical Director)
    Organ - John Ntete
    Pads - Samwel Sospeter
    Aux keys - Agustino Batista
    Bass guitar - Nickson Juma
    Lead guitar - Andrew Michael
    Drums - Joseph Kitundu
    Saxophone 1 - Dickson Maige
    Saxophone 2 - Donick Mwakatobe
    CREDITS
    Venue:
    chinangali park dodoma
    Lighting:
    Nyakalo lights - David Sengati +255 712 609 822
    PA system & Backline:
    Mallys music - Sephone Sospeter +255 764 099 588
    Audio (captured, mixed and mastering):
    Chosen records - Sam Mboya +255 713 584 602
    Video director:
    Amigo Johnson +255 716 311 744
    Video editor:
    Micah Karasy +255 653 387 220

КОМЕНТАРІ • 46