The heart of praise Ft. Ushindi Leonard - NI HAJA YA MOYO WANGU
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- Song Title: NI HAJA YA MOYO WANGU
Written by: Samwel C. Nyakimwe
Leading: Janey Watson & Ushindi Leonard
Music arranged & directed by: Sephone Sospeter
SONG LYRICS
Ni haya ya moyo wangu,
It is my heart desire
Nikusifu nikuabudu Mungu wangu
To praise and worship you, my God
Mimi sitaabudu miungi mingine
I shall neither worship, other gods
Wala sitapiga magoti kwa sanamu ili niiabudu
nor shall I kneel before idol to worship
Nitakuabudu wewe tu, uliye mwanba wangu
I will only worship you, you are my rock
Eeh Bwana sina mwingine kama wewe
Oh Lord, I have no other, like you
Nashuka chini, uinuliwe
I go down, so that yo are lifted
Maana wewe wastahili kusifiwa
For you are worthy of praises
Haleluya, haleluya
Hallelujah, Hallelujah
Nakuabudu peke yako Eeh Mungu.
I worship you alone oh God
MUSICIANS.
Keys - Sephone Sospeter (Musical Director)
Organ - Joseph Gidion
Pads - Samwel Sospeter
Aux keys - John Ntete
Bass guitar - Nickson Juma
Lead guitar - Andrew Michael
Drums - Joseph Kitundu
CREDITS
Venue:
chinangali park dodoma
Lighting:
Nyakalo lights - David Sengati
+255 712 609 822
PA system & Backline:
Mallys music - Sephone Sospeter
+255 764 099 588
Audio (captured, mixed and mastering):
Chosen records - Sam Mboya
+255 713 584 602
Video director:
Amigo Johnson
+255 716 311 744
Video editor:
Micah Karasy
+255 653 387 220
Mimi sitaabudu miungu mingine... Nitakuabudu wewe Yehova
Waooooh 🥰
Hongereni sana…Mungu ni mwema na yeye pekee ni wakuabudiwa.
Nashuka chini ,Yesu uinuliwe
Glory to our mighty God 🎉🎉🎉
ewaaaa perfect ❤
❤ Mungu awainuee zaid THP
Hongera Sana