The heart of praise - Hara Mahoro | Ni salama (live music video)
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- Song Title: HARA MAHORO
Written by: Samwel C. Nyakimwe
Leading: Samuel C. Nyakimwe
Music arranged & directed by: Sephone Sospeter
SONG LYRICS
Ni salama, ni salama
Moyoni mwangu
Ni salama
Ukuthula, ukuthula
Phakati kwa Moya wami
It is well, it is well
In my soul
It is well
Hara Mahoro, Hara Mahoro
Mumutima wanje
Hara Mahoro
MUSICIANS.
Keys - Sephone Sospeter (Musical Director)
Organ - Joseph Gidion
Pads - Samwel Sospeter
Aux keys - John Ntete
Bass guitar - Nickson Juma
Lead guitar - Andrew Michael
Drums - Joseph Kitundu
Saxophone 1 - Dickson Maige
Saxophone 2 - Donick Mwakatobe
CREDITS
Venue:
chinangali park dodoma
Lighting:
Nyakalo lights - David Sengati
+255 712 609 822
PA system & Backline:
Mallys music - Sephone Sospeter
+255 764 099 588
Audio (captured, mixed and mastering):
Chosen records - Sam Mboya
+255 713 584 602
Video director:
Amigo Johnson
+255 716 311 744
Video editor:
Micah Karasy
+255 653 387 220
Huu wimbo umeniliza jaman😢😢,hongerene
Mungu awainue tena na tena
Sam msauz your Are blessed and talented Mungu akutunze Huu wimbo una nguvu sana mm nikiusikiliza unabadilisha uwepo wangu Daaaah😭😭😭😭😭😭Namtukuza Mungu kupitia kazi hii
Woow wimbo mzuri, wimbo wa baraka wimbo wa nyakati zote
Mungu awabariki the heart of Praise
❤❤❤❤❤🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼 hongereni sana kwa wimbo mzuri kabisa, neema ya Mungu izidi kuwa juu yenu
Mungu awabariki sana. Ni salama Moyoni Mwangu
Ila nick kaka 🙌🙌🙌🙌 huna kazi mbovu mkuuu by mwanafunzi wako baraka mbarikiwe sana watumishi groove safi
MUNGU awatunze kwa utumishi wake!!
Hongera sana braz❤
❤❤❤❤❤❤❤
Barikiwa sana
My Song huu wimbo naupenda sana kupita maelezo My God bless thp
Beautiful song❤❤❤
❤❤❤❤ I love this song God bless SAM MSAUZI
Hakika ni salama na ninaiyona salama yako MSAUZI kwa viwango vikuu
Amina kubwa kwaajili ya bwana yesu
Amen
Kabisa🦛🦛🦛
Mbarikiwe mno
Ni salama Rohoni mwangu🙌
Kabla sjaangalia vizur nlijua n wa south 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
God bless you…
On the way coming 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
World wide song 🎵 🎉🎉🎉❤❤
The Heart of praise🎉🎉🎉🎉
Watching from 🇧🇮 Bujumbura -BURUNDi
This man is very annointed
Msauz nenda pale Roma kula kitimoto kilo moja nalipia mimi ❤❤❤❤❤❤❤
Moyoni mwangu ni salama😢oh nakupenda yesu nikiwa nawe ni salama
Hara mahoro mumutima wanje.. It is well with my soul
What a beautiful song ❤❤...you are the best
Muhezagigwe chane
Hara mahoro mumutima wanje, ni salama moyoni mwangu
Kazi nzuri watumishi wa Mungu.. hongereni sana..
Amen